Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: CWT leo tar. 5/7/2012 Masikio ya walimu yako kwenu

    Report Post
    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
    Results 21 to 40 of 44
    1. #1
      KIMBURU's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 12th January 2011
      Posts : 182
      Rep Power : 460
      Likes Received
      81
      Likes Given
      20

      Default CWT leo tar. 5/7/2012 Masikio ya walimu yako kwenu

      Leo ndio tarehe ambayo CWT walituambia kuwa itakuwa ni ya mwisho kwa majadiliano na serikali, tunatarajia kuanzia kesho CWT itoe mlisho nyuma (feedback) juu ya majadiliano yake na serikali. Matarajio ya walio wengi ni kupata tamko la kuanza mgomo na si vinginevyo.

      Hiki na kipindi muhimu kwa bwana Mukoba cha kupima uwezo wake wa kikiendesha chama
      KATIKA MAKUKU MAONGO HAKUNA KAMA JOGOO - LIVINGSTON LUSINDE (MB-CCM)

    2. Miaka 50

    3. #21
      KIMBURU's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 12th January 2011
      Posts : 182
      Rep Power : 460
      Likes Received
      81
      Likes Given
      20

      Default Re: CWT leo tar. 5/7/2012 Masikio ya walimu yako kwenu

      Quote By Welu
      Achaneni na CWT. Jiungeni na chama kipya cha ukombozi wa walimu kiitwacho UMET. Kwa wanaotaka mawasiliano mpigie katibu wa chama hiki 0756204568. Karuhusu mwenyewe no. kuwekwa hewani.
      Hicho chama kipya ni mpango kabambe wa serikali kuidhoofisha kabisa CWT. Mi nadhani walimu waendelee kukomaa na CWT yao, kuanza kujigawagawa tena siyo issue coz serikali itawatawala vizuri. Hapa ninachokiona mimi ni mpango mzima wa"divide and rule"
      KATIKA MAKUKU MAONGO HAKUNA KAMA JOGOO - LIVINGSTON LUSINDE (MB-CCM)

    4. #22
      matumbo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th July 2011
      Posts : 2,344
      Rep Power : 1447
      Likes Received
      649
      Likes Given
      512

      Default Re: CWT leo tar. 5/7/2012 Masikio ya walimu yako kwenu

      Dawa ya matatizo ya fani ya ualimu ni kuacha ualimu....walimu acheni ndoto kwamba kuna siku mambo yatabadilika...nyie ni wa ivyo milele na milele.

    5. #23
      master gland's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 3rd April 2012
      Posts : 153
      Rep Power : 390
      Likes Received
      45
      Likes Given
      40

      Default Re: CWT leo tar. 5/7/2012 Masikio ya walimu yako kwenu

      [M4C is every where, sasa tumechoka na tumeshaamua liwalo na liwe kama Pinda ishu ni kwamba hata Mukoba asideclare mgomo si tushagoma na tumeshachoka kunyanyasika . Imefika pahala tuseme imetosha na haikubaliki kudharauliwa kwa walimu kilicho baki kwa sasa ni kupiga kura tu na kila mpenda mabadiliko yuko tayari kwa l;olote zimeshatafutwa optional kwa wenye vyeti feki utawaona kuanzia J4 kazini ila kwa tuliosota darasani PCB liwalo na liwe na itakuwa adabu kwa wote wanawadharau walimu
      Soma hii attachment kilichobaki ni kupata sahihi tu TUMESHACHOKA NA AHADI HEWA ZA MAGAMBA UNADAI TANGU 2006 HULIPWI,UNAPANDA DARAJA TOKA 2010 MSHAHARA STAHIKI HUPATI UNATEGEMEA ARI ITOKE WAPI KAMA WAO HAWAGOMI MI NIMESHAGOMA
      Attached Thumbnails  

    6. #24
      Welu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th July 2011
      Posts : 262
      Rep Power : 451
      Likes Received
      54
      Likes Given
      1

      Default Re: CWT leo tar. 5/7/2012 Masikio ya walimu yako kwenu

      Pasco_jr_ngumi. Je umewasiliana na katibu kwa namba niliyo kupa hapo juu?

    7. #25
      ngomicom's Avatar
      Member Array
      Join Date : 6th July 2012
      Posts : 57
      Rep Power : 358
      Likes Received
      4
      Likes Given
      6

      Default Re: CWT leo tar. 5/7/2012 Masikio ya walimu yako kwenu

      Acha kulopoka ndg yangu, mbona hukumbuki ulikotoka? nani alikuwezesha kuandika sentensi hii.

    8. #26
      Judi wa Kishua's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th April 2012
      Posts : 378
      Rep Power : 397
      Likes Received
      62
      Likes Given
      10

      Default Re: CWT leo tar. 5/7/2012 Masikio ya walimu yako kwenu

      Hawa walimu nao nini..!!?

      Dawa yao ni kuwaramba viboko kama yule DC..watu wenyewe failures mnabebwa nanyi mnataka kufata mkumbo..

    9. #27
      master gland's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 3rd April 2012
      Posts : 153
      Rep Power : 390
      Likes Received
      45
      Likes Given
      40

      Default Re: CWT leo tar. 5/7/2012 Masikio ya walimu yako kwenu

      Quote By Judi wa Kishua
      Hawa walimu nao nini..!!?

      Dawa yao ni kuwaramba viboko kama yule DC..watu wenyewe failures mnabebwa nanyi mnataka kufata mkumbo..
      unapscholigical desire wewe usitafutie watu ban hapa na..............ge zako hizi.THINK CRITICALLY kabla ujapost na kama huna cha kupost bora uwe msomji tu.Ungeweza kuandika hilo neno failure kama si huyu mwl unayesema failure
      watakuseyakweenyemasaburi we leta tu ulusinde wako hapa

    10. #28
      only83's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 15th October 2010
      Location : Dodoma-Mjengoni
      Posts : 4,157
      Rep Power : 1847
      Likes Received
      1431
      Likes Given
      1539

      Default Re: CWT leo tar. 5/7/2012 Masikio ya walimu yako kwenu

      Mkoba ni gamba, hawezi hitisha mgomo yule.
      "Problems can not be solved by the same level of thinking that created them"
      "Matatizo hayawezi kutatuliwa na uwezo ule ule mdogo wa watawala wa CCM walioyasababisha"

    11. #29
      matumbo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th July 2011
      Posts : 2,344
      Rep Power : 1447
      Likes Received
      649
      Likes Given
      512

      Default Re: CWT leo tar. 5/7/2012 Masikio ya walimu yako kwenu

      Quote By only83
      Mkoba ni gamba, hawezi hitisha mgomo yule.
      kwa taharifa za ivi punde ni kwamba mgomo umesogezwa mbele mpaka tarehe 27 july,,,,,,

      shule zinafungwa tarehe 27 july............niambie hapo kuna mgomo mkuu??????

      suluhisho la matatizo ya walimu ni kuacha ualimu...
      Usiibe kabla giza alijaingia....

    12. #30
      Bob G's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 5th October 2011
      Location : UK Manyasi
      Posts : 1,662
      Rep Power : 718
      Likes Received
      291
      Likes Given
      36

      Default Re: CWT leo tar. 5/7/2012 Masikio ya walimu yako kwenu

      Utasikia CDM wanahusika na Mgomo

    13. #31
      mzalendokweli's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st April 2012
      Posts : 346
      Rep Power : 427
      Likes Received
      86
      Likes Given
      52

      Default Re: CWT leo tar. 5/7/2012 Masikio ya walimu yako kwenu

      Quote By MCHONGANISHI
      pasco jr acha dharau bhana! Wengine tumesoma ualimu simply because tupate mkopo ASILIMIA Kuanzia 80 sababu ya umaskini wetu na wengine walienda Diploma sababu hawawezi kujilipia private, wangapi wana div 3 a level ila sababu wazazi wao wana uwezo wako vyuo vikuuu? Wengi tumeenda ualimu sababu ya umaskini wetu na msitusimange! Wanaoangusha walimu katika harakati hizi ni CWT kwa MASLAHI Yao we angalia jinsi gani Leo wataleta sarakasi ndio maana wengine tulisema tusiingie kwanza kwenye mgomo bila kuifumua CWT na kutoa viongozi woote mkatuona magamba ila tatizo Kubwa ni CWT kuliko hata serikali..... Hivi tukiwa uliza zile 2% za kila mwalimu zinafanya nini watatujibu, washafungua mashauri mangapi katika mahakama ya kazi? Kodi za majengo ya mwalimu house kila Mkoa zinafanya nini? Kwa nini hadi Leo hatuna bank yetu wakati capital ya bilioni 3 ishafika, kwa nini hatuna BODI ya WAALIMU.... CWT. ni tatizo Kubwa na ndio Hilo linawafanya walimu tuonekane legelege kwa nini wanachochea chuki Kati ya walimu wa sekondari na msingi ili wao wabaki madarakani CWT ni big problem
      kama unamaanisha undeni Jumuiya ya waalimu na muitishe mgomo kupitia huko. mimi naona tatizo ni waalimu wenyewe na sio CWT. Kama ilivyo tatizo ni watanzania wenyewe na sio CCM. kwan nani anawaweka hao CWT?HAMUEZ KUWATOA?ndio mana hoja ya kua mlifeli inaingia akilini zaidi. huez sema eti tunateseka kisa viongozi wetu...nan kawaweka?hamjui namna ya kuwatoa?au mnaogopa mkigoma mtasimamishwa kaz alafu "hakuna kurudi kazin mpaka tupitie vyeti vyako" ambapo 50% wanaweza wasirudi.

    14. #32
      KIMBURU's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 12th January 2011
      Posts : 182
      Rep Power : 460
      Likes Received
      81
      Likes Given
      20

      Default Re: CWT leo tar. 5/7/2012 Masikio ya walimu yako kwenu

      Quote By matumbo
      kwa taharifa za ivi punde ni kwamba mgomo umesogezwa mbele mpaka tarehe 27 july,,,,,,

      shule zinafungwa tarehe 27 july............niambie hapo kuna mgomo mkuu??????

      suluhisho la matatizo ya walimu ni kuacha ualimu...
      Au wanataka wautegeshee mgomo kwenye sensa? maana serikali huwatumia sana hawa mabwana kwenye sensa; wakifanya hivyo wataichanganya sana serikali hii sikivu.

      KATIKA MAKUKU MAONGO HAKUNA KAMA JOGOO - LIVINGSTON LUSINDE (MB-CCM)

    15. #33
      Electron's Avatar
      Member Array
      Join Date : 3rd July 2012
      Posts : 91
      Rep Power : 365
      Likes Received
      48
      Likes Given
      59

      Default Re: CWT leo tar. 5/7/2012 Masikio ya walimu yako kwenu

      Quote By Pasco_jr_ngumi
      Uko sahihi, mimi nimefundisha walimi 99% ni failures.........wamefeli form four au six!!!!

      Hata ukimuona mwenye digriiii, ujuwe alifeli......kama sio class basi hakujuwa anachosomaaaaa
      mkuu Pasco..... tusi-generalize bana wapo vijana wa wakulima waliofaulu vizuri wakaingia huko kupata nafuu ya ada na ku-progress fasta kiasomo wakiwa na ka-ajira flani, wengi ni wana-mageuzi ambao hawajapata kinara wa kuwaunganisha kama Ulimboka wa madaktari.... sikatai pia wapo wengi wamefoji vyeti... but i think hili ni kundi ambalo likijitambua na kujipanga linaweza kuchangia kuleta mageuzi katika utawala wa njiii hii....

    16. #34
      MCHONGANISHI's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 28th May 2011
      Location : Matejooo
      Posts : 135
      Rep Power : 432
      Likes Received
      31
      Likes Given
      15

      Default Re: CWT leo tar. 5/7/2012 Masikio ya walimu yako kwenu

      Quote By OSOKONI
      Upo sahihi sana lakini kwa wakati huu ila miaka ya nyuma kidogo kada ya ualimu ilikuwa inabeba watu waliofanya vibaya katika mitihani kumbuka kitu kinaitwa "UPE" hivo hao waliofeli na bado wakapewa ualimu wanaona kama ni fadhila (na kweli ni fadhila maana hawakupasi) na sio haki yao!!Na hao ndio walimu wengi wenye uzoefu wamejengeka katika msingi huo wa woga kutokana na background yao ya elimu. Ila kwa wakati huu kuna walimu wengi vijana waliopass vizuri wenye mawazo chanya na wanazijua haki zao na kujali na kuheshimu taaluma yao ya ualimu hao sasa ndio wanatakiwa waanze mabadiliko ya CWT unapokuja uchaguzi wagombee wengi! Walimu hawa waliopewa ualimu kama fadhila ndio hao hao wanatumika kuchakachua wakati wa chaguzi ndio maana serikali inakimbilia sana kuwachukia walimu kusimamia chaguzi! kwa nn isichukue na wafanyakazi wa kada zingine mfano wakufunzi wa vyuo na kada zingine??
      Naafasi ya Mwenyekiti ndio inagombewa ila Katibu huajiriwa aisee hawa viongozi wa CWT wana mtandao acha tu wakisikia unataka kugombea unaundiwa zengwe hadi ushangae wanashirikiana na wakuu wa Shule maafisa elimu na wakurugenzi acha tu wengine tushakaaa mamiezi ya kutosha bila mshahara ili tutie akili yani wakikuamulia hufurukuti unakuwa Huna pa kwenda hata ukipita huwezi shinda sababu walimu aw msingi ni wengi na washapumbazwa na kauli"Mimi mwenzenu achaneni na Hao wanajiona wamesoma"
      "Religion is like opium to the poor" Karl Marx

    17. #35

    18. #36
      Msafiri Kasian's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2011
      Posts : 1,119
      Rep Power : 613
      Likes Received
      113
      Likes Given
      72

      Default

      Quote By Lyimo
      Mimi ninachofahamu ni kuwa, walimu wapo kwenye mgomo siku nyiiingi. Ninahakika serikali inalifahamu hili, tatizo ni sisi wananchi ambao tunajua mgomo ni mpaka pale mtu asiende kazini. Je, umejaribu kufuatilia matokeo ya miaka miwili hii na trend yake??
      Umeona eeeh? Huu ndo wanauita mgomo baridi.

    19. #37
      MCHONGANISHI's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 28th May 2011
      Location : Matejooo
      Posts : 135
      Rep Power : 432
      Likes Received
      31
      Likes Given
      15

      Default Re: CWT leo tar. 5/7/2012 Masikio ya walimu yako kwenu

      Quote By OSOKONI
      Upo sahihi sana lakini kwa wakati huu ila miaka ya nyuma kidogo kada ya ualimu ilikuwa inabeba watu waliofanya vibaya katika mitihani kumbuka kitu kinaitwa "UPE" hivo hao waliofeli na bado wakapewa ualimu wanaona kama ni fadhila (na kweli ni fadhila maana hawakupasi) na sio haki yao!!Na hao ndio walimu wengi wenye uzoefu wamejengeka katika msingi huo wa woga kutokana na background yao ya elimu. Ila kwa wakati huu kuna walimu wengi vijana waliopass vizuri wenye mawazo chanya na wanazijua haki zao na kujali na kuheshimu taaluma yao ya ualimu hao sasa ndio wanatakiwa waanze mabadiliko ya CWT unapokuja uchaguzi wagombee wengi! Walimu hawa waliopewa ualimu kama fadhila ndio hao hao wanatumika kuchakachua wakati wa chaguzi ndio maana serikali inakimbilia sana kuwachukia walimu kusimamia chaguzi! kwa nn isichukue na wafanyakazi wa kada zingine mfano wakufunzi wa vyuo na kada zingine??
      Naafasi ya Mwenyekiti ndio inagombewa ila Katibu huajiriwa aisee hawa viongozi wa CWT wana mtandao acha tu wakisikia unataka kugombea unaundiwa zengwe hadi ushangae wanashirikiana na wakuu wa Shule maafisa elimu na wakurugenzi acha tu wengine tushakaaa mamiezi ya kutosha bila mshahara ili tutie akili yani wakikuamulia hufurukuti unakuwa Huna pa kwenda hata ukipita huwezi shinda sababu walimu aw msingi ni wengi na washapumbazwa na kauli"Mimi mwenzenu achaneni na Hao wanajiona wamesoma"
      "Religion is like opium to the poor" Karl Marx

    20. #38
      MCHONGANISHI's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 28th May 2011
      Location : Matejooo
      Posts : 135
      Rep Power : 432
      Likes Received
      31
      Likes Given
      15

      Default Re: CWT leo tar. 5/7/2012 Masikio ya walimu yako kwenu

      Quote By matumbo
      kwa taharifa za ivi punde ni kwamba mgomo umesogezwa mbele mpaka tarehe 27 july,,,,,,

      shule zinafungwa tarehe 27 july............niambie hapo kuna mgomo mkuu??????

      suluhisho la matatizo ya walimu ni kuacha ualimu...
      acha umbea mtoto wa kiume Shule zinafunguliwa tarehe 9/7/2012 na kufungwa tena tarehe 3/8/2012 hadi tarehe7/9/2012
      "Religion is like opium to the poor" Karl Marx

    21. #39
      matumbo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th July 2011
      Posts : 2,344
      Rep Power : 1447
      Likes Received
      649
      Likes Given
      512

      Default

      Quote By MCHONGANISHI
      acha umbea mtoto wa kiume Shule zinafunguliwa tarehe 9/7/2012 na kufungwa tena tarehe 3/8/2012 hadi tarehe7/9/2012
      acha ubishi we mwalimu wa mchakamchaka,mgomo ulipangwa tarehe 15 july na sasa umesogezwa mbele kisa nini sasa!!??.....

      Haya unaanza tarehe 27july kumbe shule mnafunga tarehe 3august sasa mnagoma wakati wa likizo!??......

      Nyie walimu mna laana ya kuwaibia Magamba kula,na mtateseka mpaka mwisho wa dahari.

    22. #40
      KIMBURU's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 12th January 2011
      Posts : 182
      Rep Power : 460
      Likes Received
      81
      Likes Given
      20

      Default Re: CWT leo tar. 5/7/2012 Masikio ya walimu yako kwenu

      Quote By matumbo
      acha ubishi we mwalimu wa mchakamchaka,mgomo ulipangwa tarehe 15 july na sasa umesogezwa mbele kisa nini sasa!!??.....

      Haya unaanza tarehe 27july kumbe shule mnafunga tarehe 3august sasa mnagoma wakati wa likizo!??......

      Nyie walimu mna laana ya kuwaibia Magamba kula,na mtateseka mpaka mwisho wa dahari.
      Nashindwa kutofautisha kauli zako chafu na avatar yako, inaonekana umetoka kutapika!
      KATIKA MAKUKU MAONGO HAKUNA KAMA JOGOO - LIVINGSTON LUSINDE (MB-CCM)

    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...