Mzee wetu aboud jumbe tunaomba utuwekee kitabu cha matatizo ya muungano
Ni muda mrefu sasa mzee wetu umenyamaza kimya hatukusikii wala serikali ya chama chako haisemi chochote na wamesahau mchango wako kwa kulitumikia taifa hili.Naomba nichukue fursa hii kukuomba utuwekee kile kitabu chako tukisome kwani uliainisha matatizo makubwa yaliyopo kwenye Muungano kitu ambacho mpaka leo hakijapata tiba.Pia jitokeze kutoa mchango wako ambao utatusaidia sisi vijana kujua ni aina gani ya Muungano tunaotakiwa kuwa nao na ni kwanini Muungano huu unakuwa ni fumbo la imani.
Yafahamu haya kwanza:-
1. Aboud Jumbe hawezi kuona kutokana na na maradhi uoni wake.
2. Ni mtu wa kukaa ndani kwenye kadamnasi hajitokezi hata msikitini haendi.
3. Watoto wake ndiyo hivyo tena, kwamba wanatembelea JF, mmh!! Sijui labda yule mmasai akiambiwa atamwambia mzee.
4. Akiambiwa sidhani kama utapata matokeo chanya. Nina mashaka mno na uwezo wake wa kukumbuka. Usijeshangaa namna atakavyokuchanyia habari.
Re: Mzee wetu aboud jumbe tunaomba utuwekee kitabu cha matatizo ya muungano
By Mnyamahodzo
Yafahamu haya kwanza:-
1. Aboud Jumbe hawezi kuona kutokana na maradhi uoni wake.
2. Ni mtu wa kukaa ndani kwenye kadamnasi hajitokezi hata msikitini haendi.
3. Watoto wake ndiyo hivyo tena, kwamba wanatembelea JF, mmh!! Sijui labda yule mmasai akiambiwa atamwambia mzee.
4. Akiambiwa sidhani kama utapata matokeo chanya. Nina mashaka mno na uwezo wake wa kukumbuka. Usijeshangaa namna atakavyokuchanyia habari.
Wasalimie ukienda, enhee!!
Nusu ya marais wastaafu wa Zanzibar walio hai wana matatizo ya macho, hawaoni.
...Kanisa halijawahi kumtuhumu Dr. Slaa kwa wizi wa hela za ujio wa Papa...{Jude Thaddaues O.F.M. Cap, Archbishop of Mwanza and President of Tanzania Episcopal Conference (TEC), March 20, 2012}
Re: Mzee wetu aboud jumbe tunaomba utuwekee kitabu cha matatizo ya muungano
Ok nakubaliana nanyi,kama kuna mwana JF ana nakala za kitabu hicho atuwekee kwani kilieleza uhalisia na ubaya wa Muungano huo wa watu wawili kitu kilichopelekea kulazimisha kuachia ngazi enzi zile za zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa CCM
Re: Mzee wetu aboud jumbe tunaomba utuwekee kitabu cha matatizo ya muungano
By sammosses
Ni muda mrefu sasa mzee wetu umenyamaza kimya hatukusikii wala serikali ya chama chako haisemi chochote na wamesahau mchango wako kwa kulitumikia taifa hili.Naomba nichukue fursa hii kukuomba utuwekee kile kitabu chako tukisome kwani uliainisha matatizo makubwa yaliyopo kwenye Muungano kitu ambacho mpaka leo hakijapata tiba.Pia jitokeze kutoa mchango wako ambao utatusaidia sisi vijana kujua ni aina gani ya Muungano tunaotakiwa kuwa nao na ni kwanini Muungano huu unakuwa ni fumbo la imani.
Mimi nilikisoma chote hasa cha Kiswahili.
Lakini kama unafuatilia matatizo yote ya muungano hata humu JF basi ni sawa na kuwa umesoma kitabu kile, utakosa tu picha ambazo zimo ukurasa wa 20 na 78.
Lakini kama ni copy ya Mkataba wa Muungano yaani Arcticles of Union ambao uko page 156 hadi 158 nao nilishauweka humu JF THE PLACE WE DARE TALK OPENLY {Bonyeza thread hii}.
Actually niliu-copy toka humu kitabuni.

Follow Us Here