Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini
-Kinaaza mchakato wakuteua kila idara/units ya serikali popote tanzania mtu mmoja ambaye wenye mapenzi kweli ya chama chao
-majukumu yake nikufatili watumishi wote wanaopinga chama hicho au kuwa wanachama wa upinza kisha kuwashusha vyeo au kuwaamishia sehemu mbaya plus polini zaidi au kuwaulimboka....na n.k
kwani wametumia kila mbinu zinakwama... je kwani hivi jamani chama cha mzee wangu....???????
nawasilisha!
Re: Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini
Madhara ya huu mpango ni mbaya sana sana sana. Ukishaingiza siasa kwenye idara za serikali basi nchi haiwezi kupiga hatua hata kidogo. Itaishia kwenye 'state corruption' ya hali ya juu na taaluma za watu zitafunikwa. Jamani dunia inasonga mbele tena kwa kasi kubwa, hakuna atakayesubiri Tanzania imalize siasa zake. Giza tupu.

waanze na mimi.nipo halmashauri. na kwa taarifa kwenye uchaguzi wa 2010.aliyeongoza kwenye boma letu ni dr Slaa ingawa wapigaji kura tulikuwa watumishi,hata ccm wilaya na mkoa wanajua ilo.Pia nikitambua kuwa kuna kada shushu kwenye ofisi yangu lazima akipate mapema kabla hajamwaga ugali.
Re: Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini
By FJM
Madhara ya huu mpango ni mbaya sana sana sana. Ukishaingiza siasa kwenye idara za serikali basi nchi haiwezi kupiga hatua hata kidogo. Itaishia kwenye 'state corruption' ya hali ya juu na taaluma za watu zitafunikwa. Jamani dunia inasonga mbele tena kwa kasi kubwa, hakuna atakayesubiri Tanzania imalize siasa zake. Giza tupu.
Mbona kama wewe ni mgeni na Tanzania na siasa zake? ni idara ipi ya serikali ambayo sio politicized? anza na polisi, jeshi, mahakama, benki kuu, hazina, vyuo vikuu, kila taasisi inaendeshwa kisiasa ndio maana hakuna maendeleo nchi hii! Rais na mawaziri hawajui lini wanafanya kazi za serikali lini wanafanya za chama! mawaziri wanaenda kwenye kampeni za chaguzi ndogo mfano Igunga, Arumeru na kutumia nafasi zao za uwaziri kutisha wananchi kuwa wasipochagua ccm hawapati huduma halafu wewe unafikiri hakuna siasa kwenye taasisi za umma??
Re: Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini
Kama ni kweli, kwa mbinu hii ndiyo watazidi kujichimbia kaburi. Wananchi wengi wanateseka hivi sasa kwa ajili ya kuendekeza mambo kama haya na yametufikisha hapa. Kwanini wasijipange kutekeleza sera na ahadi zao ili kujenga imani kwa wananchi. "Ukiwa na haki ni rahisi sana kutetewa na kupiganiwa kuliko ukiwa jangili".
Re: Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini
Huu ni upuuzi mwingine unaothibitisha ni jinsi gani watani wako taabani na kifo chao hakiepukiki!
By frema 120
-Kinaaza mchakato wakuteua kila idara/units ya serikali popote tanzania mtu mmoja ambaye wenye mapenzi kweli ya chama chao
-majukumu yake nikufatili watumishi wote wanaopinga chama hicho au kuwa wanachama wa upinza kisha kuwashusha vyeo au kuwaamishia sehemu mbaya plus polini zaidi au kuwaulimboka....na n.k
kwani wametumia kila mbinu zinakwama... je kwani hivi jamani chama cha mzee wangu....???????
nawasilisha!
Re: Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini
Huu ni upuuzi mwingine unaothibitisha ni jinsi gani watani wako taabani na kifo chao hakiepukiki!
By frema 120
-Kinaaza mchakato wakuteua kila idara/units ya serikali popote tanzania mtu mmoja ambaye wenye mapenzi kweli ya chama chao
-majukumu yake nikufatili watumishi wote wanaopinga chama hicho au kuwa wanachama wa upinza kisha kuwashusha vyeo au kuwaamishia sehemu mbaya plus polini zaidi au kuwaulimboka....na n.k
kwani wametumia kila mbinu zinakwama... je kwani hivi jamani chama cha mzee wangu....???????
nawasilisha!
Re: Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini
Victims wengi zaidi watatokea Arusha Arusha MBeya Moshi Iringa Kilomanjaro Mara Bukoba etc.
Waharakishe mpango huo ili nimfahamu mtu ofisini kwangu ambaye anaweza kuwa ccm hadi miaka hii!
Re: Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini
kama kweli wanampango huo hawawezi kufanikiwa kwani watumishi wengi wa serikali hawapo upande wao(MAGAMBA) hata wakuu wa idara mbali mbali wapo upinzani hivyo wajue kifo chao kipo palepale tu 2015
Re: Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini
By Nnauye Jr
Huu ni upuuzi mwingine unaothibitisha ni jinsi gani watani wako taabani na kifo chao hakiepukiki!
Nape, vipi kuhusu hatima ya wale Magamba 3 na wafuasi wao? Maana kumbukumbu zinaonesha wewe ndio ulikuwa uko mstari wa mbele kuwashighulikia. Kuna maendeleo yoyote kuhusu hatima yao?
Re: Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini
''Sibabaiki na watumishi ,km hawaridhiki na mishahara wasinipigie kura'' mmoja wa wagombea wakati huo alitamba, sasa maji ya shingo wanaanza dirty politics,lkn wajue hiyo sio dawa ,huko kwenye mazingira magumu ndio kuzuri kueneza upinzani kwani bado haujafika sana kwa hiyo itakuwa vizuri
Re: Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini
let it be, wanaendelea kumimina petrol kwenye moto wa hasira za watu...... walahi naona mbele kuna mapinduzi kama yale ya "Arab awakening" yanakuja.... change is inevitable, irresistible!
Follow Us Here