Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini
-Kinaaza mchakato wakuteua kila idara/units ya serikali popote tanzania mtu mmoja ambaye wenye mapenzi kweli ya chama chao
-majukumu yake nikufatili watumishi wote wanaopinga chama hicho au kuwa wanachama wa upinza kisha kuwashusha vyeo au kuwaamishia sehemu mbaya plus polini zaidi au kuwaulimboka....na n.k
kwani wametumia kila mbinu zinakwama... je kwani hivi jamani chama cha mzee wangu....???????
nawasilisha!
Re: Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini
...viongozi wote wa hili genge la mafisadi(CCM) tayari limeisha-pigwa upofu na hayo mashimo wanayotuchimbia watadumbukia wenyewe...wito kwa wazelendo wote tuyaombeeni hayo "manyangau"(CCM) maisha marefu ili nayo yaione hiyo siku(2015) tutakapo kuwa tunalikomboa taifa letu..."TULIANZA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU"
Re: Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini
Chombo kinazama kilindini mwa bahari. Kujaribu kuinusuru CCM sasa kujisumbua na kuhatarisha maisha yao.
Salama yao ni kuiacha CCM izame ili wao wapone, kuing'ang'ania ni kutafuta mauti.
Re: Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini
ha ha ha umefufuka mbona huzunguki kuongeza posho maana siasa ilishakushinda yaani nilikudharau pale iringa nilithibitisha kuwa wewe akili yako kama teaspoon iq yako ni ndogo ukilinganisha viongozi wa chadema pole sana ccm ni size yako maana ndio waliko wenzako komba lusinde maji marefu na utitiri wa wapuuzi wengi ndani ya ccm
Re: Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini
By mjaka

Mhhhhh si bora nape teaspon WEWE TOILET PAPER JE?!! nani zaidi?
Re: Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini
By Wimana
Chombo kinazama kilindini mwa bahari. Kujaribu kuinusuru CCM sasa kujisumbua na kuhatarisha maisha yao.
Salama yao ni kuiacha CCM izame ili wao wapone, kuing'ang'ania ni kutafuta mauti.
Mkuu Wimana,
Maumivu ya kichwa huanza polepole mwisho, ooh tunasikitika kutangaza kifo! CHADEMA BYE BYE! CUF WALIANZA KAMA NYIE LEO KWISHNEI
Re: Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini
By mjaka
ha ha ha umefufuka mbona huzunguki kuongeza posho maana siasa ilishakushinda yaani nilikudharau pale iringa nilithibitisha kuwa wewe akili yako kama teaspoon iq yako ni ndogo ukilinganisha viongozi wa chadema pole sana ccm ni size yako maana ndio waliko wenzako komba lusinde maji marefu na utitiri wa wapuuzi wengi ndani ya ccm
Inawezekana HUKUMWELEWA KWASABABU IQ YAKO NI NDOGO ZAIDI....OOOOH TPAPER KUMBE, ZAIDI YA KUCHAMBIA UNAKAZI ZAIDI KWELI?
Re: Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini
By Electron
let it be, wanaendelea kumimina petrol kwenye moto wa hasira za watu...... walahi naona mbele kuna mapinduzi kama yale ya "Arab awakening" yanakuja.... change is inevitable, irresistible!
Mhhh nina mashaka mbona una sound ka sh*ga wa kariakoo aliyepigwa kibuti!??
Re: Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini
that's your level of thinking sorry mate go back to school2015 ccm itakuwa chama halisi cha upinzani kama kanu au unip zambia ukijifunza kusoma utaelewa vizuri uwe unasikiliza wenye busara watakuelemisha sio hao wa sokoni kariakoo utaishia kuuza vitunguu tu pale
By Honey K
Mhhh nina mashaka mbona una sound ka sh*ga wa kariakoo aliyepigwa kibuti!??
Re: Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini
Kwani ulipoongea na walimu kule Mafinga hauwezi kuwa ushahidi tosha? Walimu waliambiwa kuna kiongozi wa Serikali anakuja kuongea nao....mara wewe (Nape) huyooooo. Wewe saizi unawdhifa gani serikalini? Au ni Mkuu wa Wilaya Msaafu? Mbinu zenu zote sasahivi hadharani.
By Nnauye Jr
Huu ni upuuzi mwingine unaothibitisha ni jinsi gani watani wako taabani na kifo chao hakiepukiki!
Re: Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini
By OSOKONI
Mbona kama wewe ni mgeni na Tanzania na siasa zake? ni idara ipi ya serikali ambayo sio politicized? anza na polisi, jeshi, mahakama, benki kuu, hazina, vyuo vikuu, kila taasisi inaendeshwa kisiasa ndio maana hakuna maendeleo nchi hii! Rais na mawaziri hawajui lini wanafanya kazi za serikali lini wanafanya za chama! mawaziri wanaenda kwenye kampeni za chaguzi ndogo mfano Igunga, Arumeru na kutumia nafasi zao za uwaziri kutisha wananchi kuwa wasipochagua ccm hawapati huduma halafu wewe unafikiri hakuna siasa kwenye taasisi za umma??
Nakuhakikishia mkuu, wengi wanafanya hivyo kwa mioyo ya uoga sana. Hasa wale waloenda kwa vimemo.
-Kinaaza mchakato wakuteua kila idara/units ya serikali popote tanzania mtu mmoja ambaye wenye mapenzi kweli ya chama chao
-majukumu yake nikufatili watumishi wote wanaopinga chama hicho au kuwa wanachama wa upinza kisha kuwashusha vyeo au kuwaamishia sehemu mbaya plus polini zaidi au kuwaulimboka....na n.k
kwani wametumia kila mbinu zinakwama... je kwani hivi jamani chama cha mzee wangu....???????
nawasilisha!
SOURCE: Mjumbe wa maazimio hayo.
Naweza kuvaa shuka la CCM lakini moyoni mwangu nimevaa CDM, kwani hata hilo hawalitambui?
Re: Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini
NAUNGA MKONO CCM NA MPANGO-KOMOA KATIKA UTUMISHI WA UMMA KWA KUWA NI MWANZO MZURI WA KUZALISHA WANAHARAKATI WA NDANI KWA NDANI KAMA UTITIRI
Wateseni watumishi wote wenye sauti yenye kupingana na CCM pamoja na Waheshimiwa MAFISADI wake.
Ruksa, ruksa kabisa na tena nasema ruksa itekelezeni haraka sana kwa kasi mpya, ari mpya na vile vile nguvu mpya, huu mkakati wa kutetea MASLAHI YA CHAMA CHETU TUKUFU CCM kwa siku zote mambo ni chama kwanza na taifa baadaye - na huo ndio ukweli wote, hutaki acha!!!
Hakika Ndugu Nape, kwa mara ya kwanza hili linakua ni jambo ambalo wewe na mimi sote tunakubaliana na kuliunga mkono tena kwa dhati kweli kweli bila kutanguliza itikadi zetu za kisiasa.
Kwanza ifahamike kwamba BABA WA AJIRA YOTE serikalini ni CCM kwa kuwa ni wao peke yao ndio walipa kodi wa nchi hii; na hili nalo halina ubishi. Ewe Mungi hapo, Molemo au CCM Mama nyote hapo mnabisha kitu gani.
Kimsingi, CCM ni chama ambacho kilizaliwa na utawala mkono wa kulia na mkono wa kulia kukawa na ajira za WaTanzania wote Bara na Visiwani mkononi mwake. Hivyo kama ndugu zetu WaMaasai wanavyoamini, katika hadithi za kale, kwamba ng'ombe wote chini ya jua ni mali yao waliopewa moja kwa moja toka juu mbinguni (hivyo kuamua kuwarudisha idadi yoyote ya ng'ombe toka zizi la mtu yeyote wala si wizi kitu bali ni kule kukusanya kilicho chao kwa kuzaliwaa) na hivyo vivyo ndivyo CCM kilivyo na haki na utawala wa nchi yetu pamoja na ajira zetu zote hata darini.
Na hii ndio maana siku yoyote chama hiki kikipendezewa kinajichagulia kinaagiza ajira hizo hizo kwenda nchi nyingine kam vile Uswisi ili watu wa huko wakanufaike nazo na nyinyi hapa kwa ubishi wenu hivyo vyama vya upinzani sasa mkale jeuri yenu tuone!
Kama mnabisha, ajira zilikwishahamishiwa kwenda nchi 'rafiki' huko ng'ambo kwa thamani ya ma-trilioni ya dola kila mwaka mbona watumishi wenyewe hawakunung'unika? Watu wengine bana ni ukichaa mtupu.
Alaah, Mkuu Nape hebu kawakumbushe zaidi kiundani juu ya hilo na kuwathibitishia ukweli kwamba kati ya mwaka huu na 2016 Wapinga CCM wote watkufa njaa sawa tu na kunguni waliokimbiwa na mwenyeji wao kwa kugeuka marehemu baada ya kutembelea MabwePande; nchi ya ahadi iliojaa maziwa na asali isiomruhusu yeyote anayezuru huko kurudi katika maisha haya ya kuchomwa na jua hadi mfukoni!
Wenzetu wa upinzani, mimi na Nape tunawatangazieni humu bayana kwa kwenye vikao vyetu, CCM tumeshaamua. Ndio, tumeshaamua, LIWALO NA LIWE lakini ukweli wa mambo ni kwamba ajira bila kadi ya chama chetu kamwe kamwe ni jambo ambalo haliwezekaniki teeeena!!
Na kule mtu kupanda cheo ndio itakua mbinde kweli kweli hamjapata kuona!! Eeehh, acha chama kishike tena hatamu ndio mtajua nchi hii wala msidanganyike kuwa ni ya WANANCHI bali ukweli wa mambo ni kwamba NCHI HII INA WENYEWE NA WENYEWE UTATUSOMA NA KUTUFHAMU UZURI SANA kwa vipima nyuzijoto kuleeeee Uswisi bila longolongo.
Kwa msaada tu, sasa mimi na mwenzangu Nape - kama Musa wa Mlima Sinai na ujumbe kwa Wa-Israeli toka mbinguni, leo hii tunawapasulieni kwamba tangu sasa ili mtu uweze tena kupanda cheo na kufanya kazi eneo zuri zuri ni sharti iwe ni kwamba (1) ulishawahi kuthubutu kukifia chama kwa kupora nchi kwa njia kama vile EPA, Radar, Umeme wa Dharura na kwamba taarifa hizo hazikuvuja popote. Naam, hawa ndio watumishi wenye uzalendo na uaminifu mkubwa kwa chama na lazima tukawazawadie tu mchana kweupe - liwalo na liwe!!!
Mwongozo wa pili kubaki pale utumishi wa chama (poleni; utumishi wa 'umma' - aniwei kwani kuna shida gani hata nikisema utumishi wa chama wakati ndio ukweli wa mambo?) ni mpaka pale mtu uwe umewahi kuwatembeza 'watalii wetu wale wenye kiherehere cha kupigia kelele utetezi wa eti taifa' pale katika mbuga za Mabwepande walau hata mara mbili mara tatu hivi kwa jina la kulinda maslahi ya chama.
Hata hivyo, kwakuwa tuna kikacho tena saa tano usiku huu pale Lumumba kutathmini utekelezaji wa mkakati murua huu wa kukidhibiti CHADEMA na pamoja na wale wanaokihurumia katika utumishi wetu, naomba niwakatishe tu kwa hapa maana hata CHAUMWA na kile chama kingine tulichomkabidhi Rashidi .... ndio, ADC ... ndio leo tunaenda kuwakabidhi msaafu wa misingi ya kuundwa kwao, ufadhili na yale tunayotarajia watekeleze kwa haraka kukinusuru chama kisife kwa aibu kiasi hiki.
Wazee vipi hapo, kidumu chama cha wana-Chamwino na fikra sahihi za mwenyekiti zisizohojika wala kukosolewa bila ya gharama!! Nape sasa twenzetu tushachemsha hadhara hapo na muitikio nadhai umeiona mwenyewe tu.
Lakini sasa kizungumkuti cha hawa 'wajinga' mahospitalini pamoja na kashfa ya Dr Uli ndio sasa itakua vipi tena mkuu au mambo yote sasa Irani tu kwa kwenda mbele 'LIWALO NA LIWE'???
Mhhh ....................!!!!!! ..........................kwa mtindo huu, je tutafika??????????????????
By frema 120
-Kinaaza mchakato wakuteua kila idara/units ya serikali popote tanzania mtu mmoja ambaye wenye mapenzi kweli ya chama chao
-majukumu yake nikufatili watumishi wote wanaopinga chama hicho au kuwa wanachama wa upinza kisha kuwashusha vyeo au kuwaamishia sehemu mbaya plus polini zaidi au kuwaulimboka....na n.k
kwani wametumia kila mbinu zinakwama... je kwani hivi jamani chama cha mzee wangu....???????
nawasilisha!
SOURCE: Mjumbe wa maazimio hayo.
Last edited by Uwezo Tunao; 6th July 2012 at 16:51.
Re: Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini
By Nnauye Jr
Huu ni upuuzi mwingine unaothibitisha ni jinsi gani watani wako taabani na kifo chao hakiepukiki!
Hawa wanatumia propaganda kaka, hebu weka sawa hoja kaka Nnauye Jr, wanatupima. Nadhani ukweli ni kuwa CCM ndio mama wa propaganda, na tunajulikana kwa hili, tukiamua hapa, itakuwa kilio tu. Hebu tulia uwashushie hoja kwa kifupi tu, hakuna haja ya ku upuuzia upuuzi. Mfano, Chama cha CCM kina nia njema na watu wake, dhamana ya kuongoza si ya kuwaongoza wana CCM peke yao, bali ni ya watu wote pamoja na wale wenye itikadi tofauti na ya CCM ya "UJAMAA NA KUJITEGEMEA" (ambayo itikadi ya vyama vingine sijaijua vema ni ipi, ninajua propaganda za msimu tu). Tunawataka maafisa na viongozi wa Serikali tunaowaamini wafanye kazi zao kwa bidii bila kujali hoja hizi na uvumi huu unaoenezwa, kwakuwa serikali haikuwaingiza kazini kutokana na itikzadi zenu, ila ni kwa elimu na uwezo wenu wa kazi ambao CCM inauthamini sana. Si vema leo hii watu waliotuamini kutupa dhamana tukaanza kuwabagua kwakuwa tunaamini kuwa, sisi sote ni ndugu, na nchi hii ni yetu sote pamoja, hata kama tuna mawazo tofauti hayo yote ni katika kutafakari jinsi ya kuipeleka nchi hii mbali. Mungu Ibariki Tanzania Mungu Wabariki Watu wa Tanzania kwa itikadi zao Tofauti. Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Re: Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini
By Honey K
Una akili sana, kama ulivyo vyaa shuka la Magwanda kumbe moyoni ni gamba!!?
Wewe ni nape nini?? mara hii tu mbona umepandisha maruhani na kupata uendawazimu??
CCM huwa hamchelewi kupata kifafa!
wakati Cuf wanataka kuchukua nchi mwaka 2000 CCM walikuja na single ya kusema Cuf ni waislamu na kwa sasa wanadai sisi Chadema ni chama cha wakristo sasa CCM nacho ni cha watu gani? Watu wakajibu mashetaaaaaniiiiii.!---Wana Kigoma.
....Pamoja na kansa ya uongozi wa CCM watu wataendelea kukichagua,au watu wanaweza wakachoka na kusema potelea mbali wakachagua chama KINGINE....Julius. Kambarage. NYERERE"
Re: Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini
Ama kweli wahenga walisema: Wimbo MZURI hutoa nyoka pangoni.
Ni kweli usemi huu miaka yote huwa naufahamu, lakini kimsingi haukua matarajio yangu wala sikutegemea joka lenyewe lijitokeze ki-urahisi kiasi hiki. PROFESA, kumbe wewe humu Jukwaani huwa ni wetu????
Haya basi, kwa mpigo; kidumu chama cha mapinduzi.
By Profesa
Hawa wanatumia propaganda kaka, hebu weka sawa hoja kaka Nnauye Jr, wanatupima.
Nadhani ukweli ni kuwa CCM ndio mama wa propaganda, na tunajulikana kwa hili, tukiamua hapa, itakuwa kilio tu. Hebu tulia uwashushie hoja kwa kifupi tu, hakuna haja ya ku upuuzia upuuzi.
Mfano, Chama cha CCM kina nia njema na watu wake, dhamana ya kuongoza si ya kuwaongoza wana CCM peke yao, bali ni ya watu wote pamoja na wale wenye itikadi tofauti na ya CCM ya "UJAMAA NA KUJITEGEMEA" (ambayo itikadi ya vyama vingine sijaijua vema ni ipi, ninajua propaganda za msimu tu).
Tunawataka maafisa na viongozi wa Serikali tunaowaamini wafanye kazi zao kwa bidii bila kujali hoja hizi na uvumi huu unaoenezwa, kwakuwa serikali haikuwaingiza kazini kutokana na itikzadi zenu, ila ni kwa elimu na uwezo wenu wa kazi ambao CCM inauthamini sana.
Si vema leo hii watu waliotuamini kutupa dhamana tukaanza kuwabagua kwakuwa tunaamini kuwa, sisi sote ni ndugu, na nchi hii ni yetu sote pamoja, hata kama tuna mawazo tofauti hayo yote ni katika kutafakari jinsi ya kuipeleka nchi hii mbali.
Mungu Ibariki Tanzania Mungu Wabariki Watu wa Tanzania kwa itikadi zao Tofauti. Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Re: Azimio la kikao cha CCM Juu ya Watumishi Serikalini
siku hizi kazi za kuineza cdm tunazifanya kama za kitume,ikiwezekana hata kwa gharama zetu.acha watupeleke huko maporini tukamwage sumu ili kifo cha nyinyiem kiwe mapema haraka iwezekanavyo.pipoooooooooooooz z
Follow Us Here