Naam, hivi ndivyo fedha zetu zinavyotumika...
Please check the attached file, posted on MoF website on tenders.
See how much money was spent to celebrate 50 Years of Independence & how much we invested in attending the AfDB meeting!
Naam, hivi ndivyo fedha zetu zinavyotumika...
Please check the attached file, posted on MoF website on tenders.
See how much money was spent to celebrate 50 Years of Independence & how much we invested in attending the AfDB meeting!
Ni huduma gani hiyo ya courier iliyotolewa na Tanzania Posts Corporation kwa zaidi ya milioni 500? Jamani hii kubebena na si kutafuna hela ya walipa kodi.
Dah, kuna tender moja nilipeleka jamaa wakawapa mzumbe university bila vigezo vya maana. Hawa jamaa wanagawa tender kihuni kweli!
Inasikitisha sana kuona fedha zinatumiwa katika mambo yasikuwa ya msingi kwa hali mbAya tuliyonayo kuanzia kwenye ELIMU na AFYA N.K,hivi kwa matumizi haya halafu ukisema KASUNGURA kadogo inaeleweka kweli?
Ni kweli baadhi ya watanzania wenzetu wenyewe kupewa hizo tender wananufaika wao na watu ambao wamewaajiri lakini HATUWEZI KUHALALISHA aina hii ya matumizi,HIYO "FEDHA KIDOGO" inatumikaje? Hivi tunavyoona katika matumizi haya?!au ni kwamb kam taifa hatuna priorities?nini tufanye na nini tuache kwa kuzingatia faida itokanayo na yale tuyafanya katika matumizi.
Kweli hatuwezi kufanya kila kitu lakini tunaweza kufany kila kitu tulichokiwekea KIPAUMBELE kwa pesa tuliyonayo,pesa tunayo si hiyoo imetumika katika mambo yasiyokuwa na TIJA kwa wengi katik taifa letu!
Kama KASUNGURA kadogo basi kagawanywe kw kuzingatia VIPAUMBELE,kuwe na SERA ya kubana MATUMIZI na NIDHAMU ya matumizi ya fedha ya UMMA, AKILI KUBWA inahitajika?!
Mmmh! I don't exactly know what to say! This is terrible...
It's better to be hated for who you are,
than to be loved for someone you are not...
Madaktari wakigoma, mjinga mmoja na ibilisi mmoja anasimama na kusema waweke ubinadamu mbele. Wao wanapotafuna pesa zetu wanaona ndio ubinadamu.
"Problems can not be solved by the same level of thinking that created them"
"Matatizo hayawezi kutatuliwa na uwezo ule ule mdogo wa watawala wa CCM walioyasababisha"
Tz kweli kichwa cha mwendawazimu
Mwisho wa Ubaya Aibu.
77. Quotation for Provision of Event Management Support for the Organization of the 2012 AfDB Annual Meetings for the Ministry of Finance (Vote 21). ME/004/2011-12/HQ/N/42 02/04/2012 - Provision of Event Management Support. M/s Tanzania Conference Services Ltd. TZS 25,960,000.00
78. Quotation for Renovation of Room No.5 & No.29 Second Floor at the New Treasury Main Building for the Ministry of Finance (Vote 50). 26/03/2012 - Renovation of Room No.5 & No.29 Second Floor at the New Treasury Main Building. M/s Tanzania Building Agency (TBA)-DSM Region. TZS 6,518,200.00
79. Quotation for Provision of Web Streaming Services for the 2012 AfDB Annual Meetings for the Ministry of Finance (Vote 21). ME/004/2011-12/HQ/N/44 20/04/2012 - Provision of Web Streaming Services. M/s Netcentrix Consultants. TZS 10,900,000.00 TZS 5,500,000.00 framework contract.
80. Quotation for Hiring of Billboards and Printing of Promotional Materials for the 2012 AfDB Annual Meetings for the Ministry of Finance (Vote 21). ME/004/2011-12/HQ/N/31 20/04/2012 - Hiring of Billboards and Printing of Promotional Materials. M/s A1 Outdoor (T) Ltd. TZS 32,096,000.00
81. Tender for Provision of Catering Services for Gala Dinner for all AfDB Delegates and Invited Guests at Ngurdoto Hotel Grounds during the 2012 AfDB Annual Meetings for the Ministry of Finance (Vote 21). ME/004/2011-12/HQ/N/57 09/05/2012 - Provision of Catering Services for Gala Dinner. M/s Ngurdoto Mountain Lodge. TZS 222,750,000.00
82. Quotation for Hiring of Marquees Tents for Dinner Gala & Reception Offices at KIA for the 2012 AfDB Annual Meetings for the Ministry of Finance (Vote 21). ME/004/2011-12/HQ/N/56 20/04/2012 - Hiring of Marquees Tents for Dinner Gala & Reception Offices at KIA. M/s Antelope Tours and Travel Services Ltd. TZS 165,895,892.00
83. Quotation for Provision of Catering Services for Governors Spouses Programme Day 1 for the 2012 AfDB Annual Meetings for the Ministry of Finance (Vote 21). ME/004/2011-12/HQ/N/61 20/04/2012 - Provision of Catering Services for Governors Spouses Programme Day 1. M/s Kibo Palace Hotel. TZS 8,684,000.00
For the Holy Quran says in Sura 42, verse 41: 'All those who fight when oppressed incur no guilt, but Allah shall punish the oppressor, Come the day.
Sigma It's ours through taxes which we pay on everything we buy !
" TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA"
nchi ya wendawazimu
“Talk slowly but think quickly”
Yeah,yeah!
I know.
Am paying around lak4 out my monthly earning, I
Again they takes 20% out everything I buy,
be it food, nguo, beer(tena hapa!),
Fuel (duh!)...
But How can I hold them accountable for my money?
They proved us wrong thru the ballot box few years ago remember!
if You boast around you may end up in Pande forest!
So?
Mimacho kodo!! Ya Mungu mengi! labda wataokoka one day and stop their deeds!
...------------------------------------------------.---------------------------------------------------------------------..Rather Kill a FRIEND than Risk Missing an ENEMY
Another stress on the go... Poor we
Do Something......
huzuni ni kubwa.way forward?maana jamaa watasherehekea muungano veri veri soon and veri veri big
Follow Us Here