baada ya kumshambulia lissu mwisho wa siku amekubali 'ZANZIBAR NI NCHI NA TANGANYIKA NI NCHI NA NDIO MAANA KUNA MUUNGANO'.
baada ya kumshambulia lissu mwisho wa siku amekubali 'ZANZIBAR NI NCHI NA TANGANYIKA NI NCHI NA NDIO MAANA KUNA MUUNGANO'.
Kamkashifu prof. Shivji.
Werema is another silly season
Imekuwaje?
Waliosoma Chemistry wanakumbuka haya maneno mawili "Mixture & Compound" kama tumeamua kuungana jumla iwe nchi moja,tukiamua kuungana kinafiki kila mtu abaki na nchi yake, then hapo katikati kuwe na hicho kiungo.Sioni umuhimu wa hao watu kuelewa mipango yetu yote ,halafu ya kwao wanajipangia na kujiamulia.
Lua kweli wewe kiboko, unanukuu maneno kama yalivyo
Rada ni suala la muungano ila hela za kununua rada huenda hazikuwa za muungano! Huu muungano una mambo kweli kweli!
Nimesikia taarifa ya habari ikisema ati wazanzibar watakuwa wakipata 21% ya ajira kwenye taasisi za muungano. Hapa napo pamenishangaza. Kwa maana hiyo ni kwamba ajira zinaanz kutolewa kwa quota.
Hahahaaaaa! wadau mmenikumbusha mbali sana. enzi zile nilivyoanza elimu ya sekondari nakumbuka chemistry ya form one by the time lugha ilikuwa haipandi basi nilikuwa nameza kama teacher alivyodesa ubaoni yaani hadi nukta. pengine na serikali yetu inameza kama ilivyo. Ikifika form three na kuendelea itaelewa tu. heheheheee.
“True leadership must be for the benefit of the followers, not the enrichment of the leaders"
Ya nini malumbano yanini maneno najiweka(ZANZIBAR) pembeni kuepusha msongamano ,bora nitulie nipate changu.(20%)
Light travels faster than sound. This is why some people appear bright until you hear them speak.
mixture mfano mzur ni hewa e.g oksjen co2 co n.k yaan muungano ni hewa zaid ya kum duu! tofautisha kat ya siasa na hewa
Compound ni kitu kilicho changanyika kikawa kitu kimoja mfano maji 4H+02 = 2H20 lkn mixture ni mchanganyiko wa karanga na mahindi ni rahisi kutenganisha, kwahiyo muungano kiini macho.
Nilishawahi kusema hapa jamvini kuwa, hakuna Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar. Hapa kuna ukoloni mamboleo tu. Tanganyika inaikalia zanzibar kimabavu chini ya gamba Tanzania.
1. HARNESS THE POWER OF CHANGE, 2. FACE REALITY!, 3. MANAGING LESS IS MANAGING BETTER
4. CREATE A VISION AND THEN GET OUT OF THE WAY
Werema, silly AG @ work.
Follow Us Here