Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

    Report Post
    Page 5 of 11 FirstFirst ... 34567 ... LastLast
    Results 81 to 100 of 213
    1. #1
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,707
      Rep Power : 10935
      Likes Received
      3962
      Likes Given
      426

      Default Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Kiongozi wa upinzani nchini na Katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa amelaani vikali kushambuliwa na kuteswa kiongozi wa madaktari nchini Dr Ulimboka Stephen.

      Kiongozi huyo amesema hakuna njia zaidi ya kuunda tume huru kuchunguza tukio zima la utekaji kwani Mtuhumiwa namba moja ni serikali na kamwe haiwezi kujichunguza yenyewe. Dr. Slaa amesema vinginevyo matokeo ya tume hiyo ya serikali ambayo si huru hayatatambuliwa wala kukubaliwa na wananchi.

      Dr Slaa amesema anashangaa kusikia serikali haina fedha za kuwaongezea madaktari huku katika bajeti ya mwaka huu ikitenga shilingi bilioni 15 kwa ajili ya chai tu.

      Source: Mwanahalisi

    2. #81
      Mamndenyi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 13,514
      Rep Power : 35831
      Likes Received
      6913
      Likes Given
      21146

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Mwenyewe.

      Quote By Free World View Post
      Stupidity is repeating same thing over and again, but expecting different results! We have already heard this 'hot air'!
      SIYO WOTE WANAOTANGATANGA WAMEPOTEA

    3. #82
      Black Bat's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Abbottabad
      Posts : 2,575
      Rep Power : 9604
      Likes Received
      698
      Likes Given
      575

      Default

      Quote By Free World View Post
      Stupidity is repeating same thing over and again, but expecting different results! We have already heard this 'hot air'!
      :DR.Peter Msigwa

    4. #83
      Imaima's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 20th April 2012
      Posts : 35
      Rep Power : 368
      Likes Received
      3
      Likes Given
      27

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Tunakusubiri kwa hamu 2015 uokoe hili jahazi linalozamishwa kwa makusudi!

    5. #84
      afwe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th October 2010
      Posts : 823
      Rep Power : 602
      Likes Received
      112
      Likes Given
      131

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Tumemsikia Mtanzania mwenzetu. Sio siri, swala la kutekwa na kutaka kumuua Ulimboka linatishia amani ya nchi. Si dalili nzuri kwa siasa za nchi yetu

    6. #85
      Kiherehere's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st November 2010
      Posts : 1,076
      Rep Power : 653
      Likes Received
      72
      Likes Given
      132

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Quote By majebere View Post
      halafu bado mnakataa kuwa Chadema wako nyuma ya huu mgomo.
      CCM ndo iko nyuma ya huu mgomo...kwa kushindwa na kuacha kutatua mambo ya msingi....15Bln kwa chai mazee bado unasema CDM wako nyuma ya huu mgomo???
      CONFIDENCE IS WHAT AM LOOKING FOR.... NOT HAPPINESS

    7. #86
      Davie's Avatar
      Member Array
      Join Date : 26th February 2009
      Posts : 82
      Rep Power : 541
      Likes Received
      16
      Likes Given
      208

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Quote By majebere View Post
      halafu bado mnakataa kuwa Chadema wako nyuma ya huu mgomo.
      Mkuu...tafadhali nawewe siku moja jaribu tu kutafakari..ivi unapotenga bilioni 15 kwa chai tu..inaingia akilini..
      Tuache kusema kwamba serikali inaonewa ama inasemwa sana vibaya na wananchi..

    8. #87
      majebere's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 2,329
      Rep Power : 0
      Likes Received
      336
      Likes Given
      119

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Quote By Davie View Post
      Mkuu...tafadhali nawewe siku moja jaribu tu kutafakari..ivi unapotenga bilioni 15 kwa chai tu..inaingia akilini..
      Tuache kusema kwamba serikali inaonewa ama inasemwa sana vibaya na wananchi..
      Kweli ndio maana kina Slaa wanapata vichwa, nyie hata mliuliza maswali au ndio kusikia neno CHAI basi mkatafsiri ni chai? Aisee mi nashanga hata vipi umeweza kufungua JF.

    9. #88
      majebere's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 2,329
      Rep Power : 0
      Likes Received
      336
      Likes Given
      119

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Quote By Ben Saanane View Post
      Tunapenda kufanya mambo kwa kuiga.Serikali ilivyo ya ajabu itataka kuwatimua kama walivyofanya NIGERIA na KENYA.Tunaiga mambo ya kipuuzi tu hatuwezi kuiga mambo mazuri.Matumizi mabaya ya fedha za umma yanalenga sasa kudhoofisha hata harakati za mageuzi baada ya uchaguzi mkuu 2015.Hadi tufike 2015 nchi hii itakuwa haina tofauti na nchi iliyotoka vitani inayohitaji reconstruction.Ni lazima tudhibiti upuuzi huu wa serikali.

      Leo tuna serikali ambayo katika kusoma vitabu vyote kuhusu governance sijaona model inayofuatwa na serikali hii ya ajabu.Kila siku kuna policies,kila siku kuna kugeuza priorities upside-down.

      There is inconsistency in policies and due process is not given pre-eminence in everything we do in this country. Today, it is one policy. Next year it is another policy. For democracy to yield what you call dividends, there must be transparency, and there must be accountability by everybody. None of these is in place in this country.

      Pia naona hili tukio limewaongezea ujasiri wa kufanya unyama siku nyingine.Tumekaa kimya mnio na kumsikitikia bila kufanya jambo ambalo litafanya haki iheshimiwe siku moja
      Haya ni mawazo yako au ya chama? Halafu huwezagi kuandika maneno machache, we kila ukitokeza lazima uandike gazeti.
      Ben Saanane likes this.

    10. #89
      Kigogo's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 14th December 2007
      Location : Calabash
      Posts : 8,484
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1302
      Likes Given
      318

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Quote By majebere View Post
      halafu bado mnakataa kuwa Chadema wako nyuma ya huu mgomo.
      we mpumbavu nini..

    11. #90
      Moony's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th April 2011
      Location : Oshakati, Namibia
      Posts : 1,111
      Rep Power : 636
      Likes Received
      261
      Likes Given
      279

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Quote By tocolyitics View Post
      Bora wananchi wafe kuliko kupunguza au kukosa chai. LIWALO NA LIWE.
      Hivi hamusikiagi?
      bora mle majani lakini hiyo chai iwepo!!!!!!!!!

    12. #91
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,707
      Rep Power : 10935
      Likes Received
      3962
      Likes Given
      426

      Default

      Quote By afwe View Post
      Tumemsikia Mtanzania mwenzetu. Sio siri, swala la kutekwa na kutaka kumuua Ulimboka linatishia amani ya nchi. Si dalili nzuri kwa siasa za nchi yetu
      Hakika ni kitisho kikuu kwa watanzania.

    13. #92
      Moony's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th April 2011
      Location : Oshakati, Namibia
      Posts : 1,111
      Rep Power : 636
      Likes Received
      261
      Likes Given
      279

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Quote By majebere View Post
      Haya ni mawazo yako au ya chama? Halafu huwezagi kuandika maneno machache, we kila ukitokeza lazima uandike gazeti.
      huko sehemu sehemu kuna wimbo usemao:

      "majebere kumilamila utabhiyenja"! hivi maana yake ni nini????

    14. #93
      Q600's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 1st July 2012
      Posts : 6
      Rep Power : 352
      Likes Received
      1
      Likes Given
      0

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Dhaifu ni dhaifu tu!! 15 bl.aibu,chuo kikuu tunakosa mikopo,zinapatikana ela za chai ya wajinga wajinga hao!! Siku zinakaribia,iyo chai wataitapika!

    15. #94
      Baro's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th March 2012
      Posts : 322
      Rep Power : 429
      Likes Received
      61
      Likes Given
      116

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      aisee kama ni hivi chai bil.15 mbona ni matumizi makubwa sana ambapo hizo pesa zingeweza kwenye mambo mengine ya maendeleo hii ndo maana inawafanya ccm na wafanyakazi serikalini wasionauchungu na hii nchi wanafurahi,what i believe"TELL TRUTH SOMEONE MAKE CRY IS BETTER THAN LIE SOMEONE MAKE HAPPY"hawa viongozi ni vyema tuwaambie ukweli ili warekebishe makosa yao

    16. #95
      Dabudee's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 30th May 2012
      Posts : 129
      Rep Power : 381
      Likes Received
      13
      Likes Given
      0

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Wana maana ya chai ya kweli au ni pamoja na bia?

    17. #96
      KAKA A TAIFA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th April 2011
      Posts : 542
      Rep Power : 521
      Likes Received
      62
      Likes Given
      3

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Fanya mazoezi ya kutosha ujue 2015 unaingia Ikulu mpya DODOMA NA SIO MAGOGONI AMBAKO MAGAMBA MENGI YALIYOVULIWA YAPO YAMETAPAKAA HOVYO

    18. #97
      KISUKALI's Avatar
      Member Array
      Join Date : 28th February 2010
      Posts : 72
      Rep Power : 487
      Likes Received
      8
      Likes Given
      50

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Quote By fmpiganaji View Post
      Kiongozi wa upinzani nchini na Katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa amelaani vikali kushambuliwa na kuteswa kiongozi wa madaktari nchini Dr Ulimboka Stephen.

      Kiongozi huyo amesema hakuna njia zaidi ya kuunda tume huru kuchunguza tukio zima la utekaji kwani Mtuhumiwa namba moja ni serikali na kamwe haiwezi kujichunguza yenyewe. Dr. Slaa amesema vinginevyo matokeo ya tume hiyo ya serikali ambayo si huru hayatatambuliwa wala kukubaliwa na wananchi.

      Dr Slaa amesema anashangaa kusikia serikali haina fedha za kuwaongezea madaktari huku katika bajeti ya mwaka huu ikitenga shilingi bilioni 15 kwa ajili ya chai tu.

      Source: Mwanahalisi
      Mtu mwenye maoni hayo anaweza kuongoza nchi kweli? Anajua nn kazi za serekali Maskini cdm!!
      Ndumbayeye likes this.

    19. #98
      BUBE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th November 2010
      Location : KIMANZICHANA
      Posts : 642
      Rep Power : 565
      Likes Received
      174
      Likes Given
      175

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Mkuu Abdulhalim, cant you see there MUST be a connection and links from one event to another? Nyerere amesema kuhusu dhambi ya ubaguzi....ni sawa na kula nyama ya mtu.....! Like wise this could start with Uli....and spread to something else, lets find its root and uproot it whenever possible otherwise tutalea saratani mbaya
      Quote By Abdulhalim View Post
      hiyo tume huru kwa lipi hasa na kwa gharama za nani? imo serikali iendelee na taratibu zake za kawaida kulishughulikia suala hili, ambaye hataridhika aende huko anakoona kunapatikana haki. we have important burning problems kuliko individuals na some isolated events.
      Abdulhalim likes this.

    20. #99
      SHEMGUNGA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th January 2012
      Posts : 334
      Rep Power : 441
      Likes Received
      21
      Likes Given
      0

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      kijana ayeshabikia ccm ni lazima akizeeka atakuwa mchawi maana haon tz anaamin janga kwa watoto wa baadae!!!

    21. #100
      mwinukai's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd May 2011
      Posts : 659
      Rep Power : 543
      Likes Received
      134
      Likes Given
      52

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Quote By majebere View Post
      halafu bado mnakataa kuwa Chadema wako nyuma ya huu mgomo.
      Ona Mabumba mwingine huyu hapa hajaafiki kipigo kwani amefiki mgomo_

    Page 5 of 11 FirstFirst ... 34567 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...