Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

    Report Post
    Page 4 of 11 FirstFirst ... 23456 ... LastLast
    Results 61 to 80 of 213
    1. #1
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,394
      Rep Power : 10868
      Likes Received
      3773
      Likes Given
      426

      Default Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Kiongozi wa upinzani nchini na Katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa amelaani vikali kushambuliwa na kuteswa kiongozi wa madaktari nchini Dr Ulimboka Stephen.

      Kiongozi huyo amesema hakuna njia zaidi ya kuunda tume huru kuchunguza tukio zima la utekaji kwani Mtuhumiwa namba moja ni serikali na kamwe haiwezi kujichunguza yenyewe. Dr. Slaa amesema vinginevyo matokeo ya tume hiyo ya serikali ambayo si huru hayatatambuliwa wala kukubaliwa na wananchi.

      Dr Slaa amesema anashangaa kusikia serikali haina fedha za kuwaongezea madaktari huku katika bajeti ya mwaka huu ikitenga shilingi bilioni 15 kwa ajili ya chai tu.


      Source: Mwanahalisi

    2. FemaTV & Radio

    3. #61
      Do santos's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th February 2011
      Posts : 367
      Rep Power : 492
      Likes Received
      76
      Likes Given
      158

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      dah babu uroda za siku nyingi,kumbe upo msalimie yule aliyejichubua

    4. #62
      Angel Msoffe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st June 2011
      Posts : 6,266
      Rep Power : 1825
      Likes Received
      1397
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By majebere
      halafu bado mnakataa kuwa Chadema wako nyuma ya huu mgomo.
      kila anayedai haki ametumwa na chadema,kwa maana nyingine CHADEMA NDO WAKOMBOZI WA WANYONGE? Sema mwenyewe

    5. #63
      King2's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th November 2011
      Posts : 1,280
      Rep Power : 635
      Likes Received
      159
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Jakubumba
      Karibu rais wangu nilikuwa nasubilia kauli yako
      JF people never Fail to amazes Me.

    6. #64
      mtendaji wa kijiji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd July 2012
      Posts : 382
      Rep Power : 422
      Likes Received
      68
      Likes Given
      18

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Sante kwa Tamko Bosi wangu ninayekutambua

    7. #65
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14620
      Likes Received
      2841
      Likes Given
      1961

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Quote By Jakubumba
      Karibu rais wangu nilikuwa nasubilia kauli yako
      Tafadhali tufafanunulie ndio nini hicho? Ni Kiswahili au? tunasubiri majibu.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    8. Miaka 50

    9. #66
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,394
      Rep Power : 10868
      Likes Received
      3773
      Likes Given
      426

      Default

      Quote By mfumo
      sawa padri slaa, lakini hiyo dini yako inaruhusu kumuwacha binaadamu mwenzio afe kwa sababu tu yakutaka pesa??. huoni hii kuwa ni sawa na matendo ya kijambazi? hata wakipata hicho wanachokitaka lakini je wataweza kurudisha roho za watu zilizotoka!!! naamini wewe ni mfuasi wa yesu, je yesu anaweza kuwa na msimamo kama wako kwa jambo hili?
      Hakika haya mawazo yako hayana tofauti na taahira

    10. #67
      Fekifeki's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 18th November 2011
      Posts : 547
      Rep Power : 488
      Likes Received
      79
      Likes Given
      364

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      yetu macho!

    11. #68
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,154
      Rep Power : 12555
      Likes Received
      5732
      Likes Given
      742

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Hivi Slaa, ni mwanaharakati au mwanasiasa? Sasa wewe kazi yako kulalamika tu na kukosoa sema basi Chadema wakichukuwa nchi Madaktari watalipwa milioni 10 kwa mwezi na nyumba pamoja na gari ya kutembelea, Walimu kima cha chini watalipwa Sh800,000 kwa mwezi.

      Kumbe Chadema walikuwa nyuma ya huu mgomo Slaa, sema mtawafanyia nini Madaktari mkichukuwa nchi.
      Ndumbayeye and chama like this.

    12. #69
      Timtim's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th February 2008
      Posts : 399
      Rep Power : 655
      Likes Received
      44
      Likes Given
      22

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Hata kama kuna 15 Bil za chai sio mtu mzima kupayuka ovyo. Pesa inayotakiwa na maDr ni za kudumu sio kama bonus ya mwaka. Kwayo iwapo hatujui mahesabu sio kudanganyana kutaka kukuza jina.
      Ndumbayeye likes this.

    13. #70
      king kan's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th May 2011
      Posts : 396
      Rep Power : 486
      Likes Received
      105
      Likes Given
      1

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      The foes of our own household are surely prevailing against us, there should be in our people an inner life which finds its outer expression in a morality like unto that preached by the seers and the prophets of God. CCM have made themselves creators of our own life and have gone far from their role of being vendeators
      There are those who believe that a new modernity demands a new morality. What you fail to consider is the harsh reality that there is no such a thing as a new morality. All else is immorality.

    14. #71
      majebere's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 2,193
      Rep Power : 0
      Likes Received
      322
      Likes Given
      111

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Huyu mzee na yeye kachemka siku hizi, asipo angalia atapotea kwenye anga za siasa. Tena CDM wakimsimamisha 2015 itakuwa safi sana.

    15. #72
      Makyomwango's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 232
      Rep Power : 456
      Likes Received
      42
      Likes Given
      14

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Quote By Abdulhalim
      hiyo tume huru kwa lipi hasa na kwa gharama za nani? imo serikali iendelee na taratibu zake za kawaida kulishughulikia suala hili, ambaye hataridhika aende huko anakoona kunapatikana haki. we have important burning problems kuliko individuals na some isolated events.
      Nadhani uwezo wako wa kufikiri umefikia mwisho, na una ubinafsi uliokithiri. Kwa taarifa yako mambo aliyofanyiw Dr. Uli yanaweza kukukuta wewe, kama hayajamkuta ndugu au mpenzi wako. Ni vyema uchunguzi huru ufanyike na wahusika halisi wachukuliwe hatua kwa lengo la kuhakikisha kuwa unyama huu haujirudii tena kwa watu wengine.

    16. #73
      Dingswayo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th May 2009
      Location : Tanzania/Europe
      Posts : 2,614
      Rep Power : 5714
      Likes Received
      1039
      Likes Given
      2442

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Big up Dr. Slaa. Maneno machache lakini direct to the point!
      Semper fi!

    17. #74
      Ronal Reagan's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Posts : 2,627
      Rep Power : 958
      Likes Received
      615
      Likes Given
      256

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Welcome back our leader. It's never late to put the weak government to task.....so you're expectedly spot on.

    18. #75
      Museven's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd August 2011
      Posts : 388
      Rep Power : 468
      Likes Received
      54
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By nivea
      Hebu tutamke vizuri biliooooooooooooooooooni 15?du wakati raia mlo mmja shida duama kweli aliyejuu msubirie chini
      Utasubiri milele. Bora kumtungua kwa manati!
      Nivea likes this.

    19. #76
      richone's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 3rd April 2012
      Posts : 137
      Rep Power : 449
      Likes Received
      32
      Likes Given
      9

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Dr. umenena ila ninawaomba watanzania tuingie barabarani ikibiidi huyu raisi dhaifu na serikali yake tuwapige chini.

    20. #77
      Abdulhalim's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th July 2007
      Location : Taipei 101
      Posts : 15,740
      Rep Power : 3770
      Likes Received
      1200
      Likes Given
      559

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Quote By Makyomwango
      Nadhani uwezo wako wa kufikiri umefikia mwisho, na una ubinafsi uliokithiri. Kwa taarifa yako mambo aliyofanyiw Dr. Uli yanaweza kukukuta wewe, kama hayajamkuta ndugu au mpenzi wako. Ni vyema uchunguzi huru ufanyike na wahusika halisi wachukuliwe hatua kwa lengo la kuhakikisha kuwa unyama huu haujirudii tena kwa watu wengine.
      mabreka haya, naona hata uvivu kuyajibu.. typical mdanganyika na fikra zake fupifupi zisizo uhalisia.
      Moola's the motive

    21. #78
      Ben Saanane's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th January 2007
      Posts : 6,702
      Rep Power : 32781
      Likes Received
      4971
      Likes Given
      6451

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Tunapenda kufanya mambo kwa kuiga.Serikali ilivyo ya ajabu itataka kuwatimua kama walivyofanya NIGERIA na KENYA.Tunaiga mambo ya kipuuzi tu hatuwezi kuiga mambo mazuri.Matumizi mabaya ya fedha za umma yanalenga sasa kudhoofisha hata harakati za mageuzi baada ya uchaguzi mkuu 2015.Hadi tufike 2015 nchi hii itakuwa haina tofauti na nchi iliyotoka vitani inayohitaji reconstruction.Ni lazima tudhibiti upuuzi huu wa serikali.

      Leo tuna serikali ambayo katika kusoma vitabu vyote kuhusu governance sijaona model inayofuatwa na serikali hii ya ajabu.Kila siku kuna policies,kila siku kuna kugeuza priorities upside-down.

      There is inconsistency in policies and due process is not given pre-eminence in everything we do in this country. Today, it is one policy. Next year it is another policy. For democracy to yield what you call dividends, there must be transparency, and there must be accountability by everybody. None of these is in place in this country.

      Pia naona hili tukio limewaongezea ujasiri wa kufanya unyama siku nyingine.Tumekaa kimya mnio na kumsikitikia bila kufanya jambo ambalo litafanya haki iheshimiwe siku moja
      Unstoppable and MTAZAMO like this.
      Wametuonyesha Jeuri ya ukaburu,tuwaonyeshe jeuri ya Umkhontho we sizwe kupitia Red Brigade.Tukiwaonyesha woga wetu, itakua silaha imara zaidi kwao kutumaliza-Ben Saanane

    22. #79
      piper's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th January 2012
      Posts : 1,587
      Rep Power : 763
      Likes Received
      241
      Likes Given
      39

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Jamani hizo chai si wawe wanajinunulia? Bilioni 15 ni pesa ndefu sana kwa ajili ya jambo hili

    23. #80
      piper's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th January 2012
      Posts : 1,587
      Rep Power : 763
      Likes Received
      241
      Likes Given
      39

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Quote By majebere
      halafu bado mnakataa kuwa Chadema wako nyuma ya huu mgomo.
      Upofu na uwezo mdogo wa kufikiri, mtu anapotaka maslahi bora kwa ajili ya watumishi wa umma siyo kwamba anahusika na mgomo

    24. Study Abroad
    Page 4 of 11 FirstFirst ... 23456 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...