Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

    Report Post
    Page 2 of 11 FirstFirst 1234 ... LastLast
    Results 21 to 40 of 213
    1. #1
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,411
      Rep Power : 10872
      Likes Received
      3788
      Likes Given
      426

      Default Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Kiongozi wa upinzani nchini na Katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa amelaani vikali kushambuliwa na kuteswa kiongozi wa madaktari nchini Dr Ulimboka Stephen.

      Kiongozi huyo amesema hakuna njia zaidi ya kuunda tume huru kuchunguza tukio zima la utekaji kwani Mtuhumiwa namba moja ni serikali na kamwe haiwezi kujichunguza yenyewe. Dr. Slaa amesema vinginevyo matokeo ya tume hiyo ya serikali ambayo si huru hayatatambuliwa wala kukubaliwa na wananchi.

      Dr Slaa amesema anashangaa kusikia serikali haina fedha za kuwaongezea madaktari huku katika bajeti ya mwaka huu ikitenga shilingi bilioni 15 kwa ajili ya chai tu.

      Source: Mwanahalisi

    2. FemaTV & Radio

    3. #21
      Zanta's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th April 2011
      Posts : 1,294
      Rep Power : 746
      Likes Received
      430
      Likes Given
      362

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Quote By POMPO
      Chai ya Ikulu Billion15?
      Quote By Amiliki
      "Chai ya Ikulu bil. 15! Mwacheni RiziOne ajenge Ma-Mansion na kununua Hotel nyingine Tanga.
      Mbona sijaona alipoandika Bil. 15 za chai ya Ikulu?
      Better to have a Good Dictatorship than Bad Democracy !!!!

    4. #22
      Communist's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st June 2012
      Location : Ubungo
      Posts : 2,720
      Rep Power : 2265
      Likes Received
      600
      Likes Given
      783

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Quote By Ndumbayeye
      serikali si ya kuchunguzwachunguzwa - by s. malechela ex pm
      Serikali isiyochunguzwa ni dhaifu. Kwa nini Nixon alijiudhulu? Serikali ni nini? labda hujui maana yake. Serikali inachunguzwa tena kuliko kitu chochote katika nchi. Ufalme ndio haichunguzwi, mfano Libya, Ule ufalme wa rafiki yenu ulikuwa hauchunguzwi.

      Hatudanganyiki.
      Simple life is healthier than egoism.

    5. #23
      tanga kwetu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th May 2010
      Posts : 934
      Rep Power : 644
      Likes Received
      116
      Likes Given
      30

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Quote By majebere
      halafu bado mnakataa kuwa Chadema wako nyuma ya huu mgomo.
      Majebere-kaa kimya ufiche upumbavu wako!!

      Kwa hiyo (1) kila aliyelaani na kupinga vikali kutekwa na kupigwa kwa Dk. Ulimboka maana yake yupo nyuma ya mgomo wa madaktari? (2) kila anayependekeza serikali isichunguze hii issue maana ni mmoja wa watuhumiwa maana yake mtu/taasisi hiyo ipo nyuma ya mgomo wa madaktari?

      Hadi sasa wasomi wengi, taasisi nyingi tu, wabunge wengi (wakiwemo wa CCM), baadhi ya mawaziri (akiwemo PM) wamelaani kutekwa na kuoigwa kwa Dk. Ulimboka, je unasemaje?

    6. #24
      Duduwasha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2010
      Posts : 2,620
      Rep Power : 6248
      Likes Received
      523
      Likes Given
      418

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      15BILLION hili nalo Neno....
      Mkuki Moyoni...

    7. #25
      majebere's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 2,204
      Rep Power : 0
      Likes Received
      322
      Likes Given
      111

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Quote By tanga kwetu
      Majebere-kaa kimya ufiche upumbavu wako!!

      Kwa hiyo (1) kila aliyelaani na kupinga vikali kutekwa na kupigwa kwa Dk. Ulimboka maana yake yupo nyuma ya mgomo wa madaktari? (2) kila anayependekeza serikali isichunguze hii issue maana ni mmoja wa watuhumiwa maana yake mtu/taasisi hiyo ipo nyuma ya mgomo wa madaktari?

      Hadi sasa wasomi wengi, taasisi nyingi tu, wabunge wengi (wakiwemo wa CCM), baadhi ya mawaziri (akiwemo PM) wamelaani kutekwa na kuoigwa kwa Dk. Ulimboka, je unasemaje?
      Kila mtanzania amelaani hili jambo lakini Nyie woga wenu ni kuwa polisi wakichunguza itakutwa ni CDM wako nyuma ya hili tukio.

    8. Miaka 50

    9. #26
      Abdulhalim's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th July 2007
      Location : Taipei 101
      Posts : 15,740
      Rep Power : 3770
      Likes Received
      1200
      Likes Given
      559

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      hiyo tume huru kwa lipi hasa na kwa gharama za nani? imo serikali iendelee na taratibu zake za kawaida kulishughulikia suala hili, ambaye hataridhika aende huko anakoona kunapatikana haki. we have important burning problems kuliko individuals na some isolated events.
      Ndumbayeye and majebere like this.
      Moola's the motive

    10. #27
      Aswel's Avatar
      Member Array
      Join Date : 1st May 2012
      Posts : 93
      Rep Power : 373
      Likes Received
      24
      Likes Given
      9

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Hilo ni moja ya madhaifu ya JK, chai tu ni bajeti ya wizara 15Bil, Mungu atunusuru na hii serikali yetu ya sasa.

    11. #28
      mopaozi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th November 2010
      Posts : 2,446
      Rep Power : 757
      Likes Received
      258
      Likes Given
      49

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Kama hamna cha kuongea c make kimya ushuuzi tu

    12. #29
      majebere's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 2,204
      Rep Power : 0
      Likes Received
      322
      Likes Given
      111

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Quote By controler
      Kwani wewe Hujawahi? Mbona Dalili zote za mwanzo zinaonyesha tiyari?
      Unajua hapa JF utamjua tu mwana CDM, lazima urushe tusi

    13. #30
      controler's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd July 2012
      Posts : 365
      Rep Power : 419
      Likes Received
      80
      Likes Given
      73

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Quote By majebere
      Unajua hapa JK utamjua tumwana CDM, lazima urushe tusi
      Wewe ulirusha nn tena? Hivi wewe Uko JK! Mi simo humo! wee kaa huko huko JK

    14. #31
      Uwezo Tunao's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th November 2010
      Posts : 6,871
      Rep Power : 2289
      Likes Received
      1135
      Likes Given
      1478

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      CCM are you serious, 15 billion kwa AJILI YA CHAI MAOFISINI kwa hizi hizi kodi zetu za kuungaunga kweli????????????????????

    15. #32
      Ulukolokwitanga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th September 2010
      Location : ndzengelendete
      Posts : 2,586
      Rep Power : 1069
      Likes Received
      1428
      Likes Given
      259

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Quote By Amiliki
      "Chai ya Ikulu bil. 15! Mwacheni RiziOne ajenge Ma-Mansion na kununua Hotel nyingine Tanga.
      Yatarudi tu kwa watanzania wenye nayo 2015 tukirudishiwa nchi yetu toka kwa hawa wezi. I promise you!

    16. #33
      RUCCI's Avatar
      Member Array
      Join Date : 6th October 2011
      Posts : 33
      Rep Power : 391
      Likes Received
      9
      Likes Given
      3

      Default

      Quote By ruttashobolwa
      Jk kwa chai na safari utamtaka!
      Wapi sio chai anakung'uta viroba vya kutosha hana mda na chai.

    17. #34
      majebere's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 2,204
      Rep Power : 0
      Likes Received
      322
      Likes Given
      111

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Quote By Ulukolokwitanga
      Yatarudi tu kwa watanzania wenye nayo 2015 tukirudishiwa nchi yetu toka kwa hawa wezi. I promise you!
      Urudishiwe nchi na nani? JF kweli kuna vituko.

    18. #35
      mtotowamjini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd April 2012
      Location : None of Your Business
      Posts : 4,531
      Rep Power : 1263
      Likes Received
      1109
      Likes Given
      28

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      hii kitu i dont trust any chama or anyone...its like almost everyone is involved
      Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde

      One man's good fortune is another man's misfortune

    19. #36
      Sangarara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th September 2011
      Posts : 3,306
      Rep Power : 1198
      Likes Received
      1182
      Likes Given
      1557

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Jamani, hivi ni kitu gani kinasababisha serikali kuwa mtuhumiwa number moja? nani anaweza akajustify hii kitu pls?

    20. #37
      Mwanajamii's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th March 2008
      Posts : 7,085
      Rep Power : 1809
      Likes Received
      24
      Likes Given
      13

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Quote By fmpiganaji
      Kiongozi wa upinzani nchini na Katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa amelaani vikali kushambuliwa na kuteswa kiongozi wa madaktari nchini Dr Ulimboka Stephen.

      Kiongozi huyo amesema hakuna njia zaidi ya kuunda tume huru kuchunguza tukio zima la utekaji kwani Mtuhumiwa namba moja ni serikali na kamwe haiwezi kujichunguza yenyewe. Dr. Slaa amesema vinginevyo matokeo ya tume hiyo ya serikali ambayo si huru hayatatambuliwa wala kukubaliwa na wananchi.

      Dr Slaa amesema anashangaa kusikia serikali haina fedha za kuwaongezea madaktari huku katika bajeti ya mwaka huu ikitenga shilingi bilioni 15 kwa ajili ya chai tu.

      Source: Mwanahalisi
      Tume huru itaundwa na nani kama Serikali ni mtuhumiwa namba moja? Matokeo hayatatambuliwa na yeye Dr. Slaa au wananchi? kwa nini anawasemea wananchi? yeye anatawala fikra za watanzania wote?

    21. #38
      Ulukolokwitanga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th September 2010
      Location : ndzengelendete
      Posts : 2,586
      Rep Power : 1069
      Likes Received
      1428
      Likes Given
      259

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Quote By fmpiganaji
      Kiongozi wa upinzani nchini na Katibu mkuu wa CHADEMA Dr. Wilbrod Slaa amelaani vikali kushambuliwa na kuteswa kiongozi wa madaktari nchini Dr Ulimboka Stephen.

      Kiongozi huyo amesema hakuna njia zaidi ya kuunda tume huru kuchunguza tukio zima la utekaji kwani Mtuhumiwa namba moja ni serikali na kamwe haiwezi kujichunguza yenyewe. Dr. Slaa amesema vinginevyo matokeo ya tume hiyo ya serikali ambayo si huru hayatatambuliwa wala kukubaliwa na wananchi.

      Dr Slaa amesema anashangaa kusikia serikali haina fedha za kuwaongezea madaktari huku katika bajeti ya mwaka huu ikitenga shilingi bilioni 15 kwa ajili ya chai tu.

      Source: Mwanahalisi
      Maneno machacheeeeeee, busara kibao na direct to the point...

      Sio JK anaongea saa nzima anazungumzia ndugu zake wasomali wanaofia kwenye malori huku anashindwa kueleza utekelezaji wa ahadi yake hata moja.

    22. #39
      GeniusBrain's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2010
      Location : CHADEMA Makao Makuu
      Posts : 3,809
      Rep Power : 1143
      Likes Received
      187
      Likes Given
      0

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Quote By Jakubumba
      Karibu rais wangu nilikuwa nasubilia kauli yako

      Huyu mzee siku haaminiki na hakubaliki, mie nilitegemea aseme hizo Tshs 15 bn ziko wapi na ziko kwenye bajeti zipi? haya mambo yakutoa figures tu bila analysis tumekuchoka nayo kwani yaonyesha ndio style yake yakujitafutia umaarufu muda mrefu tu.

    23. #40
      HeartBreak's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 21st April 2008
      Posts : 245
      Rep Power : 614
      Likes Received
      8
      Likes Given
      0

      Default Re: Dr Slaa afunguka: Azungumzia maslahi ya madaktari na kuteswa Dr. Ulimboka

      Chai sio chai..wanakula pesa yetu sisi walipa kodi...tunataka maendeleo jamani..

    Page 2 of 11 FirstFirst 1234 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...