Re: CV ya Mbunge wa Chadema Maswa Mashariki Hon, Sylvester Mhoja
Unajua lazima tujaribu kuondoa haya mawazo mgando! Kwa taharifa ya mtoa uzi huu mimi nina degree mbili ya kwanza nilitunikiwa na babu yangu baada ya kuweza kuchunga mbuzi na ngombe vizuri kwa miaka mitatu. Kwetu hii degree yangu ni first class with distinctions! Then baada ya hapo nilijiunga na hii elimu yetu na katunikiwa kadegree kamoja with honors! So huu ni utaratibu tu haijalishi una certificate au Poor Hair Distribution (PHD) kinachotakiwa ni kazi tu. kwani huyu Julius alikuwa na phd mbona amewazidi hao wote wenye level ya uprofesa?
We should use common sense although common sense is not always common to everyone!!!
Follow Us Here