Njama za Polisi: Daktari MOI anatakiwa kutolewa kafara na serikali
Ni kuhusu mtu wa usalama aliyepigwa na madokta siku alipoletwa Dr Ulimboka MOI baada ya kutekwa na kupigwa sana.
Zimefichuka baada ya Mlinzi (Chui Security wanaolinda MOI) kuitwa na kwenye kituo cha polisi Salenda BRidge na Askari anayeitwa Suzzie.
Alipofika aliwekwa kwenye chumba ambapo baada ya kusubiri kwa muda walikuja watu watatu wasio na gwanda na kujitambulisha kuwa wanausalama.
Walimuambia kuwa awape jina la daktari yeyote wa MOI ambaye hapatani nae halafu waandae document inayoonyesha kuwa huyo alimuona huyo dokta akiokota redio call/bastola na ataisaini hiyo document kama shahidi.
Aliahidiwa kuwa akifanya ivo atapata kazi usalama wa taifa, sambamba na donge nono la pesa.
Askari huyo (jina kapuni) alikataa kufanya ivo kwa sababu siku ya tukio hakuwa kazini.
Alifukuzwa kama mbwa baada ya kukataliwa njama yao.
My Take:
Serikali bado ina nia mbaya na huenda tukio lingine likatokea kwa dokta mwingine.
Hivi Dr.Uli alilawitiwa kweli au ndio stori za mtaani tu. Na kama ni kweli kwanini wamlawiti wakati nia yao ilikua kumua, au hawa jamaa ni wapenda hayo mambo?
I once admired your posts but now I start to question your integrity and how you take serious issues.
Am very sorry that I will no longer take your contributions in the same weight I used to. Umejiaibisha na kujishushia hadhi Mkuu.
Re: Njama za Polisi: Daktari MOI anatakiwa kutolewa kafara na serikali
By Majala Kimolo
Source please, hii labda Chui Police station, sio ya sirkali. Jipange na uongo mwingine
By Ndumbayeye
hujatupa source ya uhakika ukitilia maanani avatar yako
By KISUKALI
Uhuru wa Kalamu unawasumbua Watu wengi sana hasa washabiki wa cdm!
Uthibitisho gani mliotegemea.
Kuna post iliwashauri mkitaka picha nendeni jukwaa la wakubwa.
...------------------------------------------------.---------------------------------------------------------------------..Rather Kill a FRIEND than Risk Missing an ENEMY
Re: Njama za Polisi: Daktari MOI anatakiwa kutolewa kafara na serikali
By BornTown
Sio hayo tu bado wanataka kusema kuwa Dr. Ulimboka alipigwa sababu ya kufaniwa na mke wa mtu wanaandaa hayo mazingira ndani ya siku sio nyingi mtayasikia.
Source ni mtu wa ndani kabisa Ikulu
Na mara zote ikulu ndo inafanya.
Na mara zote inatoa taarifa kwa mlango mwingine
Re: Njama za Polisi: Daktari MOI anatakiwa kutolewa kafara na serikali
Kwa CCM iliyotuhumiwa kuhusika na kifo cha Baba wa Taifa......inahitaji akili za mwendawazimu kuitetea iwapo haiusiki na ugaidi waliomfanyia Dk. Ulimboka.
Re: Njama za Polisi: Daktari MOI anatakiwa kutolewa kafara na serikali
By BornTown
Sio hayo tu bado wanataka kusema kuwa Dr. Ulimboka alipigwa sababu ya kufaniwa na mke wa mtu wanaandaa hayo mazingira ndani ya siku sio nyingi mtayasikia.
Source ni mtu wa ndani kabisa Ikulu
Duh! Hii hata mimi nimeisikia kwa mtu wa karibu sana na Ikulu.
Follow Us Here