jamani wana jamvi, naomba kama kuna lolote kuhusu kikao cha leo cha madaktari atujuze tamko lao. je wamerudi kazini au wanaendelea na mgomo?
jamani wana jamvi, naomba kama kuna lolote kuhusu kikao cha leo cha madaktari atujuze tamko lao. je wamerudi kazini au wanaendelea na mgomo?
Ndo najuzwa kuwa leo kulikuwa na kikao cha madaktari! Walikaa na serikali au?
Kikao hakikufanyika nimesikia wamenyimwa kibali
Hivi kufanya vikao lazima upate kibali?? Mbona kila siku huwa nasikia vikao vya harusi, watu wa mkoa A au B, Wilaya C, Wanfunzi waliomaliza shule X mwaka Z................ Hivi vyote huwa vina vibali?? Nafikiri madaktri waubatize mkutano wao jina tofauti......!!
Bongo kwa kubaka demokrasia...!!! kuna siku ita back fire!!
"The Only Necessary for the Triumph of Evil is for Good Men to do Nothing" Edmund Burke (1729 - 97)
kuna baadhi ya sehemu madaktari wengine wamerudi kazini
Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde
One man's good fortune is another man's misfortune
Kilikuwa ni kikao cha ndani na maazimio yao yalishatoka..
Usually when people are sad they don't do anything. They just cry over their condition. But when they get angry they bring about a change. Malcolm X
sasa nimeamini kuwa tanzania bila ccm inawezekana!!!!, tuandae kaburi la kuizika mwaka 2015
asante naanda wachimbaji wenye nguvu maake hata gamba lioze
Follow Us Here