Kwa mara ya kwanza leo nimepata mda wa kukaa na kusikiliza bunge. Kwa kweli nimeshangazwa sana na uwezo wa kipekee wa wabunge wa CCM kutumia mipasho kujibu hoja za wabunge wa CDM. Hongereni Manyanya na Nchemba.