Nasikitika sana ; kwa hospitali kubwa km Muhimbili kutokuwa na Ambulance mpk kuomba ya AAR
Ambulance ninazoona kila kukicha wahisani wana mwaga UMECHAKACHUA?????? NAOMBA JIBU
Nasikitika sana ; kwa hospitali kubwa km Muhimbili kutokuwa na Ambulance mpk kuomba ya AAR
Ambulance ninazoona kila kukicha wahisani wana mwaga UMECHAKACHUA?????? NAOMBA JIBU
System nzima ya uongozi ni mbovu. Wabunge wana mishahara mikubwa na marupurupu makubwa lakini sisi akina walalahoi ni mashaka bin taabu.
Iko haja viiongozi wetu wawajibike. Waziri husika anafanya kazi gani?. Budget inaposomwa kila mwaka, makadirio ya wizara yanafanyika, wapi waziri anasemea kuhusu matatizo haya?. hata kama hatuna uwezo, basi hata NGO's hatuwezi tukawaeleza watusaidie. Mfano mdogo , kwetu zanzibar tangu pawe na serikali ya umoja wa kitaifa,"Goodwill" citizens wamefanya michango nakusaidia kwao. Watanzania waliopo nje wanaweza kusaidia kupitia NGO's ziliopo tanzania. Hivi ndivo mambo yatakavo kuwa . Otherwise bila kusaidia na kutegemea serikali, mambo yatakuwa magumu sana kwa wananchi.
Follow Us Here