Huyu mwenyekiti wa bunge jioni hii vipi, kalewa au ndiyo ukereketwa?
Huyu mwenyekiti wa bunge jioni hii vipi, kalewa au ndiyo ukereketwa?
<p><strong></strong>Wanajamvi huyu Mwenyekiti wa Bunge wa Kipindi cha jioni ananichefua sanaaaaa! Natilia shaka uwezo wake wa kitaaluma na hata upeo wake. Naye ni dhaifu tu au Mzembe?? Naomba mwenye CV yake atuwekee angalau tujiridhishe. Hana tofauti na Naibu Spika huyu</p>
Like father like son
Uwezo wa kutatua matatizo ni mdogo sana kwake!!!!
The future of this country is being jeopardized by the intellectual slavery of our top leaders
Sijui Wamemuokota Wapi! Labda Ni Mfagiaji au mzibua vyoo Hapo bungeni, bi kiroboto kaamua kumpa nafasi.
Iko hivi Mh.Joseph mbilinyi ALIKUWA ANAONGELEA ISSUE YA KUTEKWA KWA DK.ULIMBOKA alitoa mfano wa tuhuma zinazomkabili rais wa Sudan kuhusu ukiukwaji wa haki za binaadamu,kwamba,hakutumia jeshi LA SUDANI bali alitumia janjaweedi ,na issue ya Ulimboka jeshi la TANZANIA HUENDA HALIHUSIKI bali ni watu wenye silaha mithili ya janjaweedi.
mwenyekiti akaaza...ETI, mbilinyi amesema janjaweedi wapo Tanzania na ndo wamemteka Dk. ULIMBOKA......Hivyo afute kauli..LISSU akaomba kutoa taarifa...akakatawaliwa.....il ikuwa kero kama vile mwenyekiti kalewa.
Sylvester Mabumba is the most stupid chairperson of the tenth house of parliament.
hafai hata kuwa katibu tarafa
"Mtoto wa Maskini Hachagui Malezi, Tanganyika siyo Masikini Masikini ni wewe Unayehonga Haki yako Kwa Mafisadi" Bamugileki
Nadhani amechanganyikiwa.Ila amechapia sana.
jamani wengine hatuna tv, kasemaje?
Namchukia kama ninavyochukia kukanyaga kinyesi
Anavuta bangi nini!!!.
Vua GAMBA Vaa GWANDA
Huyu mtu ni chukizo kwa bunge.
An abomination!
Ni janga la kitaifa
kabisa huyu jamaa ni kichefuchefu.....
Follow Us Here