Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Serikali ya Zanzibar yatetea Oil Tankers za Iran!!! Yasema iko tayari kuipa Iran Bendera za Zanzibar

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 34 of 34
    1. #1
      Ta Muganyizi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th October 2010
      Location : Kashasha
      Posts : 2,743
      Rep Power : 983
      Likes Received
      948
      Likes Given
      1456

      Default Serikali ya Zanzibar yatetea Oil Tankers za Iran!!! Yasema iko tayari kuipa Iran Bendera za Zanzibar

      Serikali ya Zanzibar imesema haina kosa kusajiri hizo meli na kupeperusha bendera za Tanzania kwa sababu Zanzibar ni sehemu ya Muungano hivyo Meli hizo kupeperusha bendera ya Tanzania ni sawa.

      Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano wa Zenj bwana Hamad Masoud Hamad anasema kama watanzania tunaona hatari hizo meli kupeperusha bendera ya Tanzania wako tayari kuwapa wa Irani hao bendera za Zanzibar.

      Serikali pia ikasema kuwa Makam wa Rais wa Iran aliitembelea zanzibar katika kuhakikisha kuwa anaimarisha uhusiano kati ya Zanzibr na Iran........na serikali ikaahidi kuwa haitajuhusisha na mgogoro kati ya Iran na nchi za Magharibi.

      Wazanzibari nao wameunga mkono huo msimamo kwa kusema kuwa sisi kujikomba kwetu kwa wamarekani na uingereza kusisababishe Seriakali kujikomba kwa Tannganyika katika kufanya urafiki na nchi zingine.

      Pia katika hali ambayo mimi binafsi sielewi bendera ya Tanzania inaitwa bendera ya 'Mrima" Hebu angalia response za Wazenji hapa wanavyosema...........

      "Rocket 01/07/2012 kwa 12:27 mu · Ingia kujibu
      Ikiwa sheria ya usajili ni ya Zanzibar, inakuwaje wanaipeperushia bendera ya Mrima. Hawa watu sijui wakoje. Sheria inahusu Zanzibar, lakini wanaipeperusha ya Mrima sasa ina maana gani kutetea waziri wazir wa Zanzibar ikiwa ameruhusu bendera ya Mrima.

      Nina hakika wataipachua madama mjomba obama kashatia mdomo wake na vyombo vya habari kama Bloomberg kutangaza kwa domo pana"

      Mwingine huyu "
      Ghalib 01/07/2012 kwa 12:38 um · Ingia kujibu

      "Hapa kweli Hamad masoud kaenda mchomo,inakuwaje meli isajiliwe na zanzibar government ikisha wapewe bendera ya mrima ? Ujinga ulioje huu? Wapeni flag yetu wapeperushe acheni siasa mbovu zanzibar ni nchi, ndani ya bendera ya Znz kuna bendera ya Tz bado haitoshi?
      Angalieni ujinga mwengine uliwahi kufanyika,rais wa zanzibar alienda Uturuki akaekewa bendera ya Tz wakati alitakiwa aekewa bendera ya Zanzibar,nafikiri ziara hio ilikuwa last year,ujinga mtupu"

      Ghalib tena kaongeza nyingine hiiii

      "Raza ameshawambia wajumbe wenziwe kuwa watanganyika washashiba tuacheni sie wenye njaa,tunataka mabara bara na mengineyo ya miundo mbinu hata katika wizara ya afya na elimu,sisi tunanjaa,ndo mana watanganyika wanatuekea vikwazo wao wameshiba kwa misaada yetu,basi na hayo mafuta wacha na sisi tuoge na tunywe,wapeni bendera yetu wapeperushe"

      Kwa hili wadau mnisaidie kwa nini bendera ya TZ inaitwa "Mrima" pia msimamo wa Zanzibar kwa hili unatupeleka wapi?

      Source: Zanzibar government defends Iranian oil tankers` registration | Mzalendo.net

      Daudi Mchambuzi likes this.
      "Wajumbe kifungu hiki kinaafikiwa........Ndiyooooooo ooooooooooooooooooooo, "Wabunge wa Tanzania!!! !hasa wa CCM

    2. Study Abroad

    3. #21
      Ta Muganyizi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th October 2010
      Location : Kashasha
      Posts : 2,743
      Rep Power : 983
      Likes Received
      948
      Likes Given
      1456

      Default Re: Serikali ya Zanzibar yatetea Oil Tankers za Iran!!! Yasema iko tayari kuipa Iran Bendera za Zanz

      kumbe vita huwa inatokea hivi hivi
      "Wajumbe kifungu hiki kinaafikiwa........Ndiyooooooo ooooooooooooooooooooo, "Wabunge wa Tanzania!!! !hasa wa CCM

    4. #22
      Topical's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd December 2010
      Posts : 5,050
      Rep Power : 1231
      Likes Received
      853
      Likes Given
      707

      Default Re: Serikali ya Zanzibar yatetea Oil Tankers za Iran!!! Yasema iko tayari kuipa Iran Bendera za Zanz

      Quote By JokaKuu
      Topical,

      ..kuna bendera ya Zanzibar ambayo inapaswa kutumika ktk masuala yasiyohusu muungano.

      ..suala la usajili wa meli si la muungano, ndiyo maana wengine tunasisitiza itumike bendera ya Zanzibar.

      ..Zanzibar kutumia bendera ya Tanzania kwenye masuala yasiyohusiana na muungano ni KUDHALILISHA utaifa wa ZANZIBAR.
      Asante.
      "Mbowe for Presidency 2015""

    5. #23
      Ta Muganyizi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th October 2010
      Location : Kashasha
      Posts : 2,743
      Rep Power : 983
      Likes Received
      948
      Likes Given
      1456

      Default Re: Serikali ya Zanzibar yatetea Oil Tankers za Iran!!! Yasema iko tayari kuipa Iran Bendera za Zanz

      Quote By JokaKuu
      Topical,

      ..kuna bendera ya Zanzibar ambayo inapaswa kutumika ktk masuala yasiyohusu muungano.

      ..suala la usajili wa meli si la muungano, ndiyo maana wengine tunasisitiza itumike bendera ya Zanzibar.

      ..Zanzibar kutumia bendera ya Tanzania kwenye masuala yasiyohusiana na muungano ni KUDHALILISHA utaifa wa ZANZIBAR.
      naunga mkono hoja 100%
      "Wajumbe kifungu hiki kinaafikiwa........Ndiyooooooo ooooooooooooooooooooo, "Wabunge wa Tanzania!!! !hasa wa CCM

    6. #24
      Democracy999's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th May 2012
      Posts : 627
      Rep Power : 477
      Likes Received
      111
      Likes Given
      29

      Default Re: Serikali ya Zanzibar yatetea Oil Tankers za Iran!!! Yasema iko tayari kuipa Iran Bendera za Zanz

      Safi Zanzibar kukiri kukaa upande wa Shetani, sababu hii inatosha kuwanyang'anya mamlaka tuliowapa ya kujitawala

    7. #25
      nngu007's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 2nd August 2010
      Posts : 11,175
      Rep Power : 3549
      Likes Received
      3044
      Likes Given
      460

      Default Re: Serikali ya Zanzibar yatetea Oil Tankers za Iran!!! Yasema iko tayari kuipa Iran Bendera za Zanz

      Quote By Ta Muganyizi
      Serikali ya Zanzibar imesema haina kosa kusajiri hizo meli na kupeperusha bendera za Tanzania kwa sababu Zanzibar ni sehemu ya Muungano hivyo Meli hizo kupeperusha bendera ya Tanzania ni sawa. Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano wa Zenj bwana Hamad Masoud Hamad anasema kama watanzania tunaona hatari hizo meli kupeperusha bendera ya Tanzania wako tayari kuwapa wa Irani hao bendera za Zanzibar....

      Hawajui kuwa IRAN haina Uwezo wa Kuchunguza Vielekezo na Vyanzo vya Mafuta au GAS; Muda Wote IRAN

      Inawataalamu toka RUSSIA, EUROPE, CHINA ambao ndio wanao wachimbulia MAFUTA yao na pia kuvumbua

      Visima Vipya.

      Nchi ya DUNIA YA TATU iliyofanikiwa kuwa na Technology hiyo ni BRAZIL pekee.

      Na Zanzibar wafikirie, Nchi zote za kiarabu hawajihusishi na IRAN sababu ya sanctions na IRAN sio WAARABU

      ni wa FARSI.

    8. Miaka 50

    9. #26
      Ta Muganyizi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th October 2010
      Location : Kashasha
      Posts : 2,743
      Rep Power : 983
      Likes Received
      948
      Likes Given
      1456

      Default Re: Serikali ya Zanzibar yatetea Oil Tankers za Iran!!! Yasema iko tayari kuipa Iran Bendera za Zanz

      Tanganyika = Mrima
      "Wajumbe kifungu hiki kinaafikiwa........Ndiyooooooo ooooooooooooooooooooo, "Wabunge wa Tanzania!!! !hasa wa CCM

    10. lum
      #27
      lum's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 12th April 2012
      Posts : 101
      Rep Power : 378
      Likes Received
      22
      Likes Given
      11

      Default Re: Serikali ya Zanzibar yatetea Oil Tankers za Iran!!! Yasema iko tayari kuipa Iran Bendera za Zanz

      Quote By JokaKuu
      Topical,

      ..kuna bendera ya Zanzibar ambayo inapaswa kutumika ktk masuala yasiyohusu muungano.

      ..suala la usajili wa meli si la muungano, ndiyo maana wengine tunasisitiza itumike bendera ya Zanzibar.

      ..Zanzibar kutumia bendera ya Tanzania kwenye masuala yasiyohusiana na muungano ni KUDHALILISHA utaifa wa ZANZIBAR.
      NA HIYO bendera ya muungano katika wizara za afya,elimu,miundombinu,ujenzi watanganyika mnatumia bendera gani au ndo ile ya mkuki kwa nguruwe kwa binaadamu mchungu au ni wizara za muungano hizi?

      Sisi tulifanya makosa kujiunga na watu wanaojua gari inakwenda wapi kwa rangi.kenya wanatangaza kuendelea kununua mafuta ya iran, tanganyika wanatetemeka kwa barua ya mbunge wa marekani iliyojaa dharau kwa rais kikwete nyie watu vip nyinyi kama kuogopa tuogope ss kwani nchi yetu haina jeshi imara la ulinzi na ni ndogo sana.

      Tatizo la kupewa uhuru kama zawadi hawajui thamani yake wao ni kinachosemwa tu na wakubwa 2. KWA RAIYA HAO CHADEMA SAHAUNI KUCHUJUWA NCHI RABDA KWA HISANI YA CCM.

      Tatizo lenu watanganyika wengi hamjielewi
      JokaKuu likes this.

    11. #28
      Ibambasi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th July 2007
      Location : Iponyamakalai - Isungang'holo
      Posts : 724
      Rep Power : 753
      Likes Received
      118
      Likes Given
      762

      Default Re: Serikali ya Zanzibar yatetea Oil Tankers za Iran!!! Yasema iko tayari kuipa Iran Bendera za Zanz

      Quote By zomba
      Kuna bendera ya Mrima?

      Amma kweli mkiishiwa na hoja mnaanza viroja, eti mwenyewe ndiyo unaona umekweeepa kutumia jina Tanzania. Kwi kwi kwi teh teh teh!
      Mpwa,

      Inakuwaje tena leo hii unawacheka wajomba zako?

    12. #29
      Bobuk's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2010
      Posts : 2,056
      Rep Power : 920
      Likes Received
      829
      Likes Given
      0

      Default Re: Serikali ya Zanzibar yatetea Oil Tankers za Iran!!! Yasema iko tayari kuipa Iran Bendera za Zanz

      Jamani twende taratibu IRAN imewekewe vikwazo na UMOJA WA MATAIFA (UN) ambao Tanzania ina kiti. Hata wale walikouwa wanaikingia kifua Iran, China na Russia wamebariki hivyo vikwazo including Tanzania (Tanganyika and Zanzibar). Iran ku-corrupt SMZ na SMZ kusajili meli za Iran na kuzi re-name na kuzi re-flagging ni violation na azimio la umoja wa mataifa lililoiwekea Iran vikwazo.

      Hapa JK asifikiri ni mambo ya Dr. Ulimboka (NI UPEPO UTAPITA). Marekani wako serious na national interest zao, JK awe makini, we can be bombed to STONE AGE. Aanayesema tunaweza kujilinda dhidi ya USA ni mwehu. Au hata tunaweza kuwekewa sanction kama Iran. Jiulize miaka mitatu iliyopita IRAN wamechangia % ngapi ktk budget yetu zaidi ya kutuletea tende na halua!

      Iran imekuwa karibu sana na Tanzania baada ya kusikia Tanzania ina uranium, wanataka wa-Iran waipate kwaajili ya uranium enrichment ili watengeneze a nuclear bomb. MOSAD tayari wapo ZNZ kwa mgongo wa kusaidia kilimo cha umwagiliaji maji. There is no secrte watakachofanya SMZ MOSAD (read CIA) wasijue.

      Kikwete kama utaendelea kuwa dhaifa kwa kutosimama imara na kuwakatalia hawa wazanzibari utatuingiza kwenye mgogoro mkubwa, mark my words.

      Mwisho naomba Mbowe umuulize kesho Pinda kwenye maswali ya papo kwa papo, SMZ wamepata wapi jeuri ya kupeperusha bendera ya JMT kwenye meli za Iran bila kuushirikisha upande wa pili wa Muungano/JMT? Wao wanasema ni nchi na wana bendera yao, kwanini wasipeperusha bendera ya SMZ?
      Ta Muganyizi likes this.

    13. #30
      JokaKuu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st July 2006
      Posts : 6,818
      Rep Power : 2965
      Likes Received
      2417
      Likes Given
      3484

      Default Re: Serikali ya Zanzibar yatetea Oil Tankers za Iran!!! Yasema iko tayari kuipa Iran Bendera za Zanz

      Quote By lum
      NA HIYO bendera ya muungano katika wizara za afya,elimu,miundombinu,ujenzi watanganyika mnatumia bendera gani au ndo ile ya mkuki kwa nguruwe kwa binaadamu mchungu au ni wizara za muungano hizi?

      Sisi tulifanya makosa kujiunga na watu wanaojua gari inakwenda wapi kwa rangi.kenya wanatangaza kuendelea kununua mafuta ya iran, tanganyika wanatetemeka kwa barua ya mbunge wa marekani iliyojaa dharau kwa rais kikwete nyie watu vip nyinyi kama kuogopa tuogope ss kwani nchi yetu haina jeshi imara la ulinzi na ni ndogo sana.

      Tatizo la kupewa uhuru kama zawadi hawajui thamani yake wao ni kinachosemwa tu na wakubwa 2. KWA RAIYA HAO CHADEMA SAHAUNI KUCHUJUWA NCHI RABDA KWA HISANI YA CCM.

      Tatizo lenu watanganyika wengi hamjielewi
      lum,

      ..Tanganyika tuli-give up utaifa wetu na zaidi tukakasimu madaraka ya serikali yetu kwa serikali ya muungano. Sababu hizo ndizo zilizopelekea leo hii tusiwe na bendera ya Tanganyika, au wimbo wa taifa wa Tanganyika, na zaidi unaona tunapeperusha bendera ya muungano hata ktk masuala ya Tanganyika. Kuelewa zaidi nakushauri urejee azimio la bunge la Tanganyika 1964 wakati wanajadili muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

      ..Kama ZANZIBAR mnataka kupeperusha bendera ya muungano hata ktk mambo yasiyohusu muungano basi mnapaswa kukubali "KUMEZWA" kama ilivyotokea kwa Tanganyika.

      ..Iran in mahusiano mabaya na wafadhili wakubwa wa bajeti ya Tanzania/Tanganyika/Zanzibar. Sasa tunapokuwa na mahusiano na taifa kama Iran, tunapaswa kuhakikisha kwamba mahusiano hayo hayataathiri mahusiano yetu na nchi zinazotufadhili kwa kiasi kikubwa.

      ..Kutokana na ukweli huo ndiyo maana wengine tukapendekeza kama tumeamua kuwasaidia Iran, basi tuhakikishe "wanapanda dau" kwa kuipiku US na nchi za magharibi ktk kufadhili bajeti yetu na miradi ya maendeleo.

      ..Kuhusu kujielewa na nadhani wewe na wa-Zanzibari wa aina yako ndiyo hamjielewi. Hivi uhuru aliopewa Sultani ndiyo wakijuvunia kuliko wetu wa-Tanganyika?? Au sasa unayakiri MAPINDUZI yaliyofanywa na wa-Zanzibara na kulindwa na ndugu zao wa-Tanganyika??

      NB:

      ..Binafsi sielewi Kenya wana makubaliano gani na Iran. Huenda wenzetu wananunua mafuta toka Iran kwa "bei maalum" yenye manufaa kwao.

      ..Jana tumesikia kuna Wairan wamedakwa na Polisi wa Kenya wakituhumiwa kutaka kufanya ugaidi dhidi ya Kenya. Tusubiri kuona muelekeo wa mahusiano ya Kenya na Wairan.
      Ta Muganyizi likes this.

    14. #31
      Ta Muganyizi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th October 2010
      Location : Kashasha
      Posts : 2,743
      Rep Power : 983
      Likes Received
      948
      Likes Given
      1456

      Default Re: Serikali ya Zanzibar yatetea Oil Tankers za Iran!!! Yasema iko tayari kuipa Iran Bendera za Zanz

      Quote By Bobuk
      Jamani twende taratibu IRAN imewekewe vikwazo na UMOJA WA MATAIFA (UN) ambao Tanzania ina kiti. Hata wale walikouwa wanaikingia kifua Iran, China na Russia wamebariki hivyo vikwazo including Tanzania (Tanganyika and Zanzibar). Iran ku-corrupt SMZ na SMZ kusajili meli za Iran na kuzi re-name na kuzi re-flagging ni violation na azimio la umoja wa mataifa lililoiwekea Iran vikwazo.

      Hapa JK asifikiri ni mambo ya Dr. Ulimboka (NI UPEPO UTAPITA). Marekani wako serious na national interest zao, JK awe makini, we can be bombed to STONE AGE. Aanayesema tunaweza kujilinda dhidi ya USA ni mwehu. Au hata tunaweza kuwekewa sanction kama Iran. Jiulize miaka mitatu iliyopita IRAN wamechangia % ngapi ktk budget yetu zaidi ya kutuletea tende na halua!

      Iran imekuwa karibu sana na Tanzania baada ya kusikia Tanzania ina uranium, wanataka wa-Iran waipate kwaajili ya uranium enrichment ili watengeneze a nuclear bomb. MOSAD tayari wapo ZNZ kwa mgongo wa kusaidia kilimo cha umwagiliaji maji. There is no secrte watakachofanya SMZ MOSAD (read CIA) wasijue.

      Kikwete kama utaendelea kuwa dhaifa kwa kutosimama imara na kuwakatalia hawa wazanzibari utatuingiza kwenye mgogoro mkubwa, mark my words.

      Mwisho naomba Mbowe umuulize kesho Pinda kwenye maswali ya papo kwa papo, SMZ wamepata wapi jeuri ya kupeperusha bendera ya JMT kwenye meli za Iran bila kuushirikisha upande wa pili wa Muungano/JMT? Wao wanasema ni nchi na wana bendera yao, kwanini wasipeperusha bendera ya SMZ?
      Una akili sana Kiongozi
      "Wajumbe kifungu hiki kinaafikiwa........Ndiyooooooo ooooooooooooooooooooo, "Wabunge wa Tanzania!!! !hasa wa CCM

    15. #32
      S.Liondo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th April 2011
      Posts : 338
      Rep Power : 476
      Likes Received
      54
      Likes Given
      6

      Default Re: Serikali ya Zanzibar yatetea Oil Tankers za Iran!!! Yasema iko tayari kuipa Iran Bendera za Zanz

      Muungano umegeuka kuwa mwiba mkali kwa Tanzania bara. Sasa tusubiri maamuzi ya wakubwa, wakiamua kutuewkea vikwazo vya kiuchumi basi ndio tutauona ugumu wa maisha. Nafikiri shilingi yetu itashuka thamani mpaka tuwe na noti ya Tsh.1,000,000. wakati huo ukifika, kila mtanzania atakuwa milionea lakini milionea feki.

    16. #33
      MwanaFalsafa1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th February 2008
      Posts : 5,443
      Rep Power : 9877
      Likes Received
      609
      Likes Given
      444

      Default Re: Serikali ya Zanzibar yatetea Oil Tankers za Iran!!! Yasema iko tayari kuipa Iran Bendera za Zanz

      Kwa nini hawakutoa hiyo bendera yao tokea mwanzo? Watu wa ajabu sana hawa.

    17. #34
      Ndoa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd December 2011
      Posts : 624
      Rep Power : 501
      Likes Received
      119
      Likes Given
      46

      Default Re: Serikali ya Zanzibar yatetea Oil Tankers za Iran!!! Yasema iko tayari kuipa Iran Bendera za Zanz

      Muungano ni kero na unakera na kukereketa sana.

    18. FemaTV & Radio
    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...