kuna habari kuwa wagonjwa wamezidi vitanda huko hospitali ya kijeshi lugalo na sasa wameanza kurudishwa katika vituo vya afya vya karibu.hali si nzuri.
source;ndugu yangu wa karibu
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
kuna habari kuwa wagonjwa wamezidi vitanda huko hospitali ya kijeshi lugalo na sasa wameanza kurudishwa katika vituo vya afya vya karibu.hali si nzuri.
source;ndugu yangu wa karibu
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
I never see what has been done; I only see what remains to be done
hilo aliitaji source kwani ni kitu ambacho kipo wazi
LIWALO NA LIWE. Pinda huyo jamani si mimi. Mungu tusaidie
Our biggest Enemy is not to try what others have done.
Hapa tuta learn practically
"Wajumbe kifungu hiki kinaafikiwa........Ndiyooooooo ooooooooooooooooooooo, "Wabunge wa Tanzania!!! !hasa wa CCM
Wawapeleke Magogoni wakapewe huduma, Mr dhaifu na Liwalo naliwe watawahudumia pamojana na nesi kiroboto.
The CCM is a crime syndicate, Most members and MPs of CCM are corrupt. No conceince, No brains no nothing, just bunches of criminal and theft. Corruption cost mlalahoi in de street.
liwalo na liwe
Ugumu wa circumstance utazifanya akili zetu zifanyekazi!!!!
The future of this country is being jeopardized by the intellectual slavery of our top leaders
liwalo na liwe+ dhaifu = janga la taifa.
haya ndo mambo ya akili ndogo kuongoza akili kubwa, sasa ulitegemea kwamba Lugalo iwe mbadala ya MNH??.....Idiot!
Ushauri wa bure; Lugalo wakizidiwa, itabidi niwashauri wagonjwa wengine muende mkatibiwe kwenye hospitali nyingine za jeshi kama Mzinga na ngerengere za morogoro pamoja na hospitali ya rufaa ya Ikulu mtamkuta Dr JK na majimarefu bila kumsahau babu wa samunge. itakuwa poa tu.
tumeweza kuongeza posho ya uchunguzi wa maiti lakini hatuwezi kununua xray
JK si anaitwa dokta yule kwa nini naye asijiunge na joto la maspecialist wa magonjwa ya akina mama kutoa huduma..
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Haya liwalo na liwe.
dk manyaunyau na yeye atakwepo magogoni
Haya ndiyo matunda ya viongozi wanaotumia nguvu nyingi-akili kidogo.Dr.wa magogoni hajagoma hivyo wagonjwa waelekezwe kwenda huko.Tatizo ni kwamba foleni itakuwa ndefu kwani Dokta mwenyewe anapenda safari za nje.
Kweli sisi watanzania ni afadhali ya panya wa majaribio. TUMETULIAAAA.....
"Wisdom is not a product of schooling, but of the lifelong attempt to acquire it"
Follow Us Here