re: Mishahara ya madaktari kwa baadhi ya nchi za Afrika

By
Red Giant
Huu ni mshahara wa daktari anayeanza kwa kiwango cha shillingi za kitanzania
Zambia-millioni 1.9
Namibia-millioni 5.7
Africa kusini-millioni 6.2
botswana-millioni 4.023
kenya- walikuwa wanadai milioni 3.299
wazambia wamemuingiza sata kawapa hizo mwaka huu ni nyongeza ya 100%
TZ nayo ngapi? 50,000 ?... Ukileta fyoko, moja kwa moja utajikuta Mabepwande..!!!
In my country we go to prison first, then become President - Nelson Mandela.
Follow Us Here