re: Mishahara ya madaktari kwa baadhi ya nchi za Afrika
By Red Giant
Huu ni mshahara wa daktari anayeanza kwa kiwango cha shillingi za kitanzania
Zambia-millioni 1.9
Namibia-millioni 5.7
Africa kusini-millioni 6.2
botswana-millioni 4.023
kenya- walikuwa wanadai milioni 3.299
wazambia wamemuingiza sata kawapa hizo mwaka huu ni nyongeza ya 100%
What about Teachers, Lawyers, Engineers, Economists, Social welfare Officers, Policemen etc? Weka hapa mishahara yao na uweke wa daktari wa kitanzania analipwaje?
Be objective mkuu.
It is not the strongest species that survive, nor the most intelligent, but the ones most responsive to change - Charles Darwin
re: Mishahara ya madaktari kwa baadhi ya nchi za Afrika
By Fisadi Mtoto
Yani akili matope mbaya sana kwa kuwa huwezi fanya comparison bila kujua kiwango cha uchumi cha hizo nchi kwanza
Ndugu zangu waziri mbunge anapata nyumba dodoma, anapata allowances za ubunge kama wengine. anapata posho za jimbo ambazo wabunge plain hawapati. Ukikokotoa cost za catering bunge is is lot that kan make the difference to our poor doctors.
We can make a lot of saving out these cabages my dear.
Mambo mengi hapa kwetu yanawezekane ila tumekaririshwa kuwa 'nchi yetu ni maskini,nchi yetu ni maskini' huo ndo wimbo tunaoimbiwa na watawala wetu....., na umetukolea kweli!
Ili zibaki za wao kuiba ni lazima waseme hivyo, nchi masikini wao wanajiongezea mishahara na marupu rupu kibao.
re: Mishahara ya madaktari kwa baadhi ya nchi za Afrika
By Fisadi Mtoto
Yani akili matope mbaya sana kwa kuwa huwezi fanya comparison bila kujua kiwango cha uchumi cha hizo nchi kwanza
Watanzania wanajua kiwango cha pesa zinazofujwa na na kuibwa na wachache; madokta wanajua uzito wa kazi yao. hebu fikiri ya wabunge wanaopata 10 kwa mwezi kando ya posho za makalio; hayo yatosha, wacha wadai chao!
Red Giant Leta na comparison ya mishahara ya kada zingine kwa nchi husika lakini pia gharama za maisha na kiwango cha uchumi kwa nchi hizo. Hapo ndo utakuwa fair...
Huyu Red Giant atakuwa ni kilaza wa hali ya juu.Mishahara hailipwi kwa kuangalia nchi nyingine wanalipwaje,acha uzembe wa kufikiri.Mishahara huzingatia pamoja m
na mambo mengine:GHARAMA ZA MAISHA KWA NCHI HUSIKA,HALI YA UCHUMI WA NCHI,THAMANI YA FEDHA YA NCHI
re: Mishahara ya madaktari kwa baadhi ya nchi za Afrika
By Ng'wanambula

kama lita ya mafuta ni dola mbili kwenye global market ni hiyo hiyo haijalishi upo wapi. sasa nani anaweza kusafiri kirahisi daktari wa zambia anayelipwa 1.9m au watanzania anaelipwa 0.95m?. kusema mshahara unaangalia thamani ya fedha ni uongo na hata hivyo fedha zote nimeziconvert kwenye TSH. nchi za africa nyingi hatutofautiani maana wengi wetu ni waagizaji tu wa bidhaa na inflation rate huwa hazitofautiani sana
re: Mishahara ya madaktari kwa baadhi ya nchi za Afrika
kwa nini media hapa nchini haijishughulishi kutupatia habari sahihi? ikumbukwe kwamba dai la msingi la madaktari sio nyongeza za mishahara; bali ni kuitaka serikali ye2 sikivu na makini kuwaboreshea mazingira ya kazi... mazingira ya kazi kwa kiswahil chepesi ni pamoja na: vitendea kazi, mishahara na marupurupu. hivyo pindi mazingira ya kazi yakiboreshwa, pesa nyingi zinazofujwa wizara ya afya zitaokolewa. chukulia mfano tiba ya upasuaji moyo na mipesa inayoigharimu serikali yetu kupeleka wagonjwa india. chukulia mfano mwingine wa tiba ya dialysis inavyotugharimu sisi watanzania ....nchi nzima dialysis inafanyika: tmj, regency, na aga khan hosp (je unaweza amini kwamba mashine za dialyisis zipo Muhimbili lakini dawa za kuzifanya zifanye kazi hakuna??!) .. na hii yote ni kwa sababu serikali kupitia w/afya hawataki kununua mashine za kufanikisha hizo shughuli chache nilizozitaja hapo. sasa hapo madaktari wakilalamika na kuitaka serikali kuwasulubu mafisadi wachache wenye mtandao wao wizarani mbona inakuwa tabu!? nafikri waandishi wa habari waache kushadadia taarifa bali wawe makini na wachambuzi wa mambo. sio kukurupuka na kuanza ku-distort information. vilevile, mishahara ya madaktari ni negotiable; kwa nini serikali inaona shida kunegotiate?? binafsi, sipendi kuona raia wanapoteza maisha mahospitalini kwa sababu madaktari wamegoma wakidai kuboreshewa mazingira ya kazi (na mishahara ikiwemo). sipendi kabisa. manake uhai wa mtu ni irreplaceble.
Huu ni mshahara wa daktari anayeanza kwa kiwango cha shillingi za kitanzania
Zambia-millioni 1.9
Namibia-millioni 5.7
Africa kusini-millioni 6.2
botswana-millioni 4.023
kenya- walikuwa wanadai milioni 3.299
NI UJINGA KUFANYA COMPARISON BILA KUJUA KWANZA HALI YA KIUCHUMI NI TOFAUTI KATIKA NCHI ZOTE HIZO NA TANZANIA. We pay what we can afford to pay. Per capita income ya Tz ni ndogo kuliko wote hao uliowataja. MTOTO WA MASKINI HAWEZI KUMLAZIMISHA BABA YAKE ALE MLO WA KIFAHARI KAMA MENGI ETI KWA KUWA WOTE WAMEZALIWA UCHAGANI.
re: Mishahara ya madaktari kwa baadhi ya nchi za Afrika
By king kan

PPP
ZAMBIA-1611
IVORY COAST-1590
TANZANIA-1515
figures are interm of dollars. mi sio mchumi lakini haihitaji kuwa mchumi kugundua kuwa kati ya nchi hizo tatu tofauti ni ndogo sana lakini tofauti ya mshahara ni kubwa mno. kwa zambia hiyo ni minimum tu wanabonge la mshahara nikiweka hauta amini
re: Mishahara ya madaktari kwa baadhi ya nchi za Afrika
watu wanamwaga data ila hawaweki VYANZO VYA DATA ZAO....tupeni vyanzo stahiki na namna sahihi ya upangaji mishahara tujue yupi anakosea na aadhibiwe kwa namna gani
Follow Us Here