Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Serikali yakwaa kisiki Hospitali binafsi!

    Report Post
    Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast
    Results 41 to 60 of 75
    1. #1
      meningitis's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th November 2010
      Location : sewahaji
      Posts : 2,918
      Rep Power : 3207
      Likes Received
      1014
      Likes Given
      149

      Default Serikali yakwaa kisiki Hospitali binafsi!

      Wakurugenzi wa hospitali binafsi wamegoma kubeba mzigo wa serikali wa kuchukua wagonjwa kutoka hospitali za Public zilizoathiriwa na mgomo.

      Serikali yapata jibu la kejeli... "Kama mnaweza kuwalipia wagonjwa private kwanini fedha hizo msitumie kuwalipa madaktari?"
      kiraia, Active, Sally and 20 others like this.
      "Three may keep a secret if two of them are dead"

    2. Miaka 50

    3. #41
      cacico's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th March 2012
      Location : DSM
      Posts : 7,056
      Rep Power : 14521
      Likes Received
      6418
      Likes Given
      5006

      Default Re: Serikali yakwaa kisiki Hospitali binafsi!

      Quote By BAK
      Mkuu FJM soma hapa:

      Mbatia ambaye pia ni mbunge mteule alisema kuwa tangu Julai mwaka jana mpaka Februari mwaka huu Serikali imepoteza zaidi ya Sh1.04 trilioni za misamaha ya kodi, fedha ambazo zingeweza kuongezwa katika fungu la fedha za maendeleo ambazo ni kidogo katika bajeti ya mwaka wa fedha wa 2012/2013.

      Mbatia: Sera ya misamaha ya kodi itizamwe upya
      BAK nikiona hivi nasikia hasira sana! acha kabisa, hii nchi inaweza kusimama yenyewe kwa miguu yake, ila kwasababu inaendeshwa na mtu DHAIFU basi ni problem kubwa kuliko tunavyoweza kujua! yaani 2015 hata kama nitakuwa naumwa, nitaomba nipelekwe kwa kubebwa nipige kura!
      BAK likes this.
      "the problem is not me! the problem is you understading me!"

    4. #42
      Maundumula's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Posts : 5,047
      Rep Power : 3121
      Likes Received
      1375
      Likes Given
      5829

      Default Re: Serikali yakwaa kisiki Hospitali binafsi!

      Ndoto za mchana

    5. #43
      STK ONE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2011
      Location : Mpanda, Katavi Region
      Posts : 628
      Rep Power : 499
      Likes Received
      176
      Likes Given
      44

      Default Re: Serikali yakwaa kisiki Hospitali binafsi!

      Lisilowezekana kokote kule duniani, Tz linawezekana!!!
      HERI UKIMWI KULIKO CCM....BUT THE END IS ON THE WAY.....

    6. #44
      Wanitakiani's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th April 2008
      Posts : 632
      Rep Power : 699
      Likes Received
      129
      Likes Given
      20

      Default

      Quote By Masanilo
      Kiazi sana wewe! Hakuna kufanya kjazi kwa mkopo, serikali imeshindwa lipa Drs wake itaweza lipa huduma za private? Hebu vaa chupi wewe
      Aisee.....asteaste Mkuu Mr. Ban is not far from here!

    7. #45
      Nivea's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st May 2012
      Posts : 5,709
      Rep Power : 16252
      Likes Received
      3149
      Likes Given
      4076

      Default Re: Serikali yakwaa kisiki Hospitali binafsi!

      nafikiri serikali haiwajui madactari kabisa hawajui kuwa wale waliogoma muhimbili ukienda tmj,kairuki unawakuta kule wanakula bata utawalaghai vipi what goes no must come around hahahah its 2012
      Kosea njia utaelekezwa,lakini usikosee mtu wakuoa /kuolewa naye,vinginevyo majuto yatakuwa sehemu ya maisha yako.tuliza kichwa unapochagua mwenzi wa maisha.

    8. RukaaJuu Final

    9. #46
      Kibanga Ampiga Mkoloni's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th August 2007
      Location : Here! here!
      Posts : 4,800
      Rep Power : 1636
      Likes Received
      1195
      Likes Given
      1702

      Default Re: Serikali yakwaa kisiki Hospitali binafsi!

      Quote By Az 89
      Safi, ila kwa leo lazima ntapigwa ban kwa yeyote yule atakaepinga mgomo wa madaktari
      Mimi napinga!
      For the Holy Quran says in Sura 42, verse 41: 'All those who fight when oppressed incur no guilt, but Allah shall punish the oppressor, Come the day.

    10. #47
      Nivea's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st May 2012
      Posts : 5,709
      Rep Power : 16252
      Likes Received
      3149
      Likes Given
      4076

      Default Re: Serikali yakwaa kisiki Hospitali binafsi!

      Quote By cacico
      BAK nikiona hivi nasikia hasira sana! acha kabisa, hii nchi inaweza kusimama yenyewe kwa miguu yake, ila kwasababu inaendeshwa na mtu DHAIFU basi ni problem kubwa kuliko tunavyoweza kujua! yaani 2015 hata kama nitakuwa naumwa, nitaomba nipelekwe kwa kubebwa nipige kura!
      cacico mambo shost mbona umechukia hivyo
      Kosea njia utaelekezwa,lakini usikosee mtu wakuoa /kuolewa naye,vinginevyo majuto yatakuwa sehemu ya maisha yako.tuliza kichwa unapochagua mwenzi wa maisha.

    11. #48
      TOWNSEND's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th May 2011
      Location : kwa ngulelo
      Posts : 1,117
      Rep Power : 630
      Likes Received
      196
      Likes Given
      31

      Default Re: Serikali yakwaa kisiki Hospitali binafsi!

      serikali inasumbuliwa na madeni madogo ya waalim itawezaje matibabu ya hospital binafsi wakati wanadaiwa na wakandarasi wa kichina wa barabara...na wanao dai jeshini waliopeleka chakula hawajalipwa... umeme wizara kibao zinadaiwa wanashindwa kulipa madoc jumla billion 21 kwa mwezi wataweza kulipa agakhan si zitafungwa
      Dingswayo likes this.
      For tommorow belonging to those people who prepared fo it

    12. BAK
      #49
      BAK's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th February 2007
      Location : Mfaranyaki
      Posts : 26,633
      Rep Power : 44971
      Likes Received
      8386
      Likes Given
      8363

      Default Re: Serikali yakwaa kisiki Hospitali binafsi!

      Quote By cacico
      BAK nikiona hivi nasikia hasira sana! acha kabisa, hii nchi inaweza kusimama yenyewe kwa miguu yake, ila kwasababu inaendeshwa na mtu DHAIFU basi ni problem kubwa kuliko tunavyoweza kujua! yaani 2015 hata kama nitakuwa naumwa, nitaomba nipelekwe kwa kubebwa nipige kura!
      We acha tu cacico! Wanyarwanda (Wahutu na Watusi) mwaka 1994 waliuana sana lakini miaka 18 baadaye nchi hiyo inafanya vizuri sana ukilinganisha na nchi yetu pamoja na kuwa hawana utajiri mkubwa wa mali asili kama nchi yetu. Sie na "amani" yetu tunarudi nyuma kimaendeleo kila kitu chetu ni hovyo hovyo tu kwa kisingizio cha "Serikali haina uwezo." Wameweza kuifanya miji yao ipendeze, kuwa misafi, kuboresha maisha ya wananchi na pia kuongeza vipato vya Wanyarwanda hata baadhi ya wasomi wa Kitanzania waliokuwa nchi mbali mbali duniani kuvutiwa kufanya kazi Rwanda.

      Huku hii Serikali DHAIFU ikiendelea na nyimbo zake za "Serikali haina uwezo" "Nchi yetu maskini" Kama nchi yetu maskini mbona wengi waliowahi kushika nyadhifa za juu kama akina Mkapa, Lowassa, Sumaye, DHAIFU na mwanaye, na wengineo chungu nzima wanakuwa mabilionea kwa kukwapua mali mbali mbali za walipa kodi? "Serikali haina uwezo" halafu katika kipindi cha miezi minane tu wametoa misamaha ya kodi ya shilingi 1.4 Trillioni, na asilimia kubwa ya misamaha hii inakwenda kwa Mawaziri na Wabunge.

      WA-UKENYENGE likes this.
      Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action

    13. #50
      GeniusBrain's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2010
      Location : CHADEMA Makao Makuu
      Posts : 3,827
      Rep Power : 1148
      Likes Received
      188
      Likes Given
      0

      Default Re: Serikali yakwaa kisiki Hospitali binafsi!

      Quote By meningitis
      Wakurugenzi wa hospitali binafsi wamegoma kubeba mzigo wa serikali wa kuchukua wagonjwa kutoka hospitali za Public zilizoathiriwa na mgomo.

      Serikali yapata jibu la kejeli... "Kama mnaweza kuwalipia wagonjwa private kwanini fedha hizo msitumie kuwalipa madaktari?"
      weka source, JF sio sehemu ya majungu na unafiki

    14. #51

      Una uhakika Rwanda inafanya vizuri? Fanya utafiti kwanza acha hisia za kibubusa

    15. #52
      Manyi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th December 2011
      Posts : 1,744
      Rep Power : 725
      Likes Received
      292
      Likes Given
      266

      Default Re: Serikali yakwaa kisiki Hospitali binafsi!

      Quote By meningitis
      Wakurugenzi wa hospitali binafsi wamegoma kubeba mzigo wa serikali wa kuchukua wagonjwa kutoka hospitali za Public zilizoathiriwa na mgomo.

      Serikali yapata jibu la kejeli... "Kama mnaweza kuwalipia wagonjwa private kwanini fedha hizo msitumie kuwalipa madaktari?"

      Hapo palipokolezwa, waliojibu hivyo kama wamesoma, Elimu yao haiwajasaidia, kumbuka hii ni dharura mkuu! Hata wakati wa Vita ya Idd Amin Dada nchi ilitumia pesa nyingi ambayo haikuwa katika mpango. Funguka mkuu!

    16. BAK
      #53
      BAK's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th February 2007
      Location : Mfaranyaki
      Posts : 26,633
      Rep Power : 44971
      Likes Received
      8386
      Likes Given
      8363

      Default Re: Serikali yakwaa kisiki Hospitali binafsi!

      Quote By GeniusBrain
      Una uhakika Rwanda inafanya vizuri? Fanya utafiti kwanza acha hisia za kibubusa

      Sina haja ya kufanya utafiti kwa sababu nimeshafika Rwanda na pia nina marafiki wengi wa Kitanzania na Kinyarwanda ndani ya Rwanda na kila mara huwaulizia kuhusu Rwanda. Ukilinganisha na Tanzania wanafanya vizuri sana.
      Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action

    17. #54
      georgeallen's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd June 2011
      Location : Seattle, WA, USA
      Posts : 2,055
      Rep Power : 0
      Likes Received
      516
      Likes Given
      260

      Default Re: Serikali yakwaa kisiki Hospitali binafsi!

      Quote By Masanilo
      Kiazi sana wewe! Hakuna kufanya kjazi kwa mkopo, serikali imeshindwa lipa Drs wake itaweza lipa huduma za private? Hebu vaa chupi wewe
      Kama tungekuwa bungeni ningeomba mwongozo wa spika , kwa kutumia kanuni ya 68: Kutoa lugha ya kuudhi, ili ufute kauli yako.ukikataa wanakutoa nje kabisa ya bunge. Una bahati... tuko huku jukwa huru.

    18. #55
      georgeallen's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd June 2011
      Location : Seattle, WA, USA
      Posts : 2,055
      Rep Power : 0
      Likes Received
      516
      Likes Given
      260

      Default Re: Serikali yakwaa kisiki Hospitali binafsi!

      Quote By mambomengi
      madaktari wa clinic binafsi ndio haohao wa serikalini, unategemea nini?
      Kwa hiyo wamemshika pabaya ...tena mbele ya watoto?.

    19. #56
      WA-UKENYENGE's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st October 2011
      Location : Inside a Smart Grid
      Posts : 2,424
      Rep Power : 5039
      Likes Received
      785
      Likes Given
      1800

      Default Re: Serikali yakwaa kisiki Hospitali binafsi!

      Quote By GeniusBrain
      Una uhakika Rwanda inafanya vizuri? Fanya utafiti kwanza acha hisia za kibubusa
      Mkuu nawewe acha hisia, hivi unapoona Professor mzima anakimbilia kufanya kazi Rwanda na kuacha hapa kwetu sababu ya maslahi pamoja na mazingira mazuri bado unahitaji power point za kukueleza hatufanyi vizuri? Au kwa vile una hisia tofauti na BAK?
      "The usual conclusion is that you can't put a price on a human life. But you can if you must".

    20. #57
      Munghiki's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 10th October 2010
      Posts : 153
      Rep Power : 467
      Likes Received
      6
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By meningitis
      Wakurugenzi wa hospitali binafsi wamegoma kubeba mzigo wa serikali wa kuchukua wagonjwa kutoka hospitali za Public zilizoathiriwa na mgomo.

      Serikali yapata jibu la kejeli... "Kama mnaweza kuwalipia wagonjwa private kwanini fedha hizo msitumie kuwalipa madaktari?"
      Safi sana na bado huyu kilaza atajua kuwa watu wote sio wapumbavu kama yye!

    21. #58
      Manyi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th December 2011
      Posts : 1,744
      Rep Power : 725
      Likes Received
      292
      Likes Given
      266

      Default Re: Serikali yakwaa kisiki Hospitali binafsi!

      Quote By TOWNSEND
      serikali inasumbuliwa na madeni madogo ya waalim itawezaje matibabu ya hospital binafsi wakati wanadaiwa na wakandarasi wa kichina wa barabara...na wanao dai jeshini waliopeleka chakula hawajalipwa... umeme wizara kibao zinadaiwa wanashindwa kulipa madoc jumla billion 21 kwa mwezi wataweza kulipa agakhan si zitafungwa
      Funguka mkuu, wakiamua wanaweza!

    22. BAK
      #59
      BAK's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th February 2007
      Location : Mfaranyaki
      Posts : 26,633
      Rep Power : 44971
      Likes Received
      8386
      Likes Given
      8363

      Default Re: Serikali yakwaa kisiki Hospitali binafsi!

      Quote By georgeallen
      Hiyo habari ya kweli mkuu? Yaani private hospitals zikatae kufanya biashara?????. Labda hizo hospitali hazipo TZ ninayoifahamu!!.
      Wanajua kwamba Serikali hii isiyo na "uwezo" itaishia kuwakopa.
      Let your graceful words fly out into the World, carried on winds of courage, imagination and joy. Let them inspire others to step into action

    23. #60
      simon james's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st April 2012
      Posts : 277
      Rep Power : 415
      Likes Received
      136
      Likes Given
      8

      Default Re: Serikali yakwaa kisiki Hospitali binafsi!

      Serikali kulipia huduma Private ni ndoto!! Mkikubali kukopwa itakula kwenu
      Dingswayo likes this.

    Page 3 of 4 FirstFirst 1234 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...