Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: PICHA; Wanaharakati wa CCM Elimu Ya Juu Wapinga Mgomo wa Madaktari

    Report Post
    Page 5 of 5 FirstFirst ... 345
    Results 81 to 84 of 84
    1. #1
      Kiganyi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th April 2012
      Posts : 1,162
      Rep Power : 983
      Likes Received
      708
      Likes Given
      400

      Default PICHA; Wanaharakati wa CCM Elimu Ya Juu Wapinga Mgomo wa Madaktari


      Kundi la wanaharakati kutoka vyuo vya elimu ya juu nchini, wakiwa na mabango jana katika hospitali ya taifa, Muhimbili, Dar es Salaam, kushinikiza madaktari waache mgomo.
      Kiongozi wa wanaharakati kutoka vyuo vya elimu ya juu Abubakari Assenga (kushoto), akiwa na Katibu wa Jumuia ya Madaktari Tanzania, Edwin Chitange, baada ya maandamano ya wanaharakati hao kufika Muhimbili kushinikiza madaktari kusitisha mgomo
      Kiongozi wa wanaharakati kutoka vyuo vya elimu ya Juu, Abubakar Assenga akizungumza na waandishi wa habari baada ya maandamano yao kufika Muhimbili kushinikiza madaktari kuacha mgomo.
      Mwanamke aliyekuwa akisubiri kuona mgonjwa wake, Katika hospitali ya Muhimbuli, Dar es Salaam, Helen Thomas, akisoma bango lililoachwa na wanaharakati hao wa vyuo vya elimu ya juu.
      Wanaharakati wa vyuo vya elimu ya juu, wakihanikiza baada ya kufika Muhimbili kutaka madaktari waache mgomo

      MY TAKE; Hivi Wanaharakati wa MAgamba Vyuo vikuu ni hao tu?

    2. Miaka 50

    3. cpt
      #81
      cpt's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 19th May 2010
      Posts : 138
      Rep Power : 485
      Likes Received
      22
      Likes Given
      9

      Default Re: PICHA; Wanaharakati wa CCM Elimu Ya Juu Wapinga Mgomo wa Madaktari

      cjaona mangi mjinga kn huyu!

    4. #82
      Ciril's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th January 2011
      Posts : 1,978
      Rep Power : 881
      Likes Received
      245
      Likes Given
      19

      Default Re: PICHA; Wanaharakati wa CCM Elimu Ya Juu Wapinga Mgomo wa Madaktari

      Wanaandamanaje kwa Suala lililopo mahakamani kama baba yao(Serikali)alivyokwisha likataza kujadiliwa katika Bunge tunakoamini kuwa ndipo zinapopatikana haki zetu kwa kusemewa na Wabunge wanaotuwakilisha?

    5. #83
      C programming's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th November 2011
      Location : kenya
      Posts : 617
      Rep Power : 464
      Likes Received
      111
      Likes Given
      7

      Default Re: PICHA; Wanaharakati wa CCM Elimu Ya Juu Wapinga Mgomo wa Madaktari

      tatizo la ajira.....linaweza kukufanya uwe mtumwa....... wa shoga

    6. #84
      Duble Chris's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th May 2011
      Posts : 2,341
      Rep Power : 873
      Likes Received
      382
      Likes Given
      309

      Default Re: PICHA; Wanaharakati wa CCM Elimu Ya Juu Wapinga Mgomo wa Madaktari

      njaa itawamaliza hawa watu, hili sualas tumeambiwa liko mahakamani wao wanaandamana ili iweje

      siyo mbaya hawa ndiyo wasomi tulio nao kama ni kweli ni wanachuo (chuo/vyuo havina hata jina huu ni uongo tu )
      frustration is given by expectationdivide by
      outcome
      ie
      frustration = expectation/outcome


    Page 5 of 5 FirstFirst ... 345

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...