Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Nape atumia ziara zake mikoani kumwandama Lowassa

    Report Post
    Page 1 of 2 12 LastLast
    Results 1 to 20 of 27
    1. #1
      Molemo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th September 2010
      Posts : 8,422
      Rep Power : 10874
      Likes Received
      3801
      Likes Given
      426

      Post Nape atumia ziara zake mikoani kumwandama Lowassa

      KATIBU wa Idara ya Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye anadaiwa kuwatisha wanachama wa chama hicho wanaomuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.

      Chanzo chetu kilicho ndani ya chama hicho, kimesema chini ya mkakati huo, Nape amekuwa akiwatisha wana CCM hao wakiwamo wanaotarajia kuwania nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho.

      “Kuna mkakati mbaya unasukwa na Nape na amekuwa akitumia nguvu zote kuhakikisha wana CCM wanaomuunga mkono Lowassa hawapiti katika uchaguzi wa ndani wa chama chetu.

      “Katika kutekeleza hili, Nape anawatisha watu hao moja kwa moja kwa kukutana nao ama kwa kuwapigia simu na kuwaeleza madhara ya kuendelea kumuunga mkono Lowassa.

      “Katika hili, amekuwa akiwaambia kuwa, hawatakiwi kuwa upande wa Lowassa na kibaya zaidi anawaambia kuwa, kama wataendelea kuwa upande wa Lowassa, hawatashinda katika nafasi zozote watakazogombea au atakata majina yao pindi watakapogombea,” kilisema chanzo hicho.

      Kwa mujibu wa chanzo hicho, Nape anatekeleza mpango huo katika ziara zake anazozifanya katika mikoa mbalimbali nchini, kwa kisingizio cha kukijenga Chama cha Mapinduzi.

      Chanzo hicho kimeendelea kusema kuwa, hadi sasa Nape ameshawatisha baadhi ya wana CCM walioko katika Mikoa ya Iringa, Mbeya na Ruvuma.

      Chanzo hicho, kimeendelea kusema katika utekelezaji wa mkakati huo, Katibu huyo wa Itikadi na Uenezi, amekuwa akimtumia mmoja wa vijana walioko katika Idara ya Mambo ya Nje, aliyetajwa kwa jina moja la Nyakia. Kijana huyo yuko Ofisi Ndogo ya CCM, Lumumba Dar es Salaam.

      “Nape anamtumia Nyakia katika mkakati huu kwa sababu kila anapokwenda, anakuwa naye na huyu kazi yake ni kufuatilia kila mkoa ni nani yuko upande wa Lowassa, kisha anampa taarifa Nape ambaye huwaita na kuwatisha au huzungumza nao kwa njia ya simu, akiwataka wasiwe upande wa Lowassa,” kilisema chanzo hicho.

      Nyakia alipozungumza na MTANZANIA kwa simu juzi, alihamaki na kutaka aelezwe ni nani aliyetoa taarifa hizo katika vyombo vya habari.

      Hata hivyo, mwandishi wetu aliposema hawezi kumtajia aliyetoa taarifa hizo, alisema hana taarifa nazo na kutaka aulizwe Nape kwa kuwa ndiye anayejua jukumu lake ndani ya chama.

      Nape alipozungumza na MTANZANIA jana kwa simu alisema jambo hilo halipo kwa sababu katika dunia ya sasa, huwezi kumtisha mtu kwa kuwa hakuna sababu ya kufanya hivyo.

      “Kwanza kabisa jana ulizungumza na Nyakia, kisha ukazungumza na Chongolo, sasa nasema hivi, jambo hilo halipo kwa sababu mimi siwezi kuwatisha watu katika dunia ya sasa.

      “Nakwambia huo ni upumbavu, najua wanaoandaa mambo haya ni Lowassa na wenzake, tafadhali msijiingize katika mambo haya, kama mtaandika andikeni, lakini mwishowe tutaanza kuwapiga wao kisha tutawapiga nyinyi ambao ni rafiki zetu.

      “Mimi kazi yangu mikoani ni kuimarisha chama, yaani tukikaa ndani bila kutoka nje yanakuwa matatizo, tukitoka nje yanakuwa matatizo, nasema hayo mambo hayapo, waambieni welete hata mtu mmoja aliyetishwa na mimi au hata aliyetishwa na ofisa wangu.

      “Hili siyo jambo jema mnataka kutugombanisha, sasa kama mtaitumia tumieni lakini ipo siku tutaanza kuwapiga na nyingi,” alisema Nape kwa hasira.

      CHANZO: Gazeti la Mtanzania

    2. Miaka 50

    3. #2
      POMPO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th March 2011
      Posts : 2,964
      Rep Power : 1176
      Likes Received
      1093
      Likes Given
      628

      Default Re: Nape atumia ziara zake mikoani kumwandama Lowassa

      Nape anatapatapa tu, mzimu wa Lowasa unamtesa...
      "Tumefika hapa kutokana na UDHAIFU wa Rais Jakaya Kikwete.." J.J. Mnyika, Bungeni,June,2012.

    4. #3
      Democracy999's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th May 2012
      Posts : 629
      Rep Power : 477
      Likes Received
      111
      Likes Given
      30

      Default Re: Nape atumia ziara zake mikoani kumwandama Lowassa

      CCM dhaifu inamwogopa kweli Lowassa, walimtosa kwa Richmond ya Kikwete, ambae alimkataza Lowassa kuifukuza

    5. #4
      mtotowamjini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd April 2012
      Location : None of Your Business
      Posts : 4,533
      Rep Power : 1263
      Likes Received
      1109
      Likes Given
      28

      Default Re: Nape atumia ziara zake mikoani kumwandama Lowassa

      nape asipoteze mda kushindana na lowassa yule ni kichwa wenzake wengi wamekuja na kuondoka yeye bado yupo
      Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde

      One man's good fortune is another man's misfortune

    6. #5
      ntogwisangu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th November 2011
      Posts : 435
      Rep Power : 465
      Likes Received
      113
      Likes Given
      29

      Default Re: Nape atumia ziara zake mikoani kumwandama Lowassa

      Quote By mtotowamjini
      nape asipoteze mda kushindana na lowassa yule ni kichwa wenzake wengi wamekuja na kuondoka yeye bado yupo
      Hivi kweli bado unaamini Lowassa ana lake katika nchi hii?kwishney!!!!!

    7. FemaTV & Radio

    8. #6
      Young Tanzanian's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th March 2012
      Posts : 564
      Rep Power : 475
      Likes Received
      45
      Likes Given
      49

      Default Re: Nape atumia ziara zake mikoani kumwandama Lowassa

      Nape hana jipya ameshiba pesa za Membe....lakini wasahau urais 2015 ni LOWASA AU DK.SILAHA tunataka watendaji si wapiga porojo.

    9. #7
      angedizzle's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 8th August 2011
      Posts : 104
      Rep Power : 414
      Likes Received
      26
      Likes Given
      25

      Default Re: Nape atumia ziara zake mikoani kumwandama Lowassa

      Quote By molemo
      katibu wa idara ya itikadi na uenezi wa chama cha mapinduzi (ccm), nape nnauye anadaiwa kuwatisha wanachama wa chama hicho wanaomuunga mkono waziri mkuu wa zamani, edward lowassa.

      Chanzo chetu kilicho ndani ya chama hicho, kimesema chini ya mkakati huo, nape amekuwa akiwatisha wana ccm hao wakiwamo wanaotarajia kuwania nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho.

      “kuna mkakati mbaya unasukwa na nape na amekuwa akitumia nguvu zote kuhakikisha wana ccm wanaomuunga mkono lowassa hawapiti katika uchaguzi wa ndani wa chama chetu.

      “katika kutekeleza hili, nape anawatisha watu hao moja kwa moja kwa kukutana nao ama kwa kuwapigia simu na kuwaeleza madhara ya kuendelea kumuunga mkono lowassa.

      “katika hili, amekuwa akiwaambia kuwa, hawatakiwi kuwa upande wa lowassa na kibaya zaidi anawaambia kuwa, kama wataendelea kuwa upande wa lowassa, hawatashinda katika nafasi zozote watakazogombea au atakata majina yao pindi watakapogombea,” kilisema chanzo hicho.

      Kwa mujibu wa chanzo hicho, nape anatekeleza mpango huo katika ziara zake anazozifanya katika mikoa mbalimbali nchini, kwa kisingizio cha kukijenga chama cha mapinduzi.

      Chanzo hicho kimeendelea kusema kuwa, hadi sasa nape ameshawatisha baadhi ya wana ccm walioko katika mikoa ya iringa, mbeya na ruvuma.

      Chanzo hicho, kimeendelea kusema katika utekelezaji wa mkakati huo, katibu huyo wa itikadi na uenezi, amekuwa akimtumia mmoja wa vijana walioko katika idara ya mambo ya nje, aliyetajwa kwa jina moja la nyakia. Kijana huyo yuko ofisi ndogo ya ccm, lumumba dar es salaam.

      “nape anamtumia nyakia katika mkakati huu kwa sababu kila anapokwenda, anakuwa naye na huyu kazi yake ni kufuatilia kila mkoa ni nani yuko upande wa lowassa, kisha anampa taarifa nape ambaye huwaita na kuwatisha au huzungumza nao kwa njia ya simu, akiwataka wasiwe upande wa lowassa,” kilisema chanzo hicho.

      Nyakia alipozungumza na mtanzania kwa simu juzi, alihamaki na kutaka aelezwe ni nani aliyetoa taarifa hizo katika vyombo vya habari.

      Hata hivyo, mwandishi wetu aliposema hawezi kumtajia aliyetoa taarifa hizo, alisema hana taarifa nazo na kutaka aulizwe nape kwa kuwa ndiye anayejua jukumu lake ndani ya chama.

      Nape alipozungumza na mtanzania jana kwa simu alisema jambo hilo halipo kwa sababu katika dunia ya sasa, huwezi kumtisha mtu kwa kuwa hakuna sababu ya kufanya hivyo.

      “kwanza kabisa jana ulizungumza na nyakia, kisha ukazungumza na chongolo, sasa nasema hivi, jambo hilo halipo kwa sababu mimi siwezi kuwatisha watu katika dunia ya sasa.

      “nakwambia huo ni upumbavu, najua wanaoandaa mambo haya ni lowassa na wenzake, tafadhali msijiingize katika mambo haya, kama mtaandika andikeni, lakini mwishowe tutaanza kuwapiga wao kisha tutawapiga nyinyi ambao ni rafiki zetu.

      “mimi kazi yangu mikoani ni kuimarisha chama, yaani tukikaa ndani bila kutoka nje yanakuwa matatizo, tukitoka nje yanakuwa matatizo, nasema hayo mambo hayapo, waambieni welete hata mtu mmoja aliyetishwa na mimi au hata aliyetishwa na ofisa wangu.

      “hili siyo jambo jema mnataka kutugombanisha, sasa kama mtaitumia tumieni lakini ipo siku tutaanza kuwapiga na nyingi,” alisema nape kwa hasira.

      chanzo: Gazeti la mtanzania
      nape = gamba

    10. #8
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,480
      Rep Power : 19785
      Likes Received
      4300
      Likes Given
      1248

      Default Re: Nape atumia ziara zake mikoani kumwandama Lowassa

      Nape nadhani anataka kufukuzwa na nyinyiemu!

      Kwanza nape hamuwezi lowasa kwa lolote

      basi amvue gamba kama anaweza

    11. #9
      Precise pangolin's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 4th January 2012
      Posts : 5,687
      Rep Power : 1913
      Likes Received
      1583
      Likes Given
      676

      Default Re: Nape atumia ziara zake mikoani kumwandama Lowassa

      Lowassa ni mwamba Yule hamna mtu wa kumfanya kitu

    12. #10
      Kima Mchanga's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 3rd October 2011
      Location : Dynamic
      Posts : 4,496
      Rep Power : 11225
      Likes Received
      607
      Likes Given
      446

      Default Re: Nape atumia ziara zake mikoani kumwandama Lowassa

      Vita kati ya Nape na Lowassa vimemuimarisha Lowassa na kumpa nape jina la vuvuzela!!!
      Nape hamuwezi lowassa,ataishia kufa kifo kibaya kisiasa
      Do what you feel in your heart to be right-for yot will be criticized anyway.You will be damned if you do,and damned if you don't

    13. #11
      nyabhingi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th October 2010
      Posts : 3,234
      Rep Power : 1293
      Likes Received
      1361
      Likes Given
      2656

      Default Re: Nape atumia ziara zake mikoani kumwandama Lowassa

      Hivi siku 90 za kumvua gamba lowassa na chenge hazijaisha?alidakia kauli ya kisanii ya boss wake ambaye pia anamuogopa lowassa
      Every nation in every region now has a decision to make: Either you are with us, or you are with the terrorists.George W. Bush

    14. #12
      asigwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st September 2011
      Location : TANDHANIYA
      Posts : 4,389
      Rep Power : 1265
      Likes Received
      1208
      Likes Given
      1253

      Default Re: Nape atumia ziara zake mikoani kumwandama Lowassa

      lowasa ni mnyama hatari hata JK anajua..NAPE kavamia gari liloko kwenye MOTION

    15. #13
      Amiliki's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th May 2011
      Posts : 1,470
      Rep Power : 764
      Likes Received
      717
      Likes Given
      33

      Default Re: Nape atumia ziara zake mikoani kumwandama Lowassa

      Sijampata vizuri anaposema "Tutawapiga"! Hiyo ndio imekuwa njia yao ya kuwanyamazisha watu wanaowapinga! Pole sana Dr. Ulimboka, laiti kama ungelijua hili mapema.
      Huku Magamba wakiendelea kusambaratishwa; Chadema Rahaaa!!!!! Si Rahaa!!!! WOTE: RAHAAAA!!!!!!!!!!

    16. #14
      Democracy999's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th May 2012
      Posts : 629
      Rep Power : 477
      Likes Received
      111
      Likes Given
      30

      Default Re: Nape atumia ziara zake mikoani kumwandama Lowassa

      Jk yupo nyuma ya kuchafuliwa Lowassa, wanajua akishinda atachapa bakora CCM nzima, Lowassa ni Uzalendo tu aloutoa Jeshini na si chama, ubilionea wake ni asilia na nyerere shahidi

    17. #15
      idawa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 20th January 2012
      Posts : 4,599
      Rep Power : 3333
      Likes Received
      1227
      Likes Given
      461

      Default

      Quote By ntogwisangu
      Hivi kweli bado unaamini Lowassa ana lake katika nchi hii?kwishney!!!!!
      analake ndani ya ccm, nje ya ccm sawa na mamba nchi kavu hana kitu.!

    18. #16
      Vin Diesel's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st March 2011
      Posts : 5,866
      Rep Power : 19947
      Likes Received
      2792
      Likes Given
      1615

      Default Re: Nape atumia ziara zake mikoani kumwandama Lowassa

      Nape anampa shida sana lowassa....too bad hana cha kumfanya zaidi ya kumtungia uzushi

    19. #17
      Filipo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Location : Kiding'a
      Posts : 6,349
      Rep Power : 18614
      Likes Received
      3508
      Likes Given
      1663

      Default

      Quote By nyabhingi
      Hivi siku 90 za kumvua gamba lowassa na chenge hazijaisha?alidakia kauli ya kisanii ya boss wake ambaye pia anamuogopa lowassa
      waliishia kuzodoana tu!

    20. #18
      piper's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th January 2012
      Posts : 1,597
      Rep Power : 766
      Likes Received
      244
      Likes Given
      39

      Default Re: Nape atumia ziara zake mikoani kumwandama Lowassa

      Simshangai, na magamba kutisha wanachama wao ni jadi ili kufanikisha jambo wanalolitaka

    21. #19
      andrews's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 28th March 2012
      Posts : 1,683
      Rep Power : 0
      Likes Received
      142
      Likes Given
      76

      Default Re: Nape atumia ziara zake mikoani kumwandama Lowassa

      pole sana nape kwa kujua kuwa lowassa ni dume la mbegu na humuwezi kwa lolote 2013 ndio mwisho wako na lowasa na akina chenge wanapeta tu sijiu utafanya kazi gani maana unchokijua ni siasa tu si kingine

    22. #20
      nngu007's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 2nd August 2010
      Posts : 11,228
      Rep Power : 3560
      Likes Received
      3060
      Likes Given
      462

      Default Ziara ya Nape yaingia doa; Anadaiwa kuwatisha wanachama wanaomuunga mkono E. Lowassa

      JUMATATU, JULAI 02, 2012 05:50

      NA MWANDISHI WETU - MTANZANIA

      KATIBU wa Idara ya Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye anadaiwa kuwatisha wanachama wa chama hicho wanaomuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa.Chanzo chetu kilicho ndani ya chama hicho, kimesema chini ya mkakati huo, Nape amekuwa akiwatisha wana CCM hao wakiwamo wanaotarajia kuwania nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho.

      “Kuna mkakati mbaya unasukwa na Nape na amekuwa akitumia nguvu zote kuhakikisha wana CCM wanaomuunga mkono Lowassa hawapiti katika uchaguzi wa ndani wa chama chetu.

      “Katika kutekeleza hili, Nape anawatisha watu hao moja kwa moja kwa kukutana nao ama kwa kuwapigia simu na kuwaeleza madhara ya kuendelea kumuunga mkono Lowassa.

      “Katika hili, amekuwa akiwaambia kuwa, hawatakiwi kuwa upande wa Lowassa na kibaya zaidi anawaambia kuwa, kama wataendelea kuwa upande wa Lowassa, hawatashinda katika nafasi zozote watakazogombea au atakata majina yao pindi watakapogombea,” kilisema chanzo hicho.

      Kwa mujibu wa chanzo hicho, Nape anatekeleza mpango huo katika ziara zake anazozifanya katika mikoa mbalimbali nchini, kwa kisingizio cha kukijenga Chama cha Mapinduzi.

      Chanzo hicho kimeendelea kusema kuwa, hadi sasa Nape ameshawatisha baadhi ya wana CCM walioko katika Mikoa ya Iringa, Mbeya na Ruvuma.

      Chanzo hicho, kimeendelea kusema katika utekelezaji wa mkakati huo, Katibu huyo wa Itikadi na Uenezi, amekuwa akimtumia mmoja wa vijana walioko katika Idara ya Mambo ya Nje, aliyetajwa kwa jina moja la Nyakia. Kijana huyo yuko Ofisi Ndogo ya CCM, Lumumba Dar es Salaam.

      “Nape anamtumia Nyakia katika mkakati huu kwa sababu kila anapokwenda, anakuwa naye na huyu kazi yake ni kufuatilia kila mkoa ni nani yuko upande wa Lowassa, kisha anampa taarifa Nape ambaye huwaita na kuwatisha au huzungumza nao kwa njia ya simu, akiwataka wasiwe upande wa Lowassa,” kilisema chanzo hicho.

      Nyakia alipozungumza na MTANZANIA kwa simu juzi, alihamaki na kutaka aelezwe ni nani aliyetoa taarifa hizo katika vyombo vya habari.

      Hata hivyo, mwandishi wetu aliposema hawezi kumtajia aliyetoa taarifa hizo, alisema hana taarifa nazo na kutaka aulizwe Nape kwa kuwa ndiye anayejua jukumu lake ndani ya chama.

      Nape alipozungumza na MTANZANIA jana kwa simu alisema jambo hilo halipo kwa sababu katika dunia ya sasa, huwezi kumtisha mtu kwa kuwa hakuna sababu ya kufanya hivyo.

      “Kwanza kabisa jana ulizungumza na Nyakia, kisha ukazungumza na Chongolo, sasa nasema hivi, jambo hilo halipo kwa sababu mimi siwezi kuwatisha watu katika dunia ya sasa.

      “Nakwambia huo ni upumbavu, najua wanaoandaa mambo haya ni Lowassa na wenzake, tafadhali msijiingize katika mambo haya, kama mtaandika andikeni, lakini mwishowe tutaanza kuwapiga wao kisha tutawapiga nyinyi ambao ni rafiki zetu.

      “Mimi kazi yangu mikoani ni kuimarisha chama, yaani tukikaa ndani bila kutoka nje yanakuwa matatizo, tukitoka nje yanakuwa matatizo, nasema hayo mambo hayapo, waambieni welete hata mtu mmoja aliyetishwa na mimi au hata aliyetishwa na ofisa wangu.

      “Hili siyo jambo jema mnataka kutugombanisha, sasa kama mtaitumia tumieni lakini ipo siku tutaanza kuwapiga na nyingi,” alisema Nape kwa hasira.

    Page 1 of 2 12 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...