Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Serikali inawalinda wanaokashifu dini - Maaskofu

    Report Post
    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
    Results 21 to 40 of 51
    1. #1
      Bangoo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2011
      Posts : 2,280
      Rep Power : 838
      Likes Received
      372
      Likes Given
      0

      Default Serikali inawalinda wanaokashifu dini - Maaskofu

      Baraza la maaskofu catolic Tanzania limemetoa taarifa kuwa serikali imekuwa ikiwakumbatia watu wanaokashifu dini za wanzao!

      Akitoa taarifa ya baraza la maaskofu Tanzania jana Raisi wa baraza hilo Thadeus Ruwaichi alisema serikali imeshindwa kuwachukulua hatua watu waliochoma makanisa huko zanzibar.

      Alisema toka 2010 mpaka sasa makanisa 25 yamechomwa zanzibar na hakuna mtu yoyote anayechukuliwa hatua!.

    2. RukaaJuu Final

    3. #21
      Nanren's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th May 2009
      Posts : 1,048
      Rep Power : 720
      Likes Received
      363
      Likes Given
      562

      Default Re: Serikali inawalinda wanaokashifu dini - Maaskofu

      Quote By Ye Nyumbai
      kuna msikiti hapa arusha unaitwa masjid kuba,hapo kuna kijana anuza kanda na cd za dini yao lakini anachokifanya ni kuweka cd zinazokashifu ukristu wakati wote.ni wazi cd hizo waumini wao wanazipenda na bila hizo hauzi kitu.tunawashangaa viongozi wanalijuwa hili kwamba matokeo yake si mazuri huko tuendako lakini wanakaa kimya.jiulizenu wakristu nao wakaweka mambo hadharani,tanzania itakalika.si kwamba wakristu hawajui habari ya dini zingine ila wakristu wanafundishwa kuvumiliana na kuchukuliana kiubinadamu.pelekeni watoto shule acheni kuwakaririsha mabo wasiyoyaelewa matokeo yake ni kulalamika mnaonewa kila uchao.
      Sasa wewe hofu yako nini?
      Wanachofanya huwa kina negative effect kwao wenyewe. They are not getting any new follower by that strategy. Badala yake, ni dini nyingine tu ambazo zinatumia approach ya upole na upendo ndizo zinazofanikiwa kupata converts wengi. Kwa hiyo wewe wala usiwahofie hao. Just ignore them.

    4. #22
      grafani11's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th May 2011
      Location : Omnipotent Street
      Posts : 2,797
      Rep Power : 964
      Likes Received
      894
      Likes Given
      1363

      Default Re: Serikali inawalinda wanaokashifu dini - Maaskofu

      Hivi serikali haioni wale waliofunga maspika pale mwenge na kukashifu dini ya Kikristo?

      Yesu kuwa mwana wa Mungu inawakera kwelikweli. Naomba kuuliza hawa wanaojiiita waislamu wenye siasa kali, Hivi siku Wakristo wakihoji mambo ya Mtume na mambo yake ambayo Wakristo wanayajua lakini kwa sababu hayawahusu wamekaa kimya, nao watakuwa tayari kuwa wavumilivu?

      Naomba kama Serikali ipo na hao intelijinsia watuambie wapo, watuambie kama hawajaona mihadhara hii, na hapo mwenge wapo kando ya barabara ambayo mwenye nyumba kubwa ya Magogoni hupita karibu kila siku kwenda Bagamoyo.

      Kwa kuwa mihadhara hii ilipamba moto enzi ya awamu ya pili, zikazimwa na awamu shupavu ya tatu, na sasa zimerudi kwa kasi awamu ya nne bila kuchukuliwa hatua yoyote, hatima yake nini?

      Hivi John Mnyika aliposema;


      1. Serikali hii ini dhaifu ilikataa nini sasa?


      Au nikisema ipo nyuma ya pazia itakataa?

    5. #23
      Bangoo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2011
      Posts : 2,280
      Rep Power : 838
      Likes Received
      372
      Likes Given
      0

      Default Re: Serikali inawalinda wanaokashifu dini - Maaskofu

      Dini ya mfanyabiashara na tajiri mkubwa mwenye wake wengi!

    6. #24
      Ye Nyumbai's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 24th March 2011
      Posts : 122
      Rep Power : 438
      Likes Received
      35
      Likes Given
      0

      Default Re: Serikali inawalinda wanaokashifu dini - Maaskofu

      Quote By Bangoo
      Dini ya mfanyabiashara na tajiri mkubwa mwenye wake wengi!
      Naunga mkono hoja 100% kwa 100%.
      waziri/saidi likes this.

    7. #25
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,498
      Rep Power : 19788
      Likes Received
      4313
      Likes Given
      1263

      Default Re: Serikali inawalinda wanaokashifu dini - Maaskofu

      Hiyo haitoshi hata wachoma makanisa wana jitamba kukoswa na risasi.

      Kwa nini maghala ya silaha yasifunguliwe wakamalizwa?

    8. Miaka 50

    9. #26
      agwambo 86's Avatar
      Member Array
      Join Date : 4th April 2011
      Location : temeke
      Posts : 19
      Rep Power : 415
      Likes Received
      3
      Likes Given
      2

      Default Re: Serikali inawalinda wanaokashifu dini - Maaskofu

      mi nawashangaa mnataka serikali ifanye nini nanyie ingieni msituni choma misikiti tuone itakuwaje maana wenzenu ndo wanachokitaka yaani mmechomewa makanisa 25 ndani ya miaka 12 nyie ata madrasa hamjachoma duh..si muwape wanachotaka jamani

    10. #27
      Ye Nyumbai's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 24th March 2011
      Posts : 122
      Rep Power : 438
      Likes Received
      35
      Likes Given
      0

      Default Re: Serikali inawalinda wanaokashifu dini - Maaskofu

      Quote By Nanren
      Sasa wewe hofu yako nini?
      Wanachofanya huwa kina negative effect kwao wenyewe. They are not getting any new follower by that strategy. Badala yake, ni dini nyingine tu ambazo zinatumia approach ya upole na upendo ndizo zinazofanikiwa kupata converts wengi. Kwa hiyo wewe wala usiwahofie hao. Just ignore them.
      NANREN,Siwahofii hawa hata kidogo,kinachonikera ni wao kuwa na very low understanding. Katazame mambo wanyodai kwamba Wakristu wanapendelea kwa kisizingizio cha MOU hayana msingi.Watu hawa hawabaguliwi katika shule za makanisa,vyuo na kila mahali lakini bado wanakaa kuilaumu serikali kuhusu MOU, wajenge mashule,vyuo na mahospitali waone kama serikali haitawaona.Kaangalie hao wanaosambaza ujinga kwa waumini wao,ni njaa full! Guys amkeni!!

    11. #28
      Ye Nyumbai's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 24th March 2011
      Posts : 122
      Rep Power : 438
      Likes Received
      35
      Likes Given
      0

      Default Re: Serikali inawalinda wanaokashifu dini - Maaskofu

      Quote By agwambo 86
      mi nawashangaa mnataka serikali ifanye nini nanyie ingieni msituni choma misikiti tuone itakuwaje maana wenzenu ndo wanachokitaka yaani mmechomewa makanisa 25 ndani ya miaka 12 nyie ata madrasa hamjachoma duh..si muwape wanachotaka jamani
      Unasema kweli kabisa,wanachotaka ni Wakristu wachome misikiti!!Hatujafundishwa hivyo!! Nakwambia ingechomwa japo madrsa wangeandamana Africa Mashariki yote.Wao ni watu wa kuonewa tu siku zote!!!

    12. #29
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,498
      Rep Power : 19788
      Likes Received
      4313
      Likes Given
      1263

      Default

      Hiyo haitoshi hata wachoma makanisa wana jitamba kukoswa na risasi.

      Kwa nini maghala ya silaha yasifunguliwe wakamalizwa?

    13. #30
      Sayfulhaq's Avatar
      Member Array
      Join Date : 22nd April 2012
      Posts : 64
      Rep Power : 369
      Likes Received
      9
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Makupa
      Satanic Verses hivi ni nini
      Ni biblia, sababu c miongoni mwa vitabu vya mungu. Kama una ushahi BIBLIA ni kitabu cha mungu toa hapa. Hivyo bac its verses are satanic verses.

    14. #31
      Bangoo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2011
      Posts : 2,280
      Rep Power : 838
      Likes Received
      372
      Likes Given
      0

      Default Re: Serikali inawalinda wanaokashifu dini - Maaskofu

      Nchi ambazo waislam ni %0.0 zina amani sana! Sijui kwa nini lakini nchi ambazo wako wengi wanauwana wenyewe kwa wenyewe! Dhambi inawatafuna, kwani SARAI MKE WA IBRAHIMU ALIACHA LAANA kutokana na ISHIMAEL KUWA HARAM! Dhambi inawatafuna na bado!

    15. #32
      Sayfulhaq's Avatar
      Member Array
      Join Date : 22nd April 2012
      Posts : 64
      Rep Power : 369
      Likes Received
      9
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By ruttashobolwa
      Hiyo haitoshi hata wachoma makanisa wana jitamba kukoswa na risasi.

      Kwa nini maghala ya silaha yasifunguliwe wakamalizwa?
      Mfumo kristo bwana wao ni kuropoka 2 hawana hoja maskini. Lkn najua tatizo ni akili zilizolala na hivyo kutoona kinachoendelea, ila cku kinakaponuka mbona patashashika nguo kuchanika. Fumbeni macho 2 ila ipo cku mtakuja kuona na LAITI TUNGEJUA ndio utakuwa msemo wenu. Naomba kuwaclisha.

    16. #33
      Tume ya Katiba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2012
      Location : Chumbuni-Zanzibar
      Posts : 2,690
      Rep Power : 0
      Likes Received
      542
      Likes Given
      273

      Default Re: Serikali inawalinda wanaokashifu dini - Maaskofu

      wamezoea kuiburuza serikali ya Tanganyika , znz wamestuck.

    17. #34
      Makupa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 2,176
      Rep Power : 810
      Likes Received
      251
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Sayfulhaq
      Ni biblia, sababu c miongoni mwa vitabu vya mungu. Kama una ushahi BIBLIA ni kitabu cha mungu toa hapa. Hivyo bac its verses are satanic verses.
      Ni vizuri ukasoma 'satanic verses'ndio utajua umuhimu wa kitabu chetu tukufu Biblia

    18. #35
      Inanambo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th June 2011
      Posts : 616
      Rep Power : 523
      Likes Received
      97
      Likes Given
      20

      Default Re: Serikali inawalinda wanaokashifu dini - Maaskofu

      Hawana cha kuwafundisha waumini wao. Mungu wao anajua tu kiarabu lugha nyingine haelewi. Kwa vile biblia imeandikwa kiswahili na inapatikana na si uishike sijui ukiwa umetia uzu ndio sababu wanapenda kuisoma na kuitafsiri kwa lugha zao za kashfa. Siku za nyuma ilikuwa marekani wakasema weeee siku hizi wamepunguza mmarekani haterereki. Sasa ni wamefungulia kukashifu wakristo kuanzia kule vikindu, zakhem mbagala, manzese na sasa wamehamia mwenge kutuo cha mabasi. Wataishia kuwangea ila ipo siku huyo mwenye nguvu asiyepiganiwa kwa upanga wala mabomu atawahukumu.

    19. Re: Serikali inawalinda wanaokashifu dini - Maaskofu
      Ninachofurahi ni kwamba hiyo siku mnayoiita ya kiama mtapanga foleni na Muhamedi wenu halafu YESU atakuwa kwenye lango la peponi akiamua nani apite na nani asipite.Quran yenu imemtaja YESU kuwa intercessor kati ya MUNGU na WANADAMU.......Soma hapa chini*

      "Mention, when the angels, namely, Gabriel, saidstyle="display:none;visibility:hidden;" data-cfsrc="images/misc/unknown.gif" alt="Hardwood's Avatar" />
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st September 2010
      Posts : 392
      Rep Power : 518
      Likes Received
      43
      Likes Given
      16

      Default

      Ni vizuri ukasoma 'satanic verses'ndio utajua umuhimu wa kitabu chetu tukufu Biblia
      Mungu haadiki wala hajawahi kuandika kitabu ila yupo mungu wa ajabu aliyewaandiki.kitabu kilichojaa ushetani mtupu eg kupiga watu mawe mpaka kufa, kukata viungo vya wwatu nk
      aka aya za shetani
    Reply With Quote

  • #37
    Gulwa's Avatar
    Senior Member Array
    Join Date : 16th June 2008
    Posts : 138
    Rep Power : 585
    Likes Received
    46
    Likes Given
    0
  • #38
    Kakubilo Kasota's Avatar
    Senior Member Array
    Join Date : 14th March 2012
    Posts : 166
    Rep Power : 396
    Likes Received
    53
    Likes Given
    21

    Default Re: Serikali inawalinda wanaokashifu dini - Maaskofu

    Quote By Abdalla Khamis
    Nyinyi viongozi wa Makanisa mnataka Serikali ifanye nini kwa kitu ambacho hata ushahidi haupo?,tokio la kuchomwa kanisa Zanzibar bado ni tete , hajajulikana msababishi, au ndio mwatafuta namna ya kuimrisha serikali ikamate tu watu kama mnavofanya?, kwa Zanzibar tunasema basi tena ,amri zenu toeni Makanisani sio Serikalini, ama kwa serikali yenu ya muungano sio Zanzibar.
    Mkuu, hebu piga picha kama walau msikiti 1 tu ungechomwa, nini kingetokea?

  • #39
    Bangoo's Avatar
    JF Senior Expert Member Array
    Join Date : 3rd November 2011
    Posts : 2,280
    Rep Power : 838
    Likes Received
    372
    Likes Given
    0

    Default Re: Serikali inawalinda wanaokashifu dini - Maaskofu

    Dini ya mungu inafundishaga kumchukia binadamu mwenzako! Alafu unasema ni dini ya mnyazi Mungu! Hakika tuache magugu yaote na ngano hata kama magugu ni mengi!

  • #40
    Hemed Suya's Avatar
    Senior Member Array
    Join Date : 6th February 2011
    Posts : 146
    Rep Power : 449
    Likes Received
    23
    Likes Given
    11

    Default Re: Serikali inawalinda wanaokashifu dini - Maaskofu

    kwa mjinga akiambiwa ukweli huona ametukanwa au amekashifiwa

  • Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...