IGP mwema asipojiuzulu, basi hatuna serikali wala bunge. Hii sasa imefika kikomo, siwezi kuamini haya yanafanyika ndani ya nchi yetu. Serikali ya C.C.M ndio chimbuko la haya yote....Heri nitupe kura yangu chooni kuliko kuipigia ccm kura 2015
IGP mwema asipojiuzulu, basi hatuna serikali wala bunge. Hii sasa imefika kikomo, siwezi kuamini haya yanafanyika ndani ya nchi yetu. Serikali ya C.C.M ndio chimbuko la haya yote....Heri nitupe kura yangu chooni kuliko kuipigia ccm kura 2015
Last edited by Muke Ya Muzungu; 1st July 2012 at 23:08.
Duh mchina wangu ameshindwa kufungua picha!
Mara kwa mara maaskari ambao wamepewa dhamana ya kuwalinda raia na mali zao wanatumia nafasi zao katika kufanya uhalifu. baadhi ya viongozi wa jeshi la polisi wanapewa taarifa lakini wanapotezea, hiyo inatufanya sisi wananchi tusiwe na imani na jeshi letu la polisi!
'Our Problems can be solved,our challenges can be met'- Obama
kwa yeyote aende kituo chochote cha police mkoa au wilaya aone mgari binafsi ya mapolice ambao mshara wao yamkini ni laki mbili kwa mwezi lakini anagari la millioni 16
unafikiri wananchi kuchukuwa hatua mikononi wana penda hapana .
wewe ukivamiwa ukitaka msaada police waambie kuna watu wanashusha mzigo wa magendo watakuja hata kwa tax lakini useme jambazi aaa wapi utaambiwa gari haina mafuta
For tommorow belonging to those people who prepared fo it
Du hata huyo mwema ndiyo kabisa sina imani nae, huyo msangi ni kijana wao atakuwa wanamtumia kufanya uhalifu
Jeshi la Polisi limechafuka kwakipindi kirefu sana sasa. Kuanzia kipindi cha Mahita. Badala ya kulisafisha wao wanahamishwa vituo tu. Kumbuka kamanda Chico wa mkoa wa Kilimanjaro alivyokuwa anashirikiana na majambazi kuiba magari, sijui kama yale mabasi yake ya Chico bado yapo au wamebadilisha majina.
Baada ya scandle alihamishiwa DSM, nafikiri kwa sasa yuko usalama wa taifa. Huyu Msangi katika hiyo barua amejibu kwa kebehi; inaonyesha kuna wakubwa wanamlinda ndio maana ana kiburi. Inawezekana hizo mali za wizi wanakula na wakubwa zao.
Simuamini kabisa Mwema na wenzi. Infact jeshi zima la polisi limeoza- hamna wakumuamini tena. Ingawaje wanalipwa mshahara/wana maslahi duni ya kazi; lakini wana-benefit kwenye huu uharamia wanaoufanya ndio maana hawaoni sababu yakudai mishahara/mazingira mazuri ya kazi.
Kuishi kwao nyumba duni ni kiini macho tu, hawa watu (hasa wakubwa wao) wana-illegal sources za income nyingi tu.
Mh . . . .
nchi inanuka hii.
"Serikalii hii ni IMPOTENT kuanzia yule wa juu hadi walioko chini" by Dr. Slaa
Duh mbona barua haijaanzia mwanzo, weka tuyaone hayo majina
" WEAK PEOPLE REVENGE, STRONG PEOPLE FORGIVE AND INTELLIGENT PEOPLE IGNORE"
napita, mana hata nikichangia hawatasikia na hawataelewa
tanzania kwanza!
mnaona leo?
Kama haya ni muendelezo wa liwalo na liwe, basi hatutafika mbali. Inasikitisha sana.
"Wisdom is not a product of schooling, but of the lifelong attempt to acquire it"
Nchi imetekwa na kikundi cha magaidi
Connect the dots...
Kazi ipo.....
Duh! MSANGI tena?
For the Holy Quran says in Sura 42, verse 41: 'All those who fight when oppressed incur no guilt, but Allah shall punish the oppressor, Come the day.
Huyo Msangi kwanini asichomwe moto kama majambazi wengine tunapowakamata!!.
Vua GAMBA Vaa GWANDA
Jaman nashindwa kuelewa sijui tufanyaje coz kila sehemu kumenuka uozo.
Ritz na Zomba mpo wapi njooni na humu museme sio mnaingia kwenye thread zingine na kuharibu mazingira, DHAIFU nyie
Alex, Moses and Patrick ..wale wale.
"Mbowe for Presidency 2015""
Follow Us Here