Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

    Report Post
    Page 5 of 8 FirstFirst ... 34567 ... LastLast
    Results 81 to 100 of 156
    1. #1
      Mkombozi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th February 2008
      Posts : 346
      Rep Power : 644
      Likes Received
      36
      Likes Given
      0

      Default Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

      Leo katika hotuba ya Rais,alikua akitamka kwa sifa kua serikali inawalipa madaktari hela nyingi Tshs 900,000.Ila Laki tisa,ukikata PPF,PAYE inabaki kama TShs 550,000.Ukiangalia Dr anasoma miaka 5,anafanya kazi za riak kubwa sanaMbunge au waziri anapewa maslahi mazito sana,wengi hata ulinzi baada ya kustafu wanapewa.We unampa Dr mshahara net laki tano na nusu unategemea awe na umakini kwkazini.
      Mupirocin and Thanda like this.

    2. RukaaJuu Final

    3. #81
      Thanda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2012
      Location : Multiple Destination
      Posts : 1,891
      Rep Power : 1608
      Likes Received
      566
      Likes Given
      1523

      Default Re: Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

      Zanta una mawazo pevu

    4. #82
      Thanda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2012
      Location : Multiple Destination
      Posts : 1,891
      Rep Power : 1608
      Likes Received
      566
      Likes Given
      1523

      Default Re: Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

      AZA KAMA MIMI VILE...
      Ni kweli bora siasa kwani inalipa..LAKINI TUSISAHAU MAISHA YA WATANZANIA WENZETU

    5. #83
      RRONDO's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd January 2010
      Posts : 2,055
      Rep Power : 888
      Likes Received
      19
      Likes Given
      5

      Default Re: Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

      Wenye kujua naomba mnifahamishe,mshahara wa Dr wa kuanzia ni 900,000(gross or net?). Je wa specialist Dr ni bei gani?
      Maanake hapa watu wanaongea as if hii 900,000 ndio highest Dr anapata.

    6. #84
      Thanda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2012
      Location : Multiple Destination
      Posts : 1,891
      Rep Power : 1608
      Likes Received
      566
      Likes Given
      1523

      Default Re: Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

      I DONT KNOW HOW MUCH ARE THEY BEING PAID, BUT:

      10,000,000-900,000=9,100,000/=

      1 mp=10dr,s

      10=regions=1 dr each (mwanza,kilimanjaro,lindi, mtwara,kigoma,singida,tabora,s hinyanga,mbeya,rukwa) how many lives could be saved in these regions?

      Can 1 mp stands for all these regions?....huh!!!

    7. #85
      Katufu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 8th May 2012
      Posts : 187
      Rep Power : 392
      Likes Received
      77
      Likes Given
      7

      Default Re: Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

      Quote By Mangandula
      Hongera sana mkuu huo ndio wito tunaohitaji kuridhika na mshahara unaopewa, kuna Dr mmoja nilipeleka mgonjwa wangu akaniomba rushwa nikasema sina hela akaniambia sasa mbona umeniletea maiti? Na kweli nilikaa masaa 2 bila mgonjwa kuhudumiwa mpaka anafariki. Hawa madr wa mishahara bora wafukuzwe tu maana hawana msaada kwa wananchi wa kawaida, wakatafute kazi nje ya nchi kwetu hawatufai kabisa maana kama huna kitu kidogo ndio unazikwa hata kwa ugonjwa mdogo.
      Kinachotafutwa hapa ni madaktari kufanya kazi kwa moyo na sio utajiri, unajua huyo dokta angekuwa ameridhika angemtbu mgonjwa wako kwa moyo na labda angepona lakini kutokana na hali aliyo nayo akaopt kukuomba rushwa. Mimi siungi mkono mgomo lakini pia sikubaliani na serikali kutowaongezea angalau wapate moyo wa kufanya kazi. Cha muhimu mgomo ungeisha hata kwa kukubaliana na sio kulazimishana kwamba asiyetaka kazi na aache. HAPA WATAKAOUMIA NI WATU WA CHINI TU NA SIO RAIS KIKWETE, tunapaswa kujifunza kuilazimisha serikali itupatie huduma bora katika maeneo mbalimbali

    8. Miaka 50

    9. #86
      Thanda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2012
      Location : Multiple Destination
      Posts : 1,891
      Rep Power : 1608
      Likes Received
      566
      Likes Given
      1523

      Default Re: Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

      Even if it is net, haitoshi. Maisha ya watu wangapi yanaokolewa kwa hiyo laki 9? Maisha ya watu ni gross au net?

      Ok let say you live ::::net life
      i live ::::gross life..................can this make sense?

    10. #87
      Katufu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 8th May 2012
      Posts : 187
      Rep Power : 392
      Likes Received
      77
      Likes Given
      7

      Default Re: Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

      Mshahara wa kuanzia dr mwenye first degree ni 957,700/= na sio 900,000/=. Na mwaka huu upatanda kuanzia kati ya 15% - 20%

    11. #88
      Thanda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2012
      Location : Multiple Destination
      Posts : 1,891
      Rep Power : 1608
      Likes Received
      566
      Likes Given
      1523

      Default Re: Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

      Katufu umekomaa, kwa hili unaweza kumshauri mtu. Si kwamba tukikosoa ndio tuko upande wa madaktari...hapana. Ila na serikali isihiriki mauaji kwa kuwanyima raia zake haki yao ya msingi. Ikisuluhisha na madaktari ni vifo vingi vinavyookolewa hapa. Sihitaji kutoa takwimu kimkoa au kikanda kuwa ni watu wangapi hufariki kutokana na migomo ya aina hii....kwani itaongeza machungu na kuchochea uhasama dhidi ya pande husika.

    12. #89
      rassadata's Avatar
      Member Array
      Join Date : 16th December 2009
      Posts : 54
      Rep Power : 490
      Likes Received
      3
      Likes Given
      0

      Default Re: Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

      Quote By Mkombozi
      Leo katika hotuba ya Rais,alikua akitamka kwa sifa kua serikali inawalipa madaktari hela nyingi Tshs 900,000.Ila Laki tisa,ukikata PPF,PAYE inabaki kama TShs 550,000.Ukiangalia Dr anasoma miaka 5,anafanya kazi za riak kubwa sanaMbunge au waziri anapewa maslahi mazito sana,wengi hata ulinzi baada ya kustafu wanapewa.We unampa Dr mshahara net laki tano na nusu unategemea awe na umakini kwkazini.

      Kimsingi ulichoandika huna uhakika nacho, mimi mshahara wangu ni 810,000 ,baada ya makato yote nabaki na 630,000.hivyo mwenye kupata laki tisa hawezi kubaki na 550,000. Lakini katika hili la mishahara siwaungi mkono madokta kwani alichosema rais alikuwa sawasawa kabisa.Mchumi, afisa Utumishi, Mwalimu, mhasibu wote wanaoanza kazi wanalipwa laki nne na point.dokta anayeanza laki 9 na point, halafu anadai aongezewe kutokana na kazi yake kuwa ngumu. Kiukweli nakubali kazi yao ni ngumu lkn si wao pekee wenye kazi ngumu,mbona hatuwasemi maaskari wanaolala nje wakilinda benki bila malipo,mbona hatuwasemi walimu wanaoishi kwa kula vumbi la chaki bila kunywa maziwa?

      Katika hili la mishahara JK yuko sahihi,waache kazi na watakuja wengine.siwaungi mkono kabisaaaaaaaaaaaaaaaa.

    13. #90
      Thanda's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th April 2012
      Location : Multiple Destination
      Posts : 1,891
      Rep Power : 1608
      Likes Received
      566
      Likes Given
      1523

      Default Re: Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

      Quote By Katufu
      Mshahara wa kuanzia dr mwenye first degree ni 957,700/= na sio 900,000/=. Na mwaka huu upatanda kuanzia kati ya 15% - 20%
      eLFU 57,700/= ANAKATWA KULIPIA MKOPO ALIOKOPESHWA NA SERIKALI

    14. #91
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,315
      Rep Power : 12588
      Likes Received
      5855
      Likes Given
      771

      Default

      Quote By Herald Hunter
      HAPO NI Mil 1.050.000/= sasa mimi nikisema 900,000/=haitoshi hawanielewi kabisa...jameni hiyo haitoshi kabisa.....
      Mbona unataka kuminyana na muajiri wako? Tatizo lipo wapi wewe tafuta sehemu wanaolipa mshahara mzuri kafanye kazi uko usiladhimishe ulipwe unavyotaka mkuu serikali aina huo uwezo...au nenda TMJ, Agha Khan, Regency, Hindu, kachukuwe mamilioni.

    15. #92
      kygrykos's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 42
      Rep Power : 368
      Likes Received
      0
      Likes Given
      15

      Default Re: Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

      Quote By Ta Kamugisha
      Dah hapo nipite tu mimi, maana ugomvi wa Panzi Furaha ya kunguru, Maana kada za Uhasibu hazitajwi sijui sisi ndo hatufanyi kazi katika mazingira hatarishi! Maana kitendo cha kukaa na Mamilioni ya Watu kila siku ni zaidi ya Mazingira hatarishi, Maana ukiziiba tu Unanye.a Kopo, Sijui na sisi tudai Allowance ipo? Maana iyo Tsh. 446,000/= tunayolipwa na ukikata kodi kinabaki kituko! Na hapo unataka mwanao asome International School.
      duh!.......mishahara yenyewe ndo hio,kunakutoka kweli hapo?

    16. #93
      MWEEN's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th February 2010
      Location : Nainokanoka
      Posts : 315
      Rep Power : 555
      Likes Received
      89
      Likes Given
      175

      Default Re: Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

      Quote By Mkombozi
      Leo katika hotuba ya Rais,alikua akitamka kwa sifa kua serikali inawalipa madaktari hela nyingi Tshs 900,000.Ila Laki tisa,ukikata PPF,PAYE inabaki kama TShs 550,000.Ukiangalia Dr anasoma miaka 5,anafanya kazi za riak kubwa sanaMbunge au waziri anapewa maslahi mazito sana,wengi hata ulinzi baada ya kustafu wanapewa.We unampa Dr mshahara net laki tano na nusu unategemea awe na umakini kwkazini.
      Matatizo hapa sio kwamba 900000 hazitoshi kwa kazi ya madaktari. Tatizo ni pale messenger wa BOT, TRA, etc analipwa zaidi ya hizo. Wao serikali inazipata wapi? tatizo ni pale a lazy Procurement officer (Store keeper) wanapompa TShs 300000 (officially) halafu anamiliki mali za mamilioni bila kuonekana kuwa ni tatizo. Tatizo ni pale Regional traffic Officer anapojenga kitegauchumi worth billions bila mtu kumuwajibisha wakati rushwa kwa hawa trafic inadaiwa na kutolewa waziwazi!

      Kimsingi, madai ya madaktari yanawakilisha dukuduku kubwa la matatizo ya mfumo usiowajibika na wa kulindana katika kufuja rasilmali za taifa na matumizi mabaya ya pesa za mlipakodi. Hii inafanyika waziwazi na hakuna dalili yoyote mbeleni inayoonyesha kuna nia ya dhati ya kuondoa madhila haya. Kinachoudhi, ni maneno yanayotumika kuelezea kinachofanyika kupambana na haya maovu.

      1. Kusingizia utatuaji wa matatizo kufuata utawala bora ambao wote tunajua haupo kwani waliopewa dhamana ya huo utawala ndio wakosaji
      2. Kusingizia kufuata utawala wa sheria wakati kila mtu anajua mahakama zetu sio huru na ni sehemu ya huo uozo
      3. Kutumia vibaya vyombo vya dola kukandamiza haki za raia.

      Kwa hiyo kila Mtanzania anadai chake kwa kuwa inaonekana huo uwezo wa kulipa una matabaka. Wako wanaojiona wana haki zaidi ya kufaidi keki ya taifa zidi ya wengine. Hii itakapoondoka na/au kuonekana kuwa inashughulikiwa kwa dhati, wengine watavuta subira kwani muda utakuwa mfupi na kila mtu atapata kinachowezekana kwa haki ya taaluma yake.

      Hotuba ya Mh. Rais ingeambatana na kuueleza uma serikali inafanya nini kuongeza uwezo wao kuwalipa wataalamu wake, hasa hasa, kwenye kubana matumizi makubwa ya serikali, kuwabana wabadhirifu na kuwachukulia hatua kali (pamoja na kurudisha walichoiba). Haya yanaweza kuongeza uwezo wa serikali kulipa wataalamu wake bila hata kuongeza uzalishaji! Juhudi za kuongeza tija katika uzalishaji ndizo zitaonyesha uhalisia wa kukua kwa hali ya Taifa kiuchumi.

      Kwa maoni yangu, walichoanzisha Madaktari ni mwanzo wa kuanguka serikali kama haitakuwa makini. Walimu wana madai hayo hayo; manesi nao hivyo hivyo, Polisi (wasiokuwa makachero au trafiki) wanasota sana na ndio sababu wasipowasilisha mgawo kwa wakubwa wanatishiwa kupelekwa kikosi cha FFU, mbwa au farasi. Nchi italipuka wote wakigoma. Naona Serikali imecheza kamari kwa kutegemea kudra za mwenyezi Mungu na Walimu wasigome kwa mtindo wa madaktari. Vyovyote vile iwavyo, siku chache za mbaleni zitakuwa na changamoto nyingi kwa watawala. Nawaomba wasitumie nguvu ya dola bali busara.
      "To argue with a person who has renounced the use of reason is like administering medicine to the dead."
      Thomas Paine

    17. #94
      Zanta's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th April 2011
      Posts : 1,300
      Rep Power : 748
      Likes Received
      430
      Likes Given
      362

      Default Re: Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

      MWEEN Kwa hiyo Ma Dr wakitimiziwa shida yao nchi itakalika?
      Better to have a Good Dictatorship than Bad Democracy !!!!

    18. #95
      MWEEN's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th February 2010
      Location : Nainokanoka
      Posts : 315
      Rep Power : 555
      Likes Received
      89
      Likes Given
      175

      Default Re: Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

      Quote By Zanta
      Kwa hiyo Ma Dr wakitimiziwa shida yao nchi itakalika?
      Sina maana kuwa wao wapewe wanachodai. Nina maanisha kuwa huu ungekuwa wakati muafaka wa kuwaeleza na kuwashawishi WaTZ kwa ujumla kuwa matatizo ya mfumo yanashughulikiwa kwa dhati. Kuonyesha kwa vitendo maovu yanavyoshughulikiwa, waovu wanavyowajibishwa, upatikanaji wa haki unavyohangaikiwa.

      Ubovu wa huduma za afya hauanzi kwa siki moja wala kutatuliwa kwa siku moja; Elimu bora haitajengwa kwa siku moja wala haikuanguka kwa siku moja. Kinachotakiwa kwa sasa ni kuonyesha kwa vitendo, nia ya dhati ya kushughulikia haya, na hii ni kwa ajili ya kutumaini kwamba Wa-TZ watawaelewa na kuvuta subira. Kadri wanavyochelewa kuyashughulikia kwa dhat ndivyo watu wanavyopoteza matumaini. Itakapofika hapo ndipo JANGA litakapokuja.
      Zanta likes this.
      "To argue with a person who has renounced the use of reason is like administering medicine to the dead."
      Thomas Paine

    19. #96
      Zanta's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th April 2011
      Posts : 1,300
      Rep Power : 748
      Likes Received
      430
      Likes Given
      362

      Default Re: Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

      Quote By MWEEN

      Kwa hiyo ndugu yangu maneno ya kwenye hutuba yangewekwa hayo maneno ungeridhika?
      Better to have a Good Dictatorship than Bad Democracy !!!!

    20. #97
      MWEEN's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th February 2010
      Location : Nainokanoka
      Posts : 315
      Rep Power : 555
      Likes Received
      89
      Likes Given
      175

      Default Re: Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

      Quote By Zanta
      Kwa hiyo ndugu yangu maneno ya kwenye hutuba yangewekwa hayo maneno ungeridhika?
      Sio suala la mimi kuridhika ndugu yangu. Ni suala la kutumaini kuwa wa-TZ wataelewa na kuvuta subira na kujenga matumaini ya serikali yao kushughulikia kero za muda mrefu.
      Zanta likes this.
      "To argue with a person who has renounced the use of reason is like administering medicine to the dead."
      Thomas Paine

    21. #98
      Kazi Ndiyo Kipimo Cha Utu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th March 2006
      Posts : 1,725
      Rep Power : 1022
      Likes Received
      54
      Likes Given
      6

      Default Re: Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

      Quote By Herald Hunter
      eLFU 57,700/= ANAKATWA KULIPIA MKOPO ALIOKOPESHWA NA SERIKALI
      Hivi mnaelewa kwamba kuna madaktari wanavuta mpaka 5m na zaidi inategemea una miaka mingapi kazini.Vile vile nyumba au posho za nyumba wanapewa.Na rushwa hawaachi na wagonjwa hawawajali very sad....................,Daktar i bingwa kama ndiyo kwanza ameajiriwa analipwa 1.5m! Kuna AMO wanalipwa zaidi ya hizo kutokana na miaka mingi kazini tangu wameajiriwa.
      UKIJUA UNAPOKWENDA NI RAHISI KUFIKA!

    22. #99
      king kan's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th May 2011
      Posts : 417
      Rep Power : 491
      Likes Received
      117
      Likes Given
      2

      Default Re: Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

      Kwa analysis yangu ndogo mshahara wa madaktari kama utaongezwa kufikia mil 3.5 kunaweza kutokea political and social instability kwa kuwa kada nyingine nazo zikidai kiasi hicho cha pesa itakuwa balaa kwani mapato ya ndani kwa mfumo uliopo hayawezi kugharamikia hayo yote. Wote tunakubaliana kwamba wabunge wapunguzwe mishahara na marupurupu lakini kitu kimoja kilichowazi duniani ni kuwa wabunge, ministers, diplomats na hata political leaders wengine ndani ya serikali wana political status. Kwa mfano wote tunakubaliana kwamba ni vigumu mbunge kupanga kwa mfano nyumba ambayo huyo doctor wa intern anapanga kwa kuwa status zao ni tofauti.

    23. #100
      Zanta's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th April 2011
      Posts : 1,300
      Rep Power : 748
      Likes Received
      430
      Likes Given
      362

      Default Re: Mshahara wa TShs 900,000 hautoshi kabisa

      Quote By MWEEN
      Sio suala la mimi kuridhika ndugu yangu. Ni suala la kutumaini kuwa wa-TZ wataelewa na kuvuta subira na kujenga matumaini ya serikali yao kushughulikia kero za muda mrefu.
      Mbona Ma Dr hao hao kabla ya kugoma waliambiwa kua maswala yao yanashughulikiwa na wakagoma? mi hapa siafiki kusema kua maneno yatawafanya watu wavute subira.
      Better to have a Good Dictatorship than Bad Democracy !!!!

    Page 5 of 8 FirstFirst ... 34567 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...