Mimi sielewi hata kidogo,tatizo la watanzania mnataka kudhindana na madaktari wa marekani na sio wa cuba au urusi mlikosomeshwa bure na serikali.watanzania wengi wakija us wanafeli mtihani wa udaktari marekani.kugraduate degree in us loan inakuwa 1million dollars.someni shule za USA ndio mlilie hiyo mishahara.mmesoma urusi ,bongo na bado mnataKa mshahara wa juu . Mtavuna mlichopanda

Reply With Quote


Follow Us Here