Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Hii ni Dharau kwa Fani ya Udaktari!

    Report Post
    Page 8 of 9 FirstFirst ... 6789 LastLast
    Results 141 to 160 of 167
    1. #1
      mcfm40's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd November 2010
      Posts : 127
      Rep Power : 459
      Likes Received
      59
      Likes Given
      1

      Default Hii ni Dharau kwa Fani ya Udaktari!

      Jamani mimi ni mwalimu nafundisha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kama Assistant Lecturer.

      Kusema kweli hii nchi haijui thamani ya madaktari na professionals wengine kwa ujumla.

      Hivi kweli unaweza kulinganisha miaka mitano ya kusomea udaktari na miaka mitatu ya digrii nyingine hizi!?

      Nimeshangaa eti daktari anayeanza kazi analipwa laki 9. Huu ni mshahara mdogo kuliko wa Tutorial Assistant aliyesomea digrii yake kwa miaka mitatu tu tena digirii laini (nimesoma mimi Arts) usinitolee mimacho! Ni laini tu huwezi kulinganisha na nondo za udaktari!

      Kusema ukweli interns wanapaswa kulipwa minimum 2mil. Yaani daktari alipwe sawa na kada nyingine? You are kidding!

      Kazi ya udaktari ni habari nyingine jamani tusidanganyane. Kikwete anachofanya ni kujaribu kugombanisha madaktari na wananchi! Unajua watu wa kawaida hawajui nondo za udaktari zilivyo ngumu na ilivyo ngumu kufaulu! Watu mliokimbia chemistry, physics, biology mnajua habari yake, sio mchezo!

      Hivi inakuwaje serikali imeanza tabia ya kupuuzia kada nyeti kama udaktari? Kiwete anazungumza kwa kubeza tu, anafikiri ni rahisi kama alivyodesa na uchumi wake pale ya Mlimani!? Madaktari pambaneni mtambulikane kama kada maalumu na muwe na commission yenu maalumu ya mishahara.

      Ni kichekesho kwamba mganga wa kienyeji na wenzake wa darasa la saba pale bungeni anakula milioni 7, professionals wanadhihakiwa. What are our priorities?

      Kwa mtindo huu tutaweza kuzuia madaktari wetu kutimkia nje kwenye greener pastures? Na nin nani atapenda hiyo kazi ya udaktari ya kuteseka kusoma mavitu magumu halafu hata hudhaminiwi kwa nini nisichukue kozi laini laini si mshahara ni huo huo?

      Serikali inapaswa kujitathmini upya na kujua vipaumbele vyake. Kazi ya Udakatari haithaminiwi Tanzania! Hatutafika namana hii! Hii ni kazi inayohusisha uhai wa watu lazima tuinvest vya kutosha hapa bial visingizio vyovyote. Kwa hiyo mkishawalazimisha kurudi kazini kwa manunguniko ndiyo watatibia watu kwa juhudi?

      Serikali mnaweka maisha ya wananchi hatarini! Let us be serious. Sidhani kama kuna dakatri analazimisha milioni 3.5; lengo ni kiwango kifikie walau mahali reasonable! Hii inawezekana kabisa, na si kweli kwamba lazima mshahara wa madaktari ukibadilika na kada nyingine zote ubadilike!

      Kama nilivyosema kazi ya udaktari habari nyingine kabisaa! Kuanzia kusomea hadi kazi yenyewe yataka moyo sio sawa na kufundisha darasani!
      Kichuguu, Hofstede, Riwa and 12 others like this.

    2. FemaTV & Radio

    3. #141
      Kimbunga's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Kisiwani Juma
      Posts : 7,477
      Rep Power : 6168
      Likes Received
      3045
      Likes Given
      1017

      Default Re: Hii ni Dharau kwa Fani ya Udaktari!

      Mkuu Red Giant inaonekana wamaching wametuharibu kweli hadi serious negotiations tunazilinganisha na jinsi tunavyopata na wamachinga wakati wa kununua mitumba! Haya turudi kwa wamachinga; hujawahi kuona mmachinga anakuanzia shilingi 10,000.00 na mwisho akanunua kwa shilingi 2,000.00? Kama Madaktari walikuwa waki negotiate kama tunavyofany na wamachinga basi hiyo 15% ni kubwa. Pamoja na hayo yote soma post ya TELO itakuonyesha negotiation ni nini na inafanywaje. Huwezi kwenda kupatana ukiwa wewe hutaki kuachia kitu hata kimoja.
      TELO likes this.
      CCM na CDM vyote ni vyama vya siasa vinavyoongozwa na wanasiasa; tofauti yao kubwa ni moja kwamba kimoja kina dola kingine kinataka kushika dola.

    4. #142
      Ukwaju's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 19th October 2010
      Location : Dodoma
      Posts : 3,429
      Rep Power : 1121
      Likes Received
      634
      Likes Given
      825

      Default Re: Hii ni Dharau kwa Fani ya Udaktari!

      Madaktari si Wazalendo hebu acheni waondoke, MUNGU atatusaidia kuliko kuwapa 7,7m hapana italeta tofauti kubwa au mnataka ya Somalia na Kenya?
      Wanaharakati nao ni wachochezi hivi ikilia Smg tu wataonekana barabaran na mabango?

    5. Nzi
      #143
      Nzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st October 2010
      Location : 740 Park Avenue
      Posts : 3,313
      Rep Power : 21622
      Likes Received
      924
      Likes Given
      822

      Default

      Quote By Lukolo
      Hivi Nelson Mandela university ipo chini ya serikali au chini ya ECOWAS? Ile southern african economic ....? I guess Nelson Mandela university hakimilikiwa na serikali moja kwa moja. Na hapa tunaongelea vyuo vya umma.
      Nadhani ulitaka kumaanisha SADC -Southern African Development Community.

    6. #144
      MKALIKENYA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 708
      Rep Power : 501
      Likes Received
      282
      Likes Given
      407

      Default

      Quote By ngwendu
      mcfm40,

      kama chuo cha udsm ndo kina watu kama nyinyi nimepata jibu kwa nini kimepoteza mwelekeo. miaka hiyo sisi tukisoma hapo hakikuwa hivyo.
      Wewe utakuwa umesoma Tumaini ila una hamu kweli ungesoma UDSM kwa taarifa yako pale ndio kuna cream of the nation na itabaki hivyo kwa karne moja zaidi.

    7. #145
      christine ibrahim's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th February 2012
      Posts : 2,702
      Rep Power : 905
      Likes Received
      432
      Likes Given
      440

      Default

      Quote By Senetor
      hawajaamua tu kuwaondoa,kati ya hao wote hakuna yeyote mwenye ulinzi wa maana!
      Sio hawajaamua,ni kweli ulinzi upo tena wa maana,coz wameshajaribu mara kadhaa wameshidwa!acha kuitetea srkl

    8. Miaka 50

    9. #146
      Kimbunga's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Kisiwani Juma
      Posts : 7,477
      Rep Power : 6168
      Likes Received
      3045
      Likes Given
      1017

      Default Re: Hii ni Dharau kwa Fani ya Udaktari!

      Quote By Ukwaju
      Madaktari si Wazalendo hebu acheni waondoke, MUNGU atatusaidia kuliko kuwapa 7,7m hapana italeta tofauti kubwa au mnataka ya Somalia na Kenya?
      Wanaharakati nao ni wachochezi hivi ikilia Smg tu wataonekana barabaran na mabango?
      Mkuu Ukwaju acha hiyo kitu hailii bali inakohoa!
      CCM na CDM vyote ni vyama vya siasa vinavyoongozwa na wanasiasa; tofauti yao kubwa ni moja kwamba kimoja kina dola kingine kinataka kushika dola.

    10. #147
      Kimbunga's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Kisiwani Juma
      Posts : 7,477
      Rep Power : 6168
      Likes Received
      3045
      Likes Given
      1017

      Default Re: Hii ni Dharau kwa Fani ya Udaktari!

      Quote By Lukolo
      Hivi Nelson Mandela university ipo chini ya serikali au chini ya ECOWAS? Ile southern african economic ....? I guess Nelson Mandela university hakimilikiwa na serikali moja kwa moja. Na hapa tunaongelea vyuo vya umma.
      Mkuu Lukolo hujambo? Hii inaonyesha wazi kabisa kwamba hukusoma Tanzania manake waliosoma Tanzania wanazijua hizo Jumuiya za Kikanda. Wale wa zamani tunakumba ECOWAS, PTA, SADCC (siyo SADC), nk.

      Hiyo ECOWAS mbona ni ya akina Watara!
      CCM na CDM vyote ni vyama vya siasa vinavyoongozwa na wanasiasa; tofauti yao kubwa ni moja kwamba kimoja kina dola kingine kinataka kushika dola.

    11. #148
      Kimbunga's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 4th October 2007
      Location : Kisiwani Juma
      Posts : 7,477
      Rep Power : 6168
      Likes Received
      3045
      Likes Given
      1017

      Default Re: Hii ni Dharau kwa Fani ya Udaktari!

      Quote By Topical
      Sasa hivi tumeanza kuchunguza yafuatayo (kwa taarifa tu)

      a. Madaktari wa serikali wanaofanya kazi za zida private hospitals huku wakitumia vifaa vya hospitali ya taifa hivyo kuvichakaza.. mfano dr. xxxx anafanya part time hospitali yyyy, anachukua diagnosis wa mgonjwa kutoka hospitali yyy na kuzipeleka hospitali ya serikali bila malipo yeyote (wakati yeye analipwa na hospitali yyy)

      b. Madaktari wa serikali wanafanya kazi masaa machache kuliko kiwango huko wakipiga deal hospitali binafsi inasemakana wengi wao wanapata zaidi ya 1,000,000/- kwa siku ..huku wananchi maskini katika hospitali ya taifa wakipikwa tarehe bila kupewa huduma

      c. Tunachunguza pia uuzaji na matumizi mabaya vifaa vya hospitali ya taifa na viongozi wa vitengo ambao ni madaktari, wanauza spea za vifaa vya hospitali ya taifa kwa hospitali binafsi na kanisa

      d. Kuna taarifa za hospitali binafsi kutumia vipimo vya hospitali ya taifa bila malipo stahiki;; hivyo kuvichakaza vyombo hivyo na wengi wanadiriki kuziuza vifaa hivyo kwa hospitali binafsi..

      ubinafsi wa mdrs ndio unafanya vifaa kuchakaa na kupotea.
      Mkuu hapa yataibuka mengi. Nakumbuka Mzee Mwinyi ndio alitoa Ruksa ili madaktari wawe wanatumikia hospitali nyingine baada ya saa za kazi. Wafanyakazi wengine wakaruhusiwa kulima michicha na kufuga kuku ili kujiongezea kipato. Waalimu wakaruhusiwa kufundisha tuition wakitumia mnadarasa hayo hayo ya serikali. Nasikia tuition zilipigwa marufuku (hasa utumiaji wa madarasa ya serikali). Inaonekana madaktari wameutumia huo mwanya vibaya. Wengi wanatumia hospitali za serikali kama meeting point na wagonjwa; unafika pale unamuona anakuambia keshokutwa nitakuwa na clinic Regency tukutane kule!
      CCM na CDM vyote ni vyama vya siasa vinavyoongozwa na wanasiasa; tofauti yao kubwa ni moja kwamba kimoja kina dola kingine kinataka kushika dola.

    12. #149
      Micro E coli's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2011
      Posts : 552
      Rep Power : 492
      Likes Received
      103
      Likes Given
      88

      Default

      Quote By Smarty
      kawaaambia hivi....kama muajiri wa sasa hakulipi unavostahili hums haja ya kigoma.....we acha kazi tafuta miajiri mwingine......
      Kwani pesa hizo niza kwake Jk hajui sisi wananchi ndio tumemwajili yeye ili atupe hizo huduma muhimu.

    13. #150
      Manyi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th December 2011
      Posts : 1,710
      Rep Power : 719
      Likes Received
      288
      Likes Given
      259

      Default Re: Hii ni Dharau kwa Fani ya Udaktari!

      Quote By kimbunga
      mkuu hapa yataibuka mengi. Nakumbuka mzee mwinyi ndio alitoa ruksa ili madaktari wawe wanatumikia hospitali nyingine baada ya saa za kazi. Wafanyakazi wengine wakaruhusiwa kulima michicha na kufuga kuku ili kujiongezea kipato. Waalimu wakaruhusiwa kufundisha tuition wakitumia mnadarasa hayo hayo ya serikali. Nasikia tuition zilipigwa marufuku (hasa utumiaji wa madarasa ya serikali). Inaonekana madaktari wameutumia huo mwanya vibaya. Wengi wanatumia hospitali za serikali kama meeting point na wagonjwa; unafika pale unamuona anakuambia keshokutwa nitakuwa na clinic regency tukutane kule!

      hili nalo neno, hawa jamaa sasa wanatia kichefuchefu mkuu, manake na sisi tunajua sana ufisadi wao, kimbunga umeongea kweli kabisa. Mm nimeishawahi kufika mnh, dr. Akafanya vipimomo vyote, baadae akaniambia niende regency jumamosi ndo clinic yake ilipo. Wamekuwa wabinmafsi sana na wanachakaza sana mashine zetu kwa manufaa yao! Hili wanalisemeaje? Ni bora kuwa na madaktari wachache wazalendo kuliko weengi wabinafsi.

      Kama unaona mshahara haukutoshi si uende huko unakoona kuna maslahi makubwa? Mmesomeshwa kwa kodi za wananchi sasa hivi mmesahau. Hamna utu kabisa, mlikula kiapo lakini sasa inaonyesha maadili ya kazi hamna kabisa.

      Na hao madaktari bingwa ndiyo kabisaaaa, nyie wengine ni fuata mkumbo tu, wao wanahospitali zao binafsi na vioski vya kutosha tu, mtafukuzwa na mtabaki hamna lolote. Madaktari bingwa wamegome kwa sababu ya kuelemewa na mzigo na pia kwa sababu wamezoea kwenda kufanya kazi zao binafsi sasa wamebanwa ndo maana wanagome.

      Hili suala limefikia hatua ya kutafuta suluhu kiustaarabu, kumbukeni anaeumia ni mama yako, baba yako, ndugu yako, wadogo zako n.k ambao walitoa kodi zao ili wakusomeshe.

    14. #151
      Micro E coli's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2011
      Posts : 552
      Rep Power : 492
      Likes Received
      103
      Likes Given
      88

      Default

      Quote By Manyi

      Kwa zarau zako na kejeli zako usitegemee kama tutarudi nyuma sisi sio walimu acha dhihaka wewe.

    15. #152
      jogi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th September 2010
      Posts : 3,985
      Rep Power : 1213
      Likes Received
      972
      Likes Given
      247

      Default

      Quote By zomba
      Mkikosa hoja mnaanza viroja! Jakaya Mrisho Kikwete kawafunga midomo.
      hapana shaka wewe ni mama mwanaasha!!
      mvua likes this.

    16. #153
      Lukolo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd December 2009
      Location : Iringa
      Posts : 3,850
      Rep Power : 6966
      Likes Received
      1993
      Likes Given
      1545

      Default Re: Hii ni Dharau kwa Fani ya Udaktari!

      Quote By Kimbunga
      Mkuu Lukolo hujambo? Hii inaonyesha wazi kabisa kwamba hukusoma Tanzania manake waliosoma Tanzania wanazijua hizo Jumuiya za Kikanda. Wale wa zamani tunakumba ECOWAS, PTA, SADCC (siyo SADC), nk.

      Hiyo ECOWAS mbona ni ya akina Watara!
      Duh, tushazeeka Kimbunga naona kumbukumbu ilishanitoka kabisa. Yaani nilitumia muda mrefu kweli kutafuta jina la hiyo jumuia ya kusini mwa Africa yaani SADC. Thanks kwa kunikumbusha.
      Mtaji mkubwa kabisa wa CCM katika chaguzi zake ni umaskini na ujinga wa watanzania. CCM haitafanya kosa la kuyamaliza matatizo hayo kwa kuwa kwa kufanya hivyo watakuwa wamehatarisha nafasi yao ya kuendelea kutawala

    17. #154
      Manyi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th December 2011
      Posts : 1,710
      Rep Power : 719
      Likes Received
      288
      Likes Given
      259

      Default Re: Hii ni Dharau kwa Fani ya Udaktari!

      Quote By Micro E coli
      Kwa zarau zako na kejeli zako usitegemee kama tutarudi nyuma sisi sio walimu acha dhihaka wewe.

      Bada ya wiki mbili utanipa jibu mzee! Wewe kwa nini unang'ang'ania kufanya kazi serikalini kwwnye maslahi kidogo? Si uended unakokutaka. Kama hauna kioski uataishia kuwa na njaa tu! Manake hata huko Botswana mnakokusema kumeishaanza kujaa. Hayo yalikuwa mambo ya kizamani? Ulaya na Marekani sahau kabia, manake huna hadhi ya kumtibu Mzungu wewe!

    18. #155
      Maundumula's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Posts : 4,915
      Rep Power : 3094
      Likes Received
      1339
      Likes Given
      5643

      Default Re: Hii ni Dharau kwa Fani ya Udaktari!

      Quote By mcfm40
      Jamani mimi ni mwalimu nafundisha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kama Assistant Lecturer.

      Kusema kweli hii nchi haijui thamani ya madaktari na professionals wengine kwa ujumla.

      Hivi kweli unaweza kulinganisha miaka mitano ya kusomea udaktari na miaka mitatu ya digrii nyingine hizi!?

      Nimeshangaa eti daktari anayeanza kazi analipwa laki 9. Huu ni mshahara mdogo kuliko wa Tutorial Assistant aliyesomea digrii yake kwa miaka mitatu tu tena digirii laini (nimesoma mimi Arts) usinitolee mimacho! Ni laini tu huwezi kulinganisha na nondo za udaktari!

      Kusema ukweli interns wanapaswa kulipwa minimum 2mil. Yaani daktari alipwe sawa na kada nyingine? You are kidding!

      Kazi ya udaktari ni habari nyingine jamani tusidanganyane. Kikwete anachofanya ni kujaribu kugombanisha madaktari na wananchi! Unajua watu wa kawaida hawajui nondo za udaktari zilivyo ngumu na ilivyo ngumu kufaulu! Watu mliokimbia chemistry, physics, biology mnajua habari yake, sio mchezo!

      Hivi inakuwaje serikali imeanza tabia ya kupuuzia kada nyeti kama udaktari? Kiwete anazungumza kwa kubeza tu, anafikiri ni rahisi kama alivyodesa na uchumi wake pale ya Mlimani!? Madaktari pambaneni mtambulikane kama kada maalumu na muwe na commission yenu maalumu ya mishahara.

      Ni kichekesho kwamba mganga wa kienyeji na wenzake wa darasa la saba pale bungeni anakula milioni 7, professionals wanadhihakiwa. What are our priorities?

      Kwa mtindo huu tutaweza kuzuia madaktari wetu kutimkia nje kwenye greener pastures? Na nin nani atapenda hiyo kazi ya udaktari ya kuteseka kusoma mavitu magumu halafu hata hudhaminiwi kwa nini nisichukue kozi laini laini si mshahara ni huo huo?

      Serikali inapaswa kujitathmini upya na kujua vipaumbele vyake. Kazi ya Udakatari haithaminiwi Tanzania! Hatutafika namana hii! Hii ni kazi inayohusisha uhai wa watu lazima tuinvest vya kutosha hapa bial visingizio vyovyote. Kwa hiyo mkishawalazimisha kurudi kazini kwa manunguniko ndiyo watatibia watu kwa juhudi?

      Serikali mnaweka maisha ya wananchi hatarini! Let us be serious. Sidhani kama kuna dakatri analazimisha milioni 3.5; lengo ni kiwango kifikie walau mahali reasonable! Hii inawezekana kabisa, na si kweli kwamba lazima mshahara wa madaktari ukibadilika na kada nyingine zote ubadilike!

      Kama nilivyosema kazi ya udaktari habari nyingine kabisaa! Kuanzia kusomea hadi kazi yenyewe yataka moyo sio sawa na kufundisha darasani!
      Nd

      mcfm40,

      Kumbe ndio maana vijana wanatojka UDSM wengine hawana lolote, nimejua sababu ni nyie walimu wao lecturer uchwara ambao mmeingia hapo kwa kutumia majina ya familia zenu au ukabila!

      Kwahiyo wewe unaona vitu ulivyosomea havina thamani kuliko mambo aliyesomea daktari?

      Kwa taarifa yako ndugu kule North America ili ukasomee udaktari inabidi uende kwenye medical school na medical school ni kama Law school inabidi uwe na degree kwanza nyingine mfano Bsc General halafu ndio unaingia kwenye Medical school hii inamaanisha utasoma kwanza 4 years upate ka degree kako halafu ndio utaenda kwenye udaktari.

      Naomba nikuulize swali dogo tu ndugu lecturer kati ya mwalimu wa shule ya msingi anayefungisha kusoma na kuandika na daktari nani bora?

    19. #156
      yatima's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd March 2011
      Location : small room
      Posts : 352
      Rep Power : 486
      Likes Received
      106
      Likes Given
      121

      Default Re: Hii ni Dharau kwa Fani ya Udaktari!

      Quote By ITEGAMATWI
      Mkuu nakubaliana na wewe lakini ndugu zetu madaktari wamezidi,nimeshtuka sana nilipoona kama madai yao yote yakitimizwa daktari atakuwa analipwa Tsh 7,700,000/= kwa mwezi kwa kuanzia na itaendelea kupanda kila mwaka.Wana madai mengine ya msingi lakini madai yao mengi yamelalia maslahi tu.Kwa kweli kwa upande wangu naona Rais amehitimisha hili suala vizuri sana.
      Hapo kwenye red - kwani wewe uko nchi ipi??? hi hii Tanzania??? Fanya utafiti - uone kuna watanzania wenye degree (laini) tena ya 3 yrs wanalipwa 7m kwa mwezi - pamoja na fuel allowance 700,000/= pamoja na allowance kibao wanaposafiri -

      NAKUSHAURI UFANYE UTAFITI TENA HAPA HAPA TANZANIA - BADALA YA KUSTUKA - UTAZIMIA......... NA UTABADILISHA MAWAZO YAKO FINYU!!!!

      DONT BE A WEAPON TO INFLICT PAIN IN OTHER PEOPLE HEARTS

    20. #157
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: Hii ni Dharau kwa Fani ya Udaktari!

      Quote By jogi
      hapana shaka wewe ni mama mwanaasha!!
      Mtaita kila jina.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    21. #158
      Morinyo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th August 2011
      Posts : 700
      Rep Power : 702
      Likes Received
      149
      Likes Given
      75

      Default Re: Kikwete: Madokta wanapendelewa sana

      Quote By Determine
      nimechoshwa na kauli eti daktari anapendelewa kwa kulipwa sana
      ........hebu nisaidieni mishahara ya hawa watu kwa level ya degree wanalipwa ngapi
      ........tanapa
      .........tra
      ..........bot
      ........bandari
      ...
      ....hazina
      ..........msd
      ..........nhif
      ..........kilimo
      ..........mahakama
      .........ubalozini/mambo ya nje
      ..........etc....etc...

      Hazina ndio wanaongoza kwa mshahara mdogo.

    22. #159
      ITEGAMATWI's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 26th January 2012
      Posts : 1,671
      Rep Power : 0
      Likes Received
      423
      Likes Given
      828

      Default Re: Hii ni Dharau kwa Fani ya Udaktari!

      Quote By yatima
      Hapo kwenye red - kwani wewe uko nchi ipi??? hi hii Tanzania??? Fanya utafiti - uone kuna watanzania wenye degree (laini) tena ya 3 yrs wanalipwa 7m kwa mwezi - pamoja na fuel allowance 700,000/= pamoja na allowance kibao wanaposafiri -

      NAKUSHAURI UFANYE UTAFITI TENA HAPA HAPA TANZANIA - BADALA YA KUSTUKA - UTAZIMIA......... NA UTABADILISHA MAWAZO YAKO FINYU!!!!
      Si kweli hata kidogo,hakuna mtumishi wa serikali ambaye anaajiriwa na wizara au halmashauri kama daktari na kulipwa hela zote hizo!Kama unaongelea Private sectors hapo naunga mkono hoja!!

    23. #160
      ITEGAMATWI's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 26th January 2012
      Posts : 1,671
      Rep Power : 0
      Likes Received
      423
      Likes Given
      828

      Default Re: Hii ni Dharau kwa Fani ya Udaktari!

      Quote By 4change
      hapa mwenye pumba ni wewe bwana mdogo na usidhani kila mtu anaendaga kwenye vijiwe!!kama mada hujailewa ipotezee kuliko kujaza utumbo hapa.
      Kama kuna profesa,mwalimu,injinia au mwl anayeona analipwa kidogo anasubiri nani amsemee?kama haiwezi kuwalipa madaktari 'vizuri' na kuwaboreshea mazingira ya kazi basi ijiuzulu,maana kuna jukumu gani kubwa tulilowapa serikali zaidi ya kulinda uhai wetu ambayo ndiyo haki yetu ya kwanza na ya msingi?
      Wewe hovyo sana,Kwahiyo unataka walipwe hiyo hela then sekta nyingine zote zigome pia halafu iweje?Yaani hata hueleweki unaongea kitu gani.Malipo ya Mil 7.7 ni mfanyakazi gani wa serikali kuu au halmashauri analipwa hivyo?hebu acha kuwa mpungufu wa fikra wewe na wenzako wa vijiweni!Unataka bajeti ya mwaka iwe inalipa mishahara na marupurupu ya madaktari tu bila miradi ya maendeleo!!Nyie watoto mngeongeza bidii kwenye masomo yenu badala ya kupoteza muda jamvini matokeo yake mnaambulia zero tu!Hivyo kabisa.

    Page 8 of 9 FirstFirst ... 6789 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...