kawaulize TRA.. Unatujazia server tu
hapo lazima padri kala ganji amalizie hotel yake na tengeru
wivu ni kidonda ...ukiushiriki utakonda
Mi sioni ishu hapo! Kwani mangapi yanatokea chini ya serikali dhaifu yenye uongozi dhaifu? LIWALO NA LIWE BANA! EBOO!
Si unajua hii ni serikali gani? Basi jibu unalo!! Utajua wamelipa au hawajalipa ukiijua serikali yenu ikoje!!
Ata kodi ikilipwa nani ananufaika au ni ujinga wako tu, na kama haijalipwa na mtu amepewa mali yake jibu unalo serikali DHAIFU
Follow Us Here