Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Kabla hawajatuletea madaktari, je hali ya maisha Iran ikoje?

    Report Post
    Page 4 of 5 FirstFirst ... 2345 LastLast
    Results 61 to 80 of 95
    1. #1
      Don Draper's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 30th May 2012
      Posts : 138
      Rep Power : 379
      Likes Received
      62
      Likes Given
      25

      Default Kabla hawajatuletea madaktari, je hali ya maisha Iran ikoje?

      Nimeambiwa kuwa Iran bado wanaishi kwenye zama za mawe sasa iweje wao leo wanataka kutuletea madaktari?

      Hii ni nafasi yetu sote kufanya research kujua huko Iran hali ikoje?
      mkorakamili likes this.

    2. RukaaJuu Final

    3. #61
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,315
      Rep Power : 12588
      Likes Received
      5854
      Likes Given
      771

      Default Re: Kabla hawajatuletea madaktari, je hali ya maisha Iran ikoje?

      "Kuna kontena la futi 40 lilobeba karatasi za kupigia kura limekamatwa Tunduma" Dk W. Slaa

    4. #62
      Nicholas's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2006
      Posts : 5,149
      Rep Power : 3647
      Likes Received
      1311
      Likes Given
      2173

      Default Re: Kabla hawajatuletea madaktari, je hali ya maisha Iran ikoje?

      Sasa huji kama una hela unaweza nunua wanasayansi kibao na ukafanya haya na zaidi.kawaulize Qatar world cup watakuwa na viwanja nyenye A/C wakati ulaya hawana.Sijui utadai kuwa technologies zao?Labda ungeniambia kuwa wana technologia mpya na ya tofauti ila kama ni hizi za kununua.Kakoje ulale.Bakhresa naye anafunga vitu vingi sana sijui kam ana patent ya chochote ktk packaging?
      SIMPLY THE RADICAL: I can`t wait to see the criminalization of CCM,UWT,Bunch of Policemen/women,and all wanafiki na wachumia tumbo.

    5. #63

      Quote By mkorakamili

      JF sio sehemu ya porojo weka majina ya hao wana sayansi waliowanunua kumbe mkikaa kwenye vijiwe vyenu vya mbege mnadanganyana sana.
      "Kuna kontena la futi 40 lilobeba karatasi za kupigia kura limekamatwa Tunduma" Dk W. Slaa

    6. #64

      ktk red: hawarushi as...nomy ila astronaut.Na hawajaweza hata fikisha mtu mwezini, huko ktk sayari wangefikaje?Na ni sayari ipi?hao jamaa wameenda umbali fulani ktk maeneo ya kuitoka anga ya dunia na kuizunguka dunia.
      We kimeo usitudanganye, kipindi hicho ilikuwa Persian na si Iran.Kuwa Iran kunabadili mambo sana.Kama ilivyokuwa kwa Waarabu kabla ya Uislam walikuwa na tamaduni zao waandishi wao, washairi,na walikuwa wakishirikiana vizuri sana na wayahudi na watu wengine.Ila hi Iran inatafuta maadui ili iweze jikubali.
      .Waislam wanataka chukua credits toka katika staarabu hizi. Kipindi Iran ikiwa Persia ilikuwa na mahusiano na ustaarabu wa sehemu tofauti na walijiendeleza sana ktk nyanja nyingi.Baada ya uislam walijifunga ktik mambo mengi,ingawa bado kwa asili si waarabu na hivyo kutomaliza kabisa upande wao wa kielimu.

      Cha kushangaza pia mwandishi anasahau Iran sio medical tourist destination kwa calibre ya India,Brazil, Agentina,cuba, etc.Wote hawa wanapokea watalii masupa star wanaokuja kufanya mamabo mbalimbalia ya kiafya na kiurembo .Hapa tuaongelea zaidi suala la Madaktari na ghrama ya ushenzi wanaotuletea.Brazill wana uwekezaji mzuri nchini, na Maximo ni sehemu ya Lobbying entity.Kwanini Jk asiwaombe kama alikuwa anadhani mamabo yake yana busara?

      Hata kipindi cha miwnyi hadi mkapa kulikuwa na vijarida vingi sana vya mapenzi, udaku etc .hadi vikapigwa marufuku ila haikumaanisha tulikuwa wazuri sana ktk hizo nyanja.hata wasomi wa kiislam wana vijariba na vitabu vingi vya hovyohovyo viavyozunguka ktk kuupamba uislam ktk ulimwengu wa sayansi
      Hakuna mtu yoyote duniani ambaye kafika kwenye sayari.
      "Kuna kontena la futi 40 lilobeba karatasi za kupigia kura limekamatwa Tunduma" Dk W. Slaa

    7. #65
      TZ biashara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th March 2012
      Posts : 513
      Rep Power : 531
      Likes Received
      98
      Likes Given
      224

      Default Re: Kabla hawajatuletea madaktari, je hali ya maisha Iran ikoje?

      Quote By mkorakamili
      Ni wadini kama wewe, na kuwakaribisha ni kuruhusu matendo yao ya kutuingiza katika migogoro na maadui zao wote.(Saudi Arabia,Qatar, Israel, US,EU na jumia nzima ya kimataifa.).Wote hapa ni muhimo kuliko Iran.

      Kama kwa miaka yote hujaona kazi ifanywayo na iranian embassybasi una matatizo makubwa ktk uelewa wa uzalendo, uelewa wa tatizo lipo wapi.
      Bado hujaweza kuleta data kamili hapa kwasababu wewe ni mdini ndio maana unalazimisha udini na hivo huna uzalendo kwa manufaa ya Taifa.
      -Sisi inatuhusu nini migogoro yao na hao uliowataja?
      -Unasema kuruhusu matendo yao hebu toa maelezo ya hayo matendo ni matendo gani na yanatuhusu nini sisi?
      -Je ni kazi gani inayofanywa na ubalozi wa Iran ili itunufaishe na sisi?
      -Dalili gani ulizoona kama wairan ni wadini?

      Hivi leo nimesoma sehemu inazungumzia kuhusu uhusiano wa Kenya na Iran kwasababu wamarekani wamewakataza wakenya wasinunue mafuta ya Iran and guess what..wakenya wamekataa na wamesema wamesaini uhusiano na Iran na kwa manufaa ya wakenya kwa hivo wataendelea kununua mafuta na wamarekani wasiingilie uhusiano wao,unadhani hawana akili?Angalia mfano wa EU sasa hivi inavosafa na uchumi na yote hayo yamekuja kwasababu ya kumuwekea vikwazo Iran na hivo kuifanya Iran isiuze mafuta yake EU.Na kingine kunauwezekano wa kuja kujigawa bara la ulaya kutokana na siasa zao kuwa ngumu.Halafu nchi zao ndio zinaumia zaidi kwasababu hawana rasilimali kama nchi za Afrika,Rusia,arabian mpaka persian na kwengine.Wanategemea zaidi nje kwa asilimia kubwa kuliko huyo muiran ambae anajitegemea kila kitu kwa asilimia 90 yaani asilimia 10 tu.Sasa njoo huku kwetu sisi ni mahodari wa kimataifa ktk ushabiki na kingine kinachofuata ni ushirikina na ndio ulipotufikisha hapa leo bila kujali maslahi ya nchi na kujiweka tuwe wabinafsi.
      Wapo wanaopenda kuona na kusikia lakini wapo wanaojifanya vipofu na viziwi

    8. Miaka 50

    9. #66
      Helios's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 7th April 2012
      Posts : 138
      Rep Power : 386
      Likes Received
      20
      Likes Given
      47

      Default Re: Kabla hawajatuletea madaktari, je hali ya maisha Iran ikoje?

      waziletaje hizo hospitali?na kwanini sasa na sio kabla. wangeanza na ukarabati wa ubalozi wao Tanzania

    10. #67
      Sting's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd June 2011
      Location : Mafichoni
      Posts : 680
      Rep Power : 537
      Likes Received
      134
      Likes Given
      48

      Default Re: Kabla hawajatuletea madaktari, je hali ya maisha Iran ikoje?

      Ndio najua kwanin tuliwapa bendera yetu waweke kwenye meli yao.

      Nipe nikupe!!

    11. #68
      Nicholas's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2006
      Posts : 5,149
      Rep Power : 3647
      Likes Received
      1311
      Likes Given
      2173

      Default Re: Kabla hawajatuletea madaktari, je hali ya maisha Iran ikoje?

      Quote By TZ biashara
      Bado hujaweza kuleta data kamili hapa kwasababu wewe ni mdini ndio maana unalazimisha udini na hivo huna uzalendo kwa manufaa ya Taifa.
      -Sisi inatuhusu nini migogoro yao na hao uliowataja?
      -Unasema kuruhusu matendo yao hebu toa maelezo ya hayo matendo ni matendo gani na yanatuhusu nini sisi?
      -Je ni kazi gani inayofanywa na ubalozi wa Iran ili itunufaishe na sisi?
      -Dalili gani ulizoona kama wairan ni wadini?
      -Iran wala huhitaji dalili ili uwaite wadini.(Jina tuu+ Matendo)-hakuna wafanyacho kitengenishwe na dini.Ndio police ya nchi.Rais kasimamia hilo, na hata akiwa ktk mikutano ya kimataifa huwa nahubiri dini zaidi.anamsubiri Mahdi aje.Na anasema anahisi kuwa ana ujumbe wa Mungu.Au hukusikia wewe ,unataka kuwa dhaifu huku ukijisikia kuwa una majukumu ya kuelimisha.

      -Itatuhusu tukianza uhusiano na Iran.Kwani hujaona uamsho na waislam wengine wanavyoanza kulifanya taifa liwe hostile kwa mataifa yasiyo rafiki na iran isnt that enough kukuonyesha kuwa tie na wao, inatupelekea chukia mataifa muhimu kuliko wao.Kwanza mafuta ya Saudi Arabia ni bora kuliko yao,Pili madaktari wa Israel, India, Brazili,Agentina,US, German ni bora kuliko wao, na jumuia ya kimataifa inatugharamia zaidi.Kwani Mugabe kwa kujipendekeza na ghdafi na hawa jamaa kumewainua wapi?Instead ukihesabu hela waliyowekeza kwa maendeleo ya nchi yetu hayakuti nchi km denmark na sweden, zaidi ya Vituo vyao sijui vya culture ambavyo ni uislam tupu.Wenzao wa magharibi wanasupport culture nyingi hata huku TZ.Lini umesikia Iran ikawapa msaada hospital au shule ya kanisa?

      -matendo yao ni ugaidi, n akutaka kutuingiza ktk migogoro yao, kwanini watumie bendera yetu?Hujui tumia bendera ya nchi nyingie ni act inayoweza hata leta vita?Sijui passpor ngapi zetu wanatumia?Iwaspo Israel walitumia za UK kuwaua magaidi wa hamas Dubai,Ilibidi wamalizane kimyakimya na balozi wa israel akaitwa.Unajua hizo bendera zimetumiwa kuchafua taifs letu ktk mamabo mangapi zaidi ya meli?
      SIMPLY THE RADICAL: I can`t wait to see the criminalization of CCM,UWT,Bunch of Policemen/women,and all wanafiki na wachumia tumbo.

    12. #69
      Nicholas's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2006
      Posts : 5,149
      Rep Power : 3647
      Likes Received
      1311
      Likes Given
      2173

      Default Re: Kabla hawajatuletea madaktari, je hali ya maisha Iran ikoje?

      Quote By Ritz
      JF sio sehemu ya porojo weka majina ya hao wana sayansi waliowanunua kumbe mkikaa kwenye vijiwe vyenu vya mbege mnadanganyana sana.
      Kweli wewe kichwa maji, porojo nikupige za nini?vinu vya nuclear kuna ambavyo vinajengwa na wafaransa na vingine warusi.Na vingine North keans, na vingine who knows Pakistanis au bush sceinetist wao.Hilo ni eneo moja.

      Katika afya hawana cha kujivunia kihivyo, wala kutuchanganya kihivyo.Nimekupa mifano ya nchi kadhaa ndogo ambazo Iran akipimi uzito naona mmeikimbia hiyo mifano ili mpate sehemu ya kutokuwa wazalendo km wengine
      SIMPLY THE RADICAL: I can`t wait to see the criminalization of CCM,UWT,Bunch of Policemen/women,and all wanafiki na wachumia tumbo.

    13. #70
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,315
      Rep Power : 12588
      Likes Received
      5854
      Likes Given
      771

      Default

      Mkorakamili.

      Naona unakuja na porojo tena narudia tena JF ni shule kuna great thinkers ukija na mabandiko yako lazima uje na data na facts za kutosha, sasa naona unakuja maneno matupu tu...tuwekee hao Wafaransa, Warusi, Wakorea tuwafahamu...kama maneno matupu hata mie naweza kukwambia Tanzania wamerusha chombo angani.

    14. #71
      makwesa's Avatar
      Member Array
      Join Date : 17th June 2012
      Posts : 49
      Rep Power : 358
      Likes Received
      4
      Likes Given
      0

      Default Re: Kabla hawajatuletea madaktari, je hali ya maisha Iran ikoje?

      nilikuwa sifhamu kumbe irani ni nomaaaaa!

    15. #72
      Nicholas's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2006
      Posts : 5,149
      Rep Power : 3647
      Likes Received
      1311
      Likes Given
      2173

      Default Re: Kabla hawajatuletea madaktari, je hali ya maisha Iran ikoje?

      Quote By Hans Roger Dibagula
      haha , waulize wana ngapi? Mbona hizi hela walizotufisadi wanaojiuza kwa hawa jamaa zinaweza nunua na kujega zaidi ya hizi?How much kwani?
      SIMPLY THE RADICAL: I can`t wait to see the criminalization of CCM,UWT,Bunch of Policemen/women,and all wanafiki na wachumia tumbo.

    16. #73
      Nicholas's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2006
      Posts : 5,149
      Rep Power : 3647
      Likes Received
      1311
      Likes Given
      2173

      Default Re: Kabla hawajatuletea madaktari, je hali ya maisha Iran ikoje?

      Quote By Ritz
      Mkorakamili.

      Naona unakuja na porojo tena narudia tena JF ni shule kuna great thinkers ukija na mabandiko yako lazima uje na data na facts za kutosha, sasa naona unakuja maneno matupu tu...tuwekee hao Wafaransa, Warusi, Wakorea tuwafahamu...kama maneno matupu hata mie naweza kukwambia Tanzania wamerusha chombo angani.
      Soma hizi link ktk wikipdia halafu ushuke mpaka ktik history.Kutoke hapo utaweza soma link nyingine nyingi.
      Bushehr Nuclear Power Plant - Wikipedia, the free encyclopedia
      IR-40 - Wikipedia, the free encyclopedia

      Hayo mapicture uliyoweka hapo hata mimi nikipita dar na kukusanya pictures na nikipiga vizuri utaiona Tz katik sura nyingine.Mbaya nisipige usiku.
      Hivyo vikombora havina tofauti na makomandoo wetu.Wanaweza wafanyia raia mamabo ya Kubenea, dr.Uli na hata mtu kama mimi ili hawawezi simama na SEAL.
      SIMPLY THE RADICAL: I can`t wait to see the criminalization of CCM,UWT,Bunch of Policemen/women,and all wanafiki na wachumia tumbo.

    17. #74
      Nicholas's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2006
      Posts : 5,149
      Rep Power : 3647
      Likes Received
      1311
      Likes Given
      2173

      Default Re: Kabla hawajatuletea madaktari, je hali ya maisha Iran ikoje?

      Ritz Iran ni taifa linalojuta kwa staili tofauti.Maandamano ya kipindi kile na mauaji yaliyotokea, upitishaji wa unga unaopita pale(hub kuelekea ulaya), uchumi ulivyoharibika , idadi ya drug addicts despite uwepo wa islam, conflicts ktk utawala wa kiserikali na ayatollah, international pressures, si km unavyotaka tuaminisha hapa.Hivyo vikombora kama ni mziki vinachapika ,watu wenye imani za kupenda uhai ,huwa wanaangalia njia ya kupunguza au kuondoa damage.Ila si huu ushabiki.

      Iran ni strategic position yake tuu ndio inaleta shida+ wenzio wanasubiri tuu wa russia , chinese, France contractors wamalize kazi tuu, halafu kitakachofuata utakiona.Syria wamelengeshwa na Uturuki, wameangusha ndege 2.Sasa uone mziki wake.Hao iran sasa wanakimbizana na kivuli chao na habari zote za kichambuzi ni propaganda tuu ila mwishowe ni mfupi sana.Saudi Arabia,keshakuwa amed vya kutosha na wana vita baridi pale iraq, bahrain na yemen.Huwa wakitonywa tuu waongeze mafuta wapo tayari.Ngoja bomba za mafuta ziwekwe vyema pasihitajike tena meli kukatiza ktk arabia strait/persian gulf.
      Last edited by Nicholas; 3rd July 2012 at 23:13.
      SIMPLY THE RADICAL: I can`t wait to see the criminalization of CCM,UWT,Bunch of Policemen/women,and all wanafiki na wachumia tumbo.

    18. #75
      TZ biashara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th March 2012
      Posts : 513
      Rep Power : 531
      Likes Received
      98
      Likes Given
      224

      Default Re: Kabla hawajatuletea madaktari, je hali ya maisha Iran ikoje?

      Quote By mkorakamili
      -Iran wala huhitaji dalili ili uwaite wadini.(Jina tuu+ Matendo)-hakuna wafanyacho kitengenishwe na dini.Ndio police ya nchi.Rais kasimamia hilo, na hata akiwa ktk mikutano ya kimataifa huwa nahubiri dini zaidi.anamsubiri Mahdi aje.Na anasema anahisi kuwa ana ujumbe wa Mungu.Au hukusikia wewe ,unataka kuwa dhaifu huku ukijisikia kuwa una majukumu ya kuelimisha.

      -Itatuhusu tukianza uhusiano na Iran.Kwani hujaona uamsho na waislam wengine wanavyoanza kulifanya taifa liwe hostile kwa mataifa yasiyo rafiki na iran isnt that enough kukuonyesha kuwa tie na wao, inatupelekea chukia mataifa muhimu kuliko wao.Kwanza mafuta ya Saudi Arabia ni bora kuliko yao,Pili madaktari wa Israel, India, Brazili,Agentina,US, German ni bora kuliko wao, na jumuia ya kimataifa inatugharamia zaidi.Kwani Mugabe kwa kujipendekeza na ghdafi na hawa jamaa kumewainua wapi?Instead ukihesabu hela waliyowekeza kwa maendeleo ya nchi yetu hayakuti nchi km denmark na sweden, zaidi ya Vituo vyao sijui vya culture ambavyo ni uislam tupu.Wenzao wa magharibi wanasupport culture nyingi hata huku TZ.Lini umesikia Iran ikawapa msaada hospital au shule ya kanisa?

      -matendo yao ni ugaidi, n akutaka kutuingiza ktk migogoro yao, kwanini watumie bendera yetu?Hujui tumia bendera ya nchi nyingie ni act inayoweza hata leta vita?Sijui passpor ngapi zetu wanatumia?Iwaspo Israel walitumia za UK kuwaua magaidi wa hamas Dubai,Ilibidi wamalizane kimyakimya na balozi wa israel akaitwa.Unajua hizo bendera zimetumiwa kuchafua taifs letu ktk mamabo mangapi zaidi ya meli?
      Maoni yako yapo kipropaganda zaidi tena yasiyo na manufaa ktk nchi yako ila kwa mapenzi yako ni sawa tu na unayo haki ya kuchukia na kupenda nchi ipi.Ila DINI na UDINI ni vitu viwili tofauti.Dini ni imani ya mtu kufuata dini aitakayo na udini ni mtu kuwa na ubaguzi wa kidini.Haina maana kwamba nchi ya kidini ndio ya ubaguzi ila kama vipo vitendo ambavyo vinabagua dini tofauti ndio vitaitwa vya kibaguzi.Iran ni nchi yenye kufuata sheria za kiisilamu lakini inaheshimu dini tofauti kwasababu katika uisilamu unapinga ubaguzi.Lakini pamoja na uisilamu wao wanaishi na dini tofauti kama wayahudi,wakristo na hata masingasinga au mabaniani vilevile wapo na wanapewa haki zao kama raia ilimradi hawakiuki sheria ya nchi.Na kila dini wamepewa nafasi ya kuchagua viongozi wao kuiwakilisha dini yao ktk bunge la Iran na ukipata sehemu kama hiyo ujue umebahatika kwasababu hata Saudi Arabia hawawezi kutoa heshima kama hiyo.

      Suala la Uamsho halihusiani na Iran ila kama utapenda kulitumia hilo ni jukumu lako mwenyewe lakini ni vizuri tutumie data za ukweli kuliko kupachika mambo yasiyohusika ili ujipe ushindi, huo mimi siuiti ushindi ila uchakachuaji.Kwani tumekuwa na kasumba ambazo ndizo zilipofikisha hapa bila kijijua.Ikiwa unasema Uamsho wanapewa nguvu na Iran sasa na vyama vyetu vya kisiasa kwamfano CDM wanapewa na nani?Kwanini tusijadiliane kikweli na haki zaidi ili tujue tutanufaika na kipi au hasara ipi tutakayoipata nadhani hilo ndio la msingi zaidi kuliko kujitia hamnazo na kuongea kiushabiki na kasumba tele.

      Na kasumba nyingine iliyojitokeza hapa ni ya mafuta na kusema mafuta ya Saudi Arabia ni mazuri kuliko ya Iran.Na madaktari wa Israel,India,Cuba,Brazil,Germa ny,USA na Argentina ni bora kuliko Iran.Sishangai ukasema hivo kwakuwa tayari umekuwa na negative ktk nchi ya Iran.Sasa pamoja na uzuri wao kwanini hawajajitokeza kuja kutusaidia sisi ktk matatizo haya ila wale unaowaona mambumbu ndio wapo tayari kuja kuokoa maisha ya watanzania.Udokta unakuwa na ubora wake kwa fani tofauti nadhani kila nchi inasifika kwa uhodari wake.Sasa kwakuwa wewe tayari sumu imekuingia kwenye ubongo wako huwezi ukatambua uzuri wa Iran ila ubaya tu.Mafuta ya Iran yanaubora zaidi kwakuwa wanajitahidi kutumia technology ya hali ya juu tena wenyewe wairan bila kusaidiwa lakini Saudi Arabia wao wanafanyiwa kila kitu.

      Sijawahi kusikia Iran imefanya ugaidi ila wao wanafanyiwa ugaidi na wamagharibi.Na sababu na nia wanazo za kuwafanyia ugaidi kwasababu nchi inainuka ki-technology na wamagharibi hilo hawataki kilisikia.Kwasababu wanaipenda nchi yao hivo wanaiongoza kwa haki na kusomeshana kwa bidii kwasababu wanajua ipo siku rasilimali zitaisha hivo technology ndio zitainua uchumi wao.Lakini sisi rasilimali zitakapoisha wazungu wakishazimaliza tutabaki watupu hatuna mbele wala nyuma ila tutanufaika na kasumba zaidi.

      Halafu unaongea vitu bila ya uhakika wowote au data zozote kuhusu passport zetu kutumika na wairan.Hawa jamaa hawana shida ya kutumia vitabu vyetu wala hawana shida ya kujikomba ila wao wanatafuta uhusiano mzuri tu na nchi nyingi zimekubali kutokana na hawana historia mbaya hata kidogo.Na ingekuwa wairan ni wabaguzi wa dini sidhani kama wangekuwa na uhusiano wa karibu na nchi za kikristo.Tena anaheshimika raisi wao anapotua baadhi ya nchi za kikristo.Imagine wanawajengea Venezuela CITY tena babu kubwa na wanaisaidia Venezuela kwa technology hadi wametengeneza ndege isiyo na rubani na wamewafungulia kiwanda cha kuunda magari ya kiirani yote haya wanaisaidia nchi ya Venezuela kuwaongezea ajira watu wao na yote haya ni kwa ushirikiano wa dhati usio na dosari.Japokuwa wanafanya kwa faida ya nchi yao lakini hawana uchoyo hata kidogo.Angalia hapa kwetu hizi kampuni zinazochimba rasilimali zetu jinsi wanavonufaika zaidi kuliko sisi wenye nchi,kwasababu tunapata asilimia 30 tu katika 100.Hauoni kama ni unyonyaji?Na yote haya hatukupewa elimu kwakuwa elimu yetu ingeweza kuiokoa nchi yetu na kujitoa ktk umasikini na sasa hivi tunatawaliwa na siasa na udini.

      Unaongelea kuhusu hamas na israel haya ndio hata sitaki kuyagusa kwasababu yanajieleza yenyewe ila kila mtu anachaguo lake uwe ktk kundi la hasi au chanya sasa hapo ni chaguo lako.
      Wapo wanaopenda kuona na kusikia lakini wapo wanaojifanya vipofu na viziwi

    19. #76
      Duduwasha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2010
      Posts : 2,620
      Rep Power : 6249
      Likes Received
      523
      Likes Given
      418

      Default Re: Kabla hawajatuletea madaktari, je hali ya maisha Iran ikoje?

      History

      Main article: Military of Iran
      From 1925 to the Iranian Revolution in 1979, Iran used to be equipped with the very latest Western hardware. Cases exist where Iran was supplied with equipment even before it was made standard in the countries that developed it (for example the US F-14 Tomcat, or the British Chieftain Tank). Primary suppliers included the United States, Britain, France, the Federal Republic of Germany (West Germany), Italy, Israel, and the Soviet Union.

      The Iran–Iraq War, and post revolutionary sanctions at the time had a dramatic effect on Iran's inventory of western equipment. Under the pressures of war, all supplies were quickly exhausted and replacements became increasingly difficult to come by.

      The war eventually forced Iran to turn to the Soviet Union, North Korea, Brazil, and China to meet its short term military requirements. Nevertheless, the experience of using quality equipment was not lost on any of the branches of the Iranian armed forces. Disappointed by the older Warsaw Pact equipment, Iran sought to develop its own ability to mirror the technology of its likely enemies, the West and to provide a totally reliable source of equipment for the future.

      After the Iranian revolution, developments in military technology were carried out with the technical support of Russia, China, and North Korea; building upon the foundations established by western contractors. Iranian reliance on these countries has rapidly decreased over the last decade in most sectors as Iran sought to gain total independence; A major exception however, is the aerospace sector, where Iran is still dependent on external help.

      Iran has, at present, reverse engineered existing foreign hardware, adapted it to their own requirements and then mass produced the finished product. Examples of this abound, such as the Boragh and the IAMI Azarakhsh. In an attempt to make its military industries more sustainable Iran has also sought to export its military products, see Iranian Military Exports. JOTI HUSEMA COPY AND PASTE ningeomba wawaigize na hawa Pia

    20. #77
      Nicholas's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2006
      Posts : 5,149
      Rep Power : 3647
      Likes Received
      1311
      Likes Given
      2173

      Default Re: Kabla hawajatuletea madaktari, je hali ya maisha Iran ikoje?

      Ritz nadhani atakuwa ameona.Jamaa wanfanya reverse engineering ya hardware za miaka fulani kurdi nyuma.Siku hizi jamaa wanatengeneza kila kitu kwa namna ya kuzuia reverse engineering kwa kiasi kikubwa iwezekanavyo.Hii inahusisha hardware na software.Vifaa vingi vina either self distruction, ama vina assume role ya double agent.Vinaacha false direction.Mtu akiiga basi anajiweka ktk risk ya kuweka trojan horse.Kale ka drone kalikuwa hivyo, na jama walitoa mixed messaged ili kuwahadaa wairan.Ndio maana leo unasikia vitu kama virus anayeharibu mitambo ya nuclear ya iran kwa kiasi kikubwa kuliko mabomu.Babo utasikia mengi siku zikienda.Ni time tu kwa kila stage kazi zinavyoisha wanatangaza.Sasa hivi autocard nayo ina virus balaa.Sijui km wairan walijiandaa kuwa Drawing software nyingine zaidi ya corel draw ili waibe tehcnology moja kwa moja.

      Sasa kama wanategemea China na Urusi,watajiamini vipi?China pamoja na utajiri wake na wizi wake bado wananua silaha toka urusi, uingereza,ufaransa na israel wakidhani watapata elimu mpya ila hao jamaa wanawapa version za zamani.
      SIMPLY THE RADICAL: I can`t wait to see the criminalization of CCM,UWT,Bunch of Policemen/women,and all wanafiki na wachumia tumbo.

    21. #78
      Nicholas's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th March 2006
      Posts : 5,149
      Rep Power : 3647
      Likes Received
      1311
      Likes Given
      2173

      Default Re: Kabla hawajatuletea madaktari, je hali ya maisha Iran ikoje?

      Wabongo wanapenda danganywa sana ndio maana CCM wanapata free cruising.Hao jamaa wa middle of all the madnesses pamoja na kuwa watauza crude oil ila karibu wote hawana Technologia ya kusafisha mafuta.mwishowe nao ni watumwa kama wengine.

      Ndio maana Israel nachukua mafuta kwao ila hana shida ya mafuta, na huwa hata wao wakiwa na shoratge israel hana.akiwa nayo israel waarabu ndio kabisa wanakufa.
      SIMPLY THE RADICAL: I can`t wait to see the criminalization of CCM,UWT,Bunch of Policemen/women,and all wanafiki na wachumia tumbo.

    22. #79
      Malafyale's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th August 2008
      Posts : 1,151
      Rep Power : 780
      Likes Received
      292
      Likes Given
      22

      Default Re: Kabla hawajatuletea madaktari, je hali ya maisha Iran ikoje?

      Quote By Petram
      11th richest country in the world.
      What does it means to be so named as 11th richest country on IMF and World bank database?Realistically;Iran's tremendous oil deposit doesn't benefit ordinary citizens at all rather than right wing politicians!

      Anyway tueleze ni vigezo gani vya kiuchumi vinavyoipa Iran namba 11 kwa utajiri duniani na isije ikawa ni per capita income ambako hata Equatorial Guinea wanaonyesha wakiwa wanachuana na USA kwa maisha mazuri tena wakiiizidi Ufaransa na UK kwa gap kubwa tu!

      Iran ni nchi ya kawaida tu kiuchumi na mafuta yao HAYAJAWASADIA kama inavyopaswa iwe!

    23. #80
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,315
      Rep Power : 12588
      Likes Received
      5854
      Likes Given
      771

      Default

      Quote By mkorakamili
      Soma hizi link ktk wikipdia halafu ushuke mpaka ktik history.Kutoke hapo utaweza soma link nyingine nyingi.
      Bushehr Nuclear Power Plant - Wikipedia, the free encyclopedia
      IR-40 - Wikipedia, the free encyclopedia

      Hayo mapicture uliyoweka hapo hata mimi nikipita dar na kukusanya pictures na nikipiga vizuri utaiona Tz katik sura nyingine.Mbaya nisipige usiku.
      Hivyo vikombora havina tofauti na makomandoo wetu.Wanaweza wafanyia raia mamabo ya Kubenea, dr.Uli na hata mtu kama mimi ili hawawezi simama na SEAL.
      ha haa haaa! Hata mie ni-google takuja na link kama milioni hivi za maadui wa Iran.

      Kama wao ndio wamejenga hivyo vinu si wakavishambulie basi waone.

    Page 4 of 5 FirstFirst ... 2345 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...