Kutokana na ukweli ya kwamba cloufs fm wamekuwa wanaendesha vipindi vyao vingi vinavyotokana na tukio la wakati huo (unplanned program) sitashangaa hata kidogo kesho wakaanza kubwabwa kuhusu sakata la Dk Ulimboka