Walimu wote nchi nzima tupo tayari na sisi kugoma kama ma daktari.Viongozi simama imara,ikiwezekana hata wawaue kama ilivtokea kwa Ulimboka.Tunasubiri tamko na melekezo yenu.
Walimu wote nchi nzima tupo tayari na sisi kugoma kama ma daktari.Viongozi simama imara,ikiwezekana hata wawaue kama ilivtokea kwa Ulimboka.Tunasubiri tamko na melekezo yenu.
Waalimu hamuwezi!!!
ah hawa wanatishiaga tu kila siku tunasikia wanagoma lakini hamna kitu
Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde
One man's good fortune is another man's misfortune
Mgomo baridi ni bora zaidi.
walimu wa shule ya msingi kugoma ni sawa na Ngamia kupita tundu la sindano labda hawa wanaomaliza vyuo vikuu wanaweza. Sababu wewe mwenyewe jiongeze utajua sababu
This time,mtaona.Tumechoka na mishara duni na mazingira magu.mu ya kazi
Walimu???Tusubiri.
Mkoba kama hawezi ajitoe mapema,vijana shujaa tupo tayari kufa kwa kutetea haki zetu.
ha haaa .... DECI ndiyo kiboko yenu
Woga ni kitu kibaya! Walimu hawawezi kugoma kamwe ni waoga sana!
Idara ya mahakama na jeshi nao watagoma lini?
Waalimu walishagoma siku nyingi kwani output zake hazionekani? wanafunzi aslimia 89 wanakuwa failures. Wagomeje sasa? hata serikali haitishiki,impact yake itakuwa insignificant wagome ili kuwe na 100% failures? inasikitisha sana
Waalimu wamefuata taratibu zote za sheria, walitoa notisi ya mwezi mzima kwa serikali, na mgomo wao utakuwa rasmi tar.5 July.
Taratibu zote za kuweka chaki chini umeshakamilika, na watakapoitwa kwenye meza ya mazungumzo wataonyesha wapi pa kupata
pesa, wapi zitakusanywa. Walimu wanaelewa source ambazo serikali ikiwa makini inaweza kukusanya even beyond expectation.
utaambiwa mchochezi Mungi
Follow Us Here