Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Taarifa kwa wananchi na wafanyakazi wote wa hospitali ya taifa muhimbili

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 33 of 33
    1. #1
      Kiganyi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th April 2012
      Posts : 1,162
      Rep Power : 987
      Likes Received
      709
      Likes Given
      400

      Default Taarifa kwa wananchi na wafanyakazi wote wa hospitali ya taifa muhimbili



      Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa Muhimbili ilikutana tarehe 28 Juni 2012 kujadili na kutathmini hali ya utendaji na utoaji wa huduma hivi sasa katika Hospitali. Imebainika kwamba utoaji huduma umeathirika kutokana na mgomo wa baadhi ya madaktari unaondelea kwa takriban wiki moja sasa tangu ulipoanza Jumamosi ya tarehe 23 Juni 2012.

      Baada ya tathmini hiyo, Bodi ya Wadhamini imeagiza yafuatayoi) Madaktari waliopo kazini waendelee na kazi kama kawaida;(ii) Madaktari waliogoma warejee kazini kutii amri ya Mahakama Kuu Kitengo cha kazi, kwa mujibu wa Kifungu Na. 76 (1) na (2) cha Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini ya mwaka 2004.(iii) Madaktari waliopo likizo warejee kazini mara moja. Utaratibu wa kufidia likizo na nauli zao umeandaliwa. (iv) Uongozi wa Hospitali uwachukulie hatua za kinidhamu wafanyakazi wote watakaoendelea kutokuhudhuria kazini na kufanya kazi bila sababu za msingi kwa mujibu wa Sheria, Kanuni na taratibu za kazi;(v) Uongozi wa Hospitali ufute mara moja ‘rotations’ za Madaktari waliopo kwenye mafunzo kwa vitendo (interns); na(vi) Uongozi wa Hospitali uwapange (re-deploy) Madaktari na Madaktari Bingwa waliopo kwenye maeneo yaliyoathirika wakati huu wa mgomo

      Aidha, Bodi ya Wadhamini inawashukuru sana madaktari na wafanyakazi wote ambao wameendelea kuwahudumia wagonjwa wetu na wananchi kwa ujumla. Vilevile, Bodi ya Wadhamini inawasihi madaktari na wafanyakazi wote wawe na subira na waheshimu sheria, kanuni na taratibu zilizopo pamoja na maadili ya taaluma zao.

      _________________Dkt. Gabriel UpundaKAIMU MWENYEKITIBODI YA WADHAMINI


      Kiganyi, JF.
      Mwanzo - ---------------
      Maundumula and gango2 like this.


    2. #21
      MUNYAMAKWA's Avatar
      Member Array
      Join Date : 15th June 2012
      Posts : 59
      Rep Power : 364
      Likes Received
      4
      Likes Given
      2

      Default Re: Taarifa kwa wananchi na wafanyakazi wote wa hospitali ya taifa muhimbili

      Hilo ni tamko la bodi sio la serikali,kwa mkanganyiko huu kwanini tusiseme maagizo ya bodi ni null and void?.Mumeyakoroga kwa kumjeruhi Dr. Ulimboka ,sasa hata aliyekuwa haukubali mgomo wa madaktari anaanza kuamini kwamba LISEMWALO LIPO KAMA HALIPO.....Oh!poleni sana watoa maamuzi bila kutafakari kwa kina
      namshitu kazeni likes this.

    3. #22
      Mungi's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 23rd September 2010
      Location : Hapa!!!
      Posts : 10,536
      Rep Power : 37791
      Likes Received
      5006
      Likes Given
      2349

      Default Re: Taarifa kwa wananchi na wafanyakazi wote wa hospitali ya taifa muhimbili

      Nani alimteka, kumpiga na kumjerehi Dr. Ulimboka?

    4. #23
      timbilimu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd September 2010
      Location : DSM
      Posts : 2,718
      Rep Power : 989
      Likes Received
      598
      Likes Given
      10

      Default Re: Taarifa kwa wananchi na wafanyakazi wote wa hospitali ya taifa muhimbili

      Gabriel Upunda alikua Mganga Mkuu wa Wizara ya Afya kabla ya kustaafu. Hana moral authority ya kuzungumzia matatizo yanayoikumba sekta ya afya. Alishindwa kusaidia wakati wake. Na ameshindwa akiwa ktk Bodi ya Muhimbili. Ni kizazi kile kile kilichoshindwa!
      namshitu kazeni likes this.

    5. #24
      namshitu kazeni's Avatar
      Member Array
      Join Date : 31st January 2012
      Posts : 18
      Rep Power : 376
      Likes Received
      0
      Likes Given
      30

      Default Re: Taarifa kwa wananchi na wafanyakazi wote wa hospitali ya taifa muhimbili

      hilo ni muhimu kabla hamja walazimisha hao madaktari kufanya kazi. nawaona kama hawako nanyi kabisa!

    6. #25
      Sangiwa's Avatar
      Member Array
      Join Date : 12th October 2010
      Posts : 22
      Rep Power : 445
      Likes Received
      7
      Likes Given
      7

      Default Re: Taarifa kwa wananchi na wafanyakazi wote wa hospitali ya taifa muhimbili

      Quote By mwarain View Post
      ili Document iwe valid sahihi ya mtoa document iwepo! Sasa mbona hakuna signature? Hizo ni propaganda tu hakuna bodi iliyokaa wala nini! SOLIDARITY FOREVER Drs!!!
      Hakuna mtu kurudi hiyo J3!
      Usidanganye wenzako...!


    7. #26
      timbilimu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd September 2010
      Location : DSM
      Posts : 2,718
      Rep Power : 989
      Likes Received
      598
      Likes Given
      10

      Default

      Interns ndiyo madaktari watakaolisaidia taifa letu muda mrefu kutokana na umri wao. Lakini ndio watavutia wadogo zao wengi kusomea fani ya udaktari. Unapoona mkuu wa nchi anashindwa kutatua jambo nyeti kama ili ujue kwamba kama nchi tumeshindwa! Na kama mtu yeyote aliyeshindwa hatujitambui. Hakuna nchi yenye madktari wa ziada. Pengine Cuba. Huwezi pewa madaktari wa bure kuhudumia watu wako. Pengine kama tunaendelea kuuza nchi yetu!
      Quote By Chal View Post

      hapo kwenye red karibu hosp zote wanawafukuza interns, hapa narejea kauli ya MR President katika hotuba yake "Kwa madaktari interns, wanahatarisha maisha yao kwani hawatapata cheti cha kudumu wakishiriki mgomo usiokuwa halali. Lazima watafakari sana kwa hayo wafanyayo"...

    8. #27
      mizambwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2008
      Posts : 1,446
      Rep Power : 981
      Likes Received
      373
      Likes Given
      1825

      Default Re: Taarifa kwa wananchi na wafanyakazi wote wa hospitali ya taifa muhimbili

      Quote By Kibanga Ampiga MKoloni View Post
      Hvi inakuwaje wanachukua hatua wakati kesi ipo mahakamani?
      Si wasubiri uamuzi wa mahakama?
      Uamuzi gani tena unaoutaka na ikiwa serikali ya CCM yenyewe ni mahakama tosha. Wanatoa hukumu ya kumfunga mtu au kumuua pasipo kumsikiliza.


      MIZAMBWA
      INANIUMA SANA!!!
      SASA NIMEAMINI KUWA TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA!!!!, TUANDAE KABURI LA KUIZIKA MWAKA 2015

    9. #28
      Maundumula's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th November 2010
      Posts : 5,508
      Rep Power : 3216
      Likes Received
      1552
      Likes Given
      6755

      Default Re: Taarifa kwa wananchi na wafanyakazi wote wa hospitali ya taifa muhimbili

      Quote By Iselamagazi View Post
      Sasa naona hii serikali yetu ya chama cha Sisiem inatumia nguvu kuhusu hili sakata la madaktari. Kweli tutafika namna hii?
      Hivi ndio tutafika punda haendi hadi kwa fimbo, JK amewachekea sana mkamuona dhaifu mnasema hawezi kufanya maamuzi magumu. Ngoja muone sasa habari yake.

    10. #29
      mizambwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th October 2008
      Posts : 1,446
      Rep Power : 981
      Likes Received
      373
      Likes Given
      1825

      Default Re: Taarifa kwa wananchi na wafanyakazi wote wa hospitali ya taifa muhimbili

      Quote By Chal View Post

      hapo kwenye red karibu hosp zote wanawafukuza interns, hapa narejea kauli ya MR President katika hotuba yake "Kwa madaktari interns, wanahatarisha maisha yao kwani hawatapata cheti cha kudumu wakishiriki mgomo usiokuwa halali. Lazima watafakari sana kwa hayo wafanyayo"...
      "Mtu mzima hatishiwi nyau"

      Hivyo ni vitisho ili waogope kuendelea na mgomo katika kudai haki yao na ya wananchi walalahoi.


      Wao Serikali kama wana ujeuri wawafukuze kwanini wanasema maneno kama hayo.

      Yaani ni sawa na mtu kumwambia mke wako kuwa "usipofanya hivi na kuendelea kufanya hivyo nitakupa Talaka".



      MIZAMBWA
      INANIUMA SANA!!!
      SASA NIMEAMINI KUWA TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA!!!!, TUANDAE KABURI LA KUIZIKA MWAKA 2015

    11. #30
      nyabhingi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th October 2010
      Posts : 3,277
      Rep Power : 1306
      Likes Received
      1387
      Likes Given
      2704

      Default Re: Taarifa kwa wananchi na wafanyakazi wote wa hospitali ya taifa muhimbili

      tutawaona wenye misimamo na waoga
      Every nation in every region now has a decision to make: Either you are with us, or you are with the terrorists.George W. Bush


    12. #31
      Kigogo's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 14th December 2007
      Location : Calabash
      Posts : 8,484
      Rep Power : 0
      Likes Received
      1302
      Likes Given
      318

      Default

      JK ni failure kwa ustawi wa nchi hii..

      Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

    13. #32
      Wachovu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 25th June 2012
      Posts : 245
      Rep Power : 1121
      Likes Received
      55
      Likes Given
      0

      Default Re: Taarifa kwa wananchi na wafanyakazi wote wa hospitali ya taifa muhimbili

      Afadhari madaktari wagome hili kieleweke kuliko kuwaburuza wakafanye kazi. Kutibiwa na Daktari aliyejeruhiwa ni afadhari ukatibiwe na mganga wa kienyeji. Kikwete unajua hilo ? Kaa na watu hawa mpate suruhu , usituletee majeruhi alafu useme umeshinda game , tutakufa zaidi

    14. #33
      Jiwe Linaloishi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th May 2008
      Location : Mlimani
      Posts : 3,172
      Rep Power : 17255
      Likes Received
      1662
      Likes Given
      1188

      Default Re: Taarifa kwa wananchi na wafanyakazi wote wa hospitali ya taifa muhimbili

      Kweli nimeamini kusomea udaktari ni uchuro
      SEMA UKWELI UMWAIBISHE SHETANI

    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...