Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Dr. Chitage: Mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya Toyata shangingi moja!

    Report Post
    Page 12 of 13 FirstFirst ... 210111213 LastLast
    Results 221 to 240 of 241
    1. #1
      Salary Slip's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd May 2012
      Posts : 1,341
      Rep Power : 691
      Likes Received
      649
      Likes Given
      381

      Default Dr. Chitage: Mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya Toyata shangingi moja!

      Katibu wa jumuiya ya madaktari nchini ameweka wazi kuwa bei ya mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya kununulia shangingi moja.Alisema kama serikali ingekuwa na nia ya kununua mashine hiyo isingeshindwa. kwa habari zaidi soma gazeti la mwananchi la leo.

      Binafsi habari hii imichefua na kunisikitisha kuona ni jinsi gani serikali yete inavyoendekeza anasa wakati inashindwa kutoa huduma za msingi kwa watu wake.Mashine ya CT scan pale muhimbili kwa mujibu wa vyombo vya habari imekuwa mbovu kwa muda wa miezi saba ila serikali inapiga dana dana kuitengeneza na matengenezo yake ni kama milioni mbili hivi kama sikosei.Kama nimekosei hiyo gharama ya matengenezo mwenye uhakika atujuze.

      Mbali na mashine hiyo kuna hospitali zingine hapa nchini hazina hata x-ray machine.Kama uliangalia taarifa ya habari ya ITV juzi usiku tatizo la kukosekana kwa mashine ya x-ray liliripotiwa ktk hospitali ya serikali mkoani Tanga ambapo mtu aliepata ajali alishindwa kuhudumiwa kutukona na kukosekana kwa mashine hiyo.

      Nasema hii ni aibu kwa serikali na inabidi kwenye katiba mpya tupitishe uamuzi wa kutaka viongozi wa serikali nao watibiwe hapa nchini na ipige marufuku viongozi kutibiwa nje ya nchi.Labda hii itasaidia kuondoa dhuluma hii. Sasa madaktari wanapogoma nani wa kulaumiwa kama sio serikali?Hivi haya ndio maisha bora kwa kila mtanzania!
      Quote By Hydrobenga Jr
      Since the President of Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete addressed the Nation on 31st July 2012, I have received numerous calls and messages from people asking me, “How much does a CT Scanner cost?” This is because In his Speech, the President said some people are comparing the price of SUV Landcruiser (shangingi) to a price of CT scan. He even said jokingly ” Waje Tuwape pesa wakatuletee…Labda waende China”, Well I have one message to Mr. President, ‘even in China, You cannot get a CT for a price of a Landcruiser’.

      The views am going to write are informed by my 10 years experience in the Medical Systems Industry-having worked for Philips Medical Systems and their sole Distributor in Tanzania. I want to share with my readers, and my fellow Tanzanians an insight of what real cost of CT Scan is. As an expert in Finance, I find it prudent to let my readers know what it takes to invest in CT Scan.

      What is a CT Scan?
      X-ray computed tomography
      , also computed tomography (CT scan) or computed axial tomography (CAT scan), is a medical imaging procedure that utilizes computer-processed X-rays to produce tomographic images or ‘slices’ of specific areas of the body. These cross-sectional images are used for diagnostic and therapeutic purposes in various medical disciplines.

      How Much does a CT Scan Cost? and that is just too broad of a question. It is a little like asking how much a car costs. A Toyota Corolla isn’t going to cost you much… you may be able to just pull it for 5M… but that 2012 Mercedes-Benz C-Class is going to be a touch more expensive.

      So in order to make sure you get the CT Scanner you need for the right price you should be ready to answer the following questions:

      What types of studies will you be performing?

      This will help narrow down on how many Slices per Rotation your scanner will take. For example, if you are performing a lot of Cardiac Studies you should probably buy a 64 Slice CT due to the constant motion of the heart. Whereas Angio and Perfusion studies can often be done effectively with a lower end model scanners. Answering this question will also determine if you need a unique software option (Cardiac, Fluoro, Perfusion, etc).

      Do you prefer a certain manufacturer?

      PHILIPS, GE, Siemens, and Toshiba are the 4 big names in CT. If you can only take one of them, you’ve just eliminated 75% of your options. Well i will definately advice you on a Philips CT.

      Other Questions Would be; What is your budget? and the size of your medical centre/Hospital.For a hospital like Muhimbili i would suggest a 64 slices and not less or a 128 Slices if budget allows.

      Now i can give you some guidelines for Delivered and Installed pricing on New CT scanners:

      • 16 Slice: $400,000 – $450,000
      • 64 Slice: $800,000 – $900,000
      • 128 Slice: $1,000,000 – $1,200,000
      • 256 Slice: Not less than $1,500,000

      Most Companies has stopped the the manufacturing of 6 Slice scan, unless you get a refurblished one from China.. which will cost about $ 150,000 and above.
      Somebody remind me how much does a Brand New SUV Landcruiser cost? Last time I checked it was ranging from USD 60,000 to 80,000….therefore comparing CT Scan and Landcruiser is a satirical gimmick.

      Source: monfinance.com

    2. Miaka 50

    3. #221
      Duduwasha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2010
      Posts : 2,620
      Rep Power : 6249
      Likes Received
      523
      Likes Given
      418

      Default Re: Dr. Chitage: Mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya Toyata shangingi moja!

      Quote By zomba
      Washabiki mnaoshadidia bei ya shangingi moja inaweza kununuwa ct scan, mmeshakwenda kuchukuwa fedha kwa Kikwete mkalete ct scan? au mmenywea?

      Kwi kwi kwi teh teh teh!
      Akili zako na za Raisi wako hazina Tofauti kama wewe ni Msomi ungeshaelewa kwanini Yule Dr. Alisema yale Maneno mwenye akili na Mwelevu angekuwa keshaelewa kuwa Raisi alitukanwa huku yeye Siku akiongelea hili anachekacheka tu na bado akuzinduka hata waandishi walimchomekea china unaweza pata akazidi kukenua tu... nimeshangaa kama akugundua kuwa alidhihakiwa kwani Nchi haiwezi kushindwa kununua CT Scan

      Regency Medical Aga khan Hospital zinaweza.. Sababu wana Uongozi Bora au Wana pesa kuliko Serikali ya Kikwete?

      Serikali ya Kikwete haina uwezo wa Kununua Mitambo ya Kuzalisha Umeme na Inaamua Kukodisha kwa Richmond?

      Serikali ya Kikwete Haina Uwezo wa Kuboresha Elimu na Shule zake Wakati huohuo Mama Rwakatare Mwizi wa Umeme Anaweza... Ha Zinaitwa St. Kayumba ni Aibu kumsapoti Raisi badala ya Kumsaidia nyie ndio Mnaharibu nchi kwa Kutetea Yasiyo faa....Mwalimu ni kiasi Gani ushindwe kumlipa au Kumuongezea Mshahara anaoulilia Miaka Mingi hata Dunia Inajua ndio maana Tunapata Misaada Nje inapelekwa kwenye Safari Zake hata Akisoma ajuekuwa Hatufurahishwi Nae... Bahati mbaya keshawanywesha CDM juice hawafurukuti dah.. Yale Maandamano naomba Yaanze Tena Jamani...

      Raisi kama Hawezi kuwalipa Walimu na Madaktari awapishe wawezao bassi jamani au Mnaseje Wadau..
      Msalagambwe likes this.

    4. #222
      Msalagambwe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th July 2012
      Posts : 537
      Rep Power : 453
      Likes Received
      178
      Likes Given
      530

      Default Re: Dr. Chitage: Mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya Toyata shangingi moja!

      Tumefikiria bei ya Customized shangingi
      Base Price ni 80,000
      Ukiweka vikolobwezo nje na ndani utavuka $150,000.00
      Ukiongezea wizi inafika $200,000.00

      Serikali inanunua zaidi ya mashangingi 500 kwa mwaka.

      500x 80,000 = $40,000,000
      40,000,000/250,000 = CT scan 160

      Wakitumia 5% ya hiyo fedha kununua vifaa hivyo vilivyo aghari sana kwa serikali ya CCM
      kila mwaka watanunua CT Scan 8
      KWa miaka 10 ya utawala wa Kikwete tu angweza kununua CT Scan 80 at minimum.

      Rais wa nchi alijiabisha kukwoti usemi huu kama utetezi wa kushindwa kununua CT scan,
      Vitabuni bei ya shaangingi huzidi $150,000.Matengenezo yake ya mika 3 tu unanunu CT Scan ya nguvu.

      Rais kama vile kaazimwa Oman kwa mkataba wa kuvurunda?

      Kwa mtu anaye haha kutafuta Tonge 7 tu za ugali kwa siku,
      $250,000 ni fedha mno kwake,
      ni fedha za kuufanya ukoo wake mzima uishi peponi milele,
      na ni hela nyingi mno kwa serikali kuwa nazo bila,
      kutembeza bakuli la Matonya kwa Wazungu.
      Last edited by Msalagambwe; 8th August 2012 at 05:26.

    5. #223
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: Dr. Chitage: Mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya Toyata shangingi moja!

      Quote By Duduwasha
      Akili zako na za Raisi wako hazina Tofauti kama wewe ni Msomi ungeshaelewa kwanini Yule Dr. Alisema yale Maneno mwenye akili na Mwelevu angekuwa keshaelewa kuwa Raisi alitukanwa huku yeye Siku akiongelea hili anachekacheka tu na bado akuzinduka hata waandishi walimchomekea china unaweza pata akazidi kukenua tu... nimeshangaa kama akugundua kuwa alidhihakiwa kwani Nchi haiwezi kushindwa kununua CT Scan

      Regency Medical Aga khan Hospital zinaweza.. Sababu wana Uongozi Bora au Wana pesa kuliko Serikali ya Kikwete?

      Serikali ya Kikwete haina uwezo wa Kununua Mitambo ya Kuzalisha Umeme na Inaamua Kukodisha kwa Richmond?

      Serikali ya Kikwete Haina Uwezo wa Kuboresha Elimu na Shule zake Wakati huohuo Mama Rwakatare Mwizi wa Umeme Anaweza... Ha Zinaitwa St. Kayumba ni Aibu kumsapoti Raisi badala ya Kumsaidia nyie ndio Mnaharibu nchi kwa Kutetea Yasiyo faa....Mwalimu ni kiasi Gani ushindwe kumlipa au Kumuongezea Mshahara anaoulilia Miaka Mingi hata Dunia Inajua ndio maana Tunapata Misaada Nje inapelekwa kwenye Safari Zake hata Akisoma ajuekuwa Hatufurahishwi Nae... Bahati mbaya keshawanywesha CDM juice hawafurukuti dah.. Yale Maandamano naomba Yaanze Tena Jamani...

      Raisi kama Hawezi kuwalipa Walimu na Madaktari awapishe wawezao bassi jamani au Mnaseje Wadau..
      Umeenda kuchukuwa hizo fedha au na wewe ni porojo tu za mitaani?

      Kikwete kisha sema daktari asiyeweza, aondoke, ni nini usichokielewa hapo?
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    6. #224
      Duduwasha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2010
      Posts : 2,620
      Rep Power : 6249
      Likes Received
      523
      Likes Given
      418

      Default Re: Dr. Chitage: Mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya Toyata shangingi moja!

      Quote By zomba
      Umeenda kuchukuwa hizo fedha au na wewe ni porojo tu za mitaani?

      Kikwete kisha sema daktari asiyeweza, aondoke, ni nini usichokielewa hapo?
      Akili zake na Zako Sijui tuwaweke kundi Gani na huu ni Ushahidi kuwa Utajili wa Liz1 Umepatikana Pale Ikulu anajichotea kila siku...Sipati Picha kuna Pesa kiasi Gani pale

      Hazina haina Pesa Kumbe Pesa zipo Ikulu

      Angewaambia na Madaktari za Walimu Waende Wakachukue Pesa Ikulu....

      Nyerere alishaonya Hili Kuna Biashara Gani Ikulu hadi Boyz ii Men Wanapakimbilia?????

      Uzuri wa Raisi huwa anajisahau.......Amejisahau kuwa hii nchi ni ya Watanzania na ni Jukumu lake kuwatumikia na si kutumikiwa.... huu ni Uvunjaji wa Katiba wa Wazi wazi... Simuogopi ujue na ajue...

    7. #225
      Duduwasha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2010
      Posts : 2,620
      Rep Power : 6249
      Likes Received
      523
      Likes Given
      418

      Default Re: Dr. Chitage: Mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya Toyata shangingi moja!

    8. FemaTV & Radio

    9. #226
      steveachi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th November 2011
      Posts : 800
      Rep Power : 541
      Likes Received
      140
      Likes Given
      56

      Default Re: Dr. Chitage: Mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya Toyata shangingi moja!

      bora nini sasa,tuendelee kununua mashangingi au ct scans?

    10. #227
      Salary Slip's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd May 2012
      Posts : 1,341
      Rep Power : 691
      Likes Received
      649
      Likes Given
      381

      Default Re: Dr. Chitage: Mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya Toyata shangingi moja!

      Quote By zomba
      Umeenda kuchukuwa hizo fedha au na wewe ni porojo tu za mitaani?

      Kikwete kisha sema daktari asiyeweza, aondoke, ni nini usichokielewa hapo?
      Kauli zingine ni za kukurupuka tu kama ile ya kukataa kura za wafanyakazi alafu baadae unakuja kuzililia.

      Hivi kama umeshindwa kuwalipa madaktari wazawa na kuwataka waache kazi wakije wa kigeni ndio utmudu kuwalipa?

      Tangu baba wa taifa aondoke madarakani nafasi hiyo imekuwa ikipwaya kwa kiasi kikubwa sana na pengine itatuchukua miaka mingi kumpata mrithi makini na sahihi kwa nafasi hiyo.

    11. #228

      Ungekuwa mtu makini ungekuwa unapima kauli zake na kujiuliza kama anafaa kwa nafasi aliyonayo.

      Unakumbuka ile kauli yake ya kukutaa kura za wafanyakazi hadharani alafu unafika wakati unawapigia magoti kuwaomba kura zao wakati uliwapuuza.

      Kama ameshindwa kuwalipa madaktari wazawa na kuwataka waondoke hao wa kigeni ndio ataweza kuwalipa?

      Tafakari mara mbili kauli zake kabla ya kumuunga mkono.

      Tangu baba wa taifa aondoke madarakani nafasi hiyo imekuwa ikipwaya kwa kiasi kikubwa na pengine itatuchukua miaka mingi kumpata mrithi makini na sahihi kwa nafasi hiyo.

      Si kila kiongozi anafaa kuwa raisi na si kila raisi ni kiongozi.

    12. #229
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: Dr. Chitage: Mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya Toyata shangingi moja!

      Quote By Salary Slip

      Umeshaenda kuchukuwa fedha utuletee hiyo ct scan? mbona unaleta porojo tu?

      Mnaingizwa kichwa kichwa na nyie mnaingia. Kauli ya Rais ni sheria, na hapo kawaambia mwende mkachukuwe fedha mlete ct scan, kama wewe huwezi mtume Mwenyekiti wako au Katibu Mkuu wako, mbona mmenywea?

      Kikwete hamumuwezi na hakuna mmoja anaekuja humu akamfananisha na mwingine yeyote katika utendaji wake uliotukuka. Hakuna Hakuna Hakuna. Leo hata hospitali zimebadilika sio kama kabla yake au hamlioni hilo?

      The Muhimbili hospital laboratory was modernized and computerized to provide accurate diagnostic testing that is crucial not only for lifelong monitoring of HIV patients, but for those with other chronic illnesses like diabetes. Muhimbili’s Central Pathology Laboratory has been modernized, allowing patients to get test results on the same day, rather than coming back days or weeks later to receive a diagnosis.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    13. #230
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: Dr. Chitage: Mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya Toyata shangingi moja!

      Quote By Salary Slip
      Kauli zingine ni za kukurupuka tu kama ile ya kukataa kura za wafanyakazi alafu baadae unakuja kuzililia.

      Hivi kama umeshindwa kuwalipa madaktari wazawa na kuwataka waache kazi wakije wa kigeni ndio utmudu kuwalipa?

      Tangu baba wa taifa aondoke madarakani nafasi hiyo imekuwa ikipwaya kwa kiasi kikubwa sana na pengine itatuchukua miaka mingi kumpata mrithi makini na sahihi kwa nafasi hiyo.
      8 of 9
      In 2009, the first public Emergency Medical Department (EMD) in Tanzania to provide services meeting international standards was dedicated on the grounds of Muhimbili National Hospital. The building renovations, staff training and new equipment are supported by a grant from the Abbott Fund. While the training and services provided at the new EMD will have an immediate impact in its region, the broader goal is to utilize the department as a training ground and create the first residency program in emergency medicine in the country.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    14. #231
      Msalagambwe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th July 2012
      Posts : 537
      Rep Power : 453
      Likes Received
      178
      Likes Given
      530

      Default Re: Dr. Chitage: Mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya Toyata shangingi moja!

      Wagonjwa wangapi wanaweza kuhudumiwa,
      na hiyo emergency yetu ya kisasa kwa mpigo?

      mbona sioni picha za reception nzima?
      Mkileta zile za Iran hakuna kinachofichwa,
      hapa kwetu muhimbili kinafichwa nini?

    15. #232
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: Dr. Chitage: Mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya Toyata shangingi moja!

      Quote By Msalagambwe
      Wagonjwa wangapi wanaweza kuhudumiwa,
      na hiyo emergency yetu ya kisasa kwa mpigo?

      mbona sioni picha za reception nzima?
      Mkileta zile za Iran hakuna kinachofichwa,
      hapa kwetu muhimbili kinafichwa nini?
      Nenda Muhimbili. Hupajui?

      Kinachofichwa ni "privacy" ya mgonjwa. Sijui kama hilo unalielewa?
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    16. #233
      Msalagambwe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th July 2012
      Posts : 537
      Rep Power : 453
      Likes Received
      178
      Likes Given
      530

      Default Re: Dr. Chitage: Mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya Toyata shangingi moja!

      Nipo nje ya Tanzania ka miezi 18 sasa,
      ndiyo asili ya kuulizia picha.

      Quote By zomba
      Nenda Muhimbili. Hupajui?

      Kinachofichwa ni "privacy" ya mgonjwa. Sijui kama hilo unalielewa?

    17. #234
      fredmlay's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th April 2008
      Posts : 1,515
      Rep Power : 868
      Likes Received
      265
      Likes Given
      931

      Default

      Quote By zomba
      Umeenda kuchukuwa hizo fedha au na wewe ni porojo tu za mitaani?

      Kikwete kisha sema daktari asiyeweza, aondoke, ni nini usichokielewa hapo?
      Kichefuchefu cha mimba hicho..

    18. #235
      mwanakazi's Avatar
      Member Array
      Join Date : 10th April 2011
      Posts : 68
      Rep Power : 424
      Likes Received
      34
      Likes Given
      5

      Default Re: Dr. Chitage: Mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya Toyata shangingi moja!

      SERIKALI YETU HAIJAWAHI KUNUNUA CT SCAN......HATA ILIYOPO MUHIMBILI NI MSAADA TOKA PHILIPS...
      CT SCAN YA MUHIMBILI AIKUNUNULIWA NA SERIKALI | Nyumbani

      Quote By Salary Slip
      Katibu wa jumuiya ya madaktari nchini ameweka wazi kuwa bei ya mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya kununulia shangingi moja.Alisema kama serikali ingekuwa na nia ya kununua mashine hiyo isingeshindwa. kwa habari zaidi soma gazeti la mwananchi la leo.

      Binafsi habari hii imichefua na kunisikitisha kuona ni jinsi gani serikali yete inavyoendekeza anasa wakati inashindwa kutoa huduma za msingi kwa watu wake.Mashine ya CT scan pale muhimbili kwa mujibu wa vyombo vya habari imekuwa mbovu kwa muda wa miezi saba ila serikali inapiga dana dana kuitengeneza na matengenezo yake ni kama milioni mbili hivi kama sikosei.Kama nimekosei hiyo gharama ya matengenezo mwenye uhakika atujuze.

      Mbali na mashine hiyo kuna hospitali zingine hapa nchini hazina hata x-ray machine.Kama uliangalia taarifa ya habari ya ITV juzi usiku tatizo la kukosekana kwa mashine ya x-ray liliripotiwa ktk hospitali ya serikali mkoani Tanga ambapo mtu aliepata ajali alishindwa kuhudumiwa kutukona na kukosekana kwa mashine hiyo.

      Nasema hii ni aibu kwa serikali na inabidi kwenye katiba mpya tupitishe uamuzi wa kutaka viongozi wa serikali nao watibiwe hapa nchini na ipige marufuku viongozi kutibiwa nje ya nchi.Labda hii itasaidia kuondoa dhuluma hii. Sasa madaktari wanapogoma nani wa kulaumiwa kama sio serikali?Hivi haya ndio maisha bora kwa kila mtanzania!

    19. #236
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: Dr. Chitage: Mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya Toyata shangingi moja!

      Quote By fredmlay
      Kichefuchefu cha mimba hicho..
      Mkishindwa hoja mnaanza viroja, tupeni basi japo anuani ya inapouzwa ct scan bei ya shangingi!

      Mlitaka kudanganya Watanzania?

      JK alivyo mkorofi akawaambia njooni mchukuwe fedha za shangingi moja mkalete ct scan, kimewashinda nini? nyinyi si mahodari? kwi kwi kwi teh teh teh!
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    20. #237
      Duduwasha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd November 2010
      Posts : 2,620
      Rep Power : 6249
      Likes Received
      523
      Likes Given
      418

      Default Re: Dr. Chitage: Mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya Toyata shangingi moja!

      Quote By zomba
      Umeshaenda kuchukuwa fedha utuletee hiyo ct scan? mbona unaleta porojo tu?

      Mnaingizwa kichwa kichwa na nyie mnaingia. Kauli ya Rais ni sheria, na hapo kawaambia mwende mkachukuwe fedha mlete ct scan, kama wewe huwezi mtume Mwenyekiti wako au Katibu Mkuu wako, mbona mmenywea?

      Kikwete hamumuwezi na hakuna mmoja anaekuja humu akamfananisha na mwingine yeyote katika utendaji wake uliotukuka. Hakuna Hakuna Hakuna. Leo hata hospitali zimebadilika sio kama kabla yake au hamlioni hilo?

      The Muhimbili hospital laboratory was modernized and computerized to provide accurate diagnostic testing that is crucial not only for lifelong monitoring of HIV patients, but for those with other chronic illnesses like diabetes. Muhimbili’s Central Pathology Laboratory has been modernized, allowing patients to get test results on the same day, rather than coming back days or weeks later to receive a diagnosis.
      Wacha kudanganya Watu karibu kila kifaa au Vifaa vinavyohusiana na AIDS ni Misaada kutoka Nje na si Serikali ilivyonunua na hadi hapo kuna muwakilishi wa Donors na Usije zungumzia kabisa vifaa vinavyohusiana na AIDS kwani ni Misaada ya Matajili wa Nje
      http://www.districthealthservice.com...s_nctp2003.pdf

    21. #238
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: Dr. Chitage: Mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya Toyata shangingi moja!

      Quote By Duduwasha
      Wacha kudanganya Watu karibu kila kifaa au Vifaa vinavyohusiana na AIDS ni Misaada kutoka Nje na si Serikali ilivyonunua na hadi hapo kuna muwakilishi wa Donors na Usije zungumzia kabisa vifaa vinavyohusiana na AIDS kwani ni Misaada ya Matajili wa Nje
      http://www.districthealthservice.com...s_nctp2003.pdf
      Wewe unashangazwa nini kuhusu misaada? kwani ni leo tu.

      Kumbuka Kikwete katutoa kwenye kutegemea misaada kwa asilimia zaidi ya 60 kufikia chini ya asilimia 40.

      Mkikosa hoja mnaanza viroja, nenda katazame operation theaters za Muhimbili zilivyoboreshwa.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    22. #239
      hippocratessocrates's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2012
      Posts : 1,491
      Rep Power : 2122
      Likes Received
      572
      Likes Given
      163

      Default Re: Dr. Chitage: Mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya Toyata shangingi moja!

      eti CPL ya Muhimbili ilikuwa modernized upate results the same day??!!! duuh! hii kali sasa

    23. #240
      hippocratessocrates's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2012
      Posts : 1,491
      Rep Power : 2122
      Likes Received
      572
      Likes Given
      163

      Default Re: Dr. Chitage: Mashine moja ya CT scan ni sawa na bei ya Toyata shangingi moja!

      muhimbili yenye kukosa hata mafaili ya kutunzia wagonjwa?!... sasa hivi huko wanatimia feeding tubes(Nasogastric tube, NGT) na gloves kufungia mafaili!!
      imebaki kuwa gofu!!

    Page 12 of 13 FirstFirst ... 210111213 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...