Ama kweli huwezi kuadaa watu muda wote,jk naona kimya tena jana kagoma kulonga hotuba ya mwnisho wa mwezi na pia naona kawasahau na wazee wake wa dar.
na siku akiwaita anaweza kuwaita ndugu marais wa dar kama pinda alivyomwita mbowe waziri mkuu