tambueni hapo mlipo mlifikishwa na serikali ya jamhuri ya muungano wa tzn kwa nin sasa mnakiuka kiapo ambacho mliapa kabla ya kuanza kazi je ingekuwaje kama serikali isingewafadhili hamkujua kama mshahara wa madaktari ni kidogo hivi mnajua kuwa kuna watanzania ambao wakisikia kuwa mnadai kiasi hicho cha fedha wataiomba serikali iwafukuze kazi foleva

Reply With Quote



Follow Us Here