Ayoub ambaye alikuwa anawasiliana na ulimboka mpaka mda wa tukio na aliyemsaliti ulimboka na huyu ayoub aliye tangulia south africa je ulimboka ataapona??
Ayoub ambaye alikuwa anawasiliana na ulimboka mpaka mda wa tukio na aliyemsaliti ulimboka na huyu ayoub aliye tangulia south africa je ulimboka ataapona??
mkuu umesoma historia ya wapi..?
Samuel Doe ni Liberia...aliuawa na kikundi cha bwana mmoja akiitwa Price Johnson, huyu Johnson alikuwa na kikundi chake tofauti na kile cha Charles Taylor.
Angola ni Jonas Savimbi mkuu.
by the way...nashindwa kupata mantiki ya posting yako katika muktadha wa mada inayojadiliwa.....unataka kusema kuwa Dkt Ulimboka ni kama Savimbi...i dont get you man!
...........Uwanja wa siasa katika nchi karibu zote za Kiafrika, ni uwanja uliotekwa na majambazi ambao wanafanya wanachotaka, vile wanavyotaka..........Jenerali Ulimwengu, Raia Mwema Namba 278.
inaelekea watu wengine wanapoanzisha thread wanakua wamelewa! rubbish.................... umepata wapi habari za ayoub? hiki siyo kijiwe cha kahawa au baa. tumia ubongo!
wadhaifu tu hawa! Some people are not in jail, coz wanalindwa wasiwe huko!
Jackbauer ur so inteligent, good job!
Duh! Wabongo kwa kukosoa noma!
Mpaka mjadala wa uzi umepotea na kugeuka kwenye kumkosoa Jackbauer
"You can't make a scene if you don't have little green"-------Jim Carrey
JaMAN MNABOA TAYAR JAMAA ALISHASAHIHISHWA KWAMBA NI WA LIBERIA NA SI SAVIMBI, LAKIN KILA M2 ANARUDIA KULA MATAPISH, NDO TUJUE MNAIFAHAM SANA HISTORIA..KHAAAA
du wewe mwisho mbona tuna vilaza yu humu siku hizi....samwel doe wapi na wapi na angola wewe...
samuel doe ni mwanajeshi alipindua serikali ya liberia ya William Tolbert.na yeye mwenyewe kupinduliwa na kunyongwa na price johnson nae alikuja kuuliwa na charles taylor
fanya utafiti kabla kutuandikia utumbo humu unahaja server.
Follow Us Here