Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

    Report Post
    Page 8 of 12 FirstFirst ... 678910 ... LastLast
    Results 141 to 160 of 227
    1. #1
      Chal's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 7th October 2010
      Posts : 113
      Rep Power : 459
      Likes Received
      45
      Likes Given
      4

      Default Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      Kwa maneno uake Dr ULIMBOKA ametoa kauli ya kishujaa na kutia shime na hamasa katika mapambano yanayoendelea ya kudai haki katika kuboresha huduma za afya na maslahi ya madaktari

      "Naelekea nje ya nchi kwa matibabu, nawasihi madaktari wenzangu wanaobaki waendelee ma mapambano ya kudai haki ambayo kimsingi bado haijapatikana, nawaomba damu yangu iliyomwagika ikawe chachu na hamasa katika harakati hizi za kudai haki, asanteni sana"

      Source: ITV HABARI
      BAK, alex50, Tuandamane and 15 others like this.

    2. FemaTV & Radio

    3. #141
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default

      Quote By ambagae
      Chachu gain hyo ya kuumiza Watz wengi na kupendelea wachache. Watanzania wrote hawamuungi mkono kwa hiyo dhamira yake.
      asante mdau,,,,umejaribu,ila try again later

    4. #142
      bona's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th November 2009
      Location : tanzania
      Posts : 981
      Rep Power : 681
      Likes Received
      85
      Likes Given
      233

      Default Re: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      hakuna haki inayopatikanaga kwa amani waulize walimu wanalijua hilo, mgomo wamadaktari uendelee nchi nzima kama kawaida kwani ni bora tufe wa kizazi iki ili kizazi kijacho wapone na wakutane na hali nzuri zaidi! aluta continua! infact hata madokta wana mahitaji hasa kipindi hiki cha miasha magumu!
      ... if it is a Miracle, any sort of evidence will answer, but if it is a Fact, proof is necessary.

    5. #143
      reformer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd July 2011
      Posts : 296
      Rep Power : 455
      Likes Received
      79
      Likes Given
      6

      Default Re: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      Quote By HANS ROGER DIBAGULA
      What about damu ya wagonjwa waliokufa kutokana na mgomo?
      Wamekufa wangapi kutokana na mgomo? Pinda alisema serikali imeshajipanga kukabiliana nao.
      Hivyo sidhani kama kuna waliokufa kutokana na mgomo. Hata ule wa mara ya kwanza (March) serikali ilisema haukuwa na madhara yoyote nawashangaa nyie mnaoleta hizo habari hapa JF sijui mmezotoa wapi.

    6. #144
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default

      Quote By HANS ROGER DIBAGULA
      What about damu ya wagonjwa waliokufa kutokana na mgomo?
      kila nafsi itaonja umauti,,,iwe kuna mgomo au la,ila kila kifo kina sababu,ndo maana hata anayekufa ghafla mwisho wa siku mwili wake unafanyiwa uchunguz,baba yangu alikufa wakat nesi anahangaika kumpa vidonge,(ilikua ni ahadi tu)madaktar kibao walimhangaikia general hospital-dodoma,
      zungumzia lingine bhana

    7. #145
      Jackbauer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th October 2010
      Location : CTU
      Posts : 4,873
      Rep Power : 1690
      Likes Received
      1348
      Likes Given
      277

      Default

      Quote By christine ibrahim
      Acha kuweweseka,ukweli unauma eeh!ss kazi ndo imeanza
      mmeua sumbawanga,mbeya,igunga,Usariv er n.k lakini kwa ulimboka mungu kawaumbua.
      Umeyasikia maneno ya ulimboka lakini

    8. Miaka 50

    9. #146
      Jackbauer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th October 2010
      Location : CTU
      Posts : 4,873
      Rep Power : 1690
      Likes Received
      1348
      Likes Given
      277

      Default

      Quote By omushaija
      Kauli ya kishujaa kishujaa kwa kuhamasisha madaktari kugoma kuwatibu wananchi wasio na hatia?
      kauli inayotaka haki ya matibabu kwa kila mtanzania.

    10. #147
      Angel Msoffe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st June 2011
      Posts : 6,266
      Rep Power : 1825
      Likes Received
      1397
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By HANS ROGER DIBAGULA
      What about damu ya wagonjwa waliokufa kutokana na mgomo?
      idaini serikali, kwani tunamkataba na madaktari?

    11. #148
      SIR JAPHET's Avatar
      Member Array
      Join Date : 21st March 2011
      Posts : 30
      Rep Power : 419
      Likes Received
      6
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By zomba
      Na wewe ulipwe kila unalostahili kwa kutoa uhai wa wagonjwa wa Tanzania walio wengi na kuwakosesha haki yao ya msingi ya kuishi na kuendelea kuteseka vitandani wasijue wapi pa kutibiwa.

      Kama ungekuwa kweli unawatetea Watanzania usingekimbilia nje mbio mbio kwenda kutibiwa. Ungekaa hapahapa kuonesha ujasiri wako na uyahisi yanayowasibu Watanzania kwa kuhamasisha mgomo kwa manufaa yako na wajivuni wengine wachache wanaojiona wao ni miungu watu.
      wewe zomba unamtetea nani?ka
      http://www.google.com/m/search?client=ms-samsung&channel=mm

    12. #149
      reformer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd July 2011
      Posts : 296
      Rep Power : 455
      Likes Received
      79
      Likes Given
      6

      Default Re: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      Quote By zomba
      Kabla ya Kikwete mlikuwa mnaweza kufanya operation za moyo hapa Tanzania? kabla ya Kikwete mlikuwa mnazo hata mashine za kusafisha figo?

      Tuambieni kabla na baada ya ujio wake, mafanikio ni makubwa sana kupita kiasi. Nyinyi mna agenda za siri lakini hujuma zenu za kuweka rehani maisha ya watu zitajulikana tu.
      Hospitali gani inafanya heart surgery TZ..mashine za kusafisha ziko ngapi?

    13. #150
      SIR JAPHET's Avatar
      Member Array
      Join Date : 21st March 2011
      Posts : 30
      Rep Power : 419
      Likes Received
      6
      Likes Given
      0

      Default Re: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      magamba@work

    14. #151
      Mimibaba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2009
      Posts : 3,148
      Rep Power : 1527
      Likes Received
      754
      Likes Given
      590

      Default Re: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      Quote By zomba
      Sisi tuna uhakika sio Serikali, lakini kama mlivyokaa kimya kwa ufataani wa Simbachawene na katika hili mtakaa kimya. Ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.
      Wewe na serikali yako wapuuzi wa kutosha. Ushahidi upo wa kumuua ulimboka ulioratibiwa na Ahmed Msangi chini ya IGP na UWT. Kwa nini hamjiulizi kwa nini hamkufanikiwa kumuua? Jibu la awli ni UDHAIFU wenu, pili ni MUngu wake ndiye mwnye tarehe ya kifo chake. Nyinyi kujifanya miungu mmechemsha.

      Dr. Ulimboka apone au afe mmeshalikoroga mtalinywa tu. Nasikia Dr. JK na Dr Zomba mnakwenda mahospitalini kutibu watu poa; lakini ni jitihada za kipuuzi za kutafuta kummaliza Dr. Ulimboka. Mfuateni huko alikokwenda mkammalize ili wagonja wapone na huduma za afya ziwe bora.
      Ukweli utakuweka huru daima

    15. #152
      omushaija's Avatar
      Member Array
      Join Date : 11th May 2012
      Posts : 37
      Rep Power : 361
      Likes Received
      6
      Likes Given
      9

      Default

      Quote By kyumana
      Madaktari wamesema hospitali kuna vifaa duni ndo maana watu wanshindwa kupata huduma borra je wewe wataka madaktari wasidai vifaa ili watanzania tuendelee kufa?
      Hoja ya vifaa imeibuliwa baadaye ili kuvuta support ya public Lakini msingi wa mgomo ulikuwa ni kudai ongezeko la mshahara
      kalcha likes this.

    16. #153
      kalcha's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 28
      Rep Power : 364
      Likes Received
      1
      Likes Given
      3

      Default Re: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      Great thinkers! Nafikiri tunaperuzi badala ya ku analyse, kwa kweli hospitali zetu zina nia ya kutoa tiba na kuponya wagonjwa Ila zinakumbana na mapungufu mengi ambapo mengine ni Dhahiri yanaweza kutatuliwa na serikali kwa haraka... Kwa mfano x ray, vitendanishi, n.k. Tumezoea kushiriki huduma za hospitali kwa mwaka mingi, kununua register, dawa, kumuona daktari na sasa hudumaza uchunguzi.... Ni sisi wananchi, tumelelewa hivyo na ccm kwa miaka chungu mzima! ili tusijue nini haki yetu na ninisio, elimu imedumishwa na uelewa ni tatizo, soo ukiambiwa nunua daftari la register, unaona ni wajibu, kapige X-ray nje Unaona haki, hata kanunue gloves sijui syringer hatuoni tabu! tumezoeshwa hivyo na watoa huduma wetu, hatukuweza hata kujadili wala kuona kuwa ni kutumikia wajibu wa serikali. Wao wanaiba na kufuja mali za umma! Hapo, tuna tatizo la kujua tatizo, ndo maana hata hawa waheshimiwa madr. Wanapogoma hatuwaelewi, wanapoacha kututibu, tunateseka, tuna kufa kwa manufaa yetu hatuwaelewi, tunaendelea kukumbatia wanasiasa na uovu Wao kwetu! Ingawa mgomo wa madr. Haukufuata taratibu na ethics pia, umekosa ushawishi kwa wananchi, tujitahidikuwaelewesha wananchi badala ya kulumbana na kuchukiana. Kwa ss na waishi madr muombe radhi wananchi, mrudi kazini. Kupitia majadiliano na taratibu za kazi na kuwaelimisha wananchi wajue nini wanastahili wakidai kwa wawakilishi wao. Wazuie bunge, ofisi za serikali, wagome hata Kwenda Shule n.k.Tujadili na wananchi wajue haki zao... Wazidai wenyewe, tusidai haki kwa niaba Yao, wamevizwa, hawatatuelewa wakuu !,

    17. #154
      Consigliere's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2010
      Location : Right in your head
      Posts : 1,592
      Rep Power : 905
      Likes Received
      725
      Likes Given
      506

      Default Re: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      Hata hao Madaktari kutoka nje watakapoletwa nao watahitaji vitendea kazi ili waendelee kutoa huduma badala ya kujidharirisha kwa kutoa huduma duni chini ya viwango na kuishia kudharirisha nchi zao.

      Muda wote watakaokuwa wanasubiri vitendea kazi husika kuletwa hizo bilioni 200 zitakuwa zimeshaanza kuteketea na mwisho muda wa mkataba utakuwa umeisha na wao kutakiwa kuondoka na by then secto ya afya itakuwa imesha sambaratika to the root level, hundreds less to the current status.

      Kama hizo bilioni 200 zipo wanaona tatizo gani kutumia bilioni 21 kumaliza tatizo lililopo?
      Allien likes this.
      Power of Mind cannot be the ultimate salvation for humanity, for all the faculties of mind are decidedly limited.

    18. #155
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14620
      Likes Received
      2841
      Likes Given
      1961

      Default Re: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      Quote By Jackbauer
      ni heri kusimamia jambo moja kwa ufanisi kuliko kupaparika na mambo mengi usiyoweza kuyatekeleza.
      Mmekuja na mambo zaidi ya kumi, ni mangapi yametekelezwa mpaka sasa? kuwa mkweli.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    19. #156
      Lastname's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd February 2012
      Posts : 464
      Rep Power : 517
      Likes Received
      123
      Likes Given
      71

      Default Re: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      Quote By HANS ROGER DIBAGULA
      What about damu ya wagonjwa waliokufa kutokana na mgomo?
      Kamwe juhudi zako hazitafanikiwa, Mungu akubariki.

    20. #157
      Kima Mchanga's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 3rd October 2011
      Location : Dynamic
      Posts : 4,480
      Rep Power : 11221
      Likes Received
      599
      Likes Given
      446

      Default Re: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      Kweli kabisa,mapambano yoyote ya kweli huhusisha damu kumwagika;
      Dr Ulimmboka amemwaga yake tayari;hii ni mbegu itakayo chipusha mema kwa ajili ya nchi yetu
      Do what you feel in your heart to be right-for yot will be criticized anyway.You will be damned if you do,and damned if you don't

    21. #158
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14620
      Likes Received
      2841
      Likes Given
      1961

      Default Re: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      Quote By Mimibaba
      Wewe na serikali yako wapuuzi wa kutosha. Ushahidi upo wa kumuua ulimboka ulioratibiwa na Ahmed Msangi chini ya IGP na UWT. Kwa nini hamjiulizi kwa nini hamkufanikiwa kumuua? Jibu la awli ni UDHAIFU wenu, pili ni MUngu wake ndiye mwnye tarehe ya kifo chake. Nyinyi kujifanya miungu mmechemsha.

      Dr. Ulimboka apone au afe mmeshalikoroga mtalinywa tu. Nasikia Dr. JK na Dr Zomba mnakwenda mahospitalini kutibu watu poa; lakini ni jitihada za kipuuzi za kutafuta kummaliza Dr. Ulimboka. Mfuateni huko alikokwenda mkammalize ili wagonja wapone na huduma za afya ziwe bora.
      Wewe jiulize, hizo idara zote ulizozitaja zina uhaba wa risasi? ipi njia rahisi ya kuuwa mtu kama sio kumshindilia risasi.

      Eti, kapigwa, kateswa katupwa mabwepande, wanaharakati wakawahi kumchukuwa na kumkibiza hospitali. Hii ni hadithi ya kitoto ambayo haiingii akilini.

      Hiyo inaonesha kabisa kuna watu wasioitakia mema serikali, na hawakutaka kumuuwa huyo, walitaka waipake matope Serikali kwa uchu wao binafsi na kwa chuki zao binafsi kwa kuwa tu wanajuwa mabadiliko ya kisera na kisiasa ndani ya Tanzania yanatowa fursa kwa wengi wanaoonewa miaka yote.

      Tunaona, tunasikia, tunapima, tunaelewa.

      Ukitazama tuu humu ndani ya JF ushabiki una pande zipi utaelewa nasema nini. Hata majina yanayotumika eti Ahmed, Abeid, hayo tu yanajulisha haya mambo yanatokea wapi. Mtawadanganya hao hao mapunguani wenzenu. Sasa tunasema "Liwalo na Liwe".
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    22. #159
      cacico's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th March 2012
      Location : DSM
      Posts : 7,044
      Rep Power : 14517
      Likes Received
      6408
      Likes Given
      4997

      Default Re: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      Quote By zomba
      Na wewe ulipwe kila unalostahili kwa kutoa uhai wa wagonjwa wa Tanzania walio wengi na kuwakosesha haki yao ya msingi ya kuishi na kuendelea kuteseka vitandani wasijue wapi pa kutibiwa.

      Kama ungekuwa kweli unawatetea Watanzania usingekimbilia nje mbio mbio kwenda kutibiwa. Ungekaa hapahapa kuonesha ujasiri wako na uyahisi yanayowasibu Watanzania kwa kuhamasisha mgomo kwa manufaa yako na wajivuni wengine wachache wanaojiona wao ni miungu watu.
      nakuchukia sana! kupita najisi itokayo mwilini mwangu. NAMUOMBA MUNGU THAT IT WILL NEVER HAPPEN FOR U TO UREVEAL YOURSELF! I HATE U! I HATE JK! I HATE THE GOVERNMENT.
      "the problem is not me! the problem is you understading me!"

    23. #160
      Lunyungu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 7th August 2006
      Location : Malampaka
      Posts : 8,002
      Rep Power : 2557
      Likes Received
      781
      Likes Given
      28

      Default Re: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      Quote By HANS ROGER DIBAGULA
      What about damu ya wagonjwa waliokufa kutokana na mgomo?
      Hii kamuulize mama yako na boyfriend wake
      Nasema : CCM tunadhani adui yetu ni Chadema hapana ni Watendaji wetu katika Serikali ya CCM tukawabane hao - Livingstone Kibajaji Lusinde 2013 25 April at 11:54am.

    24. Study Abroad
    Page 8 of 12 FirstFirst ... 678910 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...