Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

    Report Post
    Page 10 of 12 FirstFirst ... 89101112 LastLast
    Results 181 to 200 of 227
    1. #1
      Chal's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 7th October 2010
      Posts : 113
      Rep Power : 460
      Likes Received
      45
      Likes Given
      4

      Default Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      Kwa maneno uake Dr ULIMBOKA ametoa kauli ya kishujaa na kutia shime na hamasa katika mapambano yanayoendelea ya kudai haki katika kuboresha huduma za afya na maslahi ya madaktari

      "Naelekea nje ya nchi kwa matibabu, nawasihi madaktari wenzangu wanaobaki waendelee ma mapambano ya kudai haki ambayo kimsingi bado haijapatikana, nawaomba damu yangu iliyomwagika ikawe chachu na hamasa katika harakati hizi za kudai haki, asanteni sana"

      Source: ITV HABARI
      BAK, alex50, Tuandamane and 15 others like this.

    2. Miaka 50

    3. #181
      MATESLAA's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th August 2011
      Location : KINONDONI STUDIO
      Posts : 1,252
      Rep Power : 644
      Likes Received
      62
      Likes Given
      32

      Default Re: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      dr leo juma pili nimekwenda kanisani kusali,,,dhumuni la ibada yangu ya leo ni kukuombea kwa mwenyezi mungu akuponye haraka urudi nnchini uongoze tena mapambano ya ukweli mungu awe nawe
      NAZI AIMENYWI ....INAKUNWA

    4. #182
      Tuandamane's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd February 2008
      Location : Every where
      Posts : 1,260
      Rep Power : 830
      Likes Received
      40
      Likes Given
      250

      Default Re: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      Quote By HANS ROGER DIBAGULA
      What about damu ya wagonjwa waliokufa kutokana na mgomo?
      pole sana inaonekana ni vp hujui kuwa hata hao waliokufa wakati wa mgomo, ni sbb ya serikali yao kutokuwa sikivu

      we unaridhika na ile hali ya pale muhimbili??? ulishasikia rizwani kikwete, mwamvita makamba sijui nani nani wanalazwa muhimbili.. kwann hizo 200m walizotena kulipa madr wa kigeni wasizitumie kuboresha hospitals?????? na hao madr watakaa hapa tz mpaka lini?????

      kwa mawazo yenu mgando ndo yana sbbsha hawa mbwa wafanye watakavyo

    5. #183
      Small Boy's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 12th July 2007
      Posts : 128
      Rep Power : 632
      Likes Received
      32
      Likes Given
      70

      Default Re: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      Mwenye maskio na asikie: Tafakari.. Chukua hatua

      Kauli ya Dkt. Ulimboka akiwa JKNIA - YouTube

    6. #184
      Tikerra's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd September 2008
      Location : Morogoro
      Posts : 1,588
      Rep Power : 864
      Likes Received
      100
      Likes Given
      3

      Default

      Anayedhani serikali yetu ina hata chembe kidogo ya kuwajali wananchi wake ni taahira.Maneno ya Kikwete kwamba yaliyotokea bungeni ilikuwa ni upepo tu na utapita yalikuwa na mantiki kubwa.Kwamba wembe wa kulifisadi taifa ni ule ule,kwa kuwa washenzi hawa hawawezi kutufanya lolote.Yes, atakaebadilisha mwelekeo huo, atakiona cha mtema kuni.Pole sana Ulimboka,safari njema SA,umeingilia kula ya watu.Kwanza wakulipe wewe halafu uchaguzi 2015 iweje?Tuko kwenye maandalizi bwana, tunasomba kila kinachowezekana.
      Quote By andybird314
      Hivi ingekuwaje kama madaktari wangeendelea kuwa kazini ila wagonjwa wanakufa kwa sababu hakuna madawa na vifaa pia hali mbaya za hospitali?
      Wengi wanasema kuwa mgomo ndio umeua watu ila tukumbuke bila kugoma hapatakuwa na maendeleo kwenye hospital zetu.
      Kama serikali ingekuwa inacare watu wake ingepeleka vifaa na madawa kwenye hospital,pili isingetegemea MNH ingekuwa na hospital kubwa nchi nzima ili kupunguza wingi wa wagonjwa.

    7. #185
      Mchomamoto's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 19th August 2011
      Posts : 169
      Rep Power : 426
      Likes Received
      23
      Likes Given
      133

      Default Re: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      Quote By zomba
      Na wewe ulipwe kila unalostahili kwa kutoa uhai wa wagonjwa wa Tanzania walio wengi na kuwakosesha haki yao ya msingi ya kuishi na kuendelea kuteseka vitandani wasijue wapi pa kutibiwa. Kama ungekuwa kweli unawatetea Watanzania usingekimbilia nje mbio mbio kwenda kutibiwa. Ungekaa hapahapa kuonesha ujasiri wako na uyahisi yanayowasibu Watanzania kwa kuhamasisha mgomo kwa manufaa yako na wajivuni wengine wachache wanaojiona wao ni miungu watu.
      Hovyooooooooo!!akili ulizobakiwa nazo ni kuomba rushwa tu ili bajeti za halmashauri zipite keng* ww!!umetumwa ww sio bure!!


    8. #186
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      Quote By Mchomamoto
      Hovyooooooooo!!akili ulizobakiwa nazo ni kuomba rushwa tu ili bajeti za halmashauri zipite keng* ww!!umetumwa ww sio bure!!
      Mkikosa hoja mnaanza viroja. Kikwete kawaziba midomo.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    9. #187
      reformer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd July 2011
      Posts : 296
      Rep Power : 456
      Likes Received
      79
      Likes Given
      6

      Default Re: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      Quote By zomba
      Mkikosa hoja mnaanza viroja. Kikwete kawaziba midomo.
      Vp zomba..mbona hujanipa zile data za heart surgery in TZ nilizokuomba?

    10. #188
      Leornado's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th November 2010
      Location : Papua New Guinea
      Posts : 1,382
      Rep Power : 717
      Likes Received
      106
      Likes Given
      134

      Default Re: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      Apart from kung'olewa meno na kucha kinyama, Dk. Ulimboka alikutwa na bukta pekee bila suruali. I hope hawa majambazi waliomteka hawakufanyia udhalilishaji wa kijinsia.

    11. #189
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      Quote By reformer
      Vp zomba..mbona hujanipa zile data za heart surgery in TZ nilizokuomba?
      Naona hujapitia juu huko, katazame vizuri na nimekuwekea na video kabisa.
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    12. #190
      uhurubado's Avatar
      Member Array
      Join Date : 24th March 2007
      Posts : 73
      Rep Power : 637
      Likes Received
      5
      Likes Given
      5

      Default Re: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      Quote By Mr. President
      Ukiwa umepangiwa kufa UTAKUFA TU HATA MGOMO USIWEPO..... satisfied.... ur a failure....!!! 100% & even u failed to understand nani chanzo cha mgomo... ni serikali.... Hivi madaktari wadai vifaa na maslahi kidogo sana say around tshs 21 billions increment SASA AJABU HUJUI ETI SERIKALI IMETENGA TSHS 200 kuleta madr kutoka nje..!!!!!!!!!!!!!!!!????????? ? ujue hii ndio upuuzi na ww unatetea
      Kwahiyo naye huyo ulimboka alipangiwa kufanyiwa kitu mbaya, hata kama siyo mgomo angetendwa tu siyo?

    13. #191
      mtotowamjini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd April 2012
      Location : None of Your Business
      Posts : 4,533
      Rep Power : 1263
      Likes Received
      1109
      Likes Given
      28

      Default Re: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      hivi hao watu waliofanya huu nyama wanatafutwa? maana polisi imekaa kimya
      Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde

      One man's good fortune is another man's misfortune


    14. #192
      Ndahani's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 3rd June 2008
      Location : Somewhere
      Posts : 9,647
      Rep Power : 4016
      Likes Received
      2940
      Likes Given
      5063

      Default Re: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      Quote By BAK
      Serikali DHAIFU ndivyo zilivyo, hawataki kabisa kukaa chini na kufikia makubaliano kwa maslahi ya nchi. Wako radhi watumie mabilioni chungu nzima kuliko hata pesa wanazoomba madaktari ili kuajiri madaktari toka nje na kisha kuwatimua madaktari wazalendo halafu, ubabe wao hautawafikisha popote. Halafu bila hata aibu wenyewe wanajiita eti ni Serikali sikivu!!!
      They destroy the health system bit by bit...
      namshitu kazeni likes this.
      We are all inventors, each sailing out on a voyage of discovery, guided each by a private chart, of which there is no duplicate. The world is all gates, all opportunities.
      Ralph Waldo Emerson

    15. #193
      reformer's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd July 2011
      Posts : 296
      Rep Power : 456
      Likes Received
      79
      Likes Given
      6

      Default Re: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      Quote By zomba
      Naona hujapitia juu huko, katazame vizuri na nimekuwekea na video kabisa.
      Zile hadithi zako zote mbili nimezipitia nikazijibu..my last question was; when and how many successful heart surgery have been done in ZT. Support your information with a reliable reference. Unajifanya hujaona?

    16. #194
      blue arrow's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 236
      Rep Power : 407
      Likes Received
      10
      Likes Given
      3

      Default Re: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      tuombeni tu mda wa uchaguzi ufike kwani hakuna jibu mpaka sasa kam ww unalo unipatie plse

    17. #195
      Micro E coli's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2011
      Posts : 552
      Rep Power : 492
      Likes Received
      103
      Likes Given
      88

      Default

      Quote By zomba
      Na wewe ulipwe kila unalostahili kwa kutoa uhai wa wagonjwa wa Tanzania walio wengi na kuwakosesha haki yao ya msingi ya kuishi na kuendelea kuteseka vitandani wasijue wapi pa kutibiwa.

      Kama ungekuwa kweli unawatetea Watanzania usingekimbilia nje mbio mbio kwenda kutibiwa. Ungekaa hapahapa kuonesha ujasiri wako na uyahisi yanayowasibu Watanzania kwa kuhamasisha nmgomo kwa manufaa yako na wajivuni wengine wachache wanaojiona wao ni miungu watu.
      nawanaokufa kwa kukosa madawa na vifaa tiba kipindi madaktari hawajagoma damu ya italipwa na nani kilaza wewe usiye ona mantiki ya mgomo kwa mtindio wako wa ubongo.

    18. #196
      Micro E coli's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2011
      Posts : 552
      Rep Power : 492
      Likes Received
      103
      Likes Given
      88

      Default

      Quote By Leornado
      Apart from kung'olewa meno na kucha kinyama, Dk. Ulimboka alikutwa na bukta pekee bila suruali. I hope hawa majambazi waliomteka hawakufanyia udhalilishaji wa kijinsia.
      unavyo onyesha unauzoefu wa kufanyiwa vitendo vya kidhalilishaji maana unasema kila mwenye kukutwa na bukta kafanyiwa hivyo wewe ni mmoja wapo uliwahi fanyiwa.

    19. #197
      Leornado's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th November 2010
      Location : Papua New Guinea
      Posts : 1,382
      Rep Power : 717
      Likes Received
      106
      Likes Given
      134

      Default Re: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      Quote By Micro E coli
      unavyo onyesha unauzoefu wa kufanyiwa vitendo vya kidhalilishaji maana unasema kila mwenye kukutwa na bukta kafanyiwa hivyo wewe ni mmoja wapo uliwahi fanyiwa.
      we mwanamke tuheshimiane.

    20. #198
      Micro E coli's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st October 2011
      Posts : 552
      Rep Power : 492
      Likes Received
      103
      Likes Given
      88

      Default

      Quote By Leornado
      we mwanamke tuheshimiane.
      We mwali acha kumdhalilisha DR Uli kwa maneno yako machafu ambayo huja ya dhibitisha njoo na fact hapo sio unalopoka lopoka vitendo vya kudhalilisha watu humu.

    21. #199
      Kibanga Ampiga Mkoloni's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th August 2007
      Location : Here! here!
      Posts : 4,800
      Rep Power : 1636
      Likes Received
      1195
      Likes Given
      1702

      Default Re: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      For the Holy Quran says in Sura 42, verse 41: 'All those who fight when oppressed incur no guilt, but Allah shall punish the oppressor, Come the day.

    22. #200
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: Dr. Ulimboka: Damu yangu iliyomwagika ikawe chachu

      Quote By Micro E coli
      nawanaokufa kwa kukosa madawa na vifaa tiba kipindi madaktari hawajagoma damu ya italipwa na nani kilaza wewe usiye ona mantiki ya mgomo kwa mtindio wako wa ubongo.
      Katika madai 12 ya madaktari lipi la madawa? Ukilionesha na wewe umelitaja hapa, ntajuwa kweli huna mtindio wa ubongo. Ukishindwa kulionesha, nikuiteje? Mnafik?
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    Page 10 of 12 FirstFirst ... 89101112 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...