Lema kuwataja waliomteka Dk. Ulimboka leo Ilala Bungoni
Leo Jumamosi, Juni 30, aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema, atakuwa na mkutano wa hadhara Ilala Bungoni.
Vyanzo vyangu vya habari, kutoka karibu na Lema vinasema kuwa leo atalipuka sana. Mojawapo ya masuala atakayolipua ni kuwataja vigogo/kigogo waliohusika katika suala la Dkt. Ulimboka.
Jamani wenzetu wa habari, sijui vyombo vingapi viko maeneo hayo, mtupatie taarifa hizi mapema iwezekanavyo kama ni kweli. Hatuwezi kusubiri mpaka kesho au usiku.
Re: Lema kuwataja waliomteka Dk. Ulimboka leo Ilala Bungoni
By Molemo
Hakuna mwana CDM wa kweli anayeweza kujiunga chama kinachokata roho chenye wabunge wawili Tanganyika nzima.Mmezidiwa hata na NCCR? Ni ukweli ulio wazi chama cha Tatu chenye nguvu Tanganyika baada ya CDM na CCM ni NCCR.
Hakuna mwanachama wa CUF atakayejiunga na chama cha kikabila, (CDM)
CUF ni chama cha siasa kunachotaka kuchukua madaraka (siyo kuwa wapinzani milele) tumeanza na Zanzibar..
Tunakuja Tangayika kwa nguvu, wewe ndio unajua ni nchi ya jirani...sasa msihangaike na Zanzibar tuone kama mtapewa Tanzania?? (mtabakie wapinzani milele of course tha is maximum you can go)

Mkuu kundi lenu la Uamsho linaloungwa mkono na CUF halitambui muungano na ndiyo maana CUF imejikita huko nchi jirani.Bakini huko huko huku Bara Uamsho hauwezi kukubalika.Chuki za kidini tumezichoka.
Re: Lema kuwataja waliomteka Dk. Ulimboka leo Ilala Bungoni
By Molemo
Mkuu kundi lenu la Uamsho linaloungwa mkono na CUF halitambui muungano na ndiyo maana CUF imejikita huko nchi jirani.Bakini huko huko huku Bara Uamsho hauwezi kukubalika.Chuki za kidini tumezichoka.
CUF inaamini katika serikali TATU (soma katiba na manifesto ya CUF)
Kabla ya kuanza kusema uwongo wako mchana kweupe???
Hiyo ni danganya toto mkuu mkuu wangu.Katibu wa itikadi CCM Nape Nauye alisema waziwazi uamsho ni majambazi wakubwa.Pia viongozi wa ccm Zanzibar walisema Waziri wa Sheria Zanzibar Aboubakar Khamisi Bakar aliye kiongozi wa cuf ni mfuasi wa kundi hilo na ndiye anayewalinda.Sasa kwa ushahidi huu wa viongozi wa chama tawala utasema bado cuf inaipenda Tanganyika?
Re: Lema kuwataja waliomteka Dk. Ulimboka leo Ilala Bungoni
By Molemo
Hiyo ni danganya toto mkuu mkuu wangu.Katibu wa itikadi CCM Nape Nauye alisema waziwazi uamsho ni majambazi wakubwa.Pia viongozi wa ccm Zanzibar walisema Waziri wa Sheria Zanzibar Aboubakar Khamisi Bakar aliye kiongozi wa cuf ni mfuasi wa kundi hilo na ndiye anayewalinda.Sasa kwa ushahidi huu wa viongozi wa chama tawala utasema bado cuf inaipenda Tanganyika?
Kwa hiyo unamsikiliza na kumuamini Nape ..happy to know that..exposed
Tuombe uhai..ikiwa wewe ndio mpaji sawa lakini ikiwa si wewe..
CUF itaongoza nchi hii kwa faida ya wananchi waliokata tamaa kwa kukosa haki zao
HAKI SAWA KWA WOTE, huleta amani, maendeleo, na uwajibikaji..hiki ndicho wananchi makini wanakisubiri kutoka chama makini..
Mkuu pole sana.Hayo maneno waambie watoto wa Chekechea.Huku Tanganyika CUF ni marehemu.Ushahidi mdogo fuatilia harakati zao katika chaguzi ndogo za Igunga na Arumeru Mashariki utaamini maneno yangu na utaacha kujifariji kwa mawazo ya kitoto
Re: Lema kuwataja waliomteka Dk. Ulimboka leo Ilala Bungoni
By Molemo
Mkuu pole sana.Hayo maneno waambie watoto wa Chekechea.Huku Tanganyika CUF ni marehemu.Ushahidi mdogo fuatilia harakati zao katika chaguzi ndogo za Igunga na Arumeru Mashariki utaamini maneno yangu na utaacha kujifariji kwa mawazo ya kitoto
Kama ilivyo chadema huko Zanzibar (mfu bin mfu) hatuchekani..
Chaguzi hizo mbili si kipimo tosha kwa chama kubwa kama CUF
Tunaamini katika HAKI SAWA KWA WOTE.
Kuna kitu kimewahi kushinda haki?? CUF itakuwa Tanganyika usijali mkuu.

Mkuu kundi la Uamsho linaloungwa mkono na CUF linataka Zanzibar ijitenge sasa mkuu wangu CDM ifate nini tena huko? Isitoshe Zanzibar yote ni sawa na Jimbo moja tu la Arusha mjini.Upo hapo?
Re: Lema kuwataja waliomteka Dk. Ulimboka leo Ilala Bungoni
By Molemo
Mkuu kundi la Uamsho linaloungwa mkono na CUF linataka Zanzibar ijitenge sasa mkuu wangu CDM ifate nini tena huko? Isitoshe Zanzibar yote ni sawa na Jimbo moja tu la Arusha mjini.Upo hapo?
Nimekuelewa kwakuwa uamsho hawataki muungano chadema pia hawataki muungano..OK asante kwa clarification
OK msije kabisa Zanzibar msipoteza muda wenu bure..si zanzibar ni kama arusha??
Follow Us Here