Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Serikali yaomba madaktari nje ya nchi, BILIONI 200 ZATENGWA KUWALIPA

    Report Post
    Page 7 of 10 FirstFirst ... 56789 ... LastLast
    Results 121 to 140 of 191
    1. #1
      Imany John's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th July 2011
      Posts : 1,971
      Rep Power : 2977
      Likes Received
      471
      Likes Given
      4

      Default Serikali yaomba madaktari nje ya nchi, BILIONI 200 ZATENGWA KUWALIPA

      SERIKALI imeamua kuagiza madaktari kutoka nchi za nje watakaochukua nafasi ya wale wa hapa nchini ambao wamegoma kuanzia mwishoni mwa wiki iliyopita.

      Habari kutoka katika moja ya vyanzo vya kuaminika
      zimesema kuwa uamuzi huo wa serikali ulipitishwa katika kikao cha Baraza la Mawaziri
      kilichokutana mjini Dodoma juzi chini ya uenyekiti wa Rais Jakaya Kikwete.

      Habari kutoka ndani ya kikao hicho zilidai kuwa RaisKikwete alikerwa na tabia ya madaktari kupingana na serikali licha ya juhudi zote
      zilizofanywa kuboresha maslahi yao.

      Kwa mujibu wa habari hizo,kiasi cha sh bilioni 200 kimetengwa kwa ajili yakuwaleta na kuwagharimia madaktari hao wa nje na pia baraza limepitisha azimio la kuzungumza na hospitali za jeshi kama Lugalo na zingine ndogo kubeba jukumu hilo kwa sasa pamoja kuagiza madaktari wastaafu wote
      warejee kazini katika kipindi hiki cha mgomo.

      Habari zimedai kuwa
      madaktari hao wanasadikiwa watatoka katika nchi rafiki zikiwemo India, China, Cubana Afrika Kusini, na kwamba wataziba kikamilifu pengo la wale wa hapa nchini ambao
      wamegoma.

      Inaelezwa kuwa mara baadaa ya kukamilika na kuanza rasmi kwa huduma za matibabu, madaktari wa hapa
      nchini waliomo katika mgomo na wale zaidi ya 200 waliodaiwa kufukuzwa na serikali kimyakimya, watalazimika kurejeshwa
      kazini kwa masharti makali.

      Hata hivyo, uamuzi wa
      serikali kuwatimua madaktari wakati suala lao liko mahakamani, umewagawa wabunge.

      Baadhi ya wabunge walijaribu kuhoji suala hilo Bungeni,lakini walikwama baada ya
      Spika Anna Makinda kuzuiamjadala huo kwa madai kuwa suala hilo liko mahakamani.

      Mbunge wa Nzega, Dk. Hamis Kigwangala, alisema kuwa kilichofanywa na serikali nikiini macho kwani juzi Waziri Mkuu Mizengo Pinda alisema serikali haiwezi kutoa kauli dhidi ya madaktari kwa madai
      kuwa kuna kesi mahakamani.
      “Juzi serikali imesema kuwa haiwezi kutoa kauli kwa vile jambo hilo lipo mahakamani,sasa imewezaje kuwafukuza
      madaktari wakati jambo lipo mahakamani?”
      alihoji Dk. Kigwang’ala.

      Aliitaka serikali kuondoa kesi hiyo ili kurejesha majadilianokwani ndio njia pekee ya kukabiliana na mgogoro huo.

      Mbunge wa Ubungo, John
      Mnyika, alimshangaa Spika Anna Makinda kuzuia mjadala huo kwani ungeweza kujadiliwa bila kuingilia uhuruwa mahakama.

      Juzi uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili uliwafukuza kazi madaktari 229 walioko
      katika mafunzo kwa njia ya vitendo kutokana na mgomo unaoendelea wa kushinikiza kulipwa posho zao za mwezi mmoja.

      Hospitali zingine ambako
      madaktari wamefukuzwa
      kutokana na mgomo huo ni pamoja na Mbeya na Dodoma.

      Jeshi lachukua nafasi za
      madaktari, Wakati huo huo Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ),limeanza kutekeleza kwa vitendo agizo la serikali la kutoa huduma za kitabibu
      kwa wagonjwa kufuatia mgomo wa madaktari nchini.

      Juzi Waziri Mkuu Mizengo
      Pinda akiwa bungeni alisema serikali imeamua kuwatumia madaktari waliopo Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,wastaafu na hospitali zote za jeshi kuendelea kutoa huduma
      ya matibabu kwa wagonjwa.

      Msemaji wa JWTZ Kanali
      Kapambala Mgawe katika
      mahojiano maalum na gazeti hili, alisema juzi baada ya Waziri Mkuu Pinda kutoa agizo hilo, walianza utekelezaji wake ambapo kwa jiji la Dar es Salaam, hospitali Kuu ya
      Jeshi Lugalo Kikosi ya 521,
      Mgulani na ile ya Kikosi cha Navy-Kigamboni na hospitali zake zote kote nchini zilianza kutoa huduma hiyo bila
      vikwazo.

      “Kwanza naomba umma uelewe hivi hospitali za JWTZ hapa nchini kwa asilimia 70 zimekuwa zikiwatibu raia bila vikwazo vyovyote hivyo agizo
      hilo la serikali huenda likaongeza idadi ya wagonjwa kutibiwa katika hospitali zetu
      labda kwa asilimia 90.

      Mgawe alisema madaktari
      wanajeshi wapo kwa ajili ya kulinda taifa na watu wake,hivyo akawahakikishia wananchi wanaougua
      kutosita kwenda katika hospitali za jeshi hilo kutibiwa akidai kuwa hawaoni mantiki ya daktari kugoma.

      Chanzo:TANZANIA DAIMA
      Last edited by Imany John; 30th June 2012 at 11:05.
      Raia Fulani likes this.

    2. Miaka 50

    3. #121
      Crashwise's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd October 2007
      Location : Safarini
      Posts : 13,122
      Rep Power : 14288
      Likes Received
      4013
      Likes Given
      3271

      Default Re: Serikali yaomba madaktari nje ya nchi, BILIONI 200 ZATENGWA KUWALIPA

      Quote By Mungi
      Hiyo gharama iko chini ya kiasi wanacholipwa madaktari hawa waliogoma?
      Hata kama iko chini huwezi kulinganisha wazawa na wageni kwasababu nyingi tu.
      1. uwezekano wa wazawa kujenga nchi ni mkubwa kuliko ukiwajiri wageni watakuwa niwtu wa kusomba pesa na kupeleka nje
      2. inawezekana ukawa una walipa pesa za kigeni
      Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.... Malcolm X Nasubiri 'breaking news... '





    4. #122
      Dingswayo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th May 2009
      Location : Tanzania/Europe
      Posts : 2,630
      Rep Power : 5719
      Likes Received
      1060
      Likes Given
      2496

      Default Kuleta madaktari nje na 'Land of Clowns'

      Hili la serikali kuleta madaktari kutoka nje ili kutatua mgomo wa madaktari (sijui ni kwa muda au kabisa) umenifanya nikumbuke makala ya Mwanakijiji aliyoiweka hapa isemayo 'Land of Clowns'. Naiweka hapa tujikumbushe tena na tulinganishe na haya yanayotokea sasa:

      IN THE LAND NOT NAMED: A CLOWNS’ PARADISE* (KATIKA NCHI ISIYOTAJWA: IPO PEPO YA WACHEKESHAJI)


      There is a land – not named – where clowns live. It is a land where life and everything that has to do with living revolve around clowns and indeed it involves clowns. In this land – not named – nothing serious is ever done, I mean nothing at all. It is where the clowns –big and small – live in a perpetual state of intense and ecstatic clowning. The audience is also in a somewhat state of forever joy, enjoying entertainment from the sun-rising to sun-setting, come sun, rain, or hail.


      In this land –not named yet – anybody can become a clown! For this reason the art and science – if one may call it that – or clowning is a big business. It attracts the rich as well as the poor, the educated, uneducated, ill-educated and those miss-educated! The clowning business is an endeavor that in this land –not named- has become a family business. So you will find “papa clown” as well as “mummy clown” clowning with the “little princess clown” and “Clown the Jr.”


      For those who have never seen a clown I’ll take a brief moment to introduce you to this to what a clown is. One dictionary defines as a clown as “a comic performer, as in a circus, theatrical production, or the like, who wears an outlandish costume and makeup and entertains by pantomiming common situations or actions in exaggerated or ridiculous fashion, by juggling or tumbling, etc.” Wikipedia describe clowns as “comic performers stereotypically characterized by the grotesque image of the circus clown's colored wigs, stylistic makeup, outlandish costumes, unusually large footwear, and red nose, which evolved to project their actions to large audiences.”


      Thus, clowns can be recognized by the costume they wear, comic or comedic character of their actions and their excitement in entertaining others especially children. In many towns and cities around the world from many generations there have been clowns of all kinds. The common feature among them is their ability to make comic of life, and their level of comedic performance to a level of becoming a professional. Some clowns indeed are certified and qualified professionals in different arts (acrobatic, music or theatrical to mention a few).

      So clowns do dances, juggling, acrobatics, miming and mimicking and all other kinds of stage performance including illusion and magic where they make people believe things that are not there (and can never be there)! The good clowns are entertainingly smart, enjoyable and if I may say - charming! And some might think they are "sexy"!

      So in this land – not named- clowns have become rulers! Not only have they become rulers but these clowns in this land hold various positions in government and in society. Some have become members of parliament as well as ministers and others have even joined the security forces and other intelligence agencies. Some have been trained to become academics of the highest caliber – so you will find these clowns in colleges and universities!

      However, in this land –still not named -where clowns live and reign nothing serious is ever done; I mean nothing at all. It doesn’t matter whether it involves education, energy or security. How could anything be done in the land of the clowns? Why would anybody expect something serious to be done if by doing it means the clowns have to stop for moment and be serious? How can a clown not be a clown?


      The other thing about clowns is that they like praise and adulation from their audience! The clowns in this land – well still not named – don’t like to be reminded to take anything seriously. How could they? They are clowns for Heaven’s sake! They are incapable of taking anything seriously. An argument can be made that is impossible for them to be serious because it is against the nature of a clown!


      So, if anybody were to try to yell at them, scream or try to remind them to take things seriously the most prominent clown (usually one of the senior clowns) might even refuse to perform for the audience until somebody start singing songs of praises of how good the clowns are! So, if you see them in their Parliament of the Clowns you will be amazed what it takes for them to debate something of a national importance.


      Imagine in this land – unnamed so far – where the Speaker and the Deputy Speaker of their National Assembly both are eminent clowns what do you expect to see in the “People’s House”? What if the whole government and its political elite all are made up from members of the Conference of Clowns Movement – the powerful clowns’ organization in the land? Do you think anybody in the government or parliament can ever be serious?


      Don’t misunderstand me, I’m not saying that they clowns cannot give serious and passionate speech on a very serious issue; I don’t mean you would never find some junior clowns somewhere who can articulate rather masterfully some issues with a sense of depth and knowledge. Oh no! You can find them in almost all professional fields! Remember most clowns are educated in the various arts and sciences.

      So in this land – unnamed – there are clowns who are economists, engineers, teachers, or what have you. So, a clown can and may give a moving speech about the needs of energy independence as well as the need for comprehensive mining policy reform; others may give academic talks on the challenges of their country’s economy as well as many other topics of their interests. Unfortunately, to them all these are just performances, nothing less nothing more! Remember, they are clowns first and everything else is second!


      Unfortunately (or fortunately for the clowns), the clowns in power are elected. They are not imposed by anybody on the people. They come every five years, do a heart moving performances during campaigns and the people like them. They say “they are likable”! Any other candidate who seems to be very serious and does not like jesting or clowning will be seen as “not electable”. Thus, the people choose the clowns and every five years the same people who don’t like the clowns go back and elect more clowns. Only, when things get serious do the people regret their choices but if given another chance they will go and elect another clown –sometimes returning a former clown to power - from the same organization (The Conference of Clowns Movement)!


      It is for this reason, this land – still not named – has become a clowns’ paradise. Here, the clowns are safe; they can live in total sense of security, their pensions assured and their allowances always increasing. These clowns have even created their own “Clowning Allowance” which recently I heard they tried to increase. Unfortunately for them the senior clown was not fully briefed. The other clowns I hear they are still mad at “Papa clown”! He is mad at them to for clowning too much! It is a paradise for them and their children, they are safe and secure, and they can live in total control of their fate and with absolute power, the clowns rule with impunity. Nothing can shake them, nothing can intimidate them and nothing can make them stop clowning.


      Except an election, when the people finally decide that they have had enough clowning. Unfortunately, the clowns are good at making the other people look bad and make their own selves believable and likable. They will use songs, and dances, food, and garments and funny speeches just to make the untrained voters thing “well why not another five more years of our popular clowns”. And so they return.


      O' What a paradise, O' what a land! a Clowns’ paradise!

      In the land – not named.

      By. M. M. Mwanakijiji (BGM)


      NB: * When the doctors strike began almost two weeks ago I spoke to a very dear friend of mine especially on the timidity and tepidity of the government's response. She said "Nchi yetu imekuwa a clowns' paradise". That term struck a chord with me. It all made sense and I promised her I would write a short essay based on that thought. This is a tribute to her! Thanks!
      Last edited by Dingswayo; 30th June 2012 at 15:53.
      Semper fi!

    5. #123
      Gwangambo's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th June 2012
      Location : Mabwepande
      Posts : 1,111
      Rep Power : 569
      Likes Received
      263
      Likes Given
      86

      Default Re: Serikali yaomba madaktari nje ya nchi, BILIONI 200 ZATENGWA KUWALIPA

      200bn? Jamani oneni ujeuri wa Sirikali ya CCM. Haya lets wait and see.

    6. #124
      Honolulu's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 19th January 2012
      Posts : 720
      Rep Power : 0
      Likes Received
      284
      Likes Given
      0

      Default Re: Serikali yaomba madaktari nje ya nchi, BILIONI 200 ZATENGWA KUWALIPA

      Hizo ndizo ajira millioni moja mlizoahidiwa 2010. Kiini cha udhaifu wa wabunge ni ninyi watanzania wenyewe!! Mnapiga kura kama vipofu, kisha mnalalama kama vichaa!! Hao si mliwachagua ninyi wenyewe?? Mliendekeza ushabiki wa Yanga na Simba kwenye siasa bila kuangalia uhalisia wa mambo!!

      Mlipodanganywa kwa chumvi, kanga na vikofia vya kijani mkakodoa macho na kuduwaa mithili ya mjusi aliyebanwa na mlango!! Akili zikawaishia mkawapa kura vibaka!! Sasa tulieni mnyooshwe vizuri hadi hapo mtakapopata mang'amuzi mwaka 2015.

    7. #125
      Anheuser's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd March 2011
      Posts : 1,296
      Rep Power : 673
      Likes Received
      335
      Likes Given
      135

      Default Re: Serikali yaomba madaktari nje ya nchi, BILIONI 200 ZATENGWA KUWALIPA

      Quote By Imany John
      kiasi cha sh bilioni 200 kimetengwa kwa ajili yakuwaleta
      zimetengwa kutoka wapi?

      wameshindwa kuwalipa ma local doctors wageni ndio wataweza?

    8. FemaTV & Radio

    9. #126
      Kubwajinga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd January 2008
      Location : Ilala, Tanzania 10001
      Posts : 1,638
      Rep Power : 707
      Likes Received
      72
      Likes Given
      128

      Default Re: Serikali yaomba madaktari nje ya nchi, BILIONI 200 ZATENGWA KUWALIPA

      Ukweli wa hii habari unaleta matata kwani Africa ya Kusini, India na China sio maBFF wetu tena siku hizi wa kutupatia kila kitu tunachotaka hasa inapotokana na upuuzi wetu. Hizi nchi zote hivi sasa zinayapa kipaumbele mambo yao ya ndani na hawana madaktari wa kutuma kila mahali duniani unless iwe ni kwenye majanga ya asilia. Kama kweli ndio mawazo ya mkuu wetu wa nchi, basi tupo mahali pabaya zaidi kiutawala kuliko hata tunavyofikiria.
      Dawa ya Mjinga likes this.

    10. #127
      MwanajamiiOne's Avatar
      JF Platinum Member Array
      Join Date : 24th July 2008
      Location : On My Seat
      Posts : 9,306
      Rep Power : 13762
      Likes Received
      5150
      Likes Given
      4535

      Default Re: Serikali yaomba madaktari nje ya nchi, BILIONI 200 ZATENGWA KUWALIPA

      Kama ni kweli basi tukiruhusu hii ina maana watanzania hatuna uzalendo wa kweli. Unless watwambie hizo bilioni 200 hazitoki kwenye kodi zetu. Kwa nini turuhusu kodi zetu zitumike kwa foreigners ilhali wapo watanzania wenzetu wenye uwezo wa kuifanya kazi hiyo?
      Kama ni kweli je gharama ya kuitumia hiyo bilioni 200 na gharama ya kutekeleza matakwa ya madaktari wetu ipi ni kubwa?

      Nitakuwa mtanzania wa ajabu nikikubali mamilioni hayo yatumike kuwaleta hao maforena ilhali hospitali zetu zina upungufu wa vitendea kazi UNLESS HAO FORENA WATAKUJA NA DAWA NA VITANDA NA VIFAA VINGINE VINAVYOPELEA MAHOSPITALINI KWET maana wanawezaletwa but kwa kuwa hakuna vitendea kazi wakaishia kugeuka kuwa watalii tu!.
      LOVE is a flower, and YOU,its only seed
      Mjukuu Mtiifu, 2012.

    11. #128
      kadoda11's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th January 2011
      Location : planet earth
      Posts : 1,385
      Rep Power : 702
      Likes Received
      354
      Likes Given
      183

      Default Re: Serikali yaomba madaktari nje ya nchi, BILIONI 200 ZATENGWA KUWALIPA

      kumbe hii nchi ina pesa nyingi hivi!?
      "The only true wisdom is in knowing you know nothing"

    12. #129
      Mimibaba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st July 2009
      Posts : 3,172
      Rep Power : 1533
      Likes Received
      761
      Likes Given
      593

      Default Re: Serikali yaomba madaktari nje ya nchi, BILIONI 200 ZATENGWA KUWALIPA

      Quote By mgeninani
      mmh! Failing state
      failed state
      Ukweli utakuweka huru daima

    13. #130
      Ngoso's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 26th May 2012
      Posts : 100
      Rep Power : 372
      Likes Received
      11
      Likes Given
      10

      Default

      Quote By Nyunyu
      Haya bana! Hatu wezi kuibishia serikali, ila watachemsha tu...
      wapendwa huu ni ulevi wa madaraka na udhaifu wa mawazo badala ya kuamua namna ya kumaliza tatizo la msingi wao wanawazia watachotaje pesa za watanzania kwa kusingizia dharura,mtindo uliotumika kutuingiza kwenye janga la Richmond, na hivi serikali iliposema haina pesa kauli hiyo inakuwa thabit? Au pesahizo 2bilion kuna minbudget itapelekwa bungeni maana iliyosomwa sikusikia zikitajwa

    14. #131
      mzalendokweli's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st April 2012
      Posts : 346
      Rep Power : 426
      Likes Received
      86
      Likes Given
      52

      Default Re: Serikali yaomba madaktari nje ya nchi, BILIONI 200 ZATENGWA KUWALIPA

      Kweli pale juu hakuna mtu. Af mkiitwa DHAIFU mnang'aka

    15. #132
      Kiwi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th September 2009
      Posts : 374
      Rep Power : 565
      Likes Received
      234
      Likes Given
      1203

      Default Re: Kuleta madaktari nje na 'Land of Clowns'

      Mgomo ulipoanza dunia ilikuwa imefumba macho. Wasichojua hawa clowns ni kwamba sasa dunia inaona, na 'antennae' zote ziko wazi. Sijui katika mkorogo huu wa sasa JK na serikali yake ya 'clowns' watatokaje.

      Mungu Ibariki Tanzania na watu wake!
      Dingswayo likes this.

    16. #133
      LiverpoolFC's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th April 2011
      Posts : 6,690
      Rep Power : 11281
      Likes Received
      1474
      Likes Given
      570

      Default Hili la BILIONI 200 serikali kuagaza madaktari toka Nje ya Nchi,Imekaaje wajamen??

      Nimesikitika sana kupata hbr hii ya madaktari kutoka Nchi ya nje kama Cubu,India, South Africa na China na mafisadi wamewatengea kiasi hiki cha Tsh.

      Je? Kwanini wasifikie ktk mazungumzo ya Amani kbs na Madaktari wetu na hiyo mabilion ya shilingi ikabaki mikononi mwa Watanzania Madaktari wetu?

      Ama tuseme si ajabu ni miradi ya watu fulani ndani ya serikali DHAIFU.

    17. #134
      baraka moze's Avatar
      Member Array
      Join Date : 21st April 2012
      Posts : 84
      Rep Power : 373
      Likes Received
      3
      Likes Given
      12

      Default Re: Serikali yaomba madaktari nje ya nchi, BILIONI 200 ZATENGWA KUWALIPA

      tatua kwanza mzizi wa tatizo kwanza

    18. #135
      baraka moze's Avatar
      Member Array
      Join Date : 21st April 2012
      Posts : 84
      Rep Power : 373
      Likes Received
      3
      Likes Given
      12

      Default Re: Serikali yaomba madaktari nje ya nchi, BILIONI 200 ZATENGWA KUWALIPA

      hasa hizo pesa wangewajenge mazingira mazuri ya kufanya kazi kwa madaktari walio goma?

    19. #136
      majany's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th September 2008
      Location : IKULU
      Posts : 1,046
      Rep Power : 1698
      Likes Received
      425
      Likes Given
      829

      Default Re: Serikali yaomba madaktari nje ya nchi, BILIONI 200 ZATENGWA KUWALIPA

      Liwalo na liwe.........

    20. #137
      kebepa's Avatar
      Member Array
      Join Date : 20th December 2009
      Posts : 68
      Rep Power : 492
      Likes Received
      4
      Likes Given
      3

      Default Re: Serikali yaomba madaktari nje ya nchi, BILIONI 200 ZATENGWA KUWALIPA

      watazikunya wapi hizo pesa,wanatapatapa..
      In the market, people are "buyers" and "sellers".In politics they are "enemies" and "friends".

    21. #138
      Panga la Yesu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th April 2009
      Posts : 220
      Rep Power : 557
      Likes Received
      12
      Likes Given
      146

      Default Re: Serikali yaomba madaktari nje ya nchi, BILIONI 200 ZATENGWA KUWALIPA

      Quote By imany john
      serikali imeamua kuagiza madaktari kutoka nchi za nje watakaochukua nafasi ya wale wa hapa nchini ambao wamegoma kuanzia mwishoni mwa wiki iliyopita.

      Habari kutoka katika moja ya vyanzo vya kuaminika
      zimesema kuwa uamuzi huo wa serikali ulipitishwa katika kikao cha baraza la mawaziri
      kilichokutana mjini dodoma juzi chini ya uenyekiti wa rais jakaya kikwete.

      Habari kutoka ndani ya kikao hicho zilidai kuwa raiskikwete alikerwa na tabia ya madaktari kupingana na serikali licha ya juhudi zote
      zilizofanywa kuboresha maslahi yao.

      Kwa mujibu wa habari hizo,kiasi cha sh bilioni 200 kimetengwa kwa ajili yakuwaleta na kuwagharimia madaktari hao wa nje na pia baraza limepitisha azimio la kuzungumza na hospitali za jeshi kama lugalo na zingine ndogo kubeba jukumu hilo kwa sasa pamoja kuagiza madaktari wastaafu wote
      warejee kazini katika kipindi hiki cha mgomo.

      Habari zimedai kuwa
      madaktari hao wanasadikiwa watatoka katika nchi rafiki zikiwemo india, china, cubana afrika kusini, na kwamba wataziba kikamilifu pengo la wale wa hapa nchini ambao
      wamegoma.

      Inaelezwa kuwa mara baadaa ya kukamilika na kuanza rasmi kwa huduma za matibabu, madaktari wa hapa
      nchini waliomo katika mgomo na wale zaidi ya 200 waliodaiwa kufukuzwa na serikali kimyakimya, watalazimika kurejeshwa
      kazini kwa masharti makali.

      Hata hivyo, uamuzi wa
      serikali kuwatimua madaktari wakati suala lao liko mahakamani, umewagawa wabunge.

      Baadhi ya wabunge walijaribu kuhoji suala hilo bungeni,lakini walikwama baada ya
      spika anna makinda kuzuiamjadala huo kwa madai kuwa suala hilo liko mahakamani.

      Mbunge wa nzega, dk. Hamis kigwangala, alisema kuwa kilichofanywa na serikali nikiini macho kwani juzi waziri mkuu mizengo pinda alisema serikali haiwezi kutoa kauli dhidi ya madaktari kwa madai
      kuwa kuna kesi mahakamani.
      “juzi serikali imesema kuwa haiwezi kutoa kauli kwa vile jambo hilo lipo mahakamani,sasa imewezaje kuwafukuza
      madaktari wakati jambo lipo mahakamani?”
      alihoji dk. Kigwang’ala.

      Aliitaka serikali kuondoa kesi hiyo ili kurejesha majadilianokwani ndio njia pekee ya kukabiliana na mgogoro huo.

      Mbunge wa ubungo, john
      mnyika, alimshangaa spika anna makinda kuzuia mjadala huo kwani ungeweza kujadiliwa bila kuingilia uhuruwa mahakama.

      Juzi uongozi wa hospitali ya taifa muhimbili uliwafukuza kazi madaktari 229 walioko
      katika mafunzo kwa njia ya vitendo kutokana na mgomo unaoendelea wa kushinikiza kulipwa posho zao za mwezi mmoja.

      Hospitali zingine ambako
      madaktari wamefukuzwa
      kutokana na mgomo huo ni pamoja na mbeya na dodoma.

      Jeshi lachukua nafasi za
      madaktari, wakati huo huo jeshi la wananchi wa tanzania (jwtz),limeanza kutekeleza kwa vitendo agizo la serikali la kutoa huduma za kitabibu
      kwa wagonjwa kufuatia mgomo wa madaktari nchini.

      Juzi waziri mkuu mizengo
      pinda akiwa bungeni alisema serikali imeamua kuwatumia madaktari waliopo wizara ya afya na ustawi wa jamii,wastaafu na hospitali zote za jeshi kuendelea kutoa huduma
      ya matibabu kwa wagonjwa.

      Msemaji wa jwtz kanali
      kapambala mgawe katika
      mahojiano maalum na gazeti hili, alisema juzi baada ya waziri mkuu pinda kutoa agizo hilo, walianza utekelezaji wake ambapo kwa jiji la dar es salaam, hospitali kuu ya
      jeshi lugalo kikosi ya 521,
      mgulani na ile ya kikosi cha navy-kigamboni na hospitali zake zote kote nchini zilianza kutoa huduma hiyo bila
      vikwazo.

      “kwanza naomba umma uelewe hivi hospitali za jwtz hapa nchini kwa asilimia 70 zimekuwa zikiwatibu raia bila vikwazo vyovyote hivyo agizo
      hilo la serikali huenda likaongeza idadi ya wagonjwa kutibiwa katika hospitali zetu
      labda kwa asilimia 90.

      Mgawe alisema madaktari
      wanajeshi wapo kwa ajili ya kulinda taifa na watu wake,hivyo akawahakikishia wananchi wanaougua
      kutosita kwenda katika hospitali za jeshi hilo kutibiwa akidai kuwa hawaoni mantiki ya daktari kugoma.

      Chanzo:tanzania daima
      he he he he eeh eh!1 jamnai janmani kumbe serikali inapesa, au huo nimsaada umekuja ghafla ambao ulikuwa haupo? Hii inanikumbusha mambo ya kitot kama ulikuwa hutaki kumpa kitu mwenzio basi unakitupa kwenye mavumbi iliwote mkose, siamini kama hayo ni maamuzi ya mawaziri wenye elimu kubwa tunaowafahamu wamefanya hayo maamuzi ya kutupa fedha zote nje ili tu serikali ikose na madaktari wakose. Kama ndivyo tunaanza kuwaumia meno

    22. #139
      Tetty's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 6th January 2012
      Posts : 1,133
      Rep Power : 566
      Likes Received
      315
      Likes Given
      204

      Default Re: Kuleta madaktari nje na 'Land of Clowns'

      Je Mwanakiji kwa wale ambao hawajui Jamii forum unaweza kuwapatia kwenye magazeti yanayonunulika na kuheshimika?Na pia ningekuomba kwa watanzania wengi lugha uliyoandikia ni ngumu kwao.tafadhali iweke kwa kiswahili pia,ili hata mtoto wa anayeweza kusoma aweze kusoma nailivyo nyepesi ni rahisi kueleweka.
      Na kwa wale wanaojua kutengeneza maigizo ni nzuri pia kuigiza kwani ujumbe wake ni mzuri mno.Kama haitakugharimu isaidie jamii yake ili ielimike kwa hadithi hii.Asante

    23. #140
      adolay's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th December 2011
      Posts : 1,650
      Rep Power : 774
      Likes Received
      500
      Likes Given
      502

      Default Re: Serikali yaomba madaktari nje ya nchi, BILIONI 200 ZATENGWA KUWALIPA

      Watawatumia hawa jamaa kwa miaka mingapi?
      Niwajinga tu wanaoweza kufanya maamuzi ya kijinga kwa matokeo ya ujinga kushindwa kuuona ujiga wao wa kulipana mishahara minono, kujigawia kod zetu, huku wakiendesha serikali kisanii. Kunahuyu mama wanaemwita speaker (Anna Makinda) huyu mama anamapungufu makubwa ya kimaamuzi, watu wanakufa anasema bunge lisijadili eti kuingilia uhuru wa mahakama. Je niwakati gan tunasema hii ni dharura na hali ya hatali?
      Makinda anastahili kunyongwa kwa kushindwa kusaidia utatuzi wa tatizo kwa makusud kuzuia wabunge kujadili mkasa huu.
      Muda ukiwadia kikwete lazima narudia lazima apande kizimban. Haiwezekan watu wanakufa ametiapamba masikion, he is real a most weakest president ever to be for tanzania.

    Page 7 of 10 FirstFirst ... 56789 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...