Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Lema amvaa Ridhiwani Kikwete... Ni kuhusu umiliki kampuni ya Tanzanite One

    Report Post
    Page 7 of 14 FirstFirst ... 56789 ... LastLast
    Results 121 to 140 of 276
    1. #1
      SirBonge's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 18th July 2010
      Posts : 168
      Rep Power : 582
      Likes Received
      91
      Likes Given
      32

      Default Lema amvaa Ridhiwani Kikwete... Ni kuhusu umiliki kampuni ya Tanzanite One

      Hii nime'copy na ku'paste toka kwenye facebook page ya kamanda Lema...........

      Naomba hili liwe wazi kwa Watanzania, Ridhiwan Jakaya Kikwete, chini ya kampuni ambayo wanaharakati tutaleta ushahidi wake kwa wananchi wanaotaka ukombozi, wiki hii alikuwepo Jijini Arusha na tayari ana mkataba wa umiliki wa zaidi ya hisa asilimia 45 za kampuni ya Tanzanite One. Hii ni biashara ya Rais wa nchi. Ametumia madaraka yake kwa siri kupisha umiliki huu kupitia mtoto wake.

      Linaweza kukanushwa na kupingwa lakini muda unafika ambapo umma wa Watanzania utaamua. Hata wakishinda kesi za mahakamani, hawataushinda uamuzi wa umma.

      CCM inakufa, iko hatua za mwisho kabisa.

    2. Miaka 50

    3. #121
      democratic's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st November 2011
      Posts : 1,602
      Rep Power : 819
      Likes Received
      278
      Likes Given
      52

      Default Re: Kutoka kwenye facebook page ya kamanda Godbless Lema!..Inatia hasira

      Quote By MgungaMiba
      Mahakama zenye Majaji walioteuliwa na Baba yake!! My foot!
      samahani sijakiona kitufe cha like
      Kama damu inakusisimka unapoona haki ya mtu ikipokwa na uko tayari kuitetea kwa gharama yeyote, basi hakika wewe ni Comrade wangu-Che Guevara.

    4. #122
      james chapacha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd April 2012
      Posts : 477
      Rep Power : 455
      Likes Received
      102
      Likes Given
      24

      Default Re: Kutoka kwenye facebook page ya kamanda Godbless Lema!..Inatia hasira

      Mi ni JOSEPHAT JOSEPH napiuta tuuuuuuuuuuuuu.

    5. #123
      Panga la Yesu's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 27th April 2009
      Posts : 220
      Rep Power : 557
      Likes Received
      12
      Likes Given
      146

      Default Re: Kutoka kwenye facebook page ya kamanda Godbless Lema!..Inatia hasira

      Quote By majebere
      Utamfanya nini wewe? Utabaki kulalama kama kina Lema tu, kama ushahidi upo basi kwanini msiende mahakamani?
      hIVI TUNA MAHAKAMA INAYOWEZA TUPATIA HAKI WATU WACHINI?

    6. #124
      tara's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 5th June 2012
      Posts : 188
      Rep Power : 388
      Likes Received
      61
      Likes Given
      97

      Default Re: Kutoka kwenye facebook page ya kamanda Godbless Lema!..Inatia hasira

      Quote By majebere
      Huyu Lema Amekosa mwelekeo .
      kwa nini tunapenda kuponda tu badala ya kupima ukweli kwanza......???

    7. #125
      Kajuni's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th May 2009
      Location : Jupiter
      Posts : 390
      Rep Power : 587
      Likes Received
      85
      Likes Given
      85

      Default Re: Kutoka kwenye facebook page ya kamanda Godbless Lema!..Inatia hasira

      Ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni.....vipi kuhusu Lake Oil....
      We should use common sense although common sense is not always common to everyone!!!

    8. RukaaJuu Final

    9. #126
      Jiwe Linaloishi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th May 2008
      Location : Mlimani
      Posts : 3,109
      Rep Power : 17239
      Likes Received
      1624
      Likes Given
      1125

      Default Re: Kutoka kwenye facebook page ya kamanda Godbless Lema!..Inatia hasira

      Quote By majebere
      Kama una ushahidi peleka mahakamani.
      Apeleke mahakama ipi wakati baba yake na Ridhiwan ndio anateua hao waamuzi wa kesi (jaji)?? unategemea uamuzi gani hapo? kesi ya ngiri unampelekea nguruwe pori
      SEMA UKWELI UMWAIBISHE SHETANI

    10. #127
      Jaslaws's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st May 2011
      Location : dar es salaam
      Posts : 825
      Rep Power : 569
      Likes Received
      145
      Likes Given
      18

      Default Re: Kutoka kwenye facebook page ya kamanda Godbless Lema!..Inatia hasira

      Idnt wanna read mo type of thse threads,hv watanzania nani alotuloga??mambo yote wanayo yafanya awa washez atujajifunz k2,kwa leo tu hii ni thread ya 3 yenye vishawish vya kutosha kuingia barabaran na kudai chetu naisoma hapa,mara dk kapgwa,uku cjui iran na meli,kule cjui tanzania 1 na ritz,,hv watugongee wake zetu ndo tue na hasira ama,afu tunajiita gr8 thnkers,how?mbna tunalalamika sana,someone has to do smthng about ths,dk uli kapigwa kwa kutete haki za watu flani lakn wote wanaotetewa wako kimya,kweli tunaishiwa mbnu tunabki kulalamika tu,what is our unity al about,kukimbza mwnge na kusheherekea idd haji??c'mo guys lets do smthn''THE KIKWETE REGIME MUST GO''

    11. #128
      majebere's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 2,212
      Rep Power : 0
      Likes Received
      322
      Likes Given
      111

      Default Re: Kutoka kwenye facebook page ya kamanda Godbless Lema!..Inatia hasira

      Quote By Crashwise
      Hivi wewe, ukimkuta mkeo analiwa uroda na baunsa utakimbilia kufungua kesi mahakamani..
      Ndio, wewe je, utapeleka facebook?

    12. #129
      majebere's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 2,212
      Rep Power : 0
      Likes Received
      322
      Likes Given
      111

      Default Re: Kutoka kwenye facebook page ya kamanda Godbless Lema!..Inatia hasira

      Quote By Jaslaws
      Idnt wanna read mo type of thse threads,hv watanzania nani alotuloga??mambo yote wanayo yafanya awa washez atujajifunz k2,kwa leo tu hii ni thread ya 3 yenye vishawish vya kutosha kuingia barabaran na kudai chetu naisoma hapa,mara dk kapgwa,uku cjui iran na meli,kule cjui tanzania 1 na ritz,,hv watugongee wake zetu ndo tue na hasira ama,afu tunajiita gr8 thnkers,how?mbna tunalalamika sana,someone has to do smthng about ths,dk uli kapigwa kwa kutete haki za watu flani lakn wote wanaotetewa wako kimya,kweli tunaishiwa mbnu tunabki kulalamika tu,what is our unity al about,kukimbza mwnge na kusheherekea idd haji??c'mo guys lets do smthn''THE KIKWETE REGIME MUST GO''
      ushauri wenyewe unaandika kwa lugha ya sms.

    13. #130
      Mungi's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 23rd September 2010
      Location : Hapa!!!
      Posts : 10,186
      Rep Power : 24275
      Likes Received
      4682
      Likes Given
      2300

      Default

      Quote By Filipo
      Huyu dogo ni bonge la fisadi.
      siyo fisadi tu, tena bonge la jambazi tena la tegeta mabwepande! CDM tukichukua nchi mali zote zinataifishwa!

    14. #131
      Mungi's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 23rd September 2010
      Location : Hapa!!!
      Posts : 10,186
      Rep Power : 24275
      Likes Received
      4682
      Likes Given
      2300

      Default

      Quote By majebere
      Kama una ushahidi peleka mahakamani.
      Mahakama hii hii inayoongozwa kwa remote? Hizi ambazo Riz1 au baba Mwanaasha anatoa maamuzi?

    15. #132
      majebere's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 2,212
      Rep Power : 0
      Likes Received
      322
      Likes Given
      111

      Default re: Lema amvaa Ridhiwani Kikwete... Ni kuhusu umiliki kampuni ya Tanzanite One

      Quote By Mungi
      siyo fisadi tu, tena bonge la jambazi tena la tegeta mabwepande! CDM tukichukua nchi mali zote zinataifishwa!
      we unafikiri hii nchi kiazi, uchukue kivipi?

    16. #133
      Mungi's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 23rd September 2010
      Location : Hapa!!!
      Posts : 10,186
      Rep Power : 24275
      Likes Received
      4682
      Likes Given
      2300

      Default

      Quote By majebere
      we unafikiri hii nchi kiazi, uchukue kivipi?
      2015 siyo mbali, watanzania wameamua. Wamechoshwa na wimbo wa maisha bora jamaa kila mara kubembea

    17. #134
      majebere's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 2,212
      Rep Power : 0
      Likes Received
      322
      Likes Given
      111

      Default re: Lema amvaa Ridhiwani Kikwete... Ni kuhusu umiliki kampuni ya Tanzanite One

      mtu mwenye msimamo hawezi kupeleka malalamiko facebook, alitegemea nini? rafiki na ndugu zake ndio wamhukumu rizwan? Jamaa jinga kweli hili

    18. #135
      majebere's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 2,212
      Rep Power : 0
      Likes Received
      322
      Likes Given
      111

      Default re: Lema amvaa Ridhiwani Kikwete... Ni kuhusu umiliki kampuni ya Tanzanite One

      Quote By Mungi
      2015 siyo mbali, watanzania wameamua. Wamechoshwa na wimbo wa maisha bora jamaa kila mara kubembea
      Watanzania gani hao? labda wa kwenye group ya facebook ya Lema.

    19. #136
      Facilitator's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 30th October 2010
      Location : Osoit l'embijata
      Posts : 1,445
      Rep Power : 724
      Likes Received
      572
      Likes Given
      1234

      Default Re: Kutoka kwenye facebook page ya kamanda Godbless Lema!..Inatia hasira

      Quote By majebere
      Huyu Lema Amekosa mwelekeo .
      Ni wazo lako pia lakini
      I'm only responsible for what I say; NOT for what you understand.

    20. #137
      Masabaja's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 4th March 2012
      Posts : 139
      Rep Power : 391
      Likes Received
      18
      Likes Given
      13

      Default Re: Kutoka kwenye facebook page ya kamanda Godbless Lema!..Inatia hasira

      Hutakuwa huijui Tanzania au ndiyo unafikiria kwa kutumia TUMBO hivi hapa Tanzania kuna mahakama ya kuwashitaki wakubwa. Nyie ndiyo mafikra njaa mnaoishi kwa kulamba watu miguu yaani unaweza kumshitaki wapi Ridhiwani mwenye uwezo wa kuteua hata majaji. Kama huijui Tanzania piga kimya
      Quote By majebere
      Kama una ushahidi peleka mahakamani.

    21. #138
      majebere's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 2,212
      Rep Power : 0
      Likes Received
      322
      Likes Given
      111

      Default Re: Kutoka kwenye facebook page ya kamanda Godbless Lema!..Inatia hasira

      Quote By Masabaja
      Hutakuwa huijui Tanzania au ndiyo unafikiria kwa kutumia TUMBO hivi hapa Tanzania kuna mahakama ya kuwashitaki wakubwa. Nyie ndiyo mafikra njaa mnaoishi kwa kulamba watu miguu yaani unaweza kumshitaki wapi Ridhiwani mwenye uwezo wa kuteua hata majaji. Kama huijui Tanzania piga kimya
      kwanini lema amekata rufaa kama hana imani na mahakama?Si angeachia na kwenda kushitaki facebook.

    22. #139
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,347
      Rep Power : 12594
      Likes Received
      5866
      Likes Given
      775

      Default

      Quote By Mungi
      2015 siyo mbali, watanzania wameamua. Wamechoshwa na wimbo wa maisha bora jamaa kila mara kubembea
      Nasikia Chadema wakichukuwa nchi kila mishahara juu Dr atapata mshahara wa Milioni 10, Nesi Milioni 5, Walimu Milioni 7.

    23. #140
      majebere's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 2,212
      Rep Power : 0
      Likes Received
      322
      Likes Given
      111

      Default re: Lema amvaa Ridhiwani Kikwete... Ni kuhusu umiliki kampuni ya Tanzanite One

      Quote By Ritz
      Nasikia Chadema wakichukuwa nchi kila mishahara juu Dr atapata mshahara wa Milioni 10, Nesi Milioni 5, Walimu Milioni 7.
      wabunge watapanda taxi kwenda Dodoma, Ikulu itahamishiwa machame.

    Page 7 of 14 FirstFirst ... 56789 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...