Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Lema amvaa Ridhiwani Kikwete... Ni kuhusu umiliki kampuni ya Tanzanite One

    Report Post
    Page 2 of 14 FirstFirst 123412 ... LastLast
    Results 21 to 40 of 276
    1. #1
      SirBonge's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 18th July 2010
      Posts : 168
      Rep Power : 582
      Likes Received
      91
      Likes Given
      32

      Default Lema amvaa Ridhiwani Kikwete... Ni kuhusu umiliki kampuni ya Tanzanite One

      Hii nime'copy na ku'paste toka kwenye facebook page ya kamanda Lema...........

      Naomba hili liwe wazi kwa Watanzania, Ridhiwan Jakaya Kikwete, chini ya kampuni ambayo wanaharakati tutaleta ushahidi wake kwa wananchi wanaotaka ukombozi, wiki hii alikuwepo Jijini Arusha na tayari ana mkataba wa umiliki wa zaidi ya hisa asilimia 45 za kampuni ya Tanzanite One. Hii ni biashara ya Rais wa nchi. Ametumia madaraka yake kwa siri kupisha umiliki huu kupitia mtoto wake.

      Linaweza kukanushwa na kupingwa lakini muda unafika ambapo umma wa Watanzania utaamua. Hata wakishinda kesi za mahakamani, hawataushinda uamuzi wa umma.

      CCM inakufa, iko hatua za mwisho kabisa.

    2. Miaka 50

    3. #21
      hans79's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th May 2011
      Posts : 1,531
      Rep Power : 774
      Likes Received
      144
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By majebere
      Kama una ushahidi peleka mahakamani.
      Lini ulimkuta mwenye fedha tz mahabusu?unaota kabla ya kulala.

    4. #22
      Fredrick Sanga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th January 2011
      Location : Kijitonyama
      Posts : 2,982
      Rep Power : 2590
      Likes Received
      637
      Likes Given
      776

      Default Re: Kutoka kwenye facebook page ya kamanda Godbless Lema!..Inatia hasira

      Duhhh, kama ni keli? Sijui?
      We shall overcome, righteousness shall always prevail.

    5. #23
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,514
      Rep Power : 19791
      Likes Received
      4314
      Likes Given
      1290

      Default Re: Kutoka kwenye facebook page ya kamanda Godbless Lema!..Inatia hasira

      Wachane ndug lema.

    6. #24
      Kiboko Yenu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2012
      Posts : 313
      Rep Power : 429
      Likes Received
      60
      Likes Given
      0

      Default Re: Kutoka kwenye facebook page ya kamanda Godbless Lema!..Inatia hasira

      lema kama amechanganyikiwa vile baada ya kuvuliwa ubunge,tena bila zile operation maalumu ili apate posho ajikimu na chakula sijui angekuwaje asahivi

    7. #25
      Angel Msoffe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st June 2011
      Posts : 6,266
      Rep Power : 1826
      Likes Received
      1397
      Likes Given
      0

      Default Re: Kutoka kwenye facebook page ya kamanda Godbless Lema!..Inatia hasira

      huu ni upepo tu utapita liwalo na liwe

    8. RukaaJuu Final

    9. #26
      Bujibuji's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th February 2009
      Location : NYUMBANI PANONO
      Posts : 13,912
      Rep Power : 11208
      Likes Received
      7067
      Likes Given
      5296

      Default Re: Kutoka kwenye facebook page ya kamanda Godbless Lema!..Inatia hasira

      Wakwere waroho hawa sijapata kuona.
      Kila kitu wanataka wao.
      Biashara ni rahisi sana kufanya ukiwa ikulu, ukiondoka ikulu na biashara zinasambaratika.
      Unstoppable likes this.
      KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUENDELEA KWA MSINGI WA FEDHA. NCHI MASIKINI HAIWEZI KUJITAWALA KAMA INATEGEMEA MSAADA KUTOKA NCHI ZA NJE- J. K. NYERERE

    10. #27
      Power G's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 20th April 2011
      Location : Msoga Kijijini
      Posts : 2,414
      Rep Power : 993
      Likes Received
      776
      Likes Given
      261

      Default Re: Kutoka kwenye facebook page ya kamanda Godbless Lema!..Inatia hasira

      Quote By Filipo
      Huyu dogo ni bonge la fisadi.
      Dogo siyo fisadi bali "DHAIFU" ndiye mwenye ufisadi huu kwa kutumia kivuli cha riz1.
      TANZANIA ITAJENGWA NA WENYE MOYO NA KULIWA NA WENYE MENO KAMA AKINA EL, JK, EC na RA

    11. #28
      hans79's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th May 2011
      Posts : 1,531
      Rep Power : 774
      Likes Received
      144
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By zomba
      Uongo mtupu.
      Mzoeleka kwa kukanusha na kutojitambua,hamakawii kujiita machizi aka mmechanganyikiwa mara mbanwapo.

    12. #29
      hans79's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th May 2011
      Posts : 1,531
      Rep Power : 774
      Likes Received
      144
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By zomba
      Uongo mtupu.
      Mzoeleka kwa kukanusha na kutojitambua,hamkawii kujiita machizi aka mmechanganyikiwa mara mbanwapo.

    13. #30
      MgungaMiba's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 28th August 2011
      Posts : 318
      Rep Power : 565
      Likes Received
      262
      Likes Given
      3

      Default

      Quote By majebere
      Utamfanya nini wewe? Utabaki kulalama kama kina Lema tu, kama ushahidi upo basi kwanini msiende mahakamani?
      Mahakama zenye Majaji walioteuliwa na Baba yake!! My foot!

    14. #31
      christine ibrahim's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th February 2012
      Posts : 2,749
      Rep Power : 914
      Likes Received
      440
      Likes Given
      440

      Default

      Quote By majebere
      Utamfanya nini wewe? Utabaki kulalama kama kina Lema tu, kama ushahidi upo basi kwanini msiende mahakamani?
      Mahakamani kufanya nn....au unaota

    15. #32
      zomba's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th November 2007
      Posts : 15,822
      Rep Power : 14621
      Likes Received
      2842
      Likes Given
      1961

      Default Re: Kutoka kwenye facebook page ya kamanda Godbless Lema!..Inatia hasira

      Si majulikana kwa kuzuwa, wekeni ushahidi, wacheni uongo, juzi ilikuwa Simbachawene leo Rizwan. Kesho nani?

      Halafu watanzania wawape nchi muongoze kwa uongo?
      System At Work

      "nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe

    16. #33
      christine ibrahim's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th February 2012
      Posts : 2,749
      Rep Power : 914
      Likes Received
      440
      Likes Given
      440

      Default

      Quote By majebere
      Mtabaki hivyo hivyo tu. wewe umeshaambia CCM itatawala milele, sasa bado hujui tu maana ya MILELE? Nyie endeleeni kuchagamsha genge humu JF.
      Poor u!hujui nchi iko kwny hali gani kwa ss..endelea kujidanganya

    17. #34
      MtamaMchungu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th April 2011
      Posts : 1,541
      Rep Power : 807
      Likes Received
      710
      Likes Given
      64

      Default Re: Kutoka kwenye facebook page ya kamanda Godbless Lema!..Inatia hasira

      Kuna mahakama nyingi lakini juu ya mahakama ya rufaa kuna mahakama ya wananchi, hii ndio mahakama iliyo juu ya zote, tutaonana 2015.
      mpiganaji86 likes this.

    18. #35
      nduu/mamaya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th July 2011
      Location : AROUND THE WORLD
      Posts : 2,226
      Rep Power : 1002
      Likes Received
      547
      Likes Given
      174

      Default

      Quote By hans79
      Lini ulimkuta mwenye fedha tz mahabusu?unaota kabla ya kulala.
      hata kwa aliyeua kama dito anapewa bail

    19. #36
      Nyakageni's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 1st February 2011
      Posts : 5,256
      Rep Power : 1543
      Likes Received
      769
      Likes Given
      52

      Default Re: Kutoka kwenye facebook page ya kamanda Godbless Lema!..Inatia hasira

      muda utafika tu!

    20. #37
      Ritz's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 1st January 2011
      Location : Republic of Nauru
      Posts : 18,338
      Rep Power : 12592
      Likes Received
      5863
      Likes Given
      775

      Default Re: Kutoka kwenye facebook page ya kamanda Godbless Lema!..Inatia hasira

      Lema taingia mahakama huru ifanya kazi yake kwa umakini wa hali ya kukuvua ubunge kila siku unakuja na stori za vijiweni.

    21. #38
      babap's Avatar
      Member Array
      Join Date : 22nd April 2011
      Posts : 63
      Rep Power : 422
      Likes Received
      11
      Likes Given
      0

      Default Re: Kutoka kwenye facebook page ya kamanda Godbless Lema!..Inatia hasira

      WaTZ kweli tunakazi.. Tunapenda sana kuamini bila vidhibitisho.

    22. SG8
      #39
      SG8's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th December 2009
      Location : DSM
      Posts : 2,566
      Rep Power : 4180
      Likes Received
      772
      Likes Given
      730

      Default Re: Kutoka kwenye facebook page ya kamanda Godbless Lema!..Inatia hasira

      Quote By majebere
      Kama una ushahidi peleka mahakamani.
      Akili yako inafikiri Mahakamani ni jengo. Hata hapa ni mahakamani na hakuna mahakama yenye nguvu kama ile ya wananchi.
      "Tumefika hapa kutokana na udhaifu wa Rais Kikwete,Uzembe wa Bunge na Upuuzi wa CCM"

    23. #40
      gwanda1's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th May 2012
      Posts : 454
      Rep Power : 442
      Likes Received
      87
      Likes Given
      118

      Default Re: Kutoka kwenye facebook page ya kamanda Godbless Lema!..Inatia hasira

      Huna aibu tena huna uwelekeo Mungu akulaani na maneno haya hata akutie aibu mbele za watu shame on you
      Quote By majebere
      Huyu Lema Amekosa mwelekeo .

    Page 2 of 14 FirstFirst 123412 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...