Semper fi!
Pole bwana Ngonyani...nakusikitia kwa sababu ujanja wa kutukimbia huna, utakuja tu maana wewe ni mwanadamu na hospitalini utafika tu!! SOLIDARITY FOREVER
Jamaa karudia tena kuomba radhi...uso mdogo!
Laughing Faces Do Not Mean That There Is Absence of Sorrow! But it Means That They have The Ability to Deal With It!
“The person who says it cannot be done should not interrupt the person doingit.” Chinese proverb
Yaan alidhamiria kusema,,,maana alisema kwa msisitizo sana,sijui nani kamshaur leo aje kwenye media,,,,maana atakanushaje????na hii ni hatar kwake,,,
huyu bwana miaka ya nyuma alijizolea umaarufu wa kumfufua binti ambaye katika filamu ile ambayo yeye bila cheche alikuwa starring kuwa alifariki kimazingira wakuu kuna mtu anataarifa za binti huyo? na kama usanii kama kuna mtu anadetails za bint yule ajitokeze tuanze kuchokonoa madudu ya mchawi huyu
''MIAKA HAMSINI(51) YA UVUMILIVU''
Madktari wanamsubiri muda wa kutoa hiyo P.O.P wamchome sindano ya sumu.
Umefika wakati sasa wa kuwakataa watu kama hawa akina maji marefu, hawa ndo wanakimaliza kabisa CCM bila kujitambua.
alikuwa maji mafupi labda
Kwa nini asirudi kuchezesha tunguli kwao
Just a charcoal, don't expect anything white
ukweli ni kwamba Maji marefu amewakilisha mawazo ya wabunge wa Maga*mba
Hivi nani alimtuma huyu kwenda bungeni? ninamashaka makubwa na wananchi wa jimbo lake wanaweza kuwa ni vilaza wakutupwa yaani mtu mjinga hana akili hata chembe anawawakiliosha watu bungeni? huyu ni mtu wa kuogopwa kama ukoma. **** him
Follow Us Here