Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Hivi profession ya Nape ni nini?!

    Report Post
    Page 1 of 6 123 ... LastLast
    Results 1 to 20 of 118
    1. #1
      andrews's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 28th March 2012
      Posts : 1,683
      Rep Power : 0
      Likes Received
      142
      Likes Given
      76

      Default Hivi profession ya Nape ni nini?!

      Hivi profession ya nape ni nini?!

      Ningependa hili swali alijibu alafu twende tukajadili ya gemedari ULIMBOKA.huyu jamaa anapata wapi kuhoji taaluma ya udaktari wakati hajui watu walisotea vipi hiyn dr,? Anatembea na gari la mamilioni ya shilingi kwa lipi analolifanyia taifa?hebu tujadili hili,..huyu nape akikosekana kwenye hii taifa tutakua tumekosa nini labda au tumepoteza nini.?

    2. FemaTV & Radio

    3. #2
      Ringo Edmund's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th May 2010
      Location : MDAWI
      Posts : 3,670
      Rep Power : 1361
      Likes Received
      885
      Likes Given
      586

      Default Re: Hivi profession ya nape ni nini?!

      pande.
      ​kusema ni fedha na kusikilizwa ni zahabu.

    4. #3
      Honey K's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th September 2008
      Posts : 628
      Rep Power : 521
      Likes Received
      67
      Likes Given
      0

      Default Re: Hivi profession ya nape ni nini?!

      Quote By andrews
      Hivi profession ya nape ni nini?!

      Ningependa hili swali alijibu alafu twende tukajadili ya gemedari ULIMBOKA.huyu jamaa anapata wapi kuhoji taaluma ya udaktari wakati hajui watu walisotea vipi hiyn dr,? Anatembea na gari la mamilioni ya shilingi kwa lipi analolifanyia taifa?hebu tujadili hili,..huyu nape akikosekana kwenye hii taifa tutakua tumekosa nini labda au tumepoteza nini.?
      Andrews,
      Ahsante sana kwa swali lako zuri! Lakini niwie radhi kabla sijalijibu nieleze yafuatayo.
      Natambua sana ni kwa kiasi gani wasioipenda CCM wanavyonichukia wakiamini kuwa uwepo wangu na juhudi zangu ni sehemu ya vikwazo vikubwa vya hicho wanachokitaka kitokee kwa CCM kutotokea! Hili sina msaada kwao! Hivyo kwa hili nawaruhusu na kwakweli wana haki ya kunitukana watakavyo!Ndo maana pamoja na matusi yote , kejeli zote humu ndani hazinifanye niichukie hii forum au niwachukie wachangiaji kwani wana uhuru wa kusema watakalo. Sana sana ninawazidi ujasiri kwani wao wote wanaotukana hakuna anayethubutu kuingia kwa jina lake halisi, wote wameficha majina yao na ID zao halisi...SITISHWI WALA KUBABAISHWA NA VIVULI VYA WATU!!

      Swala la madaktari!!
      Sijahoji hata kidogo, wala sitahoji hata kidogo taaluma yoyote acha udaktari, taaluma yeyote hata yako, sihoji!!! Si kazi yangu, wapo waliopewa kazi hiyo!!kama we umechakachua ya kwako basi tuache tuliokaa darasani tukasota mpaka kufika hapa tulipo fika. NIMESOMA HILI SILIONEI HAYA, MAANA NIMESOMA SI KWA KUBAHATISHA, na kwakweli elimu ndio urithi pekee imara alioniachia marehemu babaangu.

      Nilichouliza juu ya madaktari, JE HAKUNA NJIA NYINGINE YA KUDAI MASILAHI YAO MPAKA KWA KUWAADHIBU WALIOTOA PESA ZAO KWA NJIA YA KODI WAO WAKASOMA MPAKA KUFIKA HAPO? JE INGEKUWA NI WAZAZI WAO KWA MFANO BABA AU MAMAAKO WAKO TAYARI WAWAFIE MIKONONI KISA KUNA MASILAHI WANADAI KWA SERIKALI??
      Naomba ifahamike wazi hapa mimi sipingi wao kudai haki/masilahi zaidi, sipingi hata kidogo, ninachohoji ni njia waliyotumia ndio njia pekee?/

      MNAOTAKA TUJADILI KARIBUNI, WALE WA MATUSI NA KEJELI SINA MUDA MCHAFU WA KUWAJIBU.
      Mujumba likes this.

    5. #4
      Mngendalyasota's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 22nd January 2011
      Posts : 138
      Rep Power : 449
      Likes Received
      40
      Likes Given
      0

      Default Re: Hivi profession ya nape ni nini?!

      Quote By Nnauye Jr

      Ila kwa mtindo huu mlioanza wa kuua wanaodai haki kama mlivofanya Igunga, Mwanza na Arusha na wengine kuwanyanyasa kiasi hiki cha akina-Ulimboka nadhani ukombozi wa Tanganyika yetu upo karibu. Lakini kwa upande wa Udini na Ukanda ambao mnaendelea kuupanda naamini hata nyinyi madhara yake mtaya-feel tu km siyo moja kwa moja basi kwa watoto wenu.

    6. #5
      sabasita's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th October 2009
      Location : HOLLYWOOD
      Posts : 957
      Rep Power : 677
      Likes Received
      145
      Likes Given
      135

      Njia nyingine kama ipi? au kama ya wale wastaafu wa EAC, kwenda mahakamani? hongera kwa kurithishwa elimu na babako...nyie mnarithisha nini sasa? hatred, kwa mfano wewe binafsi unawachukia wachaga and you said it, endeleeni tu kueneza ukabila na udini ili mcling kwenye power ambayo nayo mmekuwa useless.
      TUMBIRI likes this.

    7. Miaka 50

    8. #6
      Honey K's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 14th September 2008
      Posts : 628
      Rep Power : 521
      Likes Received
      67
      Likes Given
      0

      Default

      Quote By Mngendalyasota
      Ila kwa mtindo huu mlioanza wa kuua wanaodai haki kama mlivofanya Igunga, Mwanza na Arusha na wengine kuwanyanyasa kiasi hiki cha akina-Ulimboka nadhani ukombozi wa Tanganyika yetu upo karibu. Lakini kwa upande wa Udini na Ukanda ambao mnaendelea kuupanda naamini hata nyinyi madhara yake mtaya-feel tu km siyo moja kwa moja basi kwa watoto wenu.
      Unahakika na usemayo?!!?? Unawajua waliomteka na kumtesa Ulimboka?! Tuje kuchukua ushahidi?! Kwanini tusiamini kuwa mmefanya hivyo nyie kwasababu za kisiasa?!! Mwogopeni Mungu!! Uzuri hakuna siri soon itajulikana!!

    9. #7
      ViciousRecklessSavag's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 27th June 2012
      Posts : 7
      Rep Power : 437
      Likes Received
      7
      Likes Given
      0

      Default Re: Hivi profession ya nape ni nini?!

      Quote By Nnauye Jr
      Sana sana ninawazidi ujasiri kwani wao wote wanaotukana hakuna anayethubutu kuingia kwa jina lake halisi, wote wameficha majina yao na ID zao halisi...SITISHWI WALA KUBABAISHWA NA VIVULI VYA WATU!!

      Unauliza jibu kaka! Huoni kuna mantiki ya kwa nini asilimia kubwa ya wachangiaji kwenye jukwaa hili hawataki kutumia majina yao? Kama waliodiriki kusimama kupigania haki zao waziwazi kama kina Ulimboka, hatima yao ndiyo kama hiyo ya tunayoijdili hivi sasa, jee cha kukushangaza sana hadi uje na hoja yako hapo juu ni nini?

      Kwa mtaji ya yaliyomkuta Ulimboka hivi majuzi, jee bado tu huelewi kwa nini Wananchi wa Kawaida wanaogopa kutumia majina yao halisi humu ndani, zaidi ya Wanasiasa wachache wanaoheshimiwa na kulindwa kama wewe mwenyewe?

    10. #8
      sabasita's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th October 2009
      Location : HOLLYWOOD
      Posts : 957
      Rep Power : 677
      Likes Received
      145
      Likes Given
      135

      Default Re: Hivi profession ya nape ni nini?!

      Quote By ViciousRecklessSavag
      Unauliza jibu kaka! Huoni kuna mantiki ya kwa nini asilimia kubwa ya wachangiaji kwenye jukwaa hili hawataki kutumia majina yao? Kama waliodiriki kusimama kupigania haki zao waziwazi kama kina Ulimboka, hatima yao ndiyo kama hiyo ya Ulimboka tunayoijdili hivi sasa!!

      Kwa mtaji ya yaliyomkuta Ulimbokba hivi majuzi, jee bado tu huelewi kwa nini Wananchi wa Kawaida wanaogopa kutumia majina yao halisi humu ndani, zaidi ya Wanasiasa wachache wanaoheshimiwa.

      wanaoheshimiwa????

    11. #9
      Hute's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th November 2010
      Posts : 1,409
      Rep Power : 711
      Likes Received
      354
      Likes Given
      23

      Default Re: Hivi profession ya nape ni nini?!

      niseme ukweli tu toka moyoni, ni bahati mbaya mimi sikupata nafasi ya kumteka dr. ulimboka, lakini kama ningekuwa nimemteka mimi, kitu cha kwanza:
      1. ningemla tigo hata kama sijawahi kula tigo mwanadamu yeyote tangu nizaliwe
      2. ningempiga bunduki ya kichwani au kifuani wala si mguuni
      3. ningemrushia nyama yake aliwe na kunguru wa zanzibar.

      Huyu jamaa ana kiburi sana alafu ana fujo. MGOMO WAKE ULE WA KWANZA NUSURA AMUUE MKE WANGU ALIPOKUWA ANATAKIWA KUJIFUNGUA KWA OPERATION,...NILIHANGAIKA AJABU, NA SITAKUJA NISAHAU MAISHA YANGU YOTE KWA WAKATI MGUMU NILIOKUWA NAO ambao yeye kama mwenyekiti wa hawa madaktari uchuro alisimamia mgomo. sijui ni kwanini wamemuacha hai, watu kama hawa kule nchi za wenzetu wanapotea hata hawajulikani kama wako msitu wa pande au mabwe pande, futilia mbali hivi vijitu vinavyosumbua nchi.

      1. ungekuwa rais wewe leo ungefanya nini na watu wasumbufu kama hawa?
      2. madaktari wanataka mshahara wa mamilioni, hapohapo walimu wanataka, achilia mbali mapolisi ambao wote hao ukiunganisha wawili hawafikii mshahara anaopata daktari mmoja.
      3. kama daktari anadai yeye ana kazi ngumu na hatari kuliko wengine, je, vipi polisi anayerushiana risasi na majambazi kila siku? vipi wanasheria wanaowindwa kila siku kwa kushitaki watu? mbona doctors wako katika hali ya usalama kuliko profession zingine zote?
      4. serikali haina pesa, hakuna asiyejua hilo...hapa juzi hadi walizusha kuwa serikali imekopa pesa kwa lowasa ili ifinance some projects, sasa iyo mishahara na maboresho wanayoyataka walimu na madoctor wanataka pesa serikali izitoe wapi?
      5. tunaishi nchi masikini, hata kama kuna ufisadi, ufisadi huo usingekuwepo tusingeweza kutatua matatizo yote kwa siku moja, hii ni process, hivyo huwezi kuamka leo ukapata mshahara wa wazungu kule kwao, laizma tujibane na tuvumilie hali halisi iliyopo kwanza hadi hapo tutakapokuwa na pesa za kuongezewa mishahara. najua wengi mtasema mbona ufisadi unahodhi pesa nyingi, mara oooh madini etc, lakini hata hizo zote zingeinginzwa serikalini bado tu wanachodai madoctor kisingekuwa affordable. madaktari waache ujinga, hakuna aliyewalazimisha kufanya kazi,w aache kazi ili wajue ugumu wa kutafuta kazi....au wahame nchi waende nje...kwani tumewashika miguu?
      Avanti, Mujumba and DoPe like this.
      Kama huna meno,usile bisi, kula Bwimbwi yaani kimbugi. Uongozi ukikushinda waachie wanaoweza!

    12. #10
      ViciousRecklessSavag's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 27th June 2012
      Posts : 7
      Rep Power : 437
      Likes Received
      7
      Likes Given
      0

      Default Re: Hivi profession ya nape ni nini?!

      Quote By sabasita

      wanaoheshimiwa????
      Bora hata "mheshimiwa' kuliko enzi zile za "ndugu". Bottom line: muulize Mheshimiwa.

      Eti "ujasiri" wakati mtu hata akiuua leo, guaranteed kesho atapeta mitaani na dhamana ya Rais.

    13. #11
      paty's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th October 2010
      Location : never never land
      Posts : 1,024
      Rep Power : 974
      Likes Received
      270
      Likes Given
      62

      Default Re: Hivi profession ya nape ni nini?!

      Quote By Nnauye Jr
      Andrews,
      Ahsante sana kwa swali lako zuri! Lakini niwie radhi kabla sijalijibu nieleze yafuatayo.
      Natambua sana ni kwa kiasi gani wasioipenda CCM wanavyonichukia wakiamini kuwa uwepo wangu na juhudi zangu ni sehemu ya vikwazo vikubwa vya hicho wanachokitaka kitokee kwa CCM kutotokea! Hili sina msaada kwao! Hivyo kwa hili nawaruhusu na kwakweli wana haki ya kunitukana watakavyo!Ndo maana pamoja na matusi yote , kejeli zote humu ndani hazinifanye niichukie hii forum au niwachukie wachangiaji kwani wana uhuru wa kusema watakalo. Sana sana ninawazidi ujasiri kwani wao wote wanaotukana hakuna anayethubutu kuingia kwa jina lake halisi, wote wameficha majina yao na ID zao halisi...SITISHWI WALA KUBABAISHWA NA VIVULI VYA WATU!!

      Swala la madaktari!!
      Sijahoji hata kidogo, wala sitahoji hata kidogo taaluma yoyote acha udaktari, taaluma yeyote hata yako, sihoji!!! Si kazi yangu, wapo waliopewa kazi hiyo!!kama we umechakachua ya kwako basi tuache tuliokaa darasani tukasota mpaka kufika hapa tulipo fika. NIMESOMA HILI SILIONEI HAYA, MAANA NIMESOMA SI KWA KUBAHATISHA, na kwakweli elimu ndio urithi pekee imara alioniachia marehemu babaangu.

      Nilichouliza juu ya madaktari, JE HAKUNA NJIA NYINGINE YA KUDAI MASILAHI YAO MPAKA KWA KUWAADHIBU WALIOTOA PESA ZAO KWA NJIA YA KODI WAO WAKASOMA MPAKA KUFIKA HAPO? JE INGEKUWA NI WAZAZI WAO KWA MFANO BABA AU MAMAAKO WAKO TAYARI WAWAFIE MIKONONI KISA KUNA MASILAHI WANADAI KWA SERIKALI??
      Naomba ifahamike wazi hapa mimi sipingi wao kudai haki/masilahi zaidi, sipingi hata kidogo, ninachohoji ni njia waliyotumia ndio njia pekee?/

      MNAOTAKA TUJADILI KARIBUNI, WALE WA MATUSI NA KEJELI SINA MUDA MCHAFU WA KUWAJIBU.

      hebu underline professional yako, mr Nnauye Jr , maana naona siasa nyingi , kwanza jua huna maadui just as you perceive it, you have competitors (hakuna anayekuchukia kama unavyohisi, just hujiamini ), nothing personal, so just jibu hoja kuliko kuleta habari ndefu ambazo kimsing hazina tija kwani ni stori zile zile,

      Unasema njia nyingine mbadala, ARE YOU JOKING MR ??????? mkuu kwani huu ni mgomo wa kwanza ???? una sema njia mbadala, je ni njia zipi izo mbadala unazotaka ambazo hazijafanyika ???? unataka madaktari wachukue njia zipi mbadala,
      FUNGUKA-FUNGUKA
      IzeGREAT likes this.
      CHADEMA mwendo mdundo - T 2015 CDM

    14. #12
      Hute's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th November 2010
      Posts : 1,409
      Rep Power : 711
      Likes Received
      354
      Likes Given
      23

      Default Re: Hivi profession ya nape ni nini?!

      imagine una watoto watano, mtoto wa kwanza umempeleka st.marry's international school, wa pili umempeleka shule ya msingi ilala kikaangoni pale kajambanani, mtoto mwignine umempeleka kijijini kwa bibi akasome huko anatembea ila viatu, mwingine umempeleka kwa shangazi yake matombo morogoro kijijijni hadi amesahau kama huwa kuna chai/breakfast hapa duniani, kwani anaamkia ugali asubuhi....ikatokea mtoto yule wa St. marrys anagoma ati kwanini humnunuliii viatu vipya, anagoma pia kula wali na maharage anataka samaki na nyama ya kuku kila siku.....hapohapo wale watoto wengine wasio hata na viatu wapo tu wanashindwa hata pa kuanzia kwasababu UMESHATANGAZA KWA WATOTO WOTE KUWA HOME HAPA HAKUNA HELA, HIVYO TUTAANZA KULA DAGAA MTINDO MMOJA NA ALIYE NA VIATU AU NGUO AZITUNZE KWANI HUTAWANUNULIA KWA MUDA MREFU HADI UPATE HELA, mara mtoto yule wa st. mary]s anagoma kwenda shule na anaanza kuvunjavunja vyombo kabatini, hapohapo na wale wa kijijini ambao hawana hata viatu au nguo nzuri au shule nzuru kama ya yule wa st. marrys wanatangaza kuwa basi na sisi tutaanza fujo ili baba utuhududmie kama unavyomhudumia huyu mwenzetu wa st. marrys...WEWE KAMA BABA UTAFANYA NINI?....kama una akili, cha kwanza ni kumtoa yule wa st. marys aende shule ya bei rrahisi, alafu ile balance inayobaki baada ya kumhamisha shule utawaleta wale toka kijijini na wasome shule ya kawaida lakini ya afadhali...pia utaanza kuwapikia na msosi mzuri walau mara mbili kwa wiki etc na nguo utawanunulia....hivi ndivyo ilivyo picha ya madoctor, ambao akimaliza tu degree akianza kazi anapata laki tisa...mwalimu anapata laki tatu, polisi laki mbili na nusu....hivi madoctor wanaakili kweli?

      USALAMA WA TAIFA UKO WAPI? KWANINI HIVI VINYANGARIKA VINASUMBUA NCHI NA NINYI MMEKAA KIMYAAAA?
      Avanti, Mwanamutapa and Chiume like this.
      Kama huna meno,usile bisi, kula Bwimbwi yaani kimbugi. Uongozi ukikushinda waachie wanaoweza!

    15. #13
      Nyani Ngabu's Avatar
      JF Gold Member Array
      Join Date : 15th May 2006
      Location : Ikungulyabashashi
      Posts : 39,239
      Rep Power : 31388
      Likes Received
      9613
      Likes Given
      683

      Default Re: Hivi profession ya nape ni nini?!

      Quote By Nnauye Jr
      Unahakika na usemayo?!!?? Unawajua waliomteka na kumtesa Ulimboka?! Tuje kuchukua ushahidi?! Kwanini tusiamini kuwa mmefanya hivyo nyie kwasababu za kisiasa?!! Mwogopeni Mungu!! Uzuri hakuna siri soon itajulikana!!
      Man, you and your CCM can go to hell and burn! Your CCM government is 110% responsible and your spin and your sorry attempts at turning the tables on the opposition are not going to fly.
      Miafrika Ndivyo Tulivyo.

    16. #14
      PingPong's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 21st December 2008
      Posts : 734
      Rep Power : 677
      Likes Received
      39
      Likes Given
      44

      Default Re: Hivi profession ya nape ni nini?!

      Quote By Hute
      niseme ukweli tu toka moyoni, ni bahati mbaya mimi sikupata nafasi ya kumteka dr. ulimboka, lakini kama ningekuwa nimemteka mimi, kitu cha kwanza:
      1. ningemla tigo hata kama sijawahi kula tigo mwanadamu yeyote tangu nizaliwe
      2. ningempiga bunduki ya kichwani au kifuani wala si mguuni
      3. ningemrushia nyama yake aliwe na kunguru wa zanzibar.

      Huyu jamaa ana kiburi sana alafu ana fujo. MGOMO WAKE ULE WA KWANZA NUSURA AMUUE MKE WANGU ALIPOKUWA ANATAKIWA KUJIFUNGUA KWA OPERATION,...NILIHANGAIKA AJABU, NA SITAKUJA NISAHAU MAISHA YANGU YOTE KWA WAKATI MGUMU NILIOKUWA NAO ambao yeye kama mwenyekiti wa hawa madaktari uchuro alisimamia mgomo. sijui ni kwanini wamemuacha hai, watu kama hawa kule nchi za wenzetu wanapotea hata hawajulikani kama wako msitu wa pande au mabwe pande, futilia mbali hivi vijitu vinavyosumbua nchi.

      1. ungekuwa rais wewe leo ungefanya nini na watu wasumbufu kama hawa?
      2. madaktari wanataka mshahara wa mamilioni, hapohapo walimu wanataka, achilia mbali mapolisi ambao wote hao ukiunganisha wawili hawafikii mshahara anaopata daktari mmoja.
      3. kama daktari anadai yeye ana kazi ngumu na hatari kuliko wengine, je, vipi polisi anayerushiana risasi na majambazi kila siku? vipi wanasheria wanaowindwa kila siku kwa kushitaki watu? mbona doctors wako katika hali ya usalama kuliko profession zingine zote?
      4. serikali haina pesa, hakuna asiyejua hilo...hapa juzi hadi walizusha kuwa serikali imekopa pesa kwa lowasa ili ifinance some projects, sasa iyo mishahara na maboresho wanayoyataka walimu na madoctor wanataka pesa serikali izitoe wapi?
      5. tunaishi nchi masikini, hata kama kuna ufisadi, ufisadi huo usingekuwepo tusingeweza kutatua matatizo yote kwa siku moja, hii ni process, hivyo huwezi kuamka leo ukapata mshahara wa wazungu kule kwao, laizma tujibane na tuvumilie hali halisi iliyopo kwanza hadi hapo tutakapokuwa na pesa za kuongezewa mishahara. najua wengi mtasema mbona ufisadi unahodhi pesa nyingi, mara oooh madini etc, lakini hata hizo zote zingeinginzwa serikalini bado tu wanachodai madoctor kisingekuwa affordable. madaktari waache ujinga, hakuna aliyewalazimisha kufanya kazi,w aache kazi ili wajue ugumu wa kutafuta kazi....au wahame nchi waende nje...kwani tumewashika miguu?
      uwezo mdogo sana wa kufikiria

    17. #15
      Kichuguu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th October 2006
      Location : Popote Porini
      Posts : 6,836
      Rep Power : 3272
      Likes Received
      1314
      Likes Given
      916

      Default Re: Hivi profession ya nape ni nini?!

      ..........................amej itahidi kukujibu ila ukweli ni kuwa professionally yeye ni mpiga debe; tena taaluma hiyo anaijua sana.
      Kichuguuu: Nyumba inayohifadhi mchwa na nguchiro kwa pamoja bila mkwaruzo

    18. #16
      massai's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd May 2011
      Posts : 625
      Rep Power : 533
      Likes Received
      109
      Likes Given
      2

      Default Re: Hivi profession ya nape ni nini?!

      hakuna zaidi ya kupiga blablaaa majukwaani.anajiita msomi kwa vyeti vya kughushi

    19. #17
      Chiume's Avatar
      Member Array
      Join Date : 8th April 2012
      Posts : 48
      Rep Power : 368
      Likes Received
      15
      Likes Given
      2

      Default Re: Hivi profession ya nape ni nini?!

      Quote By Nyani Ngabu
      Man, you and your CCM can go to hell and burn! Your CCM government is 110% responsible and your spin and your sorry attempts at turning the tables on the opposition are not going to fly.
      Nyani Gabu unazeeka vibaya sasa! Haihitaji degree kujua kuwa u anaota ndoto za mchana huku unatembea, mdhara yake ndo hayo sasa, una wish mambo yasiyowezekana!! Pole sana wewe na wa akili kama yako!!

    20. #18
      Chiume's Avatar
      Member Array
      Join Date : 8th April 2012
      Posts : 48
      Rep Power : 368
      Likes Received
      15
      Likes Given
      2

      Default Re: Hivi profession ya nape ni nini?!

      Quote By massai
      hakuna zaidi ya kupiga blablaaa majukwaani.anajiita msomi kwa vyeti vya kughushi
      Uzushi mwingine ni wa ajabu sana, wewe vya kwako viko wapi mpaka ummseme Nape? Mie nakujua wewe sio wa kusema, hata wezi kama wewe sikuhizi mnapanua midomo????? Makubwa, tumekwisha ka mpaka vibaka wanasema sikuhizi mbele za watu!!

    21. #19
      Chiume's Avatar
      Member Array
      Join Date : 8th April 2012
      Posts : 48
      Rep Power : 368
      Likes Received
      15
      Likes Given
      2

      Default Re: Hivi profession ya nape ni nini?!

      Aaahh! Kumbe Ulimboka mnamdanganya yeye wakati nyie mnaogopa?!!! Woga wa kijinga kabisa! Watakuja watu kuchukua mke wako, kisa askari watamla mbele yako!
      Chiume Kamese

      Quote By ViciousRecklessSavag
      Unauliza jibu kaka! Huoni kuna mantiki ya kwa nini asilimia kubwa ya wachangiaji kwenye jukwaa hili hawataki kutumia majina yao? Kama waliodiriki kusimama kupigania haki zao waziwazi kama kina Ulimboka, hatima yao ndiyo kama hiyo ya tunayoijdili hivi sasa, jee cha kukushangaza sana hadi uje na hoja yako hapo juu ni nini?

      Kwa mtaji ya yaliyomkuta Ulimboka hivi majuzi, jee bado tu huelewi kwa nini Wananchi wa Kawaida wanaogopa kutumia majina yao halisi humu ndani, zaidi ya Wanasiasa wachache wanaoheshimiwa na kulindwa kama wewe mwenyewe?

    22. #20
      Ruttashobolwa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 22nd February 2012
      Posts : 13,480
      Rep Power : 19785
      Likes Received
      4300
      Likes Given
      1248

      Default

      Quote By Nnauye Jr
      Andrews,
      Ahsante sana kwa swali lako zuri! Lakini niwie radhi kabla sijalijibu nieleze yafuatayo.
      Natambua sana ni kwa kiasi gani wasioipenda CCM wanavyonichukia wakiamini kuwa uwepo wangu na juhudi zangu ni sehemu ya vikwazo vikubwa vya hicho wanachokitaka kitokee kwa CCM kutotokea! Hili sina msaada kwao! Hivyo kwa hili nawaruhusu na kwakweli wana haki ya kunitukana watakavyo!Ndo maana pamoja na matusi yote , kejeli zote humu ndani hazinifanye niichukie hii forum au niwachukie wachangiaji kwani wana uhuru wa kusema watakalo. Sana sana ninawazidi ujasiri kwani wao wote wanaotukana hakuna anayethubutu kuingia kwa jina lake halisi, wote wameficha majina yao na ID zao halisi...SITISHWI WALA KUBABAISHWA NA VIVULI VYA WATU!!

      Swala la madaktari!!
      Sijahoji hata kidogo, wala sitahoji hata kidogo taaluma yoyote acha udaktari, taaluma yeyote hata yako, sihoji!!! Si kazi yangu, wapo waliopewa kazi hiyo!!kama we umechakachua ya kwako basi tuache tuliokaa darasani tukasota mpaka kufika hapa tulipo fika. NIMESOMA HILI SILIONEI HAYA, MAANA NIMESOMA SI KWA KUBAHATISHA, na kwakweli elimu ndio urithi pekee imara alioniachia marehemu babaangu.

      Nilichouliza juu ya madaktari, JE HAKUNA NJIA NYINGINE YA KUDAI MASILAHI YAO MPAKA KWA KUWAADHIBU WALIOTOA PESA ZAO KWA NJIA YA KODI WAO WAKASOMA MPAKA KUFIKA HAPO? JE INGEKUWA NI WAZAZI WAO KWA MFANO BABA AU MAMAAKO WAKO TAYARI WAWAFIE MIKONONI KISA KUNA MASILAHI WANADAI KWA SERIKALI??
      Naomba ifahamike wazi hapa mimi sipingi wao kudai haki/masilahi zaidi, sipingi hata kidogo, ninachohoji ni njia waliyotumia ndio njia pekee?/

      MNAOTAKA TUJADILI KARIBUNI, WALE WA MATUSI NA KEJELI SINA MUDA MCHAFU WA KUWAJIBU.
      sasa nape kama unavyo ijua serikali yako bila kufanya mgomo hawawezi kutekeleza hata kidogo, je swala la serikali kwenda mahakamani ndio suluhu ya matatizo ya madaktari?

      Nape lazima hukubali kuwa wabunge wanaonekana bora kuliko madaktari wetu ambao wanalinda afya zetu, wabunge hawaitaji mgomo kupandishiwa mishahara na posho jaribu kufikiri!

      Kwa swala dr ulimboka nape unaonaje kukubaliana na hoja ya kwamba lazima kuundwa tume huru ili kujua ukweli na uongo, mimi ndio naona suluhu.

      Mimi binafsi naona serikali ndio mtuhumiwa mkuu hapa,swala la mtuhumiwa kujichunguza ni la kitoto tunahitaji tume huru kujua ukweli ata kama wewe au mimi tuna husika ukweli ujulikane.

    Page 1 of 6 123 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...