Jamani, namsikiliza Dr Mary Nagu akitoa hoja yake ya majumuisho ya bajeti ya waziri mkuu. Naona anaongea kwa kutetemeka na anakosea kosea sana kutamka maneno. Kapatwa na nini huyu mama leo? Anaongea kwa hofu na mashaka na kutokujiamini
Jamani, namsikiliza Dr Mary Nagu akitoa hoja yake ya majumuisho ya bajeti ya waziri mkuu. Naona anaongea kwa kutetemeka na anakosea kosea sana kutamka maneno. Kapatwa na nini huyu mama leo? Anaongea kwa hofu na mashaka na kutokujiamini
Unauliza majibu! ww haujui kama hali yao ni mbaya, unamkumbuka Pinda? mara akajikuta anamwita.... waziri mkuu, kimsingi wamepagawa
Alimkumbuka marehemu baba yake mzazi aliyefariki huko arusha ndio akaanza kulia.
Labda alikuwa anadanganya
"Wisdom is not a product of schooling, but of the lifelong attempt to acquire it"
Huwezi kuwa na ujasiri ukiwa unaongea uongo.
Unaweza kuwadanganya watu kwa wakati fulani tuu, huwezi kuwadanganya wote kwa wakati wote, mwisho wao umefika na miti yote huteleza sasa basi hakuna ujanja tena,
WAO WANA PESA SISI TUNA MUNGU. WAO WANA NGUVU YA DOLA SISI TUNA NGUVU YA UMMA.
Ukisema alimkumbuka ni kama vile ilimjia ghafla, lakini alijiandaa kwa makaratasi yenye details ndefu kuhusu mazishi, hospitali alipofia, kwamba alikufa yeye akiwa bungeni, kasoma majina na shout out kwa watoto wa kuzaa na watoto wa kulea, katoa shout out kwa mumewe mpenzi, shout kwa Kikwete, kapongeza mawaziri walio survive reshuffle, kamtaja Lukuvi etc. etc. Mwisho wa siku akaanza kulia.
Kabla ya hapo alikuwa Hawa Ghasia, nae katoa shout out ndefu kuhusu wazazi walivyomlea, na mumewe mpenzi anavyolea watoto. Kabla ya hapo speaker alitoa karipio kwa wabunge wanavyotumia muda wao bungeni, well, hizi shout out ndefu mbona zinaachiwa?
Mumewe yupi. alomwachai ubunge au lecturer Mzumbe?
Anamuogopa Kamili Juzi kawaga matrekta kibao Jimboni kwake.
Face Reality As it Is, Not As it Was or As You Wish It To Be.
Hivi kila mtu akikumbuka marehemu ndugu zake bunge si litakuwa msiba? mzushi tu. Nimeambiwa na mtu wake wa karibu wizarani kwake anadai alikuwa analia sababu wizara yake imepewa pesa kidogo za safari za nje. Mama anapenda safari kinoma.
Halafu ana roho mbaya kishenzi, alishawahi kumshusha kwenye gari na kumuacha porini afisa wake mmoja wakiwa pamoja safarini baada ya kutofautiana jambo fulani alipokuwa viwanda na biashara..leo anajifanya anajua kulia.
amemuiga baba yake mizengwe pinda.
Follow Us Here