Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Vurugu Tegeta, msafara wa JK waathirika pia (Dar)

    Report Post
    Page 6 of 10 FirstFirst ... 45678 ... LastLast
    Results 101 to 120 of 197
    1. #1
      Kurunzi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st July 2009
      Location : DAR ES SALAAM
      Posts : 1,947
      Rep Power : 888
      Likes Received
      382
      Likes Given
      144

      Default Vurugu Tegeta, msafara wa JK waathirika pia (Dar)

      Watu wasiojukikana walikuwa na nia gani wamezuia msafara wa Rais uliolukuwa unapita maeneo ya Namanga.

      Watu hao walizuia kwa muda wa sakika kadha hivi kabla ya FFU kutinga maeneo hayo na kuwatimua na ndipo msafara ukapita mpaka sasa FFU wapo kwenye purukushani ya sombasomba maeneo hayo ya namanga.

      Chanzo Nimepita hapo muda sio mrefu.

      UHALISIA:
      Quote By quimby_joey
      Pale Namanga kuna sheli ya BigBon iko barabarani kwa nyuma yake amepakana na nyumba za wanakijiji, sasa yeye anadai kanunua hilo eneo lote na anamiliki hati wanakijiji wamesema hawamtambui wala hawajawahi kuuza kwa mtu eneo hilo, kesi ilikwenda baraza la ardhi kwa mbinu na hila akafanikiwa kushinda kwani baraza hilo halina haki kisheria ya kusikiliza kesi hiyo.

      Wananchi wameamua kuipeleka kesi mahakama kuu na wameshatoa notisi ya siku 90 kwa mwanasheria mkuu wa serikali ili kuishitaki wizara ya ardhi, kuna kesi nyingine ya madai ameshtakiwa mahakama kuu kitengo cha ardhi na mzee mmoja amepakana nae kwenye hilo eneo kwa kumuingilia na kuharibu mali zake zote kwa kudai (BigBon) kuwa eneo hilo ni lake. kesi imepangwa kusikilizwa July.

      Leo hii BigBon akijua fika kua kuna kesi mahakamani na hazijasikilizwa bado amepeleka kikundi cha mabaunsa kwenda kuvamia kwa nguvu eneo hilo la wanakijiji kwa lengo la kuwatoa, ndipo vita kali baina ya mabaunsa hao na wanakijiji ilipozuka kwa taarifa nilizozipata, zaidi ya mabaunsa wanne wameuliwa na wanakijiji ila kwasasa hali imetulia.

      Wakati vurugu hizo zikiendelea na msafara wa rais ulikuwa ukipita maeneo hayo hakuna uhusiano wowote kati ya vurugu hizo na msafara huo, ila ilikua ni jambo la heri kwani msafara huo ulisaidia kuzima vurugu hizo baada ya askari wa FFU kufika katika eneo hilo na kuanza kutawanya watu...

      Source: taarifa kutoka kwa mzee mmoja mwanakijiji ambae nae ni mmojawapo kati ya wanakijiji wanaogombania eneo na BigBon
      Quote By Kilahunja
      Source: RADIO ONE
      WANANCH WALIKUWA WANAGOMBANA WAKILALAMIKA NYUMBA ZAO KUVUNJWA NA ENEO KUUZIWA MMILIK MMOJA WA MAFUTA

      VURUGU ZILIANZA KABLA HATA YA MSAFARA WA RAIS KUFIKA ENEO LILE

      KWAHYO SI KWAMBA WANANCH WALIJIPANGA KUZUIA MSAFARA BALI WALIKUA NAVURUGU ZA HAPANAPALE KUZUIA NYUMBA ZAO ZISIVUNJWE.

    2. FemaTV & Radio

    3. #101
      dguyana's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th January 2011
      Posts : 426
      Rep Power : 508
      Likes Received
      109
      Likes Given
      66

      Default re: Vurugu Tegeta, msafara wa JK waathirika pia (Dar)

      Kuna Siku JK ataikimbia Ikulu mwenyewe. Nyie ngojeni tu muone.
      Changudoa mwenye wivu a.k.a Jambazi lenye huruma

    4. #102
      cacico's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th March 2012
      Location : DSM
      Posts : 7,055
      Rep Power : 14521
      Likes Received
      6418
      Likes Given
      5004

      Default re: Vurugu Tegeta, msafara wa JK waathirika pia (Dar)

      Quote By flora msoffe
      popoa mawe kabisa alikuwa anaenda wapi si tunahangaika
      anakwenda kula bata zake bagamoyooo kwa mke mdogo! Chezeiya kikwete weye??
      flora msoffe likes this.
      "the problem is not me! the problem is you understading me!"

    5. #103
      kichomiz's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th February 2011
      Posts : 4,053
      Rep Power : 1232
      Likes Received
      652
      Likes Given
      80

      Default

      Quote By MAMA POROJO
      udaku street hiyo kuzuia msafara wa Rais ni jambo linalowezekana pengine walikuwa na shida ya kumweleza Rais lakini JF tunachukulia kuwa wamezuia kumpopoa mawe...... stupid thinking
      Mbona unatokwa povu kama sabuni ya omo?
      Rais wako kazuiwa leo.

    6. #104
      Sangarara's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 29th September 2011
      Posts : 3,311
      Rep Power : 1199
      Likes Received
      1182
      Likes Given
      1557

      Default re: Vurugu Tegeta, msafara wa JK waathirika pia (Dar)

      sasa hali hii hatujaanza kuchimba hayo mafuta yenyewe, tukianza je??

    7. #105
      Mystery's Avatar
      JF Bronze Member Array
      Join Date : 8th March 2012
      Posts : 609
      Rep Power : 484
      Likes Received
      213
      Likes Given
      150

      Default Vurugu kubwa zimetokea leo kati ya Polisi na Raia

      Habari zinazosambaa ni kuwa kumetokea mapambano makali kati ya vyombo vya usalama na raia huko Tegeta jijini Dar, ambayo inaelezwa polisi wetu kama ilivyo kawaida yao kwa siku hizi badala ya kutimiza wajibu wao mkuu wa kulinda raia na mali zao, wao wametumia nguvu za kupitiliza walipotaka kuvunja nyumba za wananchi maeneo hayo, hali iliyosababisha wananchi wagomee uonevu huo, jambo lillopelekea polisi wetu kutumia silaha za moto, jambo lililosababisha hadi napost hii thread, inasemekana raia wawili weshapoteza maisha! Mwenye habari zaidi atujuze

    8. Miaka 50

    9. #106
      Ndekirhepva's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th May 2012
      Location : Lubumbash
      Posts : 304
      Rep Power : 413
      Likes Received
      27
      Likes Given
      77

      Default re: Vurugu Tegeta, msafara wa JK waathirika pia (Dar)

      wangeunganisha tu wajifanye hawaja notice huo msafara na wafanye kama mbeya, pofoa mawe hadi kieleweke

    10. #107
      Rweye's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th March 2011
      Posts : 2,674
      Rep Power : 949
      Likes Received
      414
      Likes Given
      0

      Default Re: Vurugu kubwa zimetokea leo kati ya Polisi na Raia

      Sahvi wananchi tunajilinda na kujihami sisi wenyewe hata aje nani,kwani polisi nao si majambazi ama kwa vile wanavaa sare ...nchi haitatawalika tena.

    11. #108
      Chimunguru's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd May 2009
      Posts : 7,794
      Rep Power : 2148
      Likes Received
      1221
      Likes Given
      544

      Default re: Vurugu Tegeta, msafara wa JK waathirika pia (Dar)

      liwalo na liwe, si walitangaza wenyewe sasa kauli mbiu hiyo ndo inafanyiwa kazi

    12. #109
      fungamesa's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 20th February 2009
      Posts : 112
      Rep Power : 544
      Likes Received
      7
      Likes Given
      0

      Default Re: Vurugu kubwa zimetokea leo kati ya Polisi na Raia

      Quote By Mystery
      Habari zinazosambaa ni kuwa kumetokea mapambano makali kati ya vyombo vya usalama na raia huko Tegeta jijini Dar, ambayo inaelezwa polisi wetu kama ilivyo kawaida yao kwa siku hizi badala ya kutimiza wajibu wao mkuu wa kulinda raia na mali zao, wao wametumia nguvu za kupitiliza walipotaka kuvunja nyumba za wananchi maeneo hayo, hali iliyosababisha wananchi wagomee uonevu huo, jambo lillopelekea polisi wetu kutumia silaha za moto, jambo lililosababisha hadi napost hii thread, inasemekana raia wawili weshapoteza maisha! Mwenye habari zaidi atujuze
      Kuna mwenzio aliposti kuwa msafara wa JK wazuiwa na wewe waleta topic hiyo kwa kutuaminisha kuwa kuwa kulikuwa na mapambano baina ya askari na raia acha uzushi. Mabaunza walikuwa wanaleta vurugu nyumba isibomolewe ndipo yakapigwa mabomu ya machozi acheni uzushi jamani. Kila kitu kibaya ni kwa Polisi tu au mmeanza kulishwa sumu za Mauaji ya Kimbari

    13. #110
      mapanga3's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 1st May 2012
      Posts : 208
      Rep Power : 397
      Likes Received
      26
      Likes Given
      2

      Default Re: Vurugu kubwa zimetokea leo kati ya Polisi na Raia

      huo ni upeto utapita tu.

    14. #111
      Chimunguru's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd May 2009
      Posts : 7,794
      Rep Power : 2148
      Likes Received
      1221
      Likes Given
      544

      Default Re: Vurugu kubwa zimetokea leo kati ya Polisi na Raia

      Liwalo na liwe tuuuu, udhalimu tushauchoka hakuna cha Rais wala rais wote ni dhaifu tuu

    15. PPM
      #112
      PPM's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd November 2010
      Posts : 403
      Rep Power : 474
      Likes Received
      65
      Likes Given
      38

      Default Re: Vurugu kubwa zimetokea leo kati ya Polisi na Raia

      Quote By fungamesa
      Kuna mwenzio aliposti kuwa msafara wa JK wazuiwa na wewe waleta topic hiyo kwa kutuaminisha kuwa kuwa kulikuwa na mapambano baina ya askari na raia acha uzushi. Mabaunza walikuwa wanaleta vurugu nyumba isibomolewe ndipo yakapigwa mabomu ya machozi acheni uzushi jamani. Kila kitu kibaya ni kwa Polisi tu au mmeanza kulishwa sumu za Mauaji ya Kimbari
      Aliyeleta habari ya Msafara wa mkuu kuvamia aliipata taharifa vibaya. Ni coincidence Msafara wa mkuu ulikuwa Tegeta kwenda Bagamoyo wakati wa vurugu zikiendelea

    16. #113
      Jujuman's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 7th December 2008
      Posts : 249
      Rep Power : 582
      Likes Received
      29
      Likes Given
      56

      Default re: Vurugu Tegeta, msafara wa JK waathirika pia (Dar)

      Quote By Kurunzi
      Watu wasiojukikana walikuwa na nia gani wamezuia msafara wa Rais uliolukuwa unapita maeneo ya Namanga.

      Watu hao walizuia kwa muda wa sakika kadha hivi kabla ya FFU kutinga maeneo hayo na kuwatimua na ndipo msafara ukapita mpaka sasa FFU wapo kwenye purukushani ya sombasomba maeneo hayo ya namanga.

      Chanzo Nimepita hapo muda sio mrefu.

      UKWELI:
      Mwambieni Kurunzi Asikurupuke tu na kurusha habari.

    17. #114
      Bigirita's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 12th February 2007
      Location : Under a mango tree
      Posts : 11,260
      Rep Power : 3043
      Likes Received
      3039
      Likes Given
      4128

      Default re: Vurugu Tegeta, msafara wa JK waathirika pia (Dar)

      Quote By MAMA POROJO
      udaku street hiyo kuzuia msafara wa Rais ni jambo linalowezekana pengine walikuwa na shida ya kumweleza Rais lakini JF tunachukulia kuwa wamezuia kumpopoa mawe...... stupid thinking
      This is Funny.............wamuelezi nini?? labda wamrudishe pale Muhimbili akaongee na Madaktari, sio anakimbilia Bagamoyo kuagua!!
      * LOVE COMES NATURALLY; HATE IS TAUGHT.....by nngu007 wa JF

    18. #115
      mtika JR's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 4th April 2012
      Posts : 4
      Rep Power : 0
      Likes Received
      0
      Likes Given
      1

      Default re: Vurugu Tegeta, msafara wa JK waathirika pia (Dar)

      always the end justfy the meaning

    19. #116
      Safari_ni_Safari's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 5th October 2007
      Location : Kibaruani
      Posts : 11,938
      Rep Power : 24142
      Likes Received
      4654
      Likes Given
      2637

      Default re: Vurugu Tegeta, msafara wa JK waathirika pia (Dar)

      Niko eneo la tukio......ni Namanga ya Tegeta na nikweli wananchi walifunga njia baada ya kusikia rais anakuja....ni coincidence kuwa matukio yamegongana....sasa hivi yale magiri washa yameshafika.....mabaunsa wameuawa na pia inadaiwa Polisi wameua waliofunga barabara wawili....bado nafuatilia kiintelijinsia...ila nyumba zimevunjwa sana tu

      Soki Ozali Mwasi Yaka, Soki Ozali Mobali Koya Te

    20. #117
      Froida's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 25th May 2009
      Posts : 3,744
      Rep Power : 1317
      Likes Received
      720
      Likes Given
      147

      Default re: Vurugu Tegeta, msafara wa JK waathirika pia (Dar)

      Quote By EMMANUEL NSAMBI
      Wenzake wanazuiwa ili wananchi wasukume gari lao, yeye anazuiwa ili apigwe mawe!
      Yangu macho.
      Si kwa sababu wanajua ndio mchawi wa maisha yao bado siku atakapovamiwa IKULu na kuzabwa vibao na wananchi kama raisi wa Mali alivyofanywa

    21. #118
      mysteryman's Avatar
      Banned Array
      Join Date : 4th August 2011
      Location : Dar es salaam
      Posts : 987
      Rep Power : 0
      Likes Received
      164
      Likes Given
      39

      Default

      Quote By Mystery
      Habari zinazosambaa ni kuwa kumetokea mapambano makali kati ya vyombo vya usalama na raia huko Tegeta jijini Dar, ambayo inaelezwa polisi wetu kama ilivyo kawaida yao kwa siku hizi badala ya kutimiza wajibu wao mkuu wa kulinda raia na mali zao, wao wametumia nguvu za kupitiliza walipotaka kuvunja nyumba za wananchi maeneo hayo, hali iliyosababisha wananchi wagomee uonevu huo, jambo lillopelekea polisi wetu kutumia silaha za moto, jambo lililosababisha hadi napost hii thread, inasemekana raia wawili weshapoteza maisha! Mwenye habari zaidi atujuze
      mystery who???

    22. #119
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default re: Vurugu Tegeta, msafara wa JK waathirika pia (Dar)

      Wilaya ya KINONDONI NA MiGOGORO YA ARDHI,,,,NI KAMA FOLEN NA BARABARA MBOVU

    23. #120
      A2 P's Avatar
      Senior Member Array
      Join Date : 22nd March 2012
      Posts : 140
      Rep Power : 389
      Likes Received
      35
      Likes Given
      8

      Default re: Vurugu Tegeta, msafara wa JK waathirika pia (Dar)

      ZAIFU

    Page 6 of 10 FirstFirst ... 45678 ... LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...