Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: kituko cha Waziri mkuu PINDA

    Report Post
    Page 2 of 2 FirstFirst 12
    Results 21 to 34 of 34
    1. #1
      Chumba cha siri's Avatar
      Member Array
      Join Date : 27th June 2012
      Posts : 13
      Rep Power : 349
      Likes Received
      2
      Likes Given
      2

      Post kituko cha Waziri mkuu PINDA

      habari wana jamii

      naomba tujadili hili kwa pamoja maana sisi wengine tukisema sana tunaambiwa ni waropokaji
      laini hawa wenzetu huwa na busara kabla ya kusema yess kweli kabisa kwakuwa wao ni viongozi wa serikali na siye wengine ni waandishi tu wa habari

      sio nia yangu kuanza hivyo lakini imenipasa kuanza na hiyo maana hata waandishi nao ni muhimiri wa nne wa serikali hivyo wanaposema kitu au jambo fulani ni lazima serikali ikalichunguza kwa makini

      kilichi nipelekea kusema kituko cha Mh.waziri mkuu ni kutokana ana kauli yake aliyoitoa juzi jumatano pale bungeni wakati akijibu hoja zilizokuwa zikielekezwa kwake naofisi yake kutoka kwa wabunge..alipoulizwa juu ya mgomo wa madaktari alisema kuwa angelitolea ufafanuzi jana lakini kinyume na hapo jana akatueleza kuwa swala hili liko mahakamani hivyo haitakuwa busara yeye kulitolea ufafanuzi swali je?wakati anawaahidi watanzania hakujua kama swala hili liko mahakamani??

      watanzania tuelewe nini juu ya swala hili?

      naomba kuwasilisha
      mtendakazi likes this.

    2. Miaka 50

    3. #21
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default

      Quote By Ringo Edmund
      mimi sichangii mpaka msitu wa pande ufyekwe.
      wanamazingira wanasema utapotea bya 2035 (kama sijakosea)

    4. #22
      kajembe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th November 2010
      Posts : 419
      Rep Power : 516
      Likes Received
      101
      Likes Given
      116

      Default Re: kituko cha Waziri mkuu PINDA

      Dr Ulimboka kan`golewa meno kwa plier au koleo,kan`golewa kucha,kavunjwa mbavu inasemekana pia kalawitiwa!inasikitisha sana kwa nchi yangu ya Tanzania kwa vitendo vya kinyama kama hivi!wanadamu tumefikia kiwango cha juu kabisa cha ouvu,kwa matendo aliyofanyiwa Dr Ulimboka kwa kweli huwezi kuipenda tena serikali na hasa viongozi wetu ambao kila mtu anawatuhumu! sikuwahi kutegemea kama nchi yangu hii itafikia viongozi wataweza kuruhusu unyama kama huu kwa binadamu wenzao!Madaktari wanao mtibu hawatuambii ukweli wa yote aliyofanyiwa wanaficha tu! lakini huwezi amini unyama huu! Dr wamemuaharibia maisha yake akiwa bado kijana mdogo huku wao wakiishi maisha ya anasa na watoto wao! Huyo Msangi ndiyo nani jamani? hana watoto? mtoto wake akifanyiwa hivyo atajisikiaje? hivi ni binadamu wa kawaida kweli huyo?

    5. #23
      mtotowamjini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd April 2012
      Location : None of Your Business
      Posts : 4,533
      Rep Power : 1263
      Likes Received
      1109
      Likes Given
      28

      Default Re: kituko cha Waziri mkuu PINDA

      mi nashangaa pinda bado hajaachia ngazi, its obvious kwamba kazi ameishindwa au yuko kwenye mazingira ambayo hawezi kutekeleza maamuzi yake, if i were him i would resign. Pinda naamini ni mcha Mungu, kweli Mheshimiwa kwanini unafanya kazi kwenye serikali ya kimafia? hivi kweli akiwa anasali usiku anamuambiaje Mungu? Ningekua ni wewe mheshimiwa ningeachia ngazi.
      Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde

      One man's good fortune is another man's misfortune

    6. #24
      watu8's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th February 2010
      Location : Juu ya Tukutuku
      Posts : 15,093
      Rep Power : 31291
      Likes Received
      7480
      Likes Given
      7511

      Default Re: kituko cha Waziri mkuu PINDA

      Nchi yetu ni mang'ana na viongozi wake ni mang'ana kabisa...
      Kuna mtu hapa jamvini alileta tetesi eti madaktari watafukuzwa kutoka katika ajira zao na serikali...
      Binafsi nilimpinga mleta mada na nikaeleza bayana kuwa jambo hilo ni ndoto kwa kuwa limeshafikishwa kwenye mamlaka nyingine ambayo bunge na waziri mkuu hawana mamlaka nayo...
      Hivyo basi suala la Waziri Mkuu kusema atatoa tamko la serikali ni udhihirisho wa ama:
      1.Ama hajui alilokuwa akitamka
      2.Alikua anafunika tu kombe ili hoja ya msingi ipite akijua fika baadae atakuja kujitetea kuwa ishu ipo mahakamani.

      Sasa yote hayo mawili inaonesha UDHAIFU wa serikali ya Tanzania na taasisi zake za Uwaziri mkuu na Urais
      "Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU"

    7. #25
      Barnabas Shadrack's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd July 2011
      Posts : 2,055
      Rep Power : 810
      Likes Received
      182
      Likes Given
      11

      Default Re: kituko cha Waziri mkuu PINDA

      Yaani huyo PM ni mbumbumbu namba wani, yeye kila kitu anachokifanya kinakuwa na negative response tu. Mwaka jana alienda Udom akadanganya wanafunzi kuwa wataenda field lakini muda ulipowadia wakaambiwa hakuna field na mwisho wake wanafunzi wakatimuliwa.

      Mwanzoni mwa mwaka huu napo aliwaambia madaktari kuwa wataajiri madokta wa kigeni hivyo akashindwa kumaliza mgomo wa madaktari mpaka pale dhaifu mwenzake alipoingilia kati kwa kunywa juisi na madaktari, mara aseme hajui kwa nini watanzania ni maskini. Sijui hata kama huyu jamaa alistahili hata kuwa msafisha vyoo sembuse uwaziri mkuu.

      Wamempa mzigo mzito sana, ana akili finyu afadhali hata ya akili ya mtoto mchanga kuliko akili yake ya liwalo na liwe pamoja na kulia bungeni.
      WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.

    8. FemaTV & Radio

    9. #26
      Mwanyasi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th November 2010
      Location : Karibu na wewe
      Posts : 1,054
      Rep Power : 840
      Likes Received
      504
      Likes Given
      986

      Default Re: kituko cha Waziri mkuu PINDA

      Quote By Ringo Edmund
      mimi sichangii mpaka msitu wa pande ufyekwe.
      Mkuu punguza hasira basi ile ni maliasili yetu sote, hawa jamaa wanatumia msitu mwingine upo kibaha na hata baharini, je ifyekwe yote na bahari ikaushwe? Labda unambie tufyeke hawa vichwa maji wa magogoni!
      "Hata siku moja mkaa hauuzwi supermarket" - Mpoki

    10. #27
      brazilian's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th February 2012
      Posts : 609
      Rep Power : 1358
      Likes Received
      101
      Likes Given
      5

      Default Re: kituko cha Waziri mkuu PINDA

      Quote By Chumba cha siri
      habari wana jamii

      naomba tujadili hili kwa pamoja maana sisi wengine tukisema sana tunaambiwa ni waropokaji
      laini hawa wenzetu huwa na busara kabla ya kusema yess kweli kabisa kwakuwa wao ni viongozi wa serikali na siye wengine ni waandishi tu wa habari

      sio nia yangu kuanza hivyo lakini imenipasa kuanza na hiyo maana hata waandishi nao ni muhimiri wa nne wa serikali hivyo wanaposema kitu au jambo fulani ni lazima serikali ikalichunguza kwa makini

      kilichi nipelekea kusema kituko cha Mh.waziri mkuu ni kutokana ana kauli yake aliyoitoa juzi jumatano pale bungeni wakati akijibu hoja zilizokuwa zikielekezwa kwake naofisi yake kutoka kwa wabunge..alipoulizwa juu ya mgomo wa madaktari alisema kuwa angelitolea ufafanuzi jana lakini kinyume na hapo jana akatueleza kuwa swala hili liko mahakamani hivyo haitakuwa busara yeye kulitolea ufafanuzi swali je?wakati anawaahidi watanzania hakujua kama swala hili liko mahakamani??

      watanzania tuelewe nini juu ya swala hili?

      naomba kuwasilisha
      Kila siku tunasema kuwa PINDA AMEPINDA. Tindu lisu jana alimwambia " DON'T YOU SEE THAT IT IS FOR YOU TO RESIGN" Akaksirika

    11. #28
      Mwanyasi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th November 2010
      Location : Karibu na wewe
      Posts : 1,054
      Rep Power : 840
      Likes Received
      504
      Likes Given
      986

      Default Re: kituko cha Waziri mkuu PINDA

      Quote By Barnabas Shadrack
      Yaani huyo PM ni mbumbumbu namba wani, yeye kila kitu anachokifanya kinakuwa na negative response tu. Mwaka jana alienda Udom akadanganya wanafunzi kuwa wataenda field lakini muda ulipowadia wakaambiwa hakuna field na mwisho wake wanafunzi wakatimuliwa. Mwanzoni mwa mwaka huu napo aliwaambia madaktari kuwa wataajiri madokta wa kigeni hivyo akashindwa kumaliza mgomo wa madaktari mpaka pale dhaifu mwenzake alipoingilia kati kwa kunywa juisi na madaktari, mara aseme hajui kwa nini watanzania ni maskini. Sijui hata kama huyu jamaa alistahili hata kuwa msafisha vyoo sembuse uwaziri mkuu. Wamempa mzigo mzito sana, ana akili finyu afadhali hata ya akili ya mtoto mchanga kuliko akili yake ya liwalo na liwe pamoja na kulia bungeni.
      WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI.
      Baada ya mgomo wa madaktari uliopita (Sio huu) Pinda aliapa hautorudia tena. Naukumbuka ule msemo usemao a lie must have memory!
      "Hata siku moja mkaa hauuzwi supermarket" - Mpoki

    12. #29
      JOYCE PAUL's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 8th January 2010
      Location : DAR ES SALAAM
      Posts : 970
      Rep Power : 674
      Likes Received
      65
      Likes Given
      18

      Default Re: kituko cha Waziri mkuu PINDA

      Quote By KISAKA MORIS
      Hamna PM pale', naye ni dhaifu na hafifu sana.
      mexe mpige ban kisaka moris kamtukana WAZIRI MKUU WAKE HANA ADAMU HUYU....

    13. #30
      Mwanyasi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th November 2010
      Location : Karibu na wewe
      Posts : 1,054
      Rep Power : 840
      Likes Received
      504
      Likes Given
      986

      Default Re: kituko cha Waziri mkuu PINDA

      Quote By kelvito
      Ccm wamekosa watu makini wakufanya haya mambo, kama walitaka kumuua ulimboka dr kwa maslai ya nchi kwanini wafanye kijinga hv! C bora wangemkamata na kumficha sehemu na siku akitoka huko wampoteza kumbulumbu zote? Wajinga gn wapo huko na nyerere alipata wapi wasaidizi wake!? Jk kama vp badili watu wako wa karibu wapo very low sana!
      Wewe unajua eeh?
      Wait your turn!
      "Hata siku moja mkaa hauuzwi supermarket" - Mpoki

    14. #31
      asungwilemwaifunga's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th February 2012
      Posts : 346
      Rep Power : 502
      Likes Received
      119
      Likes Given
      35

      Default Re: kituko cha Waziri mkuu PINDA

      Ni vizuri tukajadili hoja badala ya kumjadili mtu. Kumjua mtu sio vibaya lakini anajenga hoja gani? Hoja hii anayojenga inatupeleka wapi? Na wewe mwenye hoja tofauti na ya WM unatoa hoja gani mbadala inayosaidia kutatua tatizo letu la mgomo wa Madaktari ili hatimaye watu watibiwe hali ya maisha irejee kama kawaida. Haya ndiyo mambo ya msingi ambayo jamii inayataka kuyasikia kwa sasa.Swala la udhaifu, uoga na sifa lukuki za mtu kwa sasa haliwezi kuwa sehemu ya kutatua tatizo tulilonalo kwa sasa.
      Mimi binafsi napendekeza Madaktari warudi kazini huku mazungumzo ya kuboresha maslahi yao pamoja na upatikanaji wa dawa na vifaa tiba yakiendelea. Matumizi ya matibabu ya nje kwa wanasiasa yasitishwe ikiwa ni sehemu ya kuonyesha umakini (seriousness) ya serikali kwa madai ya madaktari. Serikali igharamie matibabu na itoe fidia kwa Dr. Uli ili kuonyesha ushirikiano na jumuia ya madaktari kwakuwa Daktari ameumia katika ya mgogoro baina ya jumuia ya madaktari na serikali. Hata kama serikali haihusiki na kuumizwa kwake lakini hata watu walifanya tukio hili wamepata mwanya huu kutokana na mgogoro ambao serikali imeshindwa kuumaliza kwa muda mrefu. Sio serikali tu iliyo na mgogoro na madaktari,lakini pia kuna watu wamepoteza vyeo vyao kutokana na mgogoro huu ambao kiongozi ni Dr. Uli. Kuna watu wamepoteza maisha katika kipindi hiki cha mgomo, wote hawa wanaweza kudhanani chanzo ni Dr. Uli, lakini jalala ni Serikali.
      Serikali inawabeba wote huu. Maandiko matakatifu yanasema tafuteni kuwa na AMANI na watu wote. Usipokuwa na AMANI hata na mtu mmoja jambo lolote baya likitokea lazima utahisiwa wewe.

    15. #32
      Gagnija's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 28th April 2006
      Posts : 2,061
      Rep Power : 1081
      Likes Received
      667
      Likes Given
      465

      Default Re: kituko cha Waziri mkuu PINDA

      Quote By Chumba cha siri
      habari wana jamii

      naomba tujadili hili kwa pamoja maana sisi wengine tukisema sana tunaambiwa ni waropokaji
      laini hawa wenzetu huwa na busara kabla ya kusema yess kweli kabisa kwakuwa wao ni viongozi wa serikali na siye wengine ni waandishi tu wa habari

      sio nia yangu kuanza hivyo lakini imenipasa kuanza na hiyo maana hata waandishi nao ni muhimiri wa nne wa serikali hivyo wanaposema kitu au jambo fulani ni lazima serikali ikalichunguza kwa makini

      kilichi nipelekea kusema kituko cha Mh.waziri mkuu ni kutokana ana kauli yake aliyoitoa juzi jumatano pale bungeni wakati akijibu hoja zilizokuwa zikielekezwa kwake naofisi yake kutoka kwa wabunge..alipoulizwa juu ya mgomo wa madaktari alisema kuwa angelitolea ufafanuzi jana lakini kinyume na hapo jana akatueleza kuwa swala hili liko mahakamani hivyo haitakuwa busara yeye kulitolea ufafanuzi swali je?wakati anawaahidi watanzania hakujua kama swala hili liko mahakamani??

      watanzania tuelewe nini juu ya swala hili?

      naomba kuwasilisha
      Huyu kitaaluma ni mwanasheria, haiwezekani kesho yake aje kusema hataongelea kitu iliyo mahakamani. Labda wakati anasema liwalo na liwe alikuwa hajajua kuwa mpango wao wa kumuua Dr Ulimboka umetibuka.
      If you are neutral in situations of injustice, you have chosen the side of the oppressor. Tutu

    16. #33
      jigoku's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th September 2011
      Posts : 1,434
      Rep Power : 999
      Likes Received
      359
      Likes Given
      536

      Default Re: kituko cha Waziri mkuu PINDA

      Hakika Pinda amepinda,ni dhaifu,legelege,hana maamuzi,mnafiki,muongo,na mbaya zaidi hata aliokuwa nao huko Nyinyiemu nao ni wale wale tu,piga picha wasira a.k.a Nyara,nawengineo.kimsingi the wholly system is drastically rotten.

    17. #34
      Jiwe Linaloishi's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 24th May 2008
      Location : Mlimani
      Posts : 3,106
      Rep Power : 17238
      Likes Received
      1622
      Likes Given
      1122

      Default Re: kituko cha Waziri mkuu PINDA

      Serikali ya ccm wanajenga mnara wa Babel sasa wamefikia pale....huyu akisema lete nyundo anapewa chepeo.... safari yao inaelekea mwisho 2015 na hapo itategemeana na Kudra za mwenyezi Mungu wanaweza wasifike
      SEMA UKWELI UMWAIBISHE SHETANI

    Page 2 of 2 FirstFirst 12

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...