Support JamiiForums and Become a 'JF Premium Member' | Click HERE for Details
    Show/Hide This

    Topic: Tusidanganyane: Kipigo cha Ulimboka Serikali ilihusika

    Report Post
    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast
    Results 21 to 40 of 45
    1. #1
      komredi ngosha's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th January 2011
      Posts : 360
      Rep Power : 493
      Likes Received
      47
      Likes Given
      12

      Default Tusidanganyane: Kipigo cha Ulimboka Serikali ilihusika

      wana jf,

      Nathibitisha kua kupigwa kwa Dkt Ulimboka serikali ilihusika au kufahamu na kuruhusu itokee kwa sababu hizi:
      Mgomo wa madaktari ni kitu kikubwa, kinahatarisha usalama wa nchi. Kiutaratibu vyombo vyote vya ulinzi vilipaswa kufanya uchunguzi

      Katika uchunguzi wao viongozi wote wa madaktari walitakiwa kuchunguzwa masaa 24 haya yafuatayo:
      1. Wanajadiliana na kupanga nini
      2. Wanawasiliana na nani na kuongea nini
      3. Wako wapi na wanafanya nini

      Narudia, ni ktk masaa yote 24 na hii inahusisha vinasa sauti, eavesdropping, suprise meetings(kama huyo abeid wa ikulu), top classified field agents ktk taxi, wapiga debe, barmaid etc.
      Pia kungekua na physical suspect tracking, kuwafatilia wako wapi na wanafanya nini muda wote.

      upelelezi wote huu kitaaluma ungesimamiwa na vyombo vitatu tofauti, kila kimoja kikijiendesha kivyake kwa ajili ya kua na fair analysis wakati wa kumshauri mkuu wa nchi
      1. Usalama wa Taifa
      2. Idara ya ujasusi jeshini
      3. police

      kama taratibu hizi hazikufanyika, Tanzania haiko salama!

      ushahidi wa kuhusika serikali
      1. Abeid kutoka ikulu
      2. Kuvamiwa Leaders (kumbe walikua wanamfatilia)
      3. Watekaji kudai kawasumbua(ni kweli walikua na hasira kwa kuwalaza nje kumfatilia masaa 24)
      4. Gari halikua na Plate no kusafiri umbali mkubwa(sio ishu sana), ila hizo bunduki na mazingira ya nyumba walizompeleka ni safe house
      5. Kipigo alichopewa ni very pro, walipiga kama wanampiga jasusi mwenzao. (sina uhakika ilikuaje hawakutumia umeme)
      6. Mabishano namna ya kumuua, kama ni kwa sumu au ajali(Kwa mfumo wetu wa ulinzi kama nilivyosema awali unahusisha vyombo vitatu tofauti. Napata hisia waliungana kumtesa ila kumuua wakatofautiana, kila chombo kina kiongozi wake na anafanya kazi kivyake bila kushirikisha upande mwingine)
      7. Hakukua na maandalizi(kawaida ya serikali hii haipangilii mambo na viongozi kuamua kwa pamoja kama wanamuua ulimboka au hapana)

      kama nimechemka, wanausalama wenzangu mtanisaidia

    2. RukaaJuu Final

    3. #21
      Zinedine's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 9th April 2011
      Posts : 496
      Rep Power : 510
      Likes Received
      179
      Likes Given
      236

      Default Re: Tusidanganyane: Kipigo cha Ulimboka Serikali ilihusika

      Quote By komredi ngosha

      ....Ongeza na hili,
      8. Ni kwanini pia vyombo vya habari vya serikali havikutoa habari ya Dr. Uli? si TBC1 wala Daily News; verrrrry bad
      Unstoppable likes this.

    4. #22
      mkwatis's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd November 2008
      Posts : 74
      Rep Power : 552
      Likes Received
      8
      Likes Given
      9

      Default Re: Tusidanganyane: Kipigo cha Ulimboka Serikali ilihusika

      Kama serikali kwa njia moja au nyingine itaonekana kuhusika +matukio ya awali kol.....a,wan...,sok.... na mwisho itakuwa wewe au mimi Kama tutakuwa wadai wa haki,we need M4C

    5. #23
      sir.JAPHET's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th May 2012
      Posts : 608
      Rep Power : 474
      Likes Received
      90
      Likes Given
      43

      Default Re: Tusidanganyane: Kipigo cha Ulimboka Serikali ilihusika

      kweeeli bwana

    6. #24
      Sun Tzu's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd March 2010
      Posts : 75
      Rep Power : 593
      Likes Received
      20
      Likes Given
      10

      Default Re: Tusidanganyane: Kipigo cha Ulimboka Serikali ilihusika

      Quote By komredi ngosha
      wana jf,

      Nathibitisha kua kupigwa kwa Dkt Ulimboka serikali ilihusika au kufahamu na kuruhusu itokee kwa sababu hizi:
      Mgomo wa madaktari ni kitu kikubwa, kinahatarisha usalama wa nchi. Kiutaratibu vyombo vyote vya ulinzi vilipaswa kufanya uchunguzi

      Katika uchunguzi wao viongozi wote wa madaktari walitakiwa kuchunguzwa masaa 24 haya yafuatayo:
      1. Wanajadiliana na kupanga nini
      2. Wanawasiliana na nani na kuongea nini
      3. Wako wapi na wanafanya nini

      Narudia, ni ktk masaa yote 24 na hii inahusisha vinasa sauti, eavesdropping, suprise meetings(kama huyo abeid wa ikulu), top classified field agents ktk taxi, wapiga debe, barmaid etc.
      Pia kungekua na physical suspect tracking, kuwafatilia wako wapi na wanafanya nini muda wote.

      upelelezi wote huu kitaaluma ungesimamiwa na vyombo vitatu tofauti, kila kimoja kikijiendesha kivyake kwa ajili ya kua na fair analysis wakati wa kumshauri mkuu wa nchi
      1. Usalama wa Taifa
      2. Idara ya ujasusi jeshini
      3. police

      kama taratibu hizi hazikufanyika, Tanzania haiko salama!

      ushahidi wa kuhusika serikali
      1. Abeid kutoka ikulu
      2. Kuvamiwa Leaders (kumbe walikua wanamfatilia)
      3. Watekaji kudai kawasumbua(ni kweli walikua na hasira kwa kuwalaza nje kumfatilia masaa 24)
      4. Gari halikua na Plate no kusafiri umbali mkubwa(sio ishu sana), ila hizo bunduki na mazingira ya nyumba walizompeleka ni safe house
      5. Kipigo alichopewa ni very pro, walipiga kama wanampiga jasusi mwenzao. (sina uhakika ilikuaje hawakutumia umeme)
      6. Mabishano namna ya kumuua, kama ni kwa sumu au ajali(Kwa mfumo wetu wa ulinzi kama nilivyosema awali unahusisha vyombo vitatu tofauti. Napata hisia waliungana kumtesa ila kumuua wakatofautiana, kila chombo kina kiongozi wake na anafanya kazi kivyake bila kushirikisha upande mwingine)
      7. Hakukua na maandalizi(kawaida ya serikali hii haipangilii mambo na viongozi kuamua kwa pamoja kama wanamuua ulimboka au hapana)

      kama nimechemka, wanausalama wenzangu mtanisaidia
      Tatizo la migomo inayochochewa na Bagman, na maandamano yasiyokwisha, yanaposhindikana au mbinu iliyotumika kushindikana bagman au wale waliopo nyuma yake wanatoa kipigo! 'Wanakulimboka'

      Tumieni busara na hekima weanaoumia na kufa ni watanzania, siasa waachieni wana siasa. Acheni kuwa vibaraka! Period!
      "In time of war, when truth is so precious, it must be protected by a bodyguard of lies." Winston Churchill

    7. #25
      Ulimakafu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 18th March 2011
      Location : Itabanya Balasi
      Posts : 10,951
      Rep Power : 2604
      Likes Received
      690
      Likes Given
      1615

      Default Re: Tusidanganyane: Kipigo cha Ulimboka Serikali ilihusika

      Quote By Honolulu
      Watanzania msilalamike! Kiini cha udhaifu wa serikali ni nyie wenyewe! Mnapiga kura kama vipofu na kisha mnalalama kama vichaa! Acheni serikali mliyoipa kura ifanye kazi!! Tulieni! Dumisheni amani na utulivu hadi hapo mtakapopata akili na mang'amuzi mwaka 2015. CCM Oyee!!!
      Hii umenikosha mkuu.

    8. Miaka 50

    9. #26
      Makame's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 3rd January 2008
      Posts : 513
      Rep Power : 681
      Likes Received
      57
      Likes Given
      23

      Default Re: Tusidanganyane: Kipigo cha Ulimboka Serikali ilihusika

      CONSPIRACY THEORIES

      Wekeni Ushahidi

      Otherwise wacheni vyombo husika vikamilishe uchunguzi
      God made Man, Man made Money, Money made man mad!

    10. #27
      Ringo Edmund's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 10th May 2010
      Location : MDAWI
      Posts : 3,671
      Rep Power : 1361
      Likes Received
      885
      Likes Given
      586

      Default Re: Tusidanganyane: Kipigo cha Ulimboka Serikali ilihusika

      ningekuwa na jina bandia ningechangia.
      ​kusema ni fedha na kusikilizwa ni zahabu.

    11. #28
      Konya's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 4th June 2011
      Posts : 815
      Rep Power : 566
      Likes Received
      79
      Likes Given
      1

      Default Re: Tusidanganyane: Kipigo cha Ulimboka Serikali ilihusika

      Mungu na aendelee kumlinda na mpango wao ulioshindwa

    12. #29
      mwaJ's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 27th September 2007
      Location : Nowhere
      Posts : 3,454
      Rep Power : 14609
      Likes Received
      2290
      Likes Given
      1504

      Default Re: Tusidanganyane: Kipigo cha Ulimboka Serikali ilihusika

      Quote By Honolulu
      Watanzania msilalamike! Kiini cha udhaifu wa serikali ni nyie wenyewe! Mnapiga kura kama vipofu na kisha mnalalama kama vichaa! Acheni serikali mliyoipa kura ifanye kazi!! Tulieni! Dumisheni amani na utulivu hadi hapo mtakapopata akili na mang'amuzi mwaka 2015. CCM Oyee!!!
      Maneno yako yanatia hasira lakini ni kweli tupu! Ila mie sikuipigia kura CCM na sitakaa niipigie kura CCM hata wakivaa mavazi meupe kama malaika! Tatizo ni kuwa kuna wanawake wenzetu ambao wako tayari kujigalagaza chini eti wanaishangilia CCM sijui Nape sijui nani! Muda wao utafika na udhalimu wao utakwisha!
      “Anyone who has never made a mistake has never tried anything new” -
      Albert Einstein

    13. #30
      mtotowamjini's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 23rd April 2012
      Location : None of Your Business
      Posts : 4,533
      Rep Power : 1263
      Likes Received
      1109
      Likes Given
      28

      Default Re: Tusidanganyane: Kipigo cha Ulimboka Serikali ilihusika

      ndio maana nina hope kua ccm haitashinda 2015 kwa kua kuna hitajika mabadiliko mengi huko serikalini, mkuu wa majeshi, mkuu wa polisi, mkuu wa usalama wa taifa, mkuu wa takukuru hawa wote inabidi kubadilishwa maana hii nchi imeoza
      Every saint has a past, every sinner has a future' ...Oscar Wilde

      One man's good fortune is another man's misfortune

    14. #31
      Kituntunu's Avatar
      Junior Member Array
      Join Date : 29th June 2012
      Posts : 6
      Rep Power : 348
      Likes Received
      2
      Likes Given
      0

      Default Re: Tusidanganyane: Kipigo cha Ulimboka Serikali ilihusika

      Quote By komredi ngosha
      wana jf,

      Nathibitisha kua kupigwa kwa Dkt Ulimboka serikali ilihusika au kufahamu na kuruhusu itokee kwa sababu hizi:
      Mgomo wa madaktari ni kitu kikubwa, kinahatarisha usalama wa nchi. Kiutaratibu vyombo vyote vya ulinzi vilipaswa kufanya uchunguzi

      Katika uchunguzi wao viongozi wote wa madaktari walitakiwa kuchunguzwa masaa 24 haya yafuatayo:
      1. Wanajadiliana na kupanga nini
      2. Wanawasiliana na nani na kuongea nini
      3. Wako wapi na wanafanya nini...
      Bora ulivyojihami kuomba kukosolewa mimi raia lakini nimeona kabisa kuwa nawe ni mmoja kati ya uozo wa jk ndio mnao mfanya anaonekana nchi imemshinda si mnafundshwa maadili au?

    15. #32
      mzee wa njaa's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 16th June 2011
      Posts : 1,340
      Rep Power : 670
      Likes Received
      194
      Likes Given
      107

      Default Re: Tusidanganyane: Kipigo cha Ulimboka Serikali ilihusika

      Dusty......

    16. #33
      christine ibrahim's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 26th February 2012
      Posts : 2,729
      Rep Power : 910
      Likes Received
      436
      Likes Given
      440

      Default

      Quote By Ngarenaro
      Mkuu umechemka sana na hii Analyais yako, kama ambavyo ulivyotaka kutuaminisha kua unathitibisha kuwa serikali inahusika, cha ajabu pamoja na hizo arguments zako ktk kujenga hoja, bado umeshindwa ku Justify kuwa Serikali inahusika kwa sababu kwa maelezo hayohayo uliyoyatoa bado mtu mwingine angeweza kusema kuwa Maadui zake binafsi Dr. Ulimboka wanahusika kwa 100% nayeye akaonekana ana point zaidi kuliko wewe.
      Ww ndo unaechemka hapa,while kila kitu kipo wazi!in short hakuna asiejua wht is going on,na ujue watu ckuhizi wanaelewa mambo,hata mpindishe hapa ukweli utabaki kuwa palepale na raia wanaelewa

    17. #34
      Bajabiri's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 31st December 2010
      Posts : 9,741
      Rep Power : 2884
      Likes Received
      1115
      Likes Given
      52

      Default

      Quote By komredi ngosha
      wana jf,

      Nathibitisha kua kupigwa kwa Dkt Ulimboka serikali ilihusika au kufahamu na kuruhusu itokee kwa sababu hizi:
      Mgomo wa madaktari ni kitu kikubwa, kinahatarisha usalama wa nchi. Kiutaratibu vyombo vyote vya ulinzi vilipaswa kufanya uchunguzi

      Katika uchunguzi wao viongozi wote wa madaktari walitakiwa kuchunguzwa masaa 24 haya yafuatayo:
      1. Wanajadiliana na kupanga nini
      2. Wanawasiliana na nani na kuongea nini
      3. Wako wapi na wanafanya nini

      Narudia, ni ktk masaa yote 24 na hii inahusisha vinasa sauti, eavesdropping, suprise meetings(kama huyo abeid wa ikulu), top classified field agents ktk taxi, wapiga debe, barmaid etc.
      Pia kungekua na physical suspect tracking, kuwafatilia wako wapi na wanafanya nini muda wote.

      upelelezi wote huu kitaaluma ungesimamiwa na vyombo vitatu tofauti, kila kimoja kikijiendesha kivyake kwa ajili ya kua na fair analysis wakati wa kumshauri mkuu wa nchi
      1. Usalama wa Taifa
      2. Idara ya ujasusi jeshini
      3. police

      kama taratibu hizi hazikufanyika, Tanzania haiko salama!

      ushahidi wa kuhusika serikali
      1. Abeid kutoka ikulu
      2. Kuvamiwa Leaders (kumbe walikua wanamfatilia)
      3. Watekaji kudai kawasumbua(ni kweli walikua na hasira kwa kuwalaza nje kumfatilia masaa 24)
      4. Gari halikua na Plate no kusafiri umbali mkubwa(sio ishu sana), ila hizo bunduki na mazingira ya nyumba walizompeleka ni safe house
      5. Kipigo alichopewa ni very pro, walipiga kama wanampiga jasusi mwenzao. (sina uhakika ilikuaje hawakutumia umeme)
      6. Mabishano namna ya kumuua, kama ni kwa sumu au ajali(Kwa mfumo wetu wa ulinzi kama nilivyosema awali unahusisha vyombo vitatu tofauti. Napata hisia waliungana kumtesa ila kumuua wakatofautiana, kila chombo kina kiongozi wake na anafanya kazi kivyake bila kushirikisha upande mwingine)
      7. Hakukua na maandalizi(kawaida ya serikali hii haipangilii mambo na viongozi kuamua kwa pamoja kama wanamuua ulimboka au hapana)

      kama nimechemka, wanausalama wenzangu mtanisaidia
      mimi si mwana usalama ila huku mtann tunasema ushahid wa mazingira unaitia hatian serikali

    18. #35
      Kasimba G's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 19th January 2011
      Location : Dar es Salaam
      Posts : 852
      Rep Power : 593
      Likes Received
      252
      Likes Given
      265

      Default Re: Tusidanganyane: Kipigo cha Ulimboka Serikali ilihusika

      The today tanzania is not like the 1964s, everyone knows either by instinct or reality! We all knows what transpired!

    19. #36
      timbilimu's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 2nd September 2010
      Location : DSM
      Posts : 2,672
      Rep Power : 977
      Likes Received
      584
      Likes Given
      10

      Default Re: Tusidanganyane: Kipigo cha Ulimboka Serikali ilihusika

      Hii kashifa na aibu kubwa kwa serikali na vyombo vyetu vya usalama. Na ndiyo maana mpaka sasa hakuna ambaye amekamatwa licha ya wahusika kujulikana. Sitoshangaa baadhi ya wahusika kuuliwa ili kuwalinda walitoa amri ya kutekwa,kuteswa na kumuua Dr. Ulimboka.

    20. FJM
      #37
      FJM's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 11th April 2011
      Posts : 7,175
      Rep Power : 2569
      Likes Received
      5327
      Likes Given
      4587

      Default Re: Tusidanganyane: Kipigo cha Ulimboka Serikali ilihusika

      Kuna mambo bado yananisumbua sana, inakuwaje serikali kupitia vyombo vya usalama wanakuwa na nguvu, uwezo, nia na dhamira ya kufuatilia madaktari 24/7 lakini wanashindwa kugundua maharamia? Dodoma wamekufa waabeshi 42 kwenye container moja. Inakuwaje container litoke nje ya nchi mpaka katikati ya nchi bila vyombo vya ulinzi na usalama kujua? Ni vipi kama wengine wataamua kuja na silaha?

      Tunaambiwa huko Mtwara wanapoendesha miradi ya kutafuta mafuta na gesi walinzi wanatoka nchi za kigeni na wanatumia silaha kubwa, Mikoa ya Kagera, Kigoma, Rukwa kuna uvamizi wa kutisha tena wa kutumia silaha za kivita, Ukirudi Serengiti nako kuna kadhia zake. Sasa serikali inatumia resources zake kufuatilia madaktari wakati nchi imezungukwa na maharamia tena wengine wana silaha?

      Nasubiri kusikia hotuba ya waziri wa mambo ya ndani, na ile ya waziri wa Ulinzi. Si ajabu watasema 'hali ya usalama nchini ni nzuri'. Tusubiri.

    21. #38
      mpenda pombe's Avatar
      JF Senior Expert Member Array
      Join Date : 17th November 2010
      Posts : 368
      Rep Power : 505
      Likes Received
      30
      Likes Given
      1

      Default Re: Tusidanganyane: Kipigo cha Ulimboka Serikali ilihusika

      Wapi prof. Mwaikusa?
      Rwegasira wa TRL..

    22. #39
      Isoliwaya's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 60
      Rep Power : 372
      Likes Received
      6
      Likes Given
      2

      Default Re: Tusidanganyane: Kipigo cha Ulimboka Serikali ilihusika

      Quote By Papizo
      Serikali inahusikaa kwa kila kitu, ingekuwa haihusiki then why kila mtu ana mashaka na Serikali??Dhaifu(JK) na Mwema achieni madaraka faster, So far hamna hata kitu kimoja kilichosemwa.
      This is correct a hundred percent correct. The governmnent of Tanzania (CCM) can not deny this. This plan must have been planned some times ago and it was the right time for the CCM Mafia to implement this evils. They can not run away from the truth
      Papizo likes this.

    23. #40
      Isoliwaya's Avatar
      Member Array
      Join Date : 2nd April 2012
      Posts : 60
      Rep Power : 372
      Likes Received
      6
      Likes Given
      2

      Default Re: Tusidanganyane: Kipigo cha Ulimboka Serikali ilihusika

      nasikitika kwanini nilizaliwa Tanzania natamani nisingezaliwa katika nchii yenye ubabaishaji na ukandamizaji wa CCM. NATAMANI HATA SASA IKULU IWAKE MOTO NA DHAIFU NA WASAIDIZI WA DHAIFU WAFE WOOTE ASIPONE HATA MMOJA

    Page 2 of 3 FirstFirst 123 LastLast

    User Tag List

    Posting Permissions

    • You may not post new threads
    • You may not post replies
    • You may not post attachments
    • You may not edit your posts
    •  

    Who are WE?

    JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic.

    You are always welcome! Read more...

    Where are we?

    We have our offices in Dar es Salaam but we still work virtually.

    For anything related to this site please Contact us.

    Contact us now...

    DISCLAIMER

    JamiiForums, its partners, affiliates and advertisers are not responsible for the content of threads/topics that are submitted by users..

    Read more...

    Forum Rules

    JamiiForums is moderated under the rules set by users and moderators to safeguard you.

    You MUST read them and comply accordingly. Read more...

    Privacy Policy

    We are committed to respecting your privacy rights when visiting any JamiiForums.com page, such as this one.

    Read our Privacy Policy. Proceed here...