Wanasiasa wetu hawana tofauti na matapeli wengine wa kawaida. Ukiwaona hapa waziri mkuu Mizengo Pinda na Dk Steven Ulimboka utadhani kicheko cha Pinda hakifichi chuki na kiasasi cha ajabu. Kwa wanaokumbuka maneno ya Pinda, ni kwamba kama binadamu wangejua kutabiri wanachofikiria wenzao, Dk Ulimboka asingefikwa na yaliyomfika. Pinda alikaririwa siku za hivi karibuni akisema kuwa lolote laweza kumtokea Ulimboka. Je alijuaje kama siyo tamko na mkono wa serikali? Ama kweli sasa Tanzania inatawaliwa na serikali ya kihuni. Bila watawala wetu kuja na melezo ya kutosha hawataeleweka. Kikwete liko wapi tamko lako?
Hivi serikali haijui kuwa hawa jamaa , wangesepa nchi, wengine wakauze madawa na kufungua hospital bubu, wengine wakalime kwa miezi 2 au .watakaolazimishwa watoe huduma nyingine ya kuwawahisha kwenye heri familia za wakubwa wote.Sidhani kama wakubwa wanaweza peleka ndugu wote india?Sasa wana lazimisha majin ayaanze badilishwa.
Mazingira ya tukio zima yanainyooshea kidole serikali. It is hard for the government to come clean with this, given its recent statements. Get well soon Dr. Ulimboka.
wewe ulitegemea nini , mmoja ni mwanajeshi na mwingine ni usalama wa taifa, wauaji wakubwa
Usitegemee kuwa ni watu wazuri, licha ya kuwa kazi zote hizi eti ni kulinda raia lakini wanakuwa wauaji pia
wewe angalia kicheko chao wote ,ni ndumila kuwili hao
wewe ulitegemea nini , mmoja ni mwanajeshi na mwingine ni usalama wa taifa, wauaji wakubwa
Usitegemee kuwa ni watu wazuri, licha ya kuwa kazi zote hizi eti ni kulinda raia lakini wanakuwa wauaji pia
wewe angalia kicheko chao wote ,ni ndumila kuwili hao
Nimeamini wabongo wenge vilaza. Kwanini inakuwa vigumu kukumbuka aliyosema Pind mwezi Februari. Mtoa mada kawatega kwa kuacha mtafune wenyewe badala ya kutafuniwa. Najua ni vigumu kwa mbongo kusoma kila kitu between the lines. Tuache ushamba kutetea upuuzi. Serikali imemteka na kumtesa Ulimboka. Nani anamilki bunduki zaidi ya serikali. Yaliyomtokea Ulimboka yangemtokea Ridhiwan polisi wangekuwa wameishawakamata wahusika.
Follow Us Here