Bibi Asha ambaye amezungushwa kwa miaka mingi amefika mahali pa kulalama na kueleza rushwa ilivyotawala mamlaka za Ardhi (Kinondoni) na vyombo vinavyopaswa kufanya maamuzi. Kubwa ni kuwa katika kushangaa kwake amefika mahali akilinganisha Ikulu wakati huo na sasa haelewi aseme nini ila amebaki kusema. Anatakiwa aondoke kwa kuwa tu ni maskini na wenye hela wanapahitaji. kubwa ni pale ambapo anaishangaa hata mamlaka ya juu kwa kusema
"Kikwete, Kikwete-- mbona ilikuwa tunajua ukifika IKULU basi lazima mamlaka itatoa haki, vipi leo... Kikwete ..."
Source ITV: malumbano ya Hoja. 28.07.12

Reply With Quote
Follow Us Here